Bunge lazizima! Prof Muhongo awakosha wabunge akishusha NONDO KALI kuhusu sekta ya madini

  Рет қаралды 13,015

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Prof Sospiter Muhongo, akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024 leo alhamisi, April 28, 2023 Bungeni jijini Dodoma.

Пікірлер: 40
@JohnMalambo-hk5hk
@JohnMalambo-hk5hk Жыл бұрын
Mbona ulishindwa. Acha majungu Mzee doto kajitaidi Sana nyuma Madini yameibiwa Sana kwamuri wako ulikua wapi
@salimukimwaga
@salimukimwaga Жыл бұрын
Ahsante professor kwa hekima zako tukope tunyanganye ili tuchimbe chuma sio tukope tujenge barabara ya kwenda znz sijui tukachukue kitu gani cha kutujengea uchumi znz watanganyika tumechelewa sana wenye faida ni wazanzibari mpaka sasa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Kwani kuna mashindano baina ya wanzibar na watanganyika? Kwenye muungono kuna watz na hakuna limit
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 Жыл бұрын
Daaaah hadinachoka
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 6 ай бұрын
Kwa jinsi nilivyo muelewa Professor Michongo, Ili tutoke hapa tulipo kama nchi kuna Kila sababu ya kuajili mawaziri na makatibu wakuu wa wizara wasomi wabobezi kutoka nje kuja kutuendeshea uchumi wetu. Na Sisi wenyewe tubakie kama walinzi. Kwani kuna shida gani, mbona kwenye football inawezekana. Lakini tukiwategemea akina Kasheku kwa vile wameshinda ubunge ndo wawe mawaziri tutakesha, au akina Bashe kwenye kilimo tunaendelea kukesha. Kwa sababu siyo wataalam hivyo hawana mawazo mapya,
@SylvesterMwita-d3f
@SylvesterMwita-d3f Жыл бұрын
Nimekuelewa !
@avitimushi1541
@avitimushi1541 Жыл бұрын
Nondo nzito sana hizi. Hawa ndiyo wabunge wanaohitajika sasa.
@kakuruchiganga507
@kakuruchiganga507 Жыл бұрын
Wengi watakuwa wanasinzia tu hata sidhani kama wanaumelewa.Wengi wanataka porojo.
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Yeye alikuwa waziri kafanya nini? Wanasema Politicians are liars. Alifikuzwa kwa tuhuma leo anapiga uprofesa.
@doreenkissia1087
@doreenkissia1087 Жыл бұрын
Wee hujui nini na nini.jamaa hakutaka watu wenye akili.alitaka watu wa ndio mkuu.huyu wakati ni waziri wachimbaji wadogo tulikiwa na furaha.tuliwezeshwa na hata tulipewa kipao mbele.sisi wachimbaji tunamlilia mpk leo ujue
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 5 ай бұрын
​@@doreenkissia1087unataka kutudanganya kwamba JPM hakujua hulka ya Prof.Muhongo kabla ya ku-take political risk ya kumteua kwenye Wizara aliyojiuzulu enzi za Jakaya tena kutokana na kashfa kubwa ya ESCROW? Kwamba JPM kummwambia Prof.Muhongo ni UHAINI ilibidi aamini ni yeye tu anaweza?Hakumweka Prof.Manya ambaye baadae SSH alikuja kumtoa? Haya ndo matatizo ya kumezeshwa MATANGO PORI🤷🏽🤷🏽🤷🏽
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Mh umeongea points kubwa hao wawekezaji ni wajanja na huwa wanajisifu kuwa Africa ndiko kwenye faida kubwa waafrka hawajui kitu wakati viongozi wanajua ila kuna group la upigaji sasa lazima tubadilike kama Botswana na South Africa wananufaika na madini yao sisi blabla tu.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Sasa hivi imelahidishwa mnoo kuna vifaa vya kisasa mita mia moja kugundua
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
jamani mnapoteza muda samia ni wa form IV hafamu lugha mnayo ongea Maprofesa
@hijazhija316
@hijazhija316 Жыл бұрын
Chuki,wivu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
@@hijazhija316 kani si wa form IV ? kilaza mkuu
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Prof Sospeter Mwijarubi Muhongo alipaswa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini si Waziri
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 Жыл бұрын
Hawa ndo walitakiwa serikali iwatunze waishi bure ili wawaze tu na kuamua kwa ajiri ya wengine
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
kuibiwa na kuachwa kwenye umasikini kumerudishwa upya
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Mageuzi ya uchumi ya kuuza viwanda na serikali kujiondoa kwenye mifumo ya uchumi ilikuwa mbinu ya mabeberu kwa kuwatumia watalamu na wachumi wetu kulitoa taifa kwenye misingi ya kujitegemea kwenda taifa tegemezi
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
Muhongo acha porojo! Umekaa kwenye hiyo wizara hatukukuona mabadiriko tofauti na kuingia kwenye mgao mkubwa wa umeme,gharama kubwa ya maunganisho ya umeme! Na utoroshaji mkubwa wa madini! Sasa unatushawisishi nni mkuu?
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm Жыл бұрын
Makofi kwa Prrofesa bila shaka yanaashiria kwamba amewasilisha hoja yenye mashiko, nami nampongeza
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Alikuwa wapi?!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Tuna bahati ya madini "rare minerals" ambayo tunatakiwa tuimiliki sisi wenyewe na kutafuta pesa za kuwekeza kwenye migodi kama ya graphene, nickel, na kadhalika.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Hatuwezi kwakua hatutaki na akitokea ataetupeleka huko hatutokubaliana nae tumeamua kuwa wapuuzi
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Tumekosa wabunifu wa utafiti na kuchenjua sasa tumebaki madalali tu na wazungu wanatujia hao waafrica hawana elimu ya madini tutaendelea kuwapiga ndivyo wanavyosema sisi tumelala tunakiona wajanja kumbe viraza tu.
@emanueljacob7301
@emanueljacob7301 Жыл бұрын
Hoja za kitaalam mno
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Prof maji, hawa ndo walituingiza chaka, kwani kabla 16 % tulikuwa na ngap !? Na lipi kosa kati 16% na ya awali
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 Жыл бұрын
Hivi Profesa aliwakosea nini,!!!!!!!! si wampe hii wizara.
@martinmlunja
@martinmlunja Жыл бұрын
Huyu aliwahi kukalia wizara ya madini akakoroga
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
cha ajabu wala hakiyaona aliyo yaongea leo ,
@evansngolly7135
@evansngolly7135 Жыл бұрын
Unajuaje? Andika kitu chenye uhakika.kutenguliwa Uwaziri haina maana aliboronga
@nicholouswaryoba1474
@nicholouswaryoba1474 Жыл бұрын
Siasa zikiwa nyingi hata wewe unakoroga
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
Kaka upo sahhi! Uyu jamaa ni miongoni mwa waliotuingiza Chaka kipindi Cha jakaya! Na kuwambia akina mengi kwamba mtajiwao ni kukamua juisi na si kuchimba mafuta!
@eugenaxwesso9321
@eugenaxwesso9321 Жыл бұрын
ukiwa mkweli na uko na viongozi wa kisiasa wanaopenda upigaji dili lazima utumbuliwe tu maana unaharibu dili zao huyu ni professor wa kitaaluma sasa wewe mbuyuyu utaona na kuelewa kinachoendelea kweli. Ulifeli tu kuelewa za darasani sembuse vya utafiti acha uchawa
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Жыл бұрын
mi si dhani kama tuna bunge hawa watu hawasomi hawako kimasilahi ya nchi hawaelewi hawajifunzi ni shida tupu
@nicholouswaryoba1474
@nicholouswaryoba1474 Жыл бұрын
Vitu vigumu kabisa...huyu professor Muhongo na progessor Mkumbo wanajaribu kuwaonyesha akina msukuma kwamba ninyi mnapiga domo kwa vitu vya wazi sisi tunapiga madini ya akili kubwa
@madagafadhili5043
@madagafadhili5043 Жыл бұрын
Huyu arudishwe wizara ya nishati na madini
Tazama NONDO za Profesa Muhongo zilivyoibua shangwe Bungeni
13:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,7 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 117 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
Tazama Mwijage alivyochangia kwa MBWEMBWE Bungeni leo "Mnatafuta KIKI"
9:45
MUUAJI WA VIKONGWE, WAZEE ANASWA TABORA, "alikua anatishia uhai wetu"
5:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,3 М.
Nondo za Dk Kimei Bungeni; Amfunda Mwigulu Nchemba
7:03
Mwananchi Digital
Рет қаралды 988
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 117 МЛН