"WANYWE POMBE" | Kauli ya RC Chalamila iliyowavunja mbavu TRA

  Рет қаралды 91,540

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoani Mwanza (TRA) wamejikuta wakivunja mbavu kwa kucheka baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Albert Chalamila kutumia mifano ya kuchekesha wakati akizungumza nao juu ya kujenga mahusiano bora na wafanyabiashara ili kukusanya mapato yatakayowezesha kukamilisha miradi mbalimbali ya kimkakati.

Пікірлер: 96
@saidnassoro9562
@saidnassoro9562 3 жыл бұрын
Jamaa Yuko vizuri Sana kwenye kutoa speech
@mussaalphonce1606
@mussaalphonce1606 3 жыл бұрын
Karibu sana Mwanza RC napenda kukufuatilia
@MarandaIhonde-qe6df
@MarandaIhonde-qe6df Жыл бұрын
Nimekuerewa sana chalamila
@ananiasangwa7761
@ananiasangwa7761 3 жыл бұрын
Tumekumiss sana huku Mbeya. Chalamila huwa anatumia mifano na mizaha lakini ujumbe unafika.
@sayukimethod3375
@sayukimethod3375 2 жыл бұрын
This guy is so genius.
@livingstonemichael42
@livingstonemichael42 3 жыл бұрын
Nnakkubali sana
@johnsinyangwe6553
@johnsinyangwe6553 3 жыл бұрын
Upo sawa unafaa kweli
@amranikigolo5974
@amranikigolo5974 3 жыл бұрын
Chalamila unafaa kuwa waziri mkuu yani unafikisha ujumbe ukiwa unawachekesha, Lakini wakishindwa utekelezaji watakuelewa
@clementk.2561
@clementk.2561 3 жыл бұрын
R.C Chalamila anakipaji cha kuongea. Anachekesha lakini anafikisha ujumbe bara bara.
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 3 жыл бұрын
hata saizi nakutizama huku nakunywa kitoko tunyweni pombe
@abubakarhassan1915
@abubakarhassan1915 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiyo
@chenzavalenci594
@chenzavalenci594 3 жыл бұрын
Chalamila oyeeeeeee
@kusinayusuph3949
@kusinayusuph3949 3 жыл бұрын
Utakuwa mkuu wa wa mkoa huku kwetu huku kaskazini Kati ya Manyara Arusha au Kilimanjaro tunakusubiri utakuja tuu
@isaacmbade6955
@isaacmbade6955 3 жыл бұрын
Huyu mzee chizi sana mimi kiukwel hua ananifurahisha sana aisee
@daudsimon5417
@daudsimon5417 3 жыл бұрын
Nakukubali sana chalamila ww unatetea Wanyonge
@suleimaniamadi1441
@suleimaniamadi1441 3 жыл бұрын
Wnyonge wanywa pombe🍾
@kusinayusuph3949
@kusinayusuph3949 3 жыл бұрын
Unakubalika Sana
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 3 жыл бұрын
Nimekusoma Ila kwa jamii nyeusi hawakuelewi songa mbele mungu akubariki sana
@peterbayo4677
@peterbayo4677 2 жыл бұрын
Yes 100%!!!
@ezekielsangah7340
@ezekielsangah7340 3 жыл бұрын
Dar imepoaa sanaa angekuja hukuu
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 3 жыл бұрын
WW MZEE UMEELEWEKA KWAMBA WW N MTU WA NAMNA GANI
@jacksonshosi5246
@jacksonshosi5246 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana mkuu
@johnsinyangwe6553
@johnsinyangwe6553 3 жыл бұрын
Urasi unakufaa maana hurasishi kama wengine
@deejeydaev
@deejeydaev 3 жыл бұрын
Ange pewa DAR ingependeza
@nickomlimbila217
@nickomlimbila217 3 жыл бұрын
MZEE UKUJE NJOMBE UTURUHUSU TUNYWE POMBE MASAA 48🤣
@othmanally1230
@othmanally1230 2 жыл бұрын
hatari sana bongo sihami
@eliankya3272
@eliankya3272 3 жыл бұрын
Nakukubali sana jembe jitaidi sana uje kwenye uwaziri kopi ya magufuli kabisa
@gavanaimrani6777
@gavanaimrani6777 3 жыл бұрын
NENDA MOSHI UKO NA ARUSHA
@dullamuso6955
@dullamuso6955 3 жыл бұрын
Chalamila RC umenivunja mbavu, ila kweli waambie masuala ya kufunga bar saa sita tunashindwa kupata ela mda huo ndo wateja wanakuja
@ramadhanimwijage7677
@ramadhanimwijage7677 3 жыл бұрын
Jamaa katuni kwelikweli! Dar ilimuhusu.
@charlesmayilla2926
@charlesmayilla2926 2 жыл бұрын
Kweli upon vi,uri
@ayubumgaya4131
@ayubumgaya4131 3 жыл бұрын
Naku2bal Sana mkuu wa mkoa
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Karibu kwetu Iringa nimekupenda gafra mtu yeyote alie pitia walimu huwa anakuwa ivii ,Ukiwa ivi nayule muoga hutoa sauti yake
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 жыл бұрын
Wamekosea kukupeleka mwanza unatakiwa uje dar inapendeza
@kusinayusuph3949
@kusinayusuph3949 3 жыл бұрын
Chalamila umekwama wapi mkubwa ukovizuri Ila ulibugi kidogo Ila lazima Mama atakutafutia nafasi nyingine usiwazee mkubwa tulia relax
@nadiayaee5034
@nadiayaee5034 3 жыл бұрын
Yaani kakosea kidogo tu jamani loh ila anafaa sana huyu mzee
@innnocentchoggy2331
@innnocentchoggy2331 2 жыл бұрын
Maneno yako yametimia mkali
@mayaally2512
@mayaally2512 2 жыл бұрын
Amemtafuta bana
@mhiyaoswedi4499
@mhiyaoswedi4499 2 жыл бұрын
Mwamba imetimia
@atamotivetv8104
@atamotivetv8104 2 жыл бұрын
Kwann walimtoa kazini mbona anaongea point Sana
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Hili jamaa linapoints sometimes
@balikomwakalunga6548
@balikomwakalunga6548 2 жыл бұрын
Inaendeza hiyo
@fatumamaiga8496
@fatumamaiga8496 3 жыл бұрын
Umemuona baba mwenye miwani yeye hacheki kanuuuna
@josephtabora7646
@josephtabora7646 3 жыл бұрын
Anasinzia huyo
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 3 жыл бұрын
Huyo mzee ana busara Sana tabu ya kucheka kiafya unaondoa consentration kwa hiyo huyo babu Yuko vzr sio suala la kuongea na kuchekeaha tu lkn tunacheka kwa point ipi???
@nickomlimbila217
@nickomlimbila217 3 жыл бұрын
Aisee nimemuona
@kusinayusuph3949
@kusinayusuph3949 3 жыл бұрын
Ila mabango Mama hataki tatueni changamoto sio hadi Raisi aje iwefundisho kwa viongozi wote
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 3 жыл бұрын
Bila fosi hatuwezi bango ni lazima kwa MTU mnyonge
@eliakanyika7575
@eliakanyika7575 3 жыл бұрын
Chalamila unafaa kuwa rais wa tz
@nekaagripa3993
@nekaagripa3993 3 жыл бұрын
We unaumwa sio bure
@eliakanyika7575
@eliakanyika7575 3 жыл бұрын
@@nekaagripa3993 🤸🤸 kwanini umeongea hivo?
@lucassamwel5544
@lucassamwel5544 3 жыл бұрын
Kenye kodi hapo nakuunga mkono maneno ya busara
@christinamsigwa151
@christinamsigwa151 3 жыл бұрын
Tz ipi?
@jimmylema8830
@jimmylema8830 3 жыл бұрын
Wazo zuri mzee
@gilbatcarlo8418
@gilbatcarlo8418 3 жыл бұрын
Pombe bwanaa
@hajimassawe2592
@hajimassawe2592 3 жыл бұрын
Kiongozi
@anwarabdallah1301
@anwarabdallah1301 3 жыл бұрын
Uongozi unatakiwa hekima na busara utakaporuhusu mabaa yapige miziki ya kelele kumbuka hizo baa zipo katika mazingira ya jamii ambayo kuna wazee kuna wagonjwa hizo kerere zinawasumbua na kuwanyima utulivu na pia usingizi na pia kuna watoto ambao wanahitaji kujifunza maadili mema na sio maadili ya baa so mkuu wa mkoa kama wewe ni mlevi sio watu wote walevi na hata dini zetu zote hazijatufundisha hayo maadili na isitoshe hiyo huduma ya mabaa ni wachache wanaiyoishiriki kuliko wasiyoishiriki na vizuri zaidi ungejaribu kuruhusu baa na miziki ya kelele karibu na nyumba yako mkuu ukaona raha yake sio kuchochea kwa raia.Hekima na busara ndio uongozi bora
@hendrylema5640
@hendrylema5640 3 жыл бұрын
pombe ya maana asee nisipokunywa nakua hovyo kweli
@johnsonpaul2883
@johnsonpaul2883 3 жыл бұрын
@@anwarabdallah1301 naona ujamuelewa watoa vibari wanatakiwa wazingatie vibari sio wanatoa tuu wakitoa basi ujue wameruhusu
@anwarabdallah1301
@anwarabdallah1301 3 жыл бұрын
@@johnsonpaul2883 yah nimekuelewa brother na pia nilimuelewa mkuu wa mkoa ila kwa haki ya katiba ndogo anauwezo wa kutengua leseni hizo zenye madhara kwa wengi kuliko manufaa ya wachache na sio kuacha madhara yaendelee ikiwezekana wawekewe mashart ya sound proof na wenye viti wa mitaa au vijiji walinde maadili ya jamii coz baa nyingi zinakua na upotoshaji wa maadili
@fredymaswimwita3091
@fredymaswimwita3091 3 жыл бұрын
Wepeni pombe wapumbavu vileo,ili walewe wasahau shida zao,
@balikomwakalunga6548
@balikomwakalunga6548 2 жыл бұрын
Pombe ni kilevi kisichofaa kabisa
@eliakanyika7575
@eliakanyika7575 3 жыл бұрын
Makanisa hayatoi Kodi!😀
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 3 жыл бұрын
Kiongozi anatakiwa kuwa Kama hivi muda Michele muda azingue huyu jamaa nyie mjichekeshe tu mkizingua atawafanya mbaya anatandika Hadi viboko huyo mbeya wamepoteza chuma yao
@frankmgunjimgunji9261
@frankmgunjimgunji9261 2 жыл бұрын
Baada ya huyu mwamba kurudi ndo nmeanza kufuatilia habar za serikari
@susankanungha1259
@susankanungha1259 3 жыл бұрын
unafaa sana
@elianifaaluka4790
@elianifaaluka4790 3 жыл бұрын
Mungu hadhihakiwi jaman huyu kaka anamatatizo gani
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Giiiiiiiiiiini hili ni kiboko Mwenye na akili kidogo hawez kuelewaaaaaa
@alexander19077
@alexander19077 3 жыл бұрын
Chuma hiki, ha ha😄
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Pumzi na sifa madaraka yanakupa kiburi
@jescajohn6619
@jescajohn6619 2 жыл бұрын
Eti hapo napo watu wanapiga makofi🤷🤷🤪tabu kweli
@faridhassan6834
@faridhassan6834 3 жыл бұрын
Hujuu jamaa kanimaliza nguvu
@jastinpiniel4447
@jastinpiniel4447 3 жыл бұрын
Mimi sijui unaongeaga nini kwenye vyombo vya habari.
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
Ulifeli shule
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 3 жыл бұрын
Mbona anaeleweka tu.
@umojamedia4167
@umojamedia4167 3 жыл бұрын
Umeambiwa fanya yako usimkwaze mwenzio
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 3 жыл бұрын
Kwa kusifia dhambi na kuwasema watu wa JEHOVAH MUNGU,JEHOVA ELION,Amekushughulikia haraka,usithubutu tena kuwasema walokole, ndio maana MUNGU kamtumia samia kukutumbua
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 3 жыл бұрын
Bibilia inaluhusu pombe kenge we acha ujinga wazungu wanakudanganya pombe yao wanakuuzia Ila yakwako wanakukataza mbinguni wote tuna kwenda
@chimbokiswaga1718
@chimbokiswaga1718 Жыл бұрын
Pombe ni mchoko siyo ulokole wa hovyo Huwa wazinzi tu walokole
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 3 жыл бұрын
Mh kwani kuna imani inayo ruhusu pombe mbona unanitoa kwenye maind
@fatymnyama2839
@fatymnyama2839 Жыл бұрын
Ww kaa na ujinga wako pombe kuna madhehebu mengine pombe ni halali
@barakaelias4692
@barakaelias4692 3 жыл бұрын
Mkoa wa mwanza haukufai ata kidgo watu wanywe pombe aisee
@umojamedia4167
@umojamedia4167 3 жыл бұрын
Pombe ni uchumi ambae hunywi tulia
@mhiyaoswedi4499
@mhiyaoswedi4499 2 жыл бұрын
Kufasasa kaenda mwanza😂😂😂😂
@frankmgunjimgunji9261
@frankmgunjimgunji9261 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 3 жыл бұрын
yaaaan hata sielewi anaonmgea nn anaonmgea utumbo na upuuzi mtupu
@fatymnyama2839
@fatymnyama2839 Жыл бұрын
Hafu we kenge usichoelewa nini bwege ww
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Ndo maana ulifukuzwa kazi.Pombe inanyweka bure? Wanunulie.
@robertmwanakaya4233
@robertmwanakaya4233 2 жыл бұрын
hahaha 🤣 leo yupo kazini Tena inamaana anaumuhimu sana kitaifa. Uwe makini sana tekenolojia Huwa inatunza vitu kama hivi Haya Sasa leo yupo mara anaendelea na ukuu wa mkoa
@robertmwanakaya4233
@robertmwanakaya4233 2 жыл бұрын
Kazi kwako
@mohameduliza7607
@mohameduliza7607 2 жыл бұрын
Hahahaha
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 2 жыл бұрын
Haha ha haaa
@rogerskityege255
@rogerskityege255 3 жыл бұрын
Hahahaaaa
@MarandaIhonde-qe6df
@MarandaIhonde-qe6df Жыл бұрын
Nimekuerewa sana chalamila
@gilbatcarlo8418
@gilbatcarlo8418 3 жыл бұрын
Pombe bwanaa
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 27 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
Huyu Ndiye Chalamila aliyetumbuliwa na Rais
5:25
Mwananchi Digital
Рет қаралды 124 М.
CHALAMILA AWATANGAZIA 'VITA' WALIOFUNGA MADUKA KARIAKOO
6:31
ITV Tanzania
Рет қаралды 3,8 М.
SEHEMU  YA  PILI- RC CHALAMILA  ASEMA  PESA  NI  KAMA  MKE
4:05
TBConline
Рет қаралды 71 М.
LIVE: RC CHALAMILA ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA UKONGA
54:13
Millard Ayo
Рет қаралды 1,5 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН