FOR ENGLISH VERSION PLEASE PRESS HERE kzbin.info/www/bejne/lXrCemahf7adnJY
@salmaally8777 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar naomba namba ya sim
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Salma mimi siwezi kutoa nbr ya simu kwenye mitandao kama hivi niletee email aromaofzanzibar@gmail.com au insta au facebook please
@mahiraliseif85296 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar safi
@jenijeni97855 жыл бұрын
A.aleykum,kuna wengne waaneka na mayai ya kuchemsha he unawekaje ili yasiungue
@miriamgathoni21444 жыл бұрын
Wow
@mishicharity89366 жыл бұрын
Mashaallah aunty...Allah akujaalie kwa usivyo mchoyo wa mapishi kwa jinsi unavyotuelimisha wamama wenzio. Big up sana kwako.
@rukiaali8467 жыл бұрын
Assalamykum hongera sana kwa kutimiza deni asante sana na mungu akubariki
@chikumohamed5303 Жыл бұрын
Ahsante kwa kushare God bless you
@BillysFamily7 жыл бұрын
Haswaaaaa hili pishi zuri sana dada sijawahi onja keki ya nyama kusema kweli .nitatumia recipe yako kutengeneza kwa ajili ya sikukuu shukrani kipenzi 😍😍😍
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Haya mapishi ya Ki Zanzibari dada , inabidi uje Texas ku sample au vipi
@AminaKoba-cp6zw9 ай бұрын
❤❤❤❤ nakukubali dada yangu napenda sana mapishi yako jinsi unavyo fundisha mtu unaelewa vizuri mashaallah.
@nassrasalum80017 жыл бұрын
Shukran habibty nimefurahi kwa meat cake nzuri
@maryammadodo88379 ай бұрын
Mashaallah ,Ahsante kwa upishi huu
@aishaathman73174 жыл бұрын
Asalam Aleikum Ramadhan kareem...shukraan sana kwa video zako kusema kweli sijui kupika maana nimezoea msichana wa kazi kunifanyia sasa vile naolewa bwanangu ana lazima nijue na nina uoga mwingi kuingia jikoni Alhamdulillah najaribu recipi zako naona si kazi ngumu hivyo na zinatokea tamu sanaa Shukraan for being my life saver
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Most welcome dear, inshallah itakua rahisi.
@Umz4yd7 жыл бұрын
Mashallah mashallah looks simple n easy to make... mimi nasubiria mseto kwa hamu sana
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, Inshallah nitajitahidi mseto
@thureahabib9957 жыл бұрын
asantr sana aroma Allah akujaalie umri mrefu wenye afya,uzidi kutufunza zaidi
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, Amin kwetu sote
@jikonimagic7 жыл бұрын
Ahsante! Finally sasa nimejua hii meat cake ni nini. Tulipozungumza sikuelewa vizuri lakini sasa.... 👌 Thank you.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Finally imefika...
@jamilamwalimussi98116 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar naomba group mie LA mapishi
@joycendegwa94947 жыл бұрын
Asante kwa mapishi hayo nimekuwa nikitamani kuyajua. Mungu akubariki.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Amin kwetu sote
@jif.queenhajji48457 жыл бұрын
Asante mu
@shamimabdullah51187 жыл бұрын
Asalamu aleykum warahmatulahi wabarakatu mashaaAllah tabarakallah nzuri sanaa 😍Allah akujaaliye kila la kheri amiin shukrann sana kwa kutuelimisha
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Warhamatullahi wa barakatu x Shukran Amin kwetu sote habibty
@fatmabashamakh5546 жыл бұрын
Assalam aleykum nimejaribu shukran sana umetoka vizuri
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Alhmadulilh
@joycembelle40993 жыл бұрын
Safi sana nakuaminia aroma
@JesusChristSaves4ever7 жыл бұрын
Hmmmmm. Tamu....nita jaribu. God bless you mummy🙏
@mymunahhassan29046 жыл бұрын
Mashaaallah mashaallah my dear . Shukran Allah Abarik
@maryam4va5386 жыл бұрын
Mashaallah napenda sn recipe zk na the way unavyoexplain. Awesome!!!
@aikasolomon77817 жыл бұрын
Shukran sana kwa somo
@tumaomar89997 жыл бұрын
Masha Allah Shukran Sister
@wardamaulid78507 жыл бұрын
Shukrani Ukht Aroma Allah Akujaze kher na baraka katika maisha yk na leo nimeipata meat cake nilo kuwa niki isubir Ahsante
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Alhamdulilhah nishatoa deni , shukran kwa dua njema. Amin kwetu sote
@mamyssmoe67067 жыл бұрын
Aroma of zanzibar mashallakh mashallakh alkhamdulilakh kwa hii keki jamani that why we love u hujawahi kutuangusha Allah akubarik💖💖💋
I cooked and baked with your video instructions, I tell you I was soo happy. I ate like...the stomach is full but the mouth wants some more😛😛thnx for sharing Mummy. Sharing is caring. God bless you🙏
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Awesome! am glad you enjoyed and thank you for taking time share your experience with us. Be blessed
@haisamhamadi6824 жыл бұрын
naomba no wako
@jumajuma60754 жыл бұрын
Ipo vzuri, nimeipenda pia ju mm napika lkn hua situmii unga👌
@ahlamverynice.36057 жыл бұрын
Wow mashallah Allah kubarki nilikua naisubiri Kwa hamu video hii asante saana my darling Kwa mapishi mazuri unayo tuletea😙😍❤
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran dear, take care
@saidasalimyahya62637 жыл бұрын
Nice mashallah
@takyafrancis37466 жыл бұрын
Mashallah shukrani sana hbbty 🙏
@rubydallu21453 жыл бұрын
Superb mashallah
@aishasuleiman95366 жыл бұрын
MashaAllah....Allah ibarik ya habibty😘
@shamzone3887 жыл бұрын
ASLM SHUKRAN HABIBTY KWA KUTUELIMISHA...ALLAH AKUJALIE KILA LA KHERI NA UZIMA AMIN...
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
SHUKRAN , AMIN KWETU SOTE
@ramlamuhudhary49455 жыл бұрын
Asante sana kwa mafunzo yako inapendeza sana asante kwa kutuelimisha mpendwa
Aleikum Musalam , sijawatupa ila majukumu na harakati zilikua nyingi. Shukran
@ummusamira35187 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar pole mpenzi Na majukumu asantee sana 🌹😘
@ashajuma69907 жыл бұрын
eka namba zako tupate mawasiliano zaid au unapatikana wap zaid kwa mafuzo
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Asha Juma dear siwezi kuandika Nbr yangu hapa mie nipo America
@ashajuma69907 жыл бұрын
ok hamna shida shkran kwa mafundisho
@sumamwampulo1466 жыл бұрын
Mate yamenidondoka. It looks so delicious. I real like it
@ummukulthumhafidh65997 жыл бұрын
asante sanna..tunafurahia mafunzo yakooooooo
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Ummukulthum Hafidh shukran, alhamdulilah
@zainabmasoud71476 жыл бұрын
Allah akulipe Allahuma amin
@susanswai89292 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa mapishi kesho napika
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Shukran
@zainabmasoud71476 жыл бұрын
MashaAllah habibty napenda sana hiyo kitu
@shuhaidaomar33474 жыл бұрын
masha allh nimependa najaribu n mm
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ahsante sana
@aishanassor81306 жыл бұрын
Masha Allah aunty Allah akuzidishie kipaji chko akuepushe na hasad pia 😍
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Shukran dear, amin kwetu sote
@kasukeyuchia66356 жыл бұрын
this is very impressive...i learn a new cook today 😀 i will try this
@saadaali536913 күн бұрын
Nice naomba hunifahamish jinsi ya kupik ndizi za nazi
@aromaofzanzibar13 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/m2SZmmymfZWIe5Y
@zahramunir85966 жыл бұрын
Waaaww mashaalla MMungu akupe afya sister
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Shukran, amin kwetu sote
@aviwaomar4395 жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋 nakupendaa bureee habibty
@rafanasadiki317 жыл бұрын
Asalam alykum thxs thus why we love you
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, and I love you too dear
@farhatomar12945 жыл бұрын
ma shall ah habibit
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Shukran
@alishai43286 жыл бұрын
I tried this today, was amazing 😍
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Awesome, glad you enjoyed and thank you for sharing that with us
@maryumahayati38687 жыл бұрын
Very nice mashallah
@foreveryoung60367 жыл бұрын
Ahh kwa chai nzito inashukaaaa asante aroma
@aimanali86127 жыл бұрын
iko pow my mashaallah
@zeddysale2174 жыл бұрын
Mashallah
@mamywardah79607 жыл бұрын
wow nice❤❤❤❤
@josephinecharles86157 жыл бұрын
mh! itabidi nijaribu soon umenitamanisha👌
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Mashaallah 👌
@khamiskhatib97666 жыл бұрын
maa shaaAllah. nice one
@sulhiyamuhammed51276 жыл бұрын
Hongera unafahamisha vizur nimependa the way you are
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Thanks dear,
@harithomar30257 жыл бұрын
Wooow
@aminahaj87805 жыл бұрын
Mashallah 🤗
@aishambarak54336 жыл бұрын
We Dada nakupenda htr wawah😝😍
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Ahsante nami nawapenda sana
@MariamsLifestyle7 жыл бұрын
😋😋😋😋yummy
@salimmalaatu36636 жыл бұрын
Safiii sanaaa
@OnlyRuky7 жыл бұрын
Wawoo Shukrani
@salmaadam7087 жыл бұрын
aroma of Zanzibar I miss youuuu
@ibtisaamhassan27745 жыл бұрын
Wallah Dada angu Fathiya hii keki nimeiangalia mara nyingi lakin leo nimeifanya ni mzuri saana. Allah akulipe ujira wako
@aviwaomar4395 жыл бұрын
Nakupenda bureeee
@diyaosman89927 жыл бұрын
Shukran habbty
@ilovejesus93037 жыл бұрын
1st time to hear/ see this
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Well , this is a very well-known item in Zanzibar especially at weddings
@ilovejesus93037 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar ooh really! Bongo sijaiona, labda kama kwenye mahoteli makubwa. Ntaiulizia nkiendaga Zanzibar coz looks delicious😝😝👌
@economistsarafina80857 жыл бұрын
I love Jesus
@fatmamzee8632 Жыл бұрын
Nipenda
@mohamedayda77567 жыл бұрын
shukran habibty
@mamlym64477 жыл бұрын
asantee sana naomba mapish ya triangle fish
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Trinagle fish ndio kitu gani
@studentchannel00167 жыл бұрын
Mashaalah💞💟💕
@abnuufgreynoongreynoon5776 жыл бұрын
Aslm alkm aroma of zanzibar waiting for macarons recipe please sister
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah if I get a chance I will post
@abnuufgreynoongreynoon5776 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar Jazakillah kheir
@claramilanzi91707 жыл бұрын
waooohh nice nilikumisije mumy.....!?
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Ahsante na mie nime miss sana kazi hii
@salmasleyman40706 жыл бұрын
Maxhaallh ahsant kwa mapish ila mm nlitaka kujua kias cha siagi na mayaicake ya nusu
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Dear cake ya nusu ndio cake gani
@mariamatan81255 жыл бұрын
Aslm aleikum naulizaa unga wa cake hautiwi sukari
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Hautiwi sukari
@jalilahalkindy57025 жыл бұрын
a.alykum mumyy really like ur recipe but naomba recepe ya omlate bdo i dont see wa shukran
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Sijapika omelet bado si kitu cha kawaida tu
@fathiyahazaa91477 жыл бұрын
Shukran sana sister..❤😘❤😘❤😘
@fatmaalawy66075 жыл бұрын
Jamn tu naomba utufahamishe makoronya
@fathiaali78666 жыл бұрын
Asantee
@ilhamalliy11584 жыл бұрын
A.alyekum dad hili pishi unawez kupika kwenye mkaa kw sis tuliokosa oven
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ndio unaweza
@sumaiyyahissa3593 жыл бұрын
Kwenye matayarisho ya unga wa keki Ile samli hatuweki sujari?
@aromaofzanzibar3 жыл бұрын
Haina sukari hii
@salmasleyman40706 жыл бұрын
Maxhaallhh nmependa cake but nauliza kwan unga wa chini lazm utie mayai
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Unga wa chini ni kama cake
@shemelaruhinda61136 жыл бұрын
Asante
@aishaomar43185 жыл бұрын
Huweki bakingpoder?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Nimeweka na nimeandika hapo chini kwenye viungo pia
@njeerysalum58626 жыл бұрын
naomba naomba zako
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Njeery Salum Mimi sitoi number zangu in public niletee email aromaofzanzibar@gmail.com
@salumabdalla57976 жыл бұрын
Asant my
@ummysaid27084 жыл бұрын
Naomba kuuliza iyo nyama kilo c ndio
@leokamil62845 жыл бұрын
Samahani sijaona kwenye unga ukitia sukari wala chumvi .Na kwenye nyama pia hutii chumvi?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Nimeweka chumvi kwenye nyama nimeonyesha nimetwangaia kitunguu thom na nimeandika pia hapo chini. Unga huwa hautiwi sukari Wala chumvi ladha zote zinatokea kwenye nyama
@leokamil62845 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar Shukran sana 🙏
@aliyahahmed37237 жыл бұрын
Tu tengeneze kuku paka ille ya mchuzi na maragwe wa nazi please
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah nikipata nafasi
@haithamhakim94016 жыл бұрын
Tumeipenda lkn je unaweza kuivishia mkungu
@hatimalnaamani8765 жыл бұрын
Sijaona ukitia chumvi kwenye mchanganyiko wa unga. Haiitaji?
@hatimalnaamani8765 жыл бұрын
Naomba kujua tena unga naweza pimia kikombe cha mag
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ladha zote zinatokea kwenye nyama , unga hautiwi chumvi
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
@@hatimalnaamani876 mag ni kikombe na nusu kwa kikombe nilotumia mimi
aroma masha allah mpishi mazuri ww allah akulipe kwa Kaz yako Na Azid kukupa umri... m nauliza huna Instagram account ?
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Shukran Amin kwetu sote, utanipata instigram kwa jina la aroma of zanzibar au fathiya.ismail
@NadiaAhmed-ws9ob7 ай бұрын
❤
@amenaamena22837 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍👏👏👌
@AlwiAlawiii11 ай бұрын
hapo kwenye vipimo inakuwaje unga na bluband na nyama
@aromaofzanzibar11 ай бұрын
Vipimo vyote nimeandika hapo chini
@halimajailan31047 жыл бұрын
unaweza kutumia cheese apo mwisho kabla kui bake imstead of 3 eggs
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Mie nimewahi kutumia cheese lakini niliweka chini kabla ya nyama lakini nilitumia mayai kama kawaida kwani yanasaidia nyama kushikana , jaribu uone vipi itakua