MDANGAJI - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie

  Рет қаралды 187,626

Adam Leo Studios

Adam Leo Studios

Күн бұрын

Пікірлер: 832
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Angalia filamu yetu mpya hapa kzbin.info/www/bejne/qZrcaqGvodWraNEsi=TPQWh4-wgxTkO6L8
@nassordedolph1627
@nassordedolph1627 10 ай бұрын
Huyu dada mdangaji anaitwaje hakika kavurugwa mpaka nimemkubali napenda sana wasanii wanaoweka aibu zao pembeni wawapo kazini
@فاطمهكينيا-ذ8ش
@فاطمهكينيا-ذ8ش 3 ай бұрын
Una tufunza sana Adam
@iddizo2669
@iddizo2669 11 ай бұрын
Nimechelewa sana lakin naomben like zangu hii movie kali sana🔥🔥💯
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante sana
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 11 ай бұрын
Napenda film zko mara zote hua zinabeba ujumbe mzito😊😊😊ubarikiwe sana❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana na asante kwa kuliona hiloo🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@EdvinarElish
@EdvinarElish 8 ай бұрын
Bonge la movie jamani Salma.Adam,& zubeda kiukweli wote mmebamba sana' big-up🥳💪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 8 ай бұрын
Shukrani sana
@angelrichard899
@angelrichard899 10 ай бұрын
Hii ni Kali zaidi ya wakuja nimependa sana hii move nzuri ya mdangajii
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Shukrani
@mbarderonly5874
@mbarderonly5874 11 ай бұрын
Umeuanza mwaka kibabe sana kaka bonge Moja la filamu huyo dada mwenye makope ni mkali sana anaweza sana kuigiza
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana mkuu
@MaruraZawadi
@MaruraZawadi 10 ай бұрын
Napenda movie zako sana bro hdi nimekufollw kila Mahali mungu akubariki zaidi 🎉🎉🎉much love from Kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Ameen
@angelinamgaya5802
@angelinamgaya5802 11 ай бұрын
Waoooooh bonge la movie kwakwel nime enjoy sanaaa na nimefrah sanaaa jmn katika filamu hii
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@Lucy_d-y3
@Lucy_d-y3 11 ай бұрын
Jaman kaka adam movie zako n nzuri san yan nmeipenda😍
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asantee
@mozaummy327
@mozaummy327 11 ай бұрын
MashaAllah movie ina mafunzo sana kwa mwenye akili❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani kwa kuelewa🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@farajyassir9822
@farajyassir9822 11 ай бұрын
Brother Adam leo... muko juu sana team Adam big up bro🎉🎉🎉. Can't wait to see you 1M subscribers
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks a lot
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 10 ай бұрын
Congratulations 👏👏👏 All mumeupiga mwingi hongereni nyote big salute i love you all ❤❤❤🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante
@RamadhaniAbdallah-ez3pe
@RamadhaniAbdallah-ez3pe Ай бұрын
Jamani mnamuvi nzuri mnoo mungu akubariki sana usonge mbele kutuletea muvi nzuri zaid na zaid tunajifunza mengi mnoo kupitia muvi unazotoa❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Amen
@farajyassir9822
@farajyassir9822 11 ай бұрын
This is the film of the year 🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Aiseee mapema mnooo asantee sana😂😂😂❤️❤️❤️❤️
@UwumukizaAssia
@UwumukizaAssia 11 ай бұрын
Asante Sana kaka Adam kwa filamu hii itakua vizuri Sana ukituletea part 2 from Rwanda
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Sawa tunalizingatia hilo
@Leeobite
@Leeobite 11 ай бұрын
Part 2 wakat movie unaona kabsaaa imeisha? Itaenderea nn tena apo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
@FunnyConchShell-cf8gv 🙂
@khadijak-f7n
@khadijak-f7n 11 ай бұрын
Wow mumeanza mwaka vzr filam zenu nzuri, mhusika mkuu Adam fudi kakangu🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@elizabethalex855
@elizabethalex855 10 ай бұрын
Mdogo wangu adamu umenikumbusha mbali sana nishapitia haya pia hongera sana kwa move nzuri za kuelimisha jamii hasa kwa sisi tunao changia mzazi mmoja mungu ajalie timu yenu mfike mbali
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Nashukuru sana🙏🏻🙏🏻
@nassordedolph1627
@nassordedolph1627 10 ай бұрын
Huyu dada katisha sana amevaa uhusika vilivyo.congrats bro
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Shukraniii
@BonfaceMuteti-zw5kj
@BonfaceMuteti-zw5kj 11 ай бұрын
Movie nayo inaeleweka kinoma, big up guys
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks a lot
@FlorenceMwangangi-c7s
@FlorenceMwangangi-c7s 11 ай бұрын
Daa salma weeeee Kiboko Daaaaah ....ila Hongereni sana Filam yenu nzury sana pia inaelimisha ....kaka Adam Big up 🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana
@zulachama1067
@zulachama1067 10 ай бұрын
Kaka Adam kweli umeamua kutuletea vitu moto moto ama kweli huu mwaka 2024 ni mwaka wafuraha nyingi sana, asante kazi njema bro bigup 👏👏👏👏👏❤.watching from mombasa- kenya.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Thanks
@BintHassan-o1y
@BintHassan-o1y 11 ай бұрын
Nawakubali nyote team Adam Leo❤❤❤❤Salma naja kuomba hizo kope😅😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Hahahah anauzaa kopee
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Na mikanda ya kupunguza tumbo
@BintHassan-o1y
@BintHassan-o1y 11 ай бұрын
@@AdamLeoStudios kabisaa😄😄😄
@jacklinemuthoni1918
@jacklinemuthoni1918 10 ай бұрын
Watching from saudia adam leo movie zako ziko swa👍kwahihi nimejifuza kuogea ukweli 👌
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 10 ай бұрын
Adam leo kazi nzuri Maashaa ALLAH ❤❤❤🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂kaolwa na mganga tena mchawi 😂😂😂😂chezea penz ww naijua io series zako zina mafunzo sana hongera adam na kado mungu atimize itaji la mioyo wenu amiin thum amiin
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Amen
@salamamwahanga3123
@salamamwahanga3123 11 ай бұрын
Walah inanibamba hiii mov na iko na mafunzo ubarikiwe Adam leo❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 11 ай бұрын
Uyo ndo salm Sema broo Adam utajta kumjua salm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Hahaha nijute mara ngapi mieee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@angelinamgaya5802
@angelinamgaya5802 11 ай бұрын
Hongera sanaa adam kwa kazi nzuri tunaomba filam nyingine nzuri kama hii
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Sawa hakuna neno
@rsetv4480
@rsetv4480 10 ай бұрын
wow, hakika nimeipenda sana hii cinema. adam leo kazi nzuri sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante
@AlfredSokoni-j2y
@AlfredSokoni-j2y 11 ай бұрын
Hongera wewe zaidi,mpe hai mdangaji,kaenda chuo Cha ugizaji,usimsahau jamaa yako aliye komaa Kama mwanajeshi
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Aisee
@georgevascogeorgevadco9033
@georgevascogeorgevadco9033 11 ай бұрын
tuko pamoja sana kutoka Lusaka zambia❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Msalimie Clotus Chota Chama
@EmanuelAmuravu
@EmanuelAmuravu 10 ай бұрын
Asante.ninawapenda.sana.
@Ssr.0
@Ssr.0 11 ай бұрын
MashaAllah very good 👍 movie 😍❤️ watching from UAE 🇦🇪 DUBAI
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks
@dorajuma
@dorajuma 9 ай бұрын
Naishiwa bando tu ila hamu ya kuangalia tamthilia siishiwi hamu aisee adamu ktk pati zako unacheza vizuri inafundisha sana zuu nakupenda sana umekuwa msataarabu sana hivyo ndivyo inavyotakiwa mpewe mauwa yenu❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Shukrani sana
@jacklinepeter4158
@jacklinepeter4158 11 ай бұрын
Adam hujawahi kukosea kazi nzuri sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt 11 ай бұрын
Ivi uyo salima uwa zimo kweli au zinakuwag zinatoka kdg Salma anakuwag ananifurahisha kwel❤❤❤😂😂😂😂😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Hahaha na lengo letu awafurahishe😂😂😂
@FlorenceMwangangi-c7s
@FlorenceMwangangi-c7s 11 ай бұрын
Mm naona nikama saa Zengine uwa hazimo 😅😅😅
@LilianiLema-b7y
@LilianiLema-b7y 11 ай бұрын
mwenyez mungu azidii kuwavusha hatua moja mpk nyingine ili mfikie malengo yenu kaka adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Ameen
@zulachama1067
@zulachama1067 10 ай бұрын
Kwa kweli ni jambo la kufurai na kumpa sifa zote kaka etu Adam and the team Adm Group kwa kazi nzuri sana, # mdangaji huyu mdada anajua kuicheza hiyo tamtilia vizuri.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Shukrani sana
@emillyajiambo4703
@emillyajiambo4703 11 ай бұрын
Wow kazi nzuri nimeipenda hii filamu ❤❤❤❤ watching from Kenya 🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante
@Chebet254
@Chebet254 11 ай бұрын
​ ❤🎉🎉 Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunawafatatilia sana
@wa_chera
@wa_chera 11 ай бұрын
Asante sana adamo filamu zango inzorir🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani mnooo
@سوزانالكيني
@سوزانالكيني 7 ай бұрын
Na kubali movie zko zinamafundisho mazuri❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@kijeneema4527
@kijeneema4527 5 ай бұрын
​@@AdamLeoStudiosjitahidi katika muendelezo mavazi
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 5 ай бұрын
Napenda sauti yako adam na unavyo jali wanawake ukiingia nao kwenye mahusiano..mungu akubariki usije ukabadilika
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Amen
@priscilladama8686
@priscilladama8686 10 ай бұрын
Watching from Saudi Arabia congratulations Adam and your team
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Thanks
@joshuayasolo4199
@joshuayasolo4199 11 ай бұрын
Kazi nzuri kaka❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana
@mbmdigitalpro5198
@mbmdigitalpro5198 10 ай бұрын
Wow! So nice. Jamani huyu mudada kasomea uigizaji??? She's a good actor
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Yeah she is! Its a talent from God!
@mbmdigitalpro5198
@mbmdigitalpro5198 10 ай бұрын
I can tell you
@alish2182
@alish2182 11 ай бұрын
Tunakufwatilia sana flm zaķo nazipenda zaidi❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asanteee
@elysefuraha4588
@elysefuraha4588 11 ай бұрын
Much love from BURUNDI🇧🇮 ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Me moree❤️❤️❤️
@DenisOkuzi-je8jb
@DenisOkuzi-je8jb 11 ай бұрын
Tuwombe maisha tu! much love from Ethiopia
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 10 ай бұрын
Waaah adam waniacha hoi yan movie nzuri mashallaah ❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante sana
@abdillahiaboud9740
@abdillahiaboud9740 10 ай бұрын
Jimmy
@MozaAdinan
@MozaAdinan 11 ай бұрын
Nipo oman ila napenda sana movie adamu ongela sana allah azidi kukuinua kaka❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@AllyJuma-b7d
@AllyJuma-b7d 10 ай бұрын
Mhh jamaa ametaka kulia duuh pole Adam Leo ,🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante sana
@InukaUangaze-s3y
@InukaUangaze-s3y Ай бұрын
ADAM umepatikana mara hii wee dada wajua kuishi mjini hongera sana 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Yaani mjini pagumu kuishi
@InukaUangaze-s3y
@InukaUangaze-s3y Ай бұрын
@@AdamLeoStudios mjini akili baba
@trippleleizer2361
@trippleleizer2361 11 ай бұрын
😂😂Ati wanaume aliokutana nao ni wanane🤣.. Kavunja sheria za wanawake wenzio idadi huwa mbili au tatu😅.... Movie Tam Sana.. Much love from 🇰🇪
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Hahahaha jamani eti mbili au tatu
@rechokizumbe7314
@rechokizumbe7314 10 ай бұрын
Wawli tu
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 11 ай бұрын
Jamani nakupenda bure😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asanteee🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mamaaanmar1261
@mamaaanmar1261 11 ай бұрын
Salma salma. Salma. Nimekuita. Mara3. Nyie. Huyu. Salma atafika. Mabali. Aiseeeeeee. Anajua. Adam. Hongereni sana. Nimecheka. Mimi. Nikifukuzwa. Kazi. Adam. Mtanipa kazi. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Hahhaah ujee tuu😂😂😂😂
@noushaddammam8805
@noushaddammam8805 6 ай бұрын
kaka upo sawa muvie zako zinafunza jamii na sisi atutachoka tutaendelea kukusapoti big up adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@NoorEesa
@NoorEesa Ай бұрын
Kazi nzuri sana Adam movie zenye mafunzo mazuri napenda sana ❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Shukrani sana
@BillalShongolo
@BillalShongolo 11 ай бұрын
Bro hiii ni kubwa sana sema fupiii sana bonge moja la movie kwenye 2024 Shoukran 🙏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante mno
@CharoJohnson
@CharoJohnson 5 ай бұрын
Waaaa adam kivumbi leo maua pokea🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@ZamoyonKitogota
@ZamoyonKitogota 11 ай бұрын
Daah adamu Leo movie IPO vzr Sana mungu abariki Kazi zako inshallah from Muscat
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Amen
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 11 ай бұрын
New year New Projects...Kazi nzuri Bw Adam🎉🎉🎉🎉sema salma duh😂😂😂😂bonge la actress
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Thanks
@sylvia3999
@sylvia3999 11 ай бұрын
Much love from Saudi ,❤❤❤❤ nakupenda Adam ❤❤❤❤ movie tamu sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asantee
@EzraloyiBobo
@EzraloyiBobo 11 ай бұрын
Duuu mdangaji noma Sana nimecheka yangu yote venye amekuwa anaitisha madawa jamani wanaume tizameni Wana wake bora wakuenda nao nawapenda Sana team Adam nyote ❤🇧🇮
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sanaa
@fistonkahunga7342
@fistonkahunga7342 7 ай бұрын
Adam wewe nimwanaume mustarabu sana muvie zako pia zinatufuza mengi adam ongera saana niko Zambia lusaka tatamani siku moja tuonane
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Karibu Tanzania
@yangbabu
@yangbabu 11 ай бұрын
Nashangaa kuna filam mbovu hazina maadili wala ushauri wowote zina trends mbele ya filam zako nashangaa sana kaka kaza buti Mungu anaona kazi yako usikati tamaa Mungu atakupa tu km utaamini anaweza na sisi mashabiki zako tutabako na wewe km utabaki kwa hiyo hiyo style yako kwa sababu ndio yenye tumependa filam zako zinaujumbe mzuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana tupo pamoja
@immaculathaemmanuel8240
@immaculathaemmanuel8240 5 ай бұрын
Salma Mwizi 😂😂😂nimeiona hio,,,hongera sana team Adam kaz zunu nzuri🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@HajraYahya-z9s
@HajraYahya-z9s 11 ай бұрын
Umetishaaaa🔥 Adam km adam😊❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Naam🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@bilalibilali-x9g
@bilalibilali-x9g 11 ай бұрын
Nimeipenda sn hiyi aisee kazi nzuri sn tuko nyuma yenu ❤❤❤❤❤❤❤❤ nawa support kwa kazi Bora
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@HappyMtawali
@HappyMtawali 10 ай бұрын
Much love from kenya but watching from gulf w2 wangu wa faida njooni tupunguze stress za wayahudi mgonge likes😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Shukrani sana
@NaylovePaulo
@NaylovePaulo 11 ай бұрын
Good job nawapenda wote
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana tunakupenda pia
@salomemuturi9005
@salomemuturi9005 11 ай бұрын
MashaaAllah simema nxuri sana hogera kaka Adam na team.yako🎉🎉🎉🎉❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@AminaNasri-k2f
@AminaNasri-k2f 11 ай бұрын
Movie nzur kaka❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 11 ай бұрын
kaka unajua sana unawasilisha ujumbe kwanjia yakipekee !!!! big up broo !!!!!!!
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante kwa kuliona hilo
@MillicentSali
@MillicentSali 9 ай бұрын
Mashallah penda Sana Adam Frome Kenya ❤❤😊😊
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Shukrani
@John-pv1xr
@John-pv1xr 9 ай бұрын
Movie nzuri sana brother MUNGU AKUPE UBUNIFU ZAIDI katika uigizaji wako
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 9 ай бұрын
Ameen
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 11 ай бұрын
Nawapenda Sana Kutoka Burundi Guys 🙏🙏🏼🇧🇮🇧🇮 ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Tunakupenda pia
@jeffnyakundi9131
@jeffnyakundi9131 6 ай бұрын
Adam umebarikiwa sana naomba nami usaidizi wa sh500 Kwa roho yako nzuri kenya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Karibu
@BetyHaule
@BetyHaule 10 ай бұрын
Big up xana Adam wetu ♥️ ♥️ mungu akujaalie
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Ameen
@TeddyJuma-p3p
@TeddyJuma-p3p 5 ай бұрын
Nimeipenda japo mwanzo ilitaka kunikera, move nzuri sana sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@rahmaoman470
@rahmaoman470 11 ай бұрын
Mashallah kazi nzuli from oman ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana
@JohariKasimu-jc2my
@JohariKasimu-jc2my 11 ай бұрын
Nawapenda San nyinyi❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Tunakupenda pia
@1czay
@1czay 11 ай бұрын
Ila huyu dada mdangaji hua anavaa uhalisia kweli ama ni katabia kake maana amepatia kweli🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Anavaa uhalisiaa
@1czay
@1czay 11 ай бұрын
Noma sana,,
@mishjuma5708
@mishjuma5708 11 ай бұрын
Much love from Saudi Arabia ❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Asante saudi
@IMAKULATAMbilinyi
@IMAKULATAMbilinyi 11 ай бұрын
Jaman nimeipenda hongera sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante
@nadianyamuraka
@nadianyamuraka 11 ай бұрын
Nafatilia snaa films zako kutoka 🇨🇦
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani sana
@fatumajuma5848
@fatumajuma5848 11 ай бұрын
aaaaaaaa adam umenikera na iyo huruma yako huyo bibie shemej mngemwacha hapohapo ngoja akawageuke🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰👌
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Hahaha jamani tumemuonea huruma😂😂
@fatumajuma5848
@fatumajuma5848 11 ай бұрын
@@AdamLeoStudios 👏👏🤣🤣
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 5 ай бұрын
Wow nasema je Adam we ni umoja filamu nzuri mno zenye mafunzo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante snaa
@usterbae
@usterbae 11 ай бұрын
Kazi nzuri san ❤nawapenda kutoka Kenya ❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Nawapenda pia
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 11 ай бұрын
😂😂😂salima jamani unajua hadi wakera❤😍🌷🌹🌹
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Sanaaaa😂😂
@catherinenenula7450
@catherinenenula7450 10 ай бұрын
Huyo zuu anaonekana kabisa ata kiualisia ni mpole jmn nampenda jamn🥰🥰🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Hahaha ni kweli
@KhadijaRashidi-de7en
@KhadijaRashidi-de7en 11 ай бұрын
Alipo Adamu na uyo dada salma huwa mambo ni 🔥🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asantee sanaaa
@kasibalisaid7036
@kasibalisaid7036 5 ай бұрын
movie nzuri sana sana na nakupigia salute adam leo msania mahiri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@boneshaissa5138
@boneshaissa5138 11 ай бұрын
Blz hujawahi kuniangusha ❤😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 5 ай бұрын
Kaka Adam we ni mtu wawapi kwani kama nakufanisha ivi ila nazipenda kazi zako sana brother ❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 5 ай бұрын
@@AdamLeoStudiosujanijibu swali langu jomoni 😢
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 5 ай бұрын
@@AdamLeoStudiosnakufatilia nikiwa USA
@NeemaHashim-c2p
@NeemaHashim-c2p 11 ай бұрын
Weee Adam wee et hutaki😂😂😂😂😂😂😂😂 salma anakuchokozaa😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Sitakiii kabisaa😂😂😂😂
@AminaJuma-p2b
@AminaJuma-p2b 11 ай бұрын
Kaz nzur San kak ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Shukrani
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 11 ай бұрын
hv haukuwah kufilia series mr? naona itakua bomba pia !!!
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Nimefikiria na inakuja
@makamwasina2090
@makamwasina2090 10 ай бұрын
Jamani nmecheka 😂😂😂😂❤️🇰🇪...big up sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Shukrani sana
@BittaPaul-v8q
@BittaPaul-v8q 11 ай бұрын
Hahahahaha!!! Mwanzo wa mwaka mzuri, navotazama Kwa film hizi tu Huu mwaka nitatoboaaaa!!
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Utatoboa bila shaka
@hamzachibwana193
@hamzachibwana193 11 ай бұрын
Adamu leo! Big up bro! Ila huyu mwanamke mweeeee mbavu zangu zote ziko hoi 😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 11 ай бұрын
Asante sana
@SalomepatricMlele
@SalomepatricMlele 11 ай бұрын
Ohoooo waooooo ,nimeipendaaa 😂😂😂😂 congratulations brother
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
Thanks
@TumainiMkungugu
@TumainiMkungugu 10 ай бұрын
❤❤❤ jamani napenda sana film zako zote
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 10 ай бұрын
asante sana sana
WAKUJA - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
1:13:10
I Know You Part 1 - Hemed Suleiman, Yusuph Mlela (Official Bongo Movie)
1:45:47
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 64 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 9 МЛН
DOKTA OKOSOVO MOVIE ( JUMA SHIBE, GABO ZIGAMBA & SELESTINE MWAKIO )
1:43:53
SABI - New African Movie | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
49:32
MATHNA{UKEWENZA} full movie
3:05:29
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 80 М.
DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)
1:00:37
BabaJoan
Рет қаралды 1,2 МЛН
THE FAULT OF MY HEART 💞  Love Story | DONTA TV
1:01:04
Donta Plus
Рет қаралды 195 М.
NAMPENDA 💝 (FULL MOVIE)
1:37:54
ZUMBA VEVO
Рет қаралды 121 М.