MCONGO WA SIMBA ACHARUKA SIMBA TUMESHINDA LAKINI TIMU YETU MBOVU/SIMBA HAICHEZI VIZURI

  Рет қаралды 13,136

JEMBESPORTS

JEMBESPORTS

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@billwaltermbilinyi2055
@billwaltermbilinyi2055 18 күн бұрын
Dfm ni kiungo hatari sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 18 күн бұрын
❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 18 күн бұрын
😂😂😂Ubaya Ubwela 🎉🎉
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 18 күн бұрын
Hatari simba
@athumanimtajih
@athumanimtajih 18 күн бұрын
Kucheza vizur maana yake ni nin
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 18 күн бұрын
Tomboka tomboka papa kakipa kangokolo kwasimba hii watakoma
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 18 күн бұрын
MMEANZA UONGO HVY VICHWA VYA HABARI VYA UONGO NN MNATUFUNDISHA?
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 17 күн бұрын
Wachezaji Simba tunaomba wafanye yafatayo. 1. Mazoezi ya chuma za Gyum 2. Mazoezi ya Kukimbia Alaka 3. Mazoezi ya Pasa za Alaka 4. Mazoezi pazi ndefu za Mbele Winga zote 5. Mazoezi ya Kukaba na kuwenda mbere na kurudi nyuma kwa Kukaba kwa pamoja
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 18 күн бұрын
Ayo Tv Akiandika kitu...Ujuwe kimesemwa kweli....Wewe sasa Umeanza kuandika kichwa cha habari kingine kinaongelewa kingine...Uli mb zangu siku nyingine.
@joelmichael9752
@joelmichael9752 18 күн бұрын
Kwan wewe mwandishi hiyo salamu ya kumwambia mtu mzima Heshima yako maana yake nini?
@carolinemasonga163
@carolinemasonga163 18 күн бұрын
Simba nguvu moko 😂😂😂 Ubaya ubwela, Treni ya SGR limewaka likikata breki wapinzani watajuta. 😂😂🎉🎉
@januarysungura8119
@januarysungura8119 18 күн бұрын
Mukwala ni straiker tulie mmiss siku nyingi
@joelmichael9752
@joelmichael9752 18 күн бұрын
Mbona wewe nwandishi unawawekea na kuwalisha maneno watu?Mbona huheshimu taaluma yko?jirekebishe kanjanja wewe!
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 17 МЛН