Mwalimu Daniel nakuelewa sanaa sanaaa MUNGU akubariki. Ndacha namkubalii akiwa anawapa somo waislamu na vitabu vyao huko hana mpinzani
@daudimichael733816 күн бұрын
Moderator ako na upande wa Ndacha pia, kwa mtazamo wangu wa haraka.
@nicodemuswidambe513215 күн бұрын
Mmh Ndacha kusema Papa ni mwenyikiti wa Umoja wa mataifa huo ni uongo live duuh!
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@@nicodemuswidambe5132 Tuambie wewe kuna uongozi unaweza kuanza na Katibu mkuu bila mwenyekiti? Kazi ya katibu inaweza kukamilika bila mwenyekiti?
@peterkailibi127818 күн бұрын
Barikiwa mtumishi
@DAVIDMAGHANGA16 күн бұрын
Asante Daniel Una elimu ya Hali ya juu,mwenye akili atakuelewa na anataka kuelewa ataelewa ila mwenye shingo ngumu hataelews
@Karagwe15 күн бұрын
@@DAVIDMAGHANGA unamsifia bule elimu yake Haina faida kama anafundisha matakwa ya wanadamu na si Mungu
@MichaelNtambala-g2r18 күн бұрын
Daniel wee kiboko unatoa vitu vizito huyo jamaa bado anababaisha nimewasikiliza kwa makini ni kweli haelewi uchambuzi wako au?
@japhetndoro653316 күн бұрын
Ndacha barikiwa Sana mtumishi Daniel ww ni shabiki tu
@nicodemuswidambe513214 күн бұрын
@@japhetndoro6533 labda na wewe ni msabato lkn hapa ndacha kachemka!! Daniel kaonyesha kuelewa anachoongea. Tuache kushabikia kwavile we ni msabato.
@EmileClaver18 күн бұрын
Ndacha nimegundua hujui kabisa
@nicodemuswidambe513215 күн бұрын
Hivi uhubiri wa Wasabato nyie ni kuongelea wanyama tu?
@triuneapologeticsevangelis591217 күн бұрын
Kuna maandiko mengi ndacha hawezi kuyaelezea vizuri....wakati mwingine nasikitika nikiona venye yeye ni mwalimu mzuri kwa waislamu lakini Biblia inamlemea sana😮
@EustaKimoshi18 күн бұрын
Mwalimu Daniel unajua ukweli, zidi kutoa elimu
@alexapamo590113 күн бұрын
Shida ya Daniel ni kwamba,hatoi elimu,KAZI ni kupinga chochote ambaye ndacha amefundisha. Jambo la pili na la maana ni kwamba, Danieli haelewi luga ya unabii... Danieli alitabiri vitu ambavyo vitatokea ulimweñguni.. Hapo kwa mnyama ndio Danieli haelewi kabisa.. 1:56:37
@BAYYINATDMTV13 күн бұрын
Unataka niukubali uongo kwamba Papa ndiye mnyama wakati tafsiri inayotolewa siyo ya kweli? Kuna siku yoyote nyinyi Wasabato mliwahi kutoa unabii na ukawa wa kweli? Ipo?
@@BAYYINATDMTVMathayo 11 13 Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
@paulmutuajustus527722 сағат бұрын
@@BAYYINATDMTVMathayo 11 13 Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
@nicodemuswidambe513215 күн бұрын
Mwenyekiti ndo mpagani wa kwanza.
@JosephErasto-yp6mh15 күн бұрын
Mwakemwa anadanganya kuhusu Christmas kwani kwa mjibu wa Biblia Luka 1:26. Mimba ya Yesu inakaa tumboni miezi Tisa sasa je Yesu alizaliwa mwezi wa Ngapi?
@tirox-hm7rh14 күн бұрын
Ninaamini kwa kusema Mwakemwa amedanganya maana yake wewe unaujua ukweli. Tafadhali tusaidie Bwana Yesu alizaliwa lini?
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@tirox-hm7rh Rafiki Biblia inasema. Kumbukumbu la Torati 29:29 [29]Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii. Sasa Rafiki elewa kiurahisi kwani ni Rahisi Sana kuelewa kuwa. Biblia haijataja mahali popote Tarehe halisi ya kuzaliwa kwa Yesu. BADALA yake imekaa kimya ila ni kwamatakwa ya Binadamu alitangaza sikukuu ya kusherehekea jua KUWA ya kuzaliwa kwa YESU ndio maana Christmas ilianza kusherehekewa karne ya 4, Je hapo kabla kwa nini hakukuwa na sikukuu ya Christmas?. Tena unapaswa kujua kuzaliwa kwa YESU Mbinguni malaika waliimba lakini Duniani iliambatana na machinjo makuu
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@tirox-hm7rh Nikuulize swali ikiwa Biblia katika Luka 1:26---- imedhibitisha kuwa mimba ya Yesu ilichukuliwa mwezi wa Sita basi lini miezi Tisa ilitimia? Au Yesu alizaliwa akiwa kabichi miezi 6?
@JosephErasto-yp6mh15 күн бұрын
Mwakemwa anatoa tafasri za kikatoliki haswa lakini lini Alexander alitawala mda wa siku 1260? Ili huyu awe pembe ndogo ya danieli 7
@ndeniUrasa18 күн бұрын
Ndacha sijawahi kukuona ukihubiri injili kazi yako kubwa ni midahalo na waislam sasa umerudi kwa wakristo je ndicho umeitiwa? Nakushauri achana na midahalo hubiri injili japo unaona uko sahihi shetani amekukamatia hapo. Yesu hakushindana alihubiri acha ujuaji usiozaa matunda
@LaughKey-f8x18 күн бұрын
Mbona Ndacha anahubiri Kila siku wee ndo hujui angalia mafundisho wakati alikua meru before apate accident
@YudaNtemi16 күн бұрын
Hawezi kuzaaaa matunda walishafeliiiiii
@venancemwakibete976318 күн бұрын
Ndacha kwa elimu ya vitu hivyo huna elimu navyo ni mwingi ni mpotoshaji kabisa
@JosephErasto-yp6mh15 күн бұрын
Mwakemwa anadanganya kwa kusema Papa sio mpinga Kristo badala yake pia ameshidwa kutoka mnyama ambae ni wa ufunuo 17.
@nicodemuswidambe513214 күн бұрын
@@JosephErasto-yp6mh Kama wewe umedanganywa na wasabato wenzio labda, nyie ndo wapinga Kristo kwanini hamuweki msalaba si kanisani wala kanisani nyie hamjijui ndo wapinga kristo wa kwanza.
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@nicodemuswidambe5132 Rafiki kwani msalaba umeanza kutumika ndani ya kanisa au upaganini kwa warumi? Kumbuka warumi ndio ili kuwa serikali simamizi wakati wa mateso ya Yesu hivyo walitumia msalaba iliyokuwa zana yao ya kutesea ili kumtesa Yesu. Pia kumbuka hata wevi nao waliteswa msalabani na hii inamaanisha msalaba sio "ishara ya ukombozi" Bali ili sisi tuwe na uhakika wa ukombozi WETU ni kwa Yesu kufufuka. Pia Kama wajua niambie historia ya matumizi ya msalaba kanisani yalianza lini?. Hii itakupeleka wakati upagani ulipoungana na Ukristo yaani wakati wa Constantine ndipo msalaba unatumiwa kanisani. Sasa kabla ya hapo walikuwa wanatumia nini?
@BAYYINATDMTV14 күн бұрын
Kuna aya yoyote imetolewa Papa ni Mpinga Kristo?
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@@BAYYINATDMTV kuna vitu ambayo hutavipata vikiwa vimetajwa moja kwa moja kwenye maandiko BADALA yake tunavipata kutokana na mfungu yanayozungumzia mambo kwa ujumla. Mfano hutapata FUNGU ndani ya biblia likisema moja kwa moja kuwa "Yesu ni nafsi ya pili ya Uungu"* lakini tunaamini hivyo kwa Yesu anao Uungu.
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@@BAYYINATDMTV vivyo hivyo kwa swala zima la Mpinga Kristo, Biblia imetumia mafumbo ya kinabii kulizungumzia hivyo inahitajika kuwa ili kulifaham tufumbue mafumbo hayo ambalo sasa ukiisha yafumbua sifa Zote za Mponga Kristo zinabakia kuwa ni Ukatoliki chini ya Papa.
@V24hrs18 күн бұрын
😂😂😂😂 nimecheka sana
@Hanssimpson-ln6zs16 күн бұрын
kwn siku inaanza saa ngap
@JosephErasto-yp6mh15 күн бұрын
Mwakemwa naona ni msomi na amesomea ukatoliki wa kupinga Biblia.
@uwezoibucwa163718 күн бұрын
Amani ya Bwana iwe nanyi
@YudaNtemi16 күн бұрын
Ndacha Bonge la LIONGO…. Wadanganye wasabato tu UF17 mwanamke kahaba aliyetajwa hapo sio kanisa soma UF 17:18
@daudimichael733816 күн бұрын
Kwahiyo kwa conclusion Ndacha kakubali mnyama siyo Papa. Kaishia kuomba tu mdahalo wa kuulizana maswali tu ya papo kwa papo. Hii mada ya leo kanyoosha mikono, sasa sijui atafanyaje na wafuasi wake, ataacha hayo mafundisho yake ya papa ndiyo mnyama, au ataendelea kudanganya hivyo hivyo.😂😂😂
@AzizihFarijala18 күн бұрын
Ndacha hasikiki kabisa
@uwezoibucwa163718 күн бұрын
Mwalimu Danieli uwe makini kufuata misemo ya ndacha maana unakwenda tofauti sana
@BAYYINATDMTV18 күн бұрын
@@uwezoibucwa1637 kwenye nini?
@zebrakacole582217 күн бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki sana, wewe nikinwa chaneno la Mungu la kweli, huyo ndugu yetu Mwankemwa anasikitisha sana😂, hajuwi ukweli amesha lewa mvinyo wakikombe cha Pop, pop ndiye mwenyekiti wawachawi ulimwenguni. Mwankemwa nenda ukabatizwe ku SDA haraka, umepotea mwankemwa, mtoto wa pop
@gilbertelking991917 күн бұрын
Dini ya Ellen G .White ndio inakusumbua wew ,wapi kwenye bibilia pameandikwa SDA
@YudaNtemi16 күн бұрын
Umelewa Uongo wa ELLEN WHITE😂😂😂😂.hapo Ufunuo 17 ndacha anasema mwanamke ni kanisa…….Uongo wa waziiiiiii soma Uf 17:18 imeelezwa vzr huyo mwanamke ni nani……NIMEAILISHA KUA MSABATO
@nicodemuswidambe513216 күн бұрын
Mwl Ndacha haelewi kitu hapo ila sababu we msabato endelea kumsapoti ila kwa hili hamna kitu. Huwa na mwelewa akiongea juu ya waislamu hapa kachemka!!
@nicodemuswidambe513216 күн бұрын
Acha kukashifu imani ya watu. Usitukane kwani wengine nasi tunaweza kutukana imani yako ukajisikia vibaya. Acha!!!
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
😂😂😂
@JoakimMacho15 күн бұрын
Mwalimu Daniel, anafundisha na hasira kweli kweli.🤔🤔
@BAYYINATDMTV15 күн бұрын
@@JoakimMacho hasira ziko wapi?
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@@BAYYINATDMTV Hasira zako ziko kwenye hisia zako. Rafiki twende taratibu tujifunze biblia na Biblia pekee
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
Mwalimu Dan jitahidi kumudu mazungumzo yako tusikufikilie kuzani unaongea kwa hasila
@mbukumagiubukumagu40618 күн бұрын
Ndacha waislamu hawapo katika chapa ya. Mnyama
@nicodemuswidambe513216 күн бұрын
Kuhusu krismasi Ndacha umefundishwa kwanini December, mbona kaeleza wazi? Tabu unataka uliyo nayo tuamini kama kweli!
@BAYYINATDMTV14 күн бұрын
Tukitafsiri unabii wa Maandiko kwa mtindo huo, mbona sifa zote za Mpinga Kristo zinamuangukia Ellen White? Na tayari nilikwisha thibitisha kimaandiko. Kwa hiyo tuna Wapinga Kristo wawili, mmoja ni Papa na mwingine ni Ellen White. Nimekuelewa.
@daudimichael733816 күн бұрын
Halafu Ndacha hana utulivu, mwenzake akiongea yeye anasogoa na watu wake, hata hasikilizi. Ana tabia kama ya Waislamu
@DAVIDMAGHANGA16 күн бұрын
Mwamkemwa Una elimu ya MUNGU ndani yako hata kama hawaelewi kumbuka ni nyumba ilioasi
@EspoirNshokano18 күн бұрын
Mimi nasikitika sana kusikia kwa mwlm Mwankemwa kusema kama mnyama wa 4 ni Alexander. Sasa na mnyama wa 3 ni nani? Mnyama mwenye pembe 10 ni tofauti na ufalme wa uyunani. Chui mwenye vichwa 4 ni ufalme wa uyunani kweli, lakini mnyama wa 4 ni Roma, katika Roma kulitoka ufalme 10 na baadaye kukatoka ufalme mwingine tofauti na wale 10 wa kwanza, ule ufalme tofauti ni Upapa, siyo papa. Kumbuka upapa ulikuwa na mamlaka ju ya dunia na ju ya serkali za dunia. Ukisema ufalme wa 4 ni uyunani utakuwa umepotosha
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
Wapi paliposema Upapa ni Ufalme?
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
Ni mwaka gani Upapa ulikuwa unaitawaka dunia?
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
Shida moja mnachanganya sana habari za Uroma wa Kikaisari na Roman Catholic kama dhehebu la kidini. Ndiyo maana mnashindwa kufikia hitimisho sahihi katika unabii
@EspoirNshokano17 күн бұрын
@BAYYINATDMTV yeye alisema ufalme ni Roma na roman empire ndiyo ilizaa upapa. Ndivyo mimi nimesikia
@LIZYDUNSTAN17 күн бұрын
Daniel haujui kabisa unabii kalale kaka
@YudaNtemi16 күн бұрын
Msikilize ndacha anasema mwanamke ni kanisa anatoawapi hyo tafsiri??????? Soma UF:17:18 ujue mwanamke huyo ni nani biblia imeeleza bayana hapo kanisa haliingiiiii
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
Misunderstanding
@ChangaraweMichael18 күн бұрын
Yesu alipokuwa na umri wa miaka 12 Luka 2:42 sasa uo umri ulitokea wapi?
@Karagwe18 күн бұрын
Yesu alizaliwa msimu mpya na mwaka mpya ndio maaana kila hesabu ya miezi na mwaka ilibadilika au hujui hilo
@harrisoncharo-qz3vz17 күн бұрын
@@Karagwe tua andiko tusome
@KabikaBienvenu16 күн бұрын
Jambo walimu wote
@DimaDaro-ts1kq17 күн бұрын
Ni dini Gani iliwahi kupiga sanamu marufuku kama sio uislamu,kwa hivyo ndacha kama umechanganyikiea ongea lugha Yako ya mama ,sote tumegundua kwamba unasumbliwa na lugha
@ismailsanga919013 күн бұрын
Mwakemwa hamuna kitu maana unapinga na hufundishi yaan inaonekana unabii hujui
@triuneapologeticsevangelis591217 күн бұрын
😂😂😂hiyo kiburi imekua exposed vizuuuuri
@SeifumpeliMpeli17 күн бұрын
Hizo picha mnatoa wapi nyie makafiri
@YudaNtemi16 күн бұрын
Wanajifanyia SANAMU😂😂😂
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
Mnafikara fupi sana
@gilbertelking991917 күн бұрын
Bora hiyo sheria ipite mana naona wasabato wamezidi kuwa wachochezi ,wanaona kila kitu wanajua ilihali hata Elen G alijifunza kwa wengine
@Karagwe18 күн бұрын
Hakuna tarehe Kwa bibilia
@YudaNtemi16 күн бұрын
Wayahudi wanasema hadi leo Masihi hajazaliwa Si kazi yetu ni kuwatangazia kua ALIZALIWA KWA VYOVYOTE VILE……..
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
😂😂😂😂
@KabikaBienvenu16 күн бұрын
Nataka kukuliuliza mwalimu mwamkwema wapi katika bibliya yote kwenye andiko Moja linasema yesu amezaliwa tarehe 25 ya mwezi wa Kuni na mbili?
@nicodemuswidambe513216 күн бұрын
We huelewi alisha fundisha hilo. Lipo wazi mbona?? Kama hujaelewa tukueleweshe. Kwani wapi pameandikwa SDA? Hiyo ni hoja ya kitoto. Kwani unaposema mwaka 2024 ulitokea wapi??
@nicodemuswidambe513216 күн бұрын
Ndacha huwa nakuelewa lkn hapa mmh umechemka bro!!
@HassanSalim-hl8qs15 күн бұрын
Uislam unawauma sana jadilianeni wenyewe makafiri mwatuingiza na sisi Uislam Khabari nyingine?
@petromachanga553816 күн бұрын
Ndasha anasoma jujuu tu
@ndeniUrasa18 күн бұрын
Wewe Ndacha muda unaotumia kwenye midahalo ni mwingi Sana utakuja kudaiwa Yesu alihubiri injili na aliepuka mashindano wewe ni kiongozi wa mashindano yasiyo na maana what is your problem
@uwezoibucwa163718 күн бұрын
Hakika walio chini ya imaya ya Rumi wamtetea rumi kwa kukusudia
@DieulaMasika-h8f16 күн бұрын
Mupeni mwakemwa maji, amerogwa n'a papa, haelewi chochote.shetani amemwikalia
@mbukumagiubukumagu40618 күн бұрын
Yesu hakuzaliwa december 25 Ndio maana hukuhudhuria Mwankema
@harrisoncharo-qz3vz18 күн бұрын
Twambie wewe alizaliwa ama shidayako iko wpa kama malaika wenyewe watakatifu walisherekea siku ya kuzaliwa wewe ninani ushisherekee kuzaliwa kwabwana Yesu christo🎉🎉
@johnmayunga444518 күн бұрын
Sema ww alizaliwa tarehe Gani?
@PascalMabeyo18 күн бұрын
@@johnmayunga4445hawezi kujibu
@Karagwe17 күн бұрын
@harrisoncharo-qz3vz mtu aliye komaa kiroho Huwa hatoi matusi sawa Inamaana wewe bado m mchanga sana kimaandiko hivo jifunze sawa Bibilia haina tarehe hiyo na mwez huo na haijatoa maelekezo kuhusu kuitafuta hiyo tarehe Wala mwez Sawa Kwahiyo usiongeze Wala kupunguza Sawa
@harrisoncharo-qz3vz17 күн бұрын
@Karagwe kwako wewe ni matusi kwasababu hutaki kuelewa yesu anasema mkutanapo wawili wataku kwajina langu mm nko kwahivyo christmass tunakusanyika kwahina la bwana yesu kristo uruke juu ushuke jini lazima tusherekee wenye wanambika n wtu w SDA yani wtu w sabato ambao yesu alipokuja dunian walikua na ugumu kuamini hata leo😐😑
@triuneapologeticsevangelis591217 күн бұрын
Hicho kicheko cha Ndacha kinaonyesha wazi ile attitude ako nayo kwa protestant na Catholics.yaani ellen G white alipoteza sana
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
@@triuneapologeticsevangelis5912 Hajui kwamba anadharau imani isiyoweza kudharaulika na wala hawezi kuishinda kwa hojaza Kimaandiko.
@triuneapologeticsevangelis591217 күн бұрын
Nilikua nafuatilia sana, lakini wakati alianza kushambulia utatu kwa kifua na kulinganisha na upagani wa kiislamu , utafsiri wake wa Daniel ... Siwezi kuskiza mafunzo yake labda debates na waislamu
@triuneapologeticsevangelis591217 күн бұрын
Mungu akubariki sana mwal Daniel kwa mafunzo Yako. Wenye akili wameona hoja
@nicodemuswidambe513215 күн бұрын
Ndacha ulizaliwa tarehe ngapi? Na hiyo tarehe uliipata wapi? Huo mwaka uliozaliwa ulianzia wapi??
@BAYYINATDMTV15 күн бұрын
Hilo hawezi kujibu anajua kupinga tu
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
😂😂😂 mnatka kusema mzazi wako aliotea tarehe yako
@uwezoibucwa163718 күн бұрын
Namuuliza mwankemwa utuambie Alexadre alukua mfalme wa wapi 1 Babele 2umedi na uajemi 3Ugiriki 4Rumi
@YudaNtemi16 күн бұрын
UYUNANI………
@tirox-hm7rh14 күн бұрын
Alikuwa mfalme wa Macedonia iliyotawala maeneo ya ugiriki, uajemi na maeneo ya bara hindi
@enochonsomu192417 күн бұрын
Uo wote ni unabii na unatimia pole pole
@uwezoibucwa163718 күн бұрын
Ninawafatilia kutoka USA
@petromachanga553816 күн бұрын
Ndasha ni makelele tu
@mbukumagiubukumagu40618 күн бұрын
Ndacha yupo sahihi kwa Mwankema hataki kujifundisha yeye kapinga tu na hatoi mandiko ndio maana waislamu hawataki mdahalo naye.
@PascalMabeyo18 күн бұрын
Ndacha kwa mada hii hadi aibu…kagaragazwa vibaya mno!
@celestinshayo729517 күн бұрын
Waislamu hawataki midahalo na Mankemwa ama wanaogopa kufanya naye midahalo ?
@petromachanga553817 күн бұрын
Helen muongo
@YudaNtemi16 күн бұрын
Ajifunze nini Ndacha anasema UONGO eti mwanamke ni kanisa…..Kasome UF 17:18 ujue mwanamke aliyesemwa hapo ni nani
@gilbertelking991916 күн бұрын
Kwani cheti yako ya kuzaliwa mwlm ndacha kimeandikwaje?
@petromachanga553814 күн бұрын
Ndasha hajasoma
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@@petromachanga5538 wewe Kama umesoma au Kama unakubaliana na mwakemwa, tuambie ikiwa ufunuo 17 inazungumzia makaisari ni kwa namna gani makaisari walikuwa "Mama wa Makahaba na Machukizo ya nchi?"
@BAYYINATDMTV14 күн бұрын
Kaisari ni kiongozi wa Serikali na Nchi inabeba kisifa cha mwanamke.
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@BAYYINATDMTV "nchi inabeba kisifa cha mwanamke" kivipi? Lakini tutumie maandiko
@BAYYINATDMTV14 күн бұрын
@JosephErasto-yp6mh kwako ipi ni sahihi: Tanzania and her people au Tanzania and its people. Ipi kwako ni sahihi kati ya sentenso hizo mbili.
@JosephErasto-yp6mh14 күн бұрын
@@BAYYINATDMTV Rafiki sahihi hapo ni "Tanzania and her people" swali linalobaki ni hili Je hiyo ni kwa mjibu wa Maandiko au ni utaratibu wa Ulimwengu? Tusitumie hisia wala mtazamo wa waliowengi Bali Tutumie kile kinachotokana na Maandiko
@uwezoibucwa163718 күн бұрын
Sherehe inafanyika mbinguni na malaika pale anapo hokolewa mtu kama hakuna hokovu Duniani mbinguni kuna kuwa kimya Habari njema ni neno la wokovu ambalo linahubiriwa kwa watu
@AjAj-v6s18 күн бұрын
😢
@richardmjema832118 күн бұрын
Tupe andiko ikawa jion ikwa asubuhi siku ya kwanza inakuaje sikuiaze sasita
@harrisoncharo-qz3vz17 күн бұрын
@@richardmjema8321 kama utaenda hivyo basi toa saa kwenye simu yako basi
@richardmjema832118 күн бұрын
Daniel wew unaenda kimwili na unazani wew unauzima kwahayo unayato kijaziba wewe
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
Ila mkitaka kutudanganya kwamba Papa ni mnyama wakati hamna andiko tuwakubalie tu ili tuonekane ni wa rohoni?
@AjAj-v6s18 күн бұрын
Yesu atarudi na cha Kwanzaa atavunja misalaba na hatahuwa nguruwe yesu ni Muslim nyinyj watu wakuonewa huruma
@PascalMabeyo18 күн бұрын
Yesu ni Mungu siku ya mwisho hawezi kuua nguruwe umedanganywa…nguruwe kawafanya yeye mwenyewe halafu eti tena siku ya mwisho awauwe! hivi inaingia akilini kweli?
@harrisoncharo-qz3vz17 күн бұрын
@@AjAj-v6s sema isa wenu Sio yesu wetu yeye ndie njia na kweli🎉🎉
@YudaNtemi16 күн бұрын
Waislamu wanakula Nguruwe huku wapo kama woteee😂😂😂😂
@daudimichael733816 күн бұрын
Kama Roma ni Papa, je Papa ndiyo alivunja hekalu kule Yerusalemu mwaka wa 70?
@uwezoibucwa163718 күн бұрын
Akioko alikuwa mwanamke je? aliye panda mnyama na kikombe mikononi mwake mbona mmemsahau
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
Muweke wewe. Unafikiri kujichorea picha na kuitafsiri unavyotaka ndivyo itakuwa tafsiri kwa wote?
@YudaNtemi15 күн бұрын
@@uwezoibucwa1637 Mwanamke kahaba kaelezwa vizuri UF 17:18 ni mji Mkubwa…….Ndacha anasema kanisa tatoa wapi hyo tafsiri?????
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
Dan ungemjibu tu kunashida
@DimaDaro-ts1kq17 күн бұрын
Kumbe wao kwa wao wenyewe hawakubaliani, innalillahi wa inna ileyhiraajiuwn
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
@@DimaDaro-ts1kq kama vile madhehebu 73 ya Kiislamu yasivyokubaliana.
@harrisoncharo-qz3vz17 күн бұрын
@@DimaDaro-ts1kq kwani pia nyinyi waslam mwalewana kwenye kusherekea maulidi ama ninyani hauni kudule
@0badiaMwasongwe-rt1wr17 күн бұрын
Hujui kitu ungejua hata waislamu hawakubaliani hata kidogo ungejua.hata Quran ilichomwa moto ikaandikwa tenaa
@DimaDaro-ts1kq17 күн бұрын
Kwani huyo ndacha kweli amewahi shule
@harrisoncharo-qz3vz17 күн бұрын
@@DimaDaro-ts1kq dacha hua mubishi kwenye majadiliano baina ya wakristo kwa wakristo kwasababu mahubiri yao danieli 7 hoo munyama sijui vichwa7🤣🤣
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
Sema hujui tu
@Karagwe18 күн бұрын
Tarehe ya kubuni mwez wa kubuni
@harrisoncharo-qz3vz18 күн бұрын
@@Karagwe sasa toa tarehe sahihi kimbelembele
@YudaNtemi16 күн бұрын
Buni na ww
@tibwomucharles32917 күн бұрын
Mwamkemwa is just possessed. For he is reading verses upsidedown.let him come back to his senses.
@YudaNtemi15 күн бұрын
Mimi nina swali kwa Walimu wote wawili Mnyama wa nne wa Daniel 7 ni sawa na Mnyama wa kwanza Ufunuo 13:1-10???????? NAOMBA KUJIBIWA NA WALIMU WOTE WAWILI.
@BAYYINATDMTV15 күн бұрын
Siyo mmoja
@YudaNtemi15 күн бұрын
@ Na wewe ndacha jibu swaliii
@YudaNtemi15 күн бұрын
@ Ndacha haelewi hiloo na akimaliza hapo anamchanganya tena na mnyama wa UF13:11……. mwenye namba 666 Yaani anasena Pembe ndogo….Papa Jeraha likapona…..Papa 666…………………….Papa Mimi sijui kutafsiri tu lakini nikiwadoma kila mmoja na wakati wake na sifa zake
Hivi mwalimu Daniel kuna vitu muwe mnavitetea viwe na uhalisia japo kidogo. unaposema Yesu alipotahiriwa ndo mwaka mpya ukianza pale umetulia kigezo gani kutoka hiyo tafsiri na unarudi nyuma siku 8 ukapata aliyozaliwa ni tarehe 25 lakini umetumia kalenda yenye mwezi wa 12 ukiwa na siku 31, je kipindi hicho siku zilikuwa ni 31 au 30 kwa mwezi wa 12 kalenda ya kiyahudi. Pia wewe unasoma ufafanuzi kupitia impremanto hivi unafikir watakutajia papa ndo mnyama, mbona n vichekesho nikajua umesoma historia kuhusu wakina Nero 😂
@PascalMabeyo18 күн бұрын
huna lolote wewe ni wale wale wa hellen g.white
@BAYYINATDMTV17 күн бұрын
Wewe hujui kwamba kalenda ya Julian isiyo ya Kiyahudi ilikwisha kuwepo tangu mwaka 45 KK? Halafu unasema nimesoma fafanuzi kutoka Imprimatur na kwamba wasingeandika kwamba ni Papa, mbona haujamlaumu Mch. Francis Ndacha aliposoma Biblia ya Kiafrika ambayo nayo ni ya Kikatoliki? Uwe fair
@jofreymlowoka79724 күн бұрын
Oohhh kumbe ni weke nikuweke ukisema uongo na wewe unasemauongo
@Karagwe18 күн бұрын
Daniel kama uko dar es salaam kwel naomba sana tuonane ana kwa ana ili tufanye mdahalo wa kielimu kuhusu neno la Mungu
@BAYYINATDMTV18 күн бұрын
@@Karagwe kuhusu mada gani?
@0badiaMwasongwe-rt1wr16 күн бұрын
Sema mada ganii??
@BAYYINATDMTV16 күн бұрын
@@0badiaMwasongwe-rt1wr wewe ndiye umetaka mdahalo. Unataka tufundishane kuhusu nini
@nicoart506314 күн бұрын
@@BAYYINATDMTVwatu wanashangaza sana , wanaomba mdaharo na hana mada 😂
@gilbertelking991916 күн бұрын
Kwani cheti yako ya kuzaliwa mwlm ndacha kimeandikwaje?