Bravo! Naomba kujiunga na daresay lako nipate kujifundisha.
@vincentmaholo91792 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Mzee, nakumbuka miaka ya '97 hadi 2000 nikiwa nasoma Mazengo pale kanisa la Mt. Paulo wa msalaba nilikuwa nakushuhudia unacharaza kinanda kwenye ibada za misa za jumapili. Hongera sana Mr Mavunde
@baltasartemu2153 Жыл бұрын
Kinanda aina gani hiki?
@OrganistjamesKtZ2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu mavunde kwa ustadi wako🔥
@BAK84212 сағат бұрын
Hongera sana mwalimu.
@benedictmrisho59473 жыл бұрын
Mzee Mavunde TYK. Uko vizuri Mungu akubariki sana.
@jonathanntare47874 жыл бұрын
Hongera Baba uko vizuri
@vicenttarimo220310 ай бұрын
Barikiwa sana Mzee wetu hapo umesali mara mbili
@lauriananney3189 ай бұрын
Mzee hongera sana mnoo, mwenyezi Mungu akubariki sana
@shijalugiko4053 Жыл бұрын
Baba Mavunde Tumsifu Yesu Kristo
@herrymbilinyi71883 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@bonifacelisias70922 жыл бұрын
Mzee Mavunde uko vizuri sana Baba
@mutukumutulili92569 ай бұрын
Hongera MC Mavunde✔️👍❤
@tempochoir4 ай бұрын
Wow nimemiss hii midundo ❤
@cyprianndabavunye33085 ай бұрын
Safi sana mzee mavunde
@andreaa.nyundo83334 жыл бұрын
Hakika ni kazi nzuri inafanywa na Mzee wetu Peter A.Mavunde naupenda wembo wake Wa Mpigieni Mungu kelele za shangwa. Mwenye nao naomba
@chalresykedimon2254 Жыл бұрын
Mzee uko vizur mno
@RevocatusPaulC.P Жыл бұрын
Hunger sana baba Mavunde hii nimependa sana
@alfredibrahim70852 жыл бұрын
Hongera sana hii kitu ukianza kucheza hata njaa hupati
@julianprubavu40692 жыл бұрын
Hongera sana
@felicianholle30104 жыл бұрын
Hongera sana mzee ukovizuri kwa kunga kinanda
@benedictmrisho23614 жыл бұрын
Mzee Mavunde endelea kumwimbia Mungu wetu. Hakika ni karama nzuri kumwimbia Mungu wetu. Vijana wakuige baba.
@matiaswesley84643 жыл бұрын
I know it is quite off topic but do anybody know of a good website to stream new movies online ?
@urielbraylen75353 жыл бұрын
@Matias Wesley lately I have been using Flixzone. You can find it on google =)
@lukasethan80813 жыл бұрын
@Uriel Braylen yea, I have been watching on flixzone for since april myself :D
@acederrick81463 жыл бұрын
@Uriel Braylen Definitely, I've been using FlixZone for months myself :)
@iragary87873 жыл бұрын
@Uriel Braylen thank you, signed up and it seems like they got a lot of movies there =) I really appreciate it!!
@mtui-1234 ай бұрын
Hatari
@elipidytarimo924716 күн бұрын
Amen
@laurentsilayo824 жыл бұрын
Nimekukubali mzee mavunde
@chiramuroki56093 ай бұрын
hio style n moto
@keshimedia67724 жыл бұрын
Mimi hua naipenda ala ile ya 3\8
@tempochoir4 ай бұрын
❤❤
@Vinnie254.9 ай бұрын
👌👌👌
@paschaldamian45973 жыл бұрын
Saf sana baba unaitekenya vizuri barikiwa mnoooooooo
@florachogo55374 жыл бұрын
safi mhishimiwa
@ezradastan41674 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee wetu Mavunde. Hakika natamani ujuzi huo
@priscafrancis40334 жыл бұрын
Ila anaonekana ni mtu mcheshi sana ni watu ambao unapenda kuwa nao nathani huyu ni mtu wa pili wa karia hio kumuona furaha upendo na amani vikitawala kumoyo maisha huweziona baya
@alexlucheli51212 жыл бұрын
I'm looking for this official song kindly..pls share it with me here if any of you guys have
@BongoCryptos4 жыл бұрын
Uko vizuri mzee wangu. Nawewe unayeangalia usiache ku subscribe #BongoDrive channel
Alikuwa jembe lahayati.magufuli .kwakusherenhesha nakufanyakazi kamampendwa wetu mungu amlaze manhalipema.mbinguni.nhatunawakumfananisha.upokelewe.mbinguni!