• MTUME (S.A.W) ALIFUNDI... Utajifunza kuwa maendeleo ya Sayansi yanatokana na Uislamu uliofundisha na Muhammad (S.A.W).
Пікірлер: 33
@muhammednassor3569 Жыл бұрын
Rahmatullah alayhi alikuwa ni Sh mwenye mchango mkubwa ndani ya Jamii ya kiislam
@jumannendayigeze2899 Жыл бұрын
Allah amjalie janatul firdous
@saidahmed968810 ай бұрын
Masha Allah sheikh ilunga kaburi lako liwe viwanja cya peponi
@mussajuma5612 Жыл бұрын
Dahh Allah amlaze mahali pema shekhee wetu ilunga
@Hudatztv Жыл бұрын
Allahuma Aamin
@issarachide1474 Жыл бұрын
Masha allah profesa ya allah hatakulipa kwa hilimi na mafundisho alhandulillah
@kakanjoo8919 Жыл бұрын
Mashaallah, Allah aukaribishe moyo wako Zaid katika dini. Baadhi ya sehem muhim unazirusha,naomba uwe ukizizingatia pia. Allah atujalie ustahimilivu tuking'ang'a kutenda wema,shukran.
@Hudatztv Жыл бұрын
Aamin
@fatmajafar827510 ай бұрын
Ee mwenyez mungu muondolee shekhe adhabu yakburi na umjaali aingie pepo yako janntfirdaus shekhe ilunga
@mwalimukidua Жыл бұрын
Asante sana kuapload madiini haya..
@Hudatztv Жыл бұрын
Shukran
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Allah akupe Janna,shee Ilunga
@Sunnah1212 Жыл бұрын
Knowledge kubwa sana Kutoka kwa Skh Ilunga Allah akulipe kher na wewe unaetuletea hizi video KZbin
@Hudatztv Жыл бұрын
Allahuma Aamin
@shd12m55 Жыл бұрын
Asante sana kwa huduma zako za kutuletea video za marehemu shekh huyu,,tunaomba utuwekee na ile video aliyozungumzia mambo ya bakwata maana KZbin nzima hamna ile video yake
@Hudatztv Жыл бұрын
Masha Allah
@mrishomohamed5497 Жыл бұрын
Manshallah,,,tunafuatilia sana haya mafunzo na Sisi pia tunasambaza Kwa wengine ili waweze kujifunza hivyo tunaomba usichoke insha'Allah
@Hudatztv Жыл бұрын
Innsha Allah
@Hudatztv Жыл бұрын
Allah akulipeni kila la kheri
@alimaulid9543 Жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yake ajaalie kaburi lake kuwa bustani ni miongoni mwa bustani za peponi
@MohamediHaruna-d8d8 ай бұрын
Allah akurehem wewe ni mwalim usie ficha ukweli
@hassanally4960 Жыл бұрын
Ahsnate sna ndugu kwa kutuletea madini adimu katka kamili hii tulonayo
@Hudatztv Жыл бұрын
Shukran
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Allahummaghfirahu warhamhu filjanna
@alhajjkassim26486 ай бұрын
❤
@clarencehilary55889 ай бұрын
Mungu am home moto maana ni mchonganishi
@clarencehilary55889 ай бұрын
Alifundisha ugaidi
@clarencehilary55889 ай бұрын
Mtume mohamard alifundisha ugaidi tu na kujitoa mhanga
@faustinconrad2554Ай бұрын
Mpuuzi huyu tena alikuwa filauni
@HudatztvАй бұрын
Mojwapo ya faida ya kutoa "Comment" ni kuwa inatusaidia kufahamu upeo wa akili ya mtu na uwezo wake wa kudhibiti mihemko.
@clarencehilary558811 ай бұрын
Uislam ulifundisha ugaidi tu si vinginevyo
@isaacakurumiruka339 ай бұрын
Shame on you
@seydouside40816 ай бұрын
soma uislam..acha jazb..utaelewa tu allah akupe uelewa