Tazama filamu yetu mpya hapa kzbin.info/www/bejne/bJPSZIyad89-rM0si=Pc_DJBg3bMPNJljZ
@JanetRiziki-ut2is10 ай бұрын
Hii ya leo ni kali sana daaah kaka Adam mungu akubariki sana na movie zako nzuri ❤❤❤
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Ameen
@Sophieshaliz6910 ай бұрын
Kusema kweli Adam leo kamridhi Steven kanumba kwa uigizaji🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Aisee! Asante sana!
@WaydaHaji6 ай бұрын
Adam napenda movie zako ..unazipa jipa na uhalisia ya movie ilivyo..tofaut na wengne movie inaitwa hivi na unachokiona Kiko hivi...BIG UP ADAMA.unatumia jina lako na sio kubadili kl movie ukajiita Jina Jingine..
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@AminaJuma-p2b10 ай бұрын
Kaz nzur San kk mungu akulinde nakilala shal
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Amen
@MWARABUMSHEE-vu6mw10 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza Leo kutoka kenya 🇰🇪 nipeni like zangu
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Enjoy
@rosemaryolesi576810 ай бұрын
Umenitangulia mbwa mimi😂😂😂mkenya mwenzako hapa
@MWARABUMSHEE-vu6mw10 ай бұрын
@@rosemaryolesi5768 Hahaha Don worry we still together
@rahmajuma294610 ай бұрын
Wa Nne jamani ❤❤
@songola_film_tz10 ай бұрын
Adam kiukweli mm nimekubali mkubwa wangu
@ElizabethMutuku-qt2vj9 ай бұрын
Filamu zako kaka zìnamavunzo sana kama za Nigeria kongole from kenya❤❤❤❤
@AdamLeoStudios9 ай бұрын
Asante
@christine774410 ай бұрын
😂😂😂😂nao ni wakuja kweli eti naona ngoma haipandi mlima❤❤❤❤ much love you guys from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Thanks a lot
@QueenNgai10 ай бұрын
😜😂😂😂
@morjanoman518110 ай бұрын
Filamu zako. Adam zinamafuzo mazuri Sana ongera kwa KAZI safi sana
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Asante sana
@emillyajiambo470310 ай бұрын
Filamu zako ziko na mafunzo sana Adam good job keep it up ❤❤❤❤
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Asante
@StellaMuhibu-po3ec10 ай бұрын
Nampenda san dadaang wakimakonde mwembamba kam mm kaz nzuri san ❤❤
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Shukrani sana sana
@QueenNgai10 ай бұрын
Asante sana kipenzi changu nakupenda pia❤❤❤❤
@BetyHaule10 ай бұрын
Bro Adam wamakonde wa Leo duh hatar ♥️♥️♥️
@QueenNgai10 ай бұрын
😂😂😂
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Hahaha muendelezo waja
@KhadijaRashidi-de7en10 ай бұрын
Izi movie za Adamu ata km unaumwa red eyes ukiangalia unapona🥰🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Hahahha jamaanii😂😂😂
@julianamaganga48039 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rosemaryolesi576810 ай бұрын
Ndo naingia jamani likes za kenya❤❤❤
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Enjoy
@morjanoman518110 ай бұрын
Ongera Sana washiriki wote na muandaajipia Yuko vinzuri asante kwa kutuerimisha
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Asante
@QueenNgai10 ай бұрын
Tunashukuru Sana na tuna kupenda❤❤❤
@morjanoman518110 ай бұрын
@@QueenNgai asante 🌹🌹🌹🙏🙏🙏
@baimarrajahbuayan623710 ай бұрын
Hii utoto. Mwing bwana Tuketee mambo. Mazur adam
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Shukrani
@hanifahkhamiss848510 ай бұрын
W10 leo....ila lukundu na nnyadi mnachekesha sana😂😂😂....ubarikiwe kaka adamu🙏🙏
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Shukrani sana
@QueenNgai10 ай бұрын
Asante sana karibu❤❤❤
@WilbertMalula-vv7ml10 ай бұрын
Inajitahidi sana katika movies zako
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Nashukuru sana
@habibajuma17169 ай бұрын
Kaka Adam nitakuwa sisikii njaa kwa movie zako MashaAllah
@AdamLeoStudios9 ай бұрын
Shukrani jamani ulee
@SarahKawala-g1j8 ай бұрын
Mashaala ❤❤❤movie nzuri sana
@AdamLeoStudios8 ай бұрын
Asante
@mweroruwa633910 ай бұрын
Much love from this side big sana Adam wa leo+254🇰🇪
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Shukrani🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@ZynabZynab-b7m28 күн бұрын
Adam zidi kutupa vitu vikali nawapenda hawa wadada❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios23 күн бұрын
Enjoy
@ChrsinaKongera9 ай бұрын
Adamu kaka una kaz nzur sana
@leahwanjiku546610 ай бұрын
Congratulations for your good job our next Kanumba, much love from Kenya 🥰🥰❣️🥰❣️🥰🥰🥰
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Thanks for watching
@RanbloodAlly-gw9sb10 ай бұрын
Adam leo 💏 kutoka arusha kz nzuri sana
@kybtzearthmoney998410 ай бұрын
Aaah huyu Adam anakua zaidi ya kanumba in Sha Allah
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
@kybtzearthmoney9984 Amen🙏🏻🙏🏻asante kwa dua!
@prisikachande10 ай бұрын
uyu dada alosuka mabutu namkubali yuko makini sana
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Asante
@QueenNgai10 ай бұрын
Wow Asante sana ❤❤❤❤❤
@chimammymohaa10 ай бұрын
Adam apo kazi unayo😂😂,na mwakiona hicho kipini cha pua cha lukundu😂😂😂😂tupatane kwa likes.
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
😂😂😂acha kabisaaa
@RehemaSaid25510 ай бұрын
Lukundu kutukana...
@sylvia399910 ай бұрын
😂😂😂😂😂umenifanya nicheke yangu yote Adam , kazi nzuri ❤❤❤❤❤🎉🎉
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Asante jamani
@iddizo266910 ай бұрын
Huu mwaka lazima waombe poooo🔥🔥
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Naam
@christinavema8 ай бұрын
Yaan Adam umetisha nasheka pekeangu 😂
@AdamLeoStudios8 ай бұрын
Enjoy
@zulachama106710 ай бұрын
Nimefurai sana kwa kazi nzuri sana bro Adam kwa kutuekea # wakuja # watoto wa mtwara # makonde actors❤,much love am watching from mombasa- kenya.
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Shukrani
@QueenNgai10 ай бұрын
Asante❤❤
@fatumariziki727610 ай бұрын
Adam kma Adam nakupenda buree kaka from Kenya Mombasa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Nakupenda pia❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@mauricemasese95219 ай бұрын
Kutoka Kenya, movie nzuri ya kuchekesha kweli
@AdamLeoStudios9 ай бұрын
Shukrani
@EdvinarElish7 ай бұрын
Adam we kiboko Yao🔥
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana.
@mercielee221810 ай бұрын
😂😂😂 hysterical and hilarious 😅 from start to end ..eish karibu ni pate six-packs juu ya kucheka😂😂🙌
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Thanks a lot🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@kybtzearthmoney998410 ай бұрын
😂😂😂 you are crazy
@usterbae10 ай бұрын
Wakwanza kazi nzuri sana ❤ ❤ chukueni mauwa yenu
@AdamLeoStudios10 ай бұрын
Shukrani
@QueenNgai10 ай бұрын
Asante
@usterbae10 ай бұрын
@@QueenNgai dada unatumia jina gani kwenye mitandao samahani lkn