Prof Muhongo alisimamisha Bunge; Spika Tulia amuongeza Dakika 3 aendelee kudondosha MADINI

  Рет қаралды 73,465

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Prof Sospeter Muhongo akichangia kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24

Пікірлер: 80
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Huyo ndiye The Master Prof Muhongo.. Natamani pia kumsikia Prof Kabudi
@agapithngowi2350
@agapithngowi2350 Жыл бұрын
P
@agapithngowi2350
@agapithngowi2350 Жыл бұрын
L
@juliuskamasho8503
@juliuskamasho8503 Жыл бұрын
Hongera sana prof umenena mazoto
@augustinomhagama9527
@augustinomhagama9527 Жыл бұрын
Tena kaongea Kwa kutulia sana bila hata papala Kaongea Kwa nidhamu sana tena natumai hapo tu kwenye kuongea kaonesha yeye ni Prof wa greed gani safi sana Prof Muhongo
@danielmollel8225
@danielmollel8225 Жыл бұрын
Well done Sir!! Hivi ni hazina tunazoziitaji!!
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Hongera sana Prof.
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 Жыл бұрын
kweli kabisa s/msingi wanafunzi 45 kwa darasa,secondary 35 alevel 25.
@mussamzonge4856
@mussamzonge4856 Жыл бұрын
Watu kama hawa wanatakiwa kuwa washauri..ila sio kumpa nchi..ukimpa nchi anaboronga..ni upeo wangu tu..samahani kama nimemkwaza mtu.
@mansonnyamwela1801
@mansonnyamwela1801 Жыл бұрын
A very good explanation Pro, and apricable
@user-iw4vm7oc9c
@user-iw4vm7oc9c Жыл бұрын
well said prof
@muddyausi8470
@muddyausi8470 Жыл бұрын
Hata yeye akipewa hayo madin yote anayasahau
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 Жыл бұрын
Halafu watu wanasema watu wenye vipara hawana akili!!!!
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Жыл бұрын
Miaka yote mmepewa nchi bado mnalaumiana
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 Жыл бұрын
Toa maoni SI kubeza. Elimu Yako imeisadia nini jamii ukianzia NyumbanI kwenu?
@beatricekatunzi903
@beatricekatunzi903 Жыл бұрын
Ajabu
@novatusbwakea1704
@novatusbwakea1704 Жыл бұрын
Mwika mwika....kuna watu yaani wao ni kulaumu tu...utafikiri wanajua saana, kumbe ni vilaza tu
@BernaldMachinda-pe1jd
@BernaldMachinda-pe1jd Жыл бұрын
Safi prf uko vzr kwl
@enockkatambi4701
@enockkatambi4701 Жыл бұрын
Hizi HAKILI mkiwa kwenye nyazifa mnazipelekaga wapi??????
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Shida ni mfumo unalimit mtu kufanya hayo mabadiliko
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Safi prof
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Naam hawa ndiyo wanatakiwa kutoa hoja maana hapa kuna jambo
@user-nq3ib3wd7r
@user-nq3ib3wd7r Жыл бұрын
Ok
@drkalokola5861
@drkalokola5861 3 ай бұрын
Tatizo la elimu Tanzania Iko vyuo vikuu. Mkendabanamchanganya Samia kupoteza muda na raslimaliza Taifa kwa kukoroga elimu ya msingi.
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 Жыл бұрын
Prof Mhongo ana akili sema ,, ndo wale wale matapeli wa nchi 🤣🤣
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
Nikweli hata u-tube ukitafta lecture za universities/ vyuo vyetu huwezi kuzipata. Hata google huwezi kupata slides au maandishi juu ya mada mbalimbali yaliyo andaliliwa na maprofesa au madoctors wetu. Unaweza kupata nondo za Makerere, Moi, Abadan n.k.
@kapenjekapwapwanya6751
@kapenjekapwapwanya6751 Жыл бұрын
Sawa, kuwa research inapigwa au kujibiwa na research hebu tusaidie hiyo yako ili itusaidie
@augustinomhagama9527
@augustinomhagama9527 Жыл бұрын
Kweli kabisa na ndo maana ufaulu wa wanafunzi hasa kwenye shule za selikari ni dogo Kwa Sababu ya madarasa kuwa na wanafunzi wengi, chukulia mfano darasa Lina wanafunzi 120 au 200 Sasa hapo tunategemea nini kutoka Kwa madarasa ya namna hii, Prof . Muhongo umechambua vizuri sana hapo ni usikivu tu wa Prof Mkenda basi , na uliposema namna ya kuwa Prof na doctor iwe Kwa greed safi sana na ndo maana wapo watu ujisifu kuwa yeye ni mwana uchm lazima kuwe na madaraja ya uprof na udoctor na uchumi
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 Жыл бұрын
Prof Muhongo nakupongeza sana.
@makanjicharles9860
@makanjicharles9860 Жыл бұрын
5:04 5:06 5:07 5:10 tena km apo kwenye maktaba!! dah umenena Prof. ndo knachopelekea kukalili kulko kuelew sabab ktab kmoja mchoro uouo milele uelew ucelew ndo bac!!!
@severinimkini4116
@severinimkini4116 Жыл бұрын
Lieleze Bunge kwamba shule zetu za Serkali, hazisomeshi watoto ipasavyo kwa kuwa Viwango vya Elimu kimataifa vimekiukwa. Haifuatwi mitaala, Prof. Muongo kanena idadi rafiki ya wanafunzi kuwemo kilachumba Cha darasa.
@leganmichael6148
@leganmichael6148 Жыл бұрын
Kinachonisumbua siku zote ni humo Serikali kuna nini?? Huyu Prf. Alikuwa waziri hapo Nyuma bado tulipata shida tu...Na sasa anatoa ushauri mzuri akiwa mbunge wa kawaida. Najiuliza wanapokuwa kwenye serikaki kwa nini hawayatendi haya wanayo yahubiri????
@mzungunjako7475
@mzungunjako7475 Жыл бұрын
well said. naomba nikupatie homework moja, jaribu kukusanya watu 20 wenye akili timamu then chagua mmjo mnong`omeze " KUNYWA MAJI PULIZA JUU PRUUUU" alafu nayeye amuambie maneno hayo hayo mwenzie wa nyuma yake, chain iendelee hivyo mpaka mwisho. alafu yule wa mwisho mwambie atamke alicho kisikia. Ninauhakika majibu yatakushangaza. hiyo ndiyo kazi ya uwaziri, urais na vyeo vingine.
@hamisiharuna3099
@hamisiharuna3099 Жыл бұрын
Jiulize kwanza unaposema alikuwa waziri je alikuwa wa elimu? Huyo alikuwa waziri wa nishati na madidi, nini usichokijua kuhusu alichofanya kuhusu umeme, ndiye waziri pekee aliyeweza kufanya vizuri sana kwenye wizara yake, kwahiyo hapo anazungumzia wizara ya elimu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Hakuna mahabala hata secondary schools.libry ni ndoto kabisa watu wako kula tu.
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Жыл бұрын
TAMISEMI inajitwisha mambo mengi, kuanzia zahanati Mpaka national Hospital ziwe chini ya wizara ya afya, TAMISEMI ilidili na Halmashauri na mapato yake siyo TAMISEMI ndani Kuna afya na wizara afya Kuna waziri wake na waziri wa Tamisemi nae anazungumzia afya jaman
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 2 ай бұрын
Shida yetu Tanzania hatutumii watu kama hawa kinaprofesa muhongo kutusaidia katika mambo muhimu kama haya bali tunapenda wasaii ndo maana tunasua sua kimaendeleo nyanja zote
@michaelsimchimba9070
@michaelsimchimba9070 Жыл бұрын
Kigezo KUJUA kusoma na kuandika....🤐🤐🤐
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Prof. Muhongo umenena madini tupu.
@drkalokola5861
@drkalokola5861 3 ай бұрын
Professor is just a head of department. He either publish and perish or don't publish and perish.
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Kanda ya ziwa hakunaga vilaza
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 Жыл бұрын
Ukiwa wabunge tu mnakuwa na mawazo mazuri Sana mkiteuliwa kuwa mawaziri mnakuwa mayumbu
@user-tz8tg2sk5r
@user-tz8tg2sk5r Жыл бұрын
Alipewa ila maono yake yalidharauliwa. Ukileta maono yenye manufaa wizaran wanakupiga vita sabab inahitaji uwekezaji na pesa nying watakosa pa kula
@georgekitosi1514
@georgekitosi1514 Жыл бұрын
Ukweli mtu
@jacksonnduna4419
@jacksonnduna4419 Жыл бұрын
Hii nchi yaajabu sana sina uhakika kama hiki kichwa kinatumiwa ipasavyo kwenye hii serikali
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 Жыл бұрын
Kila akipewa nafasi anaharibu. Kichwa kimejaa madini. Moyo umejaa tamaaa. Hiyo ndo tatzo lake
@nelsonsylvester8114
@nelsonsylvester8114 Жыл бұрын
Wakipata uwazir sijui wanakuwaje hawa watu ,wakitoa ndo wanakuwa na maon mazur.
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 Жыл бұрын
I echo his position.
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Tanzania elimu ni yamatajiritu siwananchi ndiomaana shuleya serekali bure xa watu elimu juu pesa yako
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 Жыл бұрын
Ulikuwa wapi Prof wakati mwingine huwa napata shida kuwafikiria wasomi wetu mupo kwa masilani ya wazungu au kwa manufaa ya Mama Tanzania na watanzania Waafrika ni Nani aliyetuloga
@kenanimwakanemela483
@kenanimwakanemela483 Жыл бұрын
akili nyingiiii
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Tale anaelewa kweli?
@amanikudeli5297
@amanikudeli5297 Жыл бұрын
Huyu si alikwapuaga pesa kipindi cha Jk
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Walimu wa musing hata hawafundishi wanafunzi hata kidogo kabisa.
@bobwhite9252
@bobwhite9252 Жыл бұрын
Vitu vizito hvyo babu tale anaelewa kwel
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 Жыл бұрын
Dr
@denismvula300
@denismvula300 Жыл бұрын
😂😂😂
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Mwache Dr Tale Tale hapa ni kizunguzungu
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Huyu unatakiwa umpe siku NNE........
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Jitu hili lipewe wiki nzima
@likimaro6
@likimaro6 Жыл бұрын
Wenye akili km hawa hawapewi nafasi, wanapewa wasiojielewa.
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
Apewe mara ngapi? Keshafika hadi uwaziri huyo kwenye nishati......siku zote ndugu yangu jua kua ada ya mja hunena ila muungwana ni vitendo.. Kuna watu wazuri kwa kusema tu ila sio kwa utekelezaji kwa vitendo..
@nelsonsylvester8114
@nelsonsylvester8114 Жыл бұрын
Huyu si alikuwa wazr
@moyolameck555
@moyolameck555 Жыл бұрын
Huyu prof alipewa wizara ya nishati hakufiti mm nilitamani apewe wizara ya Elimu na prof mkenda apewe wizara ya Tamisemi
@mathewsedoyeka6627
@mathewsedoyeka6627 Жыл бұрын
Asante Prof, lakini hukusema chochote kuhusu aina mbili za elimu zinazotolewa nchini, zilivyo tofauti elimu ya shule za Serkali na za binafsi. Tunatokaje hapo? Pia hukusema chochote kuhusu lugha ya kufundishia, kiswahili ama kiingereza.
@helladeogratias7630
@helladeogratias7630 Жыл бұрын
Hii hazina ya nchi tatizo ni matumizi tu. Aliyejua hayo alimtumia vzr kwa mafanikio nchini.
@helladeogratias7630
@helladeogratias7630 Жыл бұрын
Nivigumu kimuelewa huyu ......ni wa daraja la juu sna
@helladeogratias7630
@helladeogratias7630 Жыл бұрын
Ila ni yeye alisema umeme kukatika basi na haukukatika......alikuaga wapi huyu na Sasa anatumikaje nchini licha ya uwakilishi wa Jimbo?!
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Hyu ndo aliazisha mradi wa Rea umeme vijijin
@BoniphacePeter-ih2st
@BoniphacePeter-ih2st Жыл бұрын
Saitetion Index,,, Yaan chukua majilada yako husianisha na rejea za watu wa kimataifa kama zinatumika
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 Жыл бұрын
*Citation
@BoniphacePeter-ih2st
@BoniphacePeter-ih2st Жыл бұрын
Big brein hiyo imeniingia vzr xn
@iamnormal8648
@iamnormal8648 8 ай бұрын
1. Space Science and Technology 2. Seed Science 3. Nano Technology 4. Citation Index 5. Impacr Factor Ukichangia kisomi sana hakuna "Taarifa Mheshimiwa!"
@Benj722
@Benj722 Жыл бұрын
Lakini wewe ulituibia pesa kule kwenye escrow account. Pumbavu kabisa
@asiajuma5560
@asiajuma5560 Жыл бұрын
😂😂😂
@paritsaruni5019
@paritsaruni5019 Жыл бұрын
Vijana wa Mwl. nondo gauge 54 nzito na hoja zao nzito ilosheheni madini ya almasi
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 58 МЛН
DAKIKA 20 ZA PROF KABUDI, WABUNGE WAKIKOSOA KAMPENI YA MAKONDA
21:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 182 М.
Julius Nyerere on the East African Federation (1966)
8:26
AfroMarxist
Рет қаралды 117 М.
TRUTH: Is Raila a CONMAN?
17:58
Herman Manyora
Рет қаралды 24 М.