#MDAHALO

  Рет қаралды 3,145

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@mussakalaja3052
@mussakalaja3052 16 күн бұрын
Hongera saaana Mwankwema tunakupata vizuri saaaanaa. Unajua Historia vzr.
@countercheck887
@countercheck887 19 күн бұрын
Mwl Ndacha barikiwa kwa kutuelimisha haya, maandiko unayaeleza kama ilivyo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@alexmukama3801
@alexmukama3801 19 күн бұрын
Sir ndacha you're right twashe ushabiki ukonasema ukweli ju unatumikisha maadiko
@MagesaNyamuhanga
@MagesaNyamuhanga 16 күн бұрын
Mwalimu Ndacha unayosema nikweli mungu akubaliki uendelee kuwafundisha kuna madhehebu mengine ayajui kufundisha unabii wasabato ndo wenye elimu ya unabii
@peterndungu6980
@peterndungu6980 18 күн бұрын
Mwalimu mwankemwa ameshaa kunywa mvinyo wa yule mwanamke na ghahabu yake nashukuru sana watumishi wenzangu
@BenatdOnjiko
@BenatdOnjiko 17 күн бұрын
Hongera mwalimu Ndacha
@PascalMabeyo
@PascalMabeyo 18 күн бұрын
Mwenyekiti mzushi kumbe! Kamalizia mjadala kizushi na kishabiki
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 19 күн бұрын
Mwakemwa Daniel hawezani na somo la Unabii wa Dan7,Rev14:9,13,17 na12 anababanya maneno Ni vyema Moyo wa kunyenyekea ujifunze ndugu.alafu somo lako wafunza ukiwa na Jazba au nini?
@petromachanga5538
@petromachanga5538 10 күн бұрын
Daniel mkono juu
@mjcqueen2145
@mjcqueen2145 18 күн бұрын
yeye ndiye kiongozi mukubwa ulimwenguni kweli mwalimu Ndaca aongeya kweli
@mosesmungai3986
@mosesmungai3986 18 күн бұрын
Mwankemwa una quote makabayo. Si hiyo ni proof tosha kwamba mko katika hemaya ya katoliki😀😀 unafundisha
@samuelonkware2394
@samuelonkware2394 18 күн бұрын
Pagan Rome split into ten small kingdoms by the year 476 AD. The years which followed saw cracks in the holding together of the units whereby in due course, the bishop of Rome was gaining influence. By the sixth century, the reigning king of pagan Rome, Caesar Constantine, moved the capital of the empire from Rome to Constantinople. This allowed the bishop of Rome to assume headship of Rome. The three units of the divided Roman empire which opposed the bishop of Rome, indeed got routed out, enabling the bishop of Rome to head the remaining seven entities.
@mosesmungai3986
@mosesmungai3986 18 күн бұрын
Mwalimu Daniel kanichanganya hapo...
@alexmukama3801
@alexmukama3801 19 күн бұрын
Mimi nilikuwa na penda muwelewani kabisa muwalete waeslam nyiyi munaelemu kabisa pls
@mosesmungai3986
@mosesmungai3986 18 күн бұрын
Na huyu mwakemwa hasikilizi
@petromachanga5538
@petromachanga5538 10 күн бұрын
Hahahaaaa ndasha kelele tu
@danielkamau2987
@danielkamau2987 18 күн бұрын
Pope ako na nguvu sana kwa United nations role yake inaitwa Permanent observer,chochote UN inafanya ata kukataa ata kuwakatasha ako na nguvu hio..na kila kitu ata waki vote kito influence yake yaweza geuza vote..
@alexmukama3801
@alexmukama3801 19 күн бұрын
Sir Daniel you know but you can ucruise knowledge pls mwalimu sio makosa kujifuza
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 17 күн бұрын
Uyu mwamkemwa ivi anajiita mwalimu huur ualimu aliupataje?? Du anapoteza wengi sana
@alexmukama3801
@alexmukama3801 19 күн бұрын
Mwashe mumbo ya kukongotana yesu alituma watu ku preach gospel to
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 19 күн бұрын
Acts17:2
@mosesmungai3986
@mosesmungai3986 18 күн бұрын
Uongo mwalimu Daniel... Hapo kwa Daniel 8:8 huyo beberu biblia yenyewe imejielezea na imesema sio mnyama wa nne... Ilhali imesema ni mnyama wa tatu kwa kulinganisha na Daniel 7 kwa maana danieli 8:21 inasema kwamba huyo beberu ni ufalme wa uyunani( greece). Kwa maana kama historia yako unasema ufalme wa Greece ni utawala wa tatu wa dunia, basi Daniel 8:8,21 inauelezea kama ufalme wa beberu mbali sio ufalme wa nne. Wacha kutudanganya
@petromachanga5538
@petromachanga5538 10 күн бұрын
Hahahaa mashine ya DA resalam inasigina
@edwardmugendi1190
@edwardmugendi1190 18 күн бұрын
sijui anaongea manini haya mwankemwa aloo anaharibu kila kitu maana yake anaumiza watu wengi wanao msikiliza
@jeffrankjeff1433
@jeffrankjeff1433 18 күн бұрын
Unatumalizia bundles tukingoja kukuelewa na hatukuelewi mwalimu. Kwanza unaharibu mda bila hata kusema point hata moja yenye kueleweka eeh!!
@vicentmisiru6970
@vicentmisiru6970 18 күн бұрын
Huyu mwl Daniel cjui anaongea nn kwanza cjui hata aliempa hili jina make ni mweupe pee kama unga wa ngano
@OlivierBaramu
@OlivierBaramu 18 күн бұрын
Sasa huyu mwenye anakana aseme papa haiko njoo mwenye anakomaliya kitu ya duniani, n'a muuliza ivi kwanini kila président yoyote akisha chaguliwa inamupasa kwenda ona papa hapo hajuwe kuna jificha nini
@whajavfsb5154
@whajavfsb5154 18 күн бұрын
Mwankemwa hamna kitu anajua ni kelele tu
@yakubuluoga8394
@yakubuluoga8394 15 күн бұрын
Romani katoriki ndio zehebu mama katika ukristo na ukristo umeenezwa na hao duniani kama romani katoriki awako sawa basi imani ya kikristo na mazehebu yake yote ni uwango pia ata ukristo wenyewe aujatokea kwa yesu na wala yesu ajawai kuuhubili mpaka anaondoka duniani
@petromachanga5538
@petromachanga5538 10 күн бұрын
Sawa warum 1:7_10
@Kisigino
@Kisigino 18 күн бұрын
Ila Mwankena kama mimba ya YESU kristo ilichukuliwa mwezi wa sita na kuzaliwa mwezi wa 12 je YESU kristo mimba yake ilikua kwa miezi 7 je Yesu kristo alizaliwa kabla ya mda wake???
@alexmukama3801
@alexmukama3801 19 күн бұрын
Ndacha what you're saying is truth bcs you're using the scripture..ukonatumikisha maandiko niukweli
@jeffrankjeff1433
@jeffrankjeff1433 18 күн бұрын
Daniel fundisha wacha kuongea ni kama unamusdhibu ndacha, tunangoja kukuelewa wengi wetu hapa ila haueleweki kabisaa, 😂 aaah buana mwankemwa mbona unajichanganya hivii??? Mara mnyama mwenye meno ya chuma amegeuka kuwa beberu tena, je watu wanafaa kukufuatilia kweli wewe, ila usiwe wewe ni kama agent ambaye umetumwa kumfanyia kampain yule muasi, hebu jaribu kuwa mkweli tafadhali unapotoshaa
@PascalMabeyo
@PascalMabeyo 18 күн бұрын
Danieli yuko vizuri mno
@mosesmungai3986
@mosesmungai3986 18 күн бұрын
​@@PascalMabeyo ila hafuati biblia. Alisema Daniel 8 ati huyo beberu ni kama mnyama wa nne wa danieli Saba. lakini hapo sio kweli. Mnyama wa nne danieli Saba ana pembe kumi, tena pembe mmoja akatokea akang'oa tatu. Lakini Daniel 8:8 huyo beberu ana pembe moja tu
@PascalMabeyo
@PascalMabeyo 18 күн бұрын
Kinacho msumbua ndacha ni mafundisho ya chuki ya theology ya kisabato aliyo yaanzisha hellen g.white
@mjcqueen2145
@mjcqueen2145 18 күн бұрын
shalom nami niko na video ya huyo popo kzbin.info/www/bejne/r2qvlItrea-qqaM
@mosesmungai3986
@mosesmungai3986 18 күн бұрын
Na wewe mwalimu daniel unasona kitabu cha makabayo na ni cha kikatoliki. Sasa unangoja katoliki kama wao ni mnyama wa nne wajiandike hapo kwamba wao ni mnyama wa nne?😂😂😂. Ni kama kutafuta mbuzi na aliyeikula😂😂
@RaamaNyigo
@RaamaNyigo 17 күн бұрын
Mwankemwa tuliza akili ujifunze wewe mzee, alafu eti unaanini kitabu cha Makawao, na unakataa insaikropidia, tukueleweje, ?
@PascalMabeyo
@PascalMabeyo 18 күн бұрын
Kwa hiyo wewe ndacha unataka kutuambia Biblia imedanganya kusema Yesu alitahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa?
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 17 күн бұрын
Yesu alipofanyika mwili alilala alikula vyote hivyo
@topadvisor1014
@topadvisor1014 18 күн бұрын
ndacha hawezi kubali hana hoja. otherwise akikubali kushindwa hii topic atasema nini na mambo ya trinity which is his main agenda against everyone 😅
@messiahistheonlyway...3365
@messiahistheonlyway...3365 17 күн бұрын
😅😅😅
@jeffrankjeff1433
@jeffrankjeff1433 18 күн бұрын
😂😂😂😂 ndacha ako na kiburi tena, waah mwankemwa tufunze ukweli wacha kuteta mkosoe ndacha kwa maandiko na upunguze kitufundisha akili zako tufunze Bibilia tafadhali. Maneno matupu unayafanya mengi sana mda unaisga ukiwa hujasema lolote
@presenttruthloudcryforthel5338
@presenttruthloudcryforthel5338 18 күн бұрын
Bububu tu wewe mkiwa na mwalimu wko maana pia hujui ila sikulaumu nakuombea tu maana pia umedanganyika tu kwa kutotaka kujisomea Biblia
Former Catholic Priest links Christmas to satanism || Fr. Gathang'i Waiguru
2:14:24
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 131 М.
#MDAHALO LIVE: JE, WAPROTESTANTI WAKO KATIKA HIMAYA YA MNYAMA (ROMA)?
2:31:08
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
BADO MA PAMBANO YA IMANI
1:00:02
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 983
KISII SUNEKA DAY SEVEN KUHUSU KANISA LA MUNGU
2:42:34
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 2,4 М.
UTATU SIO IMANI YA WAKRISTO WA KWELI?  MCHUNGAJI WA SDA VS MWALIMU FRANCIS NDACHA
2:44:02
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 202 М.
ROHO NI NANI PT2
2:41:11
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 622
JE UTATU NI FUNDISHO LA KIBIBLA?
3:39:10
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 861