Mdahalo Bibilia maneno ya nani 11

  Рет қаралды 65,434

YesuHakufa

YesuHakufa

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@ameirhaidar3843
@ameirhaidar3843 5 жыл бұрын
Dah!! Hivi hawa wenye hiki kitabu hua hawayasomi haya maneno ama ndio wanasomewa na napadri na wachungaji....
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 жыл бұрын
qurani ndio ktabu cha mungu tu c bblia
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 3 жыл бұрын
utamu nikua maandiko yalichapishwa yakakauka ata wakristo wakipinga tunajua maandiko hayo yapo,mkijaribu kuyafuta tu tutajua,hahahahahha raha
@aminland8167
@aminland8167 5 жыл бұрын
Max shimba unayoandika wala hayaeleweki soma vizuri vitabu sio kuroboka kama mwendawazimu
@issaally1051
@issaally1051 5 жыл бұрын
Mbona saut ilikata kata hivi Alquran Kareem
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Max Simba Toa Ushahidi Kama Kweli Biblia Ni Kitabu Cha Mungu.
@smartboytz3628
@smartboytz3628 6 жыл бұрын
mimi naitaka hii video sijui naipataje
@muslimschoice2590
@muslimschoice2590 5 жыл бұрын
Download via tube mate download it via opera mini tubemate Then ndio utaweza kuidaunlodi
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 жыл бұрын
c mameno ya mungu hla n ya watu wali buni tu
@mbwanalau57
@mbwanalau57 5 жыл бұрын
Kweli imani inakazi
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Ukristo Ni Janjajanja Tu Wanajifanya Wanajuwa Maandiko Kumbe Hamna Chochote. Mkikaa Na Waislamu Mpo Kama Mkate Ndani Ya Chai.
@martinmule1508
@martinmule1508 9 жыл бұрын
Hawakijui wanachokisema.
@msakuzithomas6797
@msakuzithomas6797 5 жыл бұрын
hawa wapinga kristo ni mashetan na ndo mana mtume wao hakujua kama ataenda mbinguna au jehanam
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 5 жыл бұрын
Beblia iinamtukana mungu ati ni mbubavu ati hayo maneno yamungu mungu atawahukumu kesho kila anaeshika beblia motoo una mgoja mtajuwa kuwa mungu nimpupavu hamujielewe mutajua
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 5 жыл бұрын
Yeso mwenyewe hajui beblia nini yeso ķaacha ijili hamjui mutajuwa na matusi katika beblia mungu eti ako na mke
@asmaabdallah4055
@asmaabdallah4055 5 жыл бұрын
Haaaha mungu wao atakapo kuja atafanya ukahaba msiba huo
@burbiddy316
@burbiddy316 5 жыл бұрын
KAMA BIBILIA IPO SAHIHI BASI ........ UKOO WA YESU NI WAZINAA KWA MUJIBU WA BIBILIA Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba: A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. B. (Qur'an 5:76). B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29). Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake. Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba: 1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1). 2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1). 1 Basi, Yoshua, mwana wa Nuni, akawatuma watu wawili kwa siri kutoka Shitimu waende kufanya upelelezi, katika nchi ile na hasa mji wa Yeriko. Wakaenda, wakafika kwenye nyumba ya malaya mmoja aliyeitwa Rahabu wakalala humo. 3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18). 13Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake, 14-alivua mavazi yake ya ujane na kujifunika shela kisha akaketi penye lango la kuingilia Enaimu, kijiji kilichokuwa njiani kwenda Timna. Alifanya hivyo kwa vile aliona kwamba Shela alikwisha kuwa mtu mzima, lakini yeye Tamari hakuozwa awe mkewe. 15-Basi, Yuda alipomkuta Tamari hapo, alimdhania kuwa mwanamke malaya, kwani alikuwa amejifunika uso. 16-Hapo, bila kujua kwamba huyo alikuwa mke wa mwanawe, akamwendea pale kando ya njia, akamwambia, “Napenda kulala nawe.” Tamari akamwuliza, “Utanipa nini nikikubali?” 17-Yuda akamjibu, “Nitakupa mwanambuzi kutoka kundi langu.” Tamari akamwambia, “Weka rehani kuthibitisha utaniletea huyo mwanambuzi.” 18-Yuda akamwuliza, “Unataka nikupe nini kama rehani?” Naye akamjibu, “Nipe hiyo pete na kamba yake pamoja na hiyo fimbo unayoshika.” Basi, Yuda akampa vitu hivyo vyote, akalala naye. Tamari akapata mimba yake. 4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5). 2-Siku moja, wakati wa jioni, Daudi aliamka kitandani akaenda kwenye paa ya ikulu. Alipokuwa anatembea huko juu, alimwona mwanamke mmoja akioga na mwanamke huyo alikuwa mzuri sana. 3Daudi akatuma mtu kuuliza mwanamke huyo ni nani. Mtu huyo akamwambia Daudi “Mwanamke huyo ni Bathsheba binti wa Eliabu, na ni mke wa Uria Mhiti.” 4-Basi, Daudi alituma wajumbe wamlete. Basi Bathsheba akaja kwa Daudi, naye Daudi akalala naye; (mwanamke huyo alikuwa ndio tu amejitakasa baada ya hedhi yake); kisha akarudi nyumbani kwake. 5-Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema: “Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2). Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu. Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini? Karibuni, Muhammad s.a.w. mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili. Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, pia karibuni katika dini ya Kiislamu. Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni. Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam. Kwahiyo karibuni sana.
@arafatalbrashdi4480
@arafatalbrashdi4480 11 жыл бұрын
Wambie makafiri
@rubensolomon5701
@rubensolomon5701 3 жыл бұрын
i know I'm pretty off topic but does anyone know of a good site to watch newly released movies online ?
@tomaschris3675
@tomaschris3675 3 жыл бұрын
@Ruben Solomon Lately I have been using Flixzone. You can find it on google =)
@ahmadaly5928
@ahmadaly5928 7 жыл бұрын
max shimba kama Wewe umkristo na ukaupenda ukristo basi umepotea yani umelala katika ukristo wamepotea 1WAKORINTO 15:18 halafu Mungu hataki kuimbiwa na nyinyi mnaimba kansni Amosi 5:23.Hizo aya ulizo ziandika kwamba zina pingana hazipingani wewe ni kafiri huwezi kuelewa maneno ya Mwenyezi Mungu soma Mara sabiini na nia ya kuelewa.wachungaji Mungu amewaita mbwa mabubu wanadanganya watu ISAYA 56:9 ukristo si dini ni jina lamtu Yohana 4:25 "anakuja masihi aitwae kristo"brother fikiria sana kabla siku zako hazija isha uwemuislamu acha Kampuni ya wazungu Yesu ni muislamu anasujudu kama tunavyo sujudu sio kupiga makofi na magoti mathayo 4:10 ufunuo 11:1 ukienda kanisani Mungu hakusifu Bali unapatahasara 1wakorntho 11:17
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 6 жыл бұрын
MBONA HUWEKI MAJIBU YA WAKRISTO? ACHENI UJANJA UJANJA KWENYE DINI NYIE
@asadickislamu1928
@asadickislamu1928 7 жыл бұрын
Maxsimba. Biblia inakili kuwa imepotolewa 8;8 Yeremia, Na ndio Maana Mumeluhusiwa kula nyama za Watu Torati 28:53
@fakiabadi270
@fakiabadi270 4 жыл бұрын
My Nana km him bonitos no makeup us way
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Max Simba WAISLAMU Wanataka Aya Wapi Aya Biblia Ni Kitabu Cha Mungu, Wewe Unatoa Aya Za Utata Ndani Ya Qur'an Ndio Utakuwa Umewajibu WAISLAMU???????? Kwanini Mnashindwa Kutetea Hojaaaaaa!!!!!!!!!? Mi Munanikera Mnaojifanya Mnaijuwa Biblia.
@masseanadir2904
@masseanadir2904 8 жыл бұрын
max shimba huna unachokijua ndani ya Quran na ukafuri wako
@Sheba4651
@Sheba4651 8 жыл бұрын
kafiri hana akili
@zamzamsecuritycompany7326
@zamzamsecuritycompany7326 6 жыл бұрын
max shimba huna elimu kwa sababu qur ani inatafsiriwa na Quran au na hadithi sahihi ww huna elimu hiyo umezoea kusomewa maandiko kanisani ndo ukoona uchokonowe huku my frend hutopata maana na hutoielewa Quran mpaka uwe muislam umesoma aya moja katika kila sura lkn twenye elimu nayo tunafaham mungu amekusuduia nn katika aya nyengine za Quran pole sana na hiyo Bible pia hujui unasoma kubishana tu sio kumtafuta mungu wa kweli kwa mfano katika agano ka kale mwanzo 1:26 sikiliza ulie kua unasoma maandiko lkn hufaham andiko ni Bible yako hiyo na si Qur'an mungu anasema na tukamfanya mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu ,wakatawale samaki wa baharin na ndege wa angani na wanyama na nchi yote pia ,na kika chenye kutambaa kitambaacho kwenye nchi,swali kwa mfano wetu na sura yetu je umefaham maana ya mkono na mguu? na nipe andiko kwenye biblia ya constantino aliyo anzisha huu ukiristo kwa mara ya kwanza yesu hayupo na Hilo andiko linalosema mm mungu yesu na krismas asalam alaykum
@zamzamsecuritycompany7326
@zamzamsecuritycompany7326 6 жыл бұрын
mohammed ally ww umezoea kuwasomea maandiko wenzako waachieni wasome wenyewe km mtapata mtu huko kwa kaziw ya shetan mnayoifanya eti mnasema kizazi cha yesu ni vizazi kumi na vinne kwa hiyo uwo uwo utatu uko wapi hapo inamaana hivyo vizazi vyote kuanzia ibrahim mpaka mariam ni miungu kwa hiyo nyny museme babu yake mungu na bibi yake mzaaa mama na baba na mwana eminnnn et yesu ana vizazi lkn hivyo vizazi so mungu umeona wapi samak akamzae bata da!!!
@ahmadaly5928
@ahmadaly5928 7 жыл бұрын
max simba ndo maana nikasema huna akili huwezi kuelewa maneno ya Mungu.wewe unasema kwamba Mungu ana mikono ndo ishakua uislamu au qurani niyauongo? wewe huwezi kuielewa Quran hata chembe.QURAN sisawa na bibilia.Tafuta maana ya ukristo na Uislamu
@Sheba4651
@Sheba4651 8 жыл бұрын
kafiri hana akili
Je biblia ni maneno ya Mungu pt1
54:34
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 3,5 М.
Mdahalo   Bibilia maneno ya nani 1 9
14:23
YesuHakufa
Рет қаралды 60 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 119 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Anastazia Mukabwa & Rose Muhando - Kiatu Kivue
9:06
YesuHakufa
Рет қаралды 55 М.
Rose Muhando - Bahati
15:22
YesuHakufa
Рет қаралды 251 М.
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 2
30:47
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 444 М.
⚡️NEWS | RUBLE COLLAPSE | STRIKE ON CRIMEA | PUTIN IN KAZAKHSTAN
10:34
Ходорковский LIVE
Рет қаралды 190 М.
Mdahalo: Biblia vs  Koran, part 05 of 12
15:01
Michael Mukuni
Рет қаралды 90 М.
SHAFFI OMAR | QURANI NI MANENO YA NANI TZ | DEBATE YA TZ #akashatv #mawaidha
1:35:51
Rose Muhando - Pendo Langu
10:53
YesuHakufa
Рет қаралды 22 М.
kanisa
9:57
911Yohana
Рет қаралды 192 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН