Wapo vizuri sana kwenye maelezo ila tiba sasa😢!!? Nyie semeni tu ukweli huu ugonjwa hauna dawa ya moja kwa moja
@erickkimaro52822 жыл бұрын
Asante Sana doctor nimekusikiliza kwa makini mi niko moshi.Nilikua na tatizo lakikohozi Cha mudamrefu nimetibiwa Ent nimepewa dawa Sana dawa zikiisha tatizolinajirudia nimemezeshwa kipimo kwenye Koo shida haikuonekana na maranyingi nakohowa usiku nilala mwiliukisha rest.Baadaenilikuja kupatwa na vidonda vya tumbo hadisasa nimefuata mashart ,nimetumiwa dawa nimemapata nafuu Kuna muda nacheua kitukichungu Sana.Shida kubwa ninayo ipata ninasikia vibaya mwlini Hadi kichwani hatakama siumwikokote mwili haurudi kawaida Naomba ushauri wako doctor hii Hali imeniadhirj Sana.
@abalkassim540411 ай бұрын
Up mziki unazidi sauti ya Doctor
@elizabethcharles65275 ай бұрын
Yani mi nakuelewa vizuri sana dokta
@thompsonmkwanda3809 Жыл бұрын
Daktari bingwa ni bingwa tu , nimemuelewa vzr sana
@carolyneNechesa-d9c5 ай бұрын
Hili tatizo kweli Lina tesa kweli mungu atupenguvu
@priscammassy464 Жыл бұрын
Nimejifunza vizuri
@BenterMwende3 ай бұрын
Asd inaweza fanya mtu akose uzigizi doktar
@tunsumejohnjohnmwalaba47192 жыл бұрын
Asante Mimi tonses zimevimba Kwa ndan jaman dawa naweza kupata
@sylviasebastian20167 ай бұрын
Nakupataje doc
@amadeusgerald62533 жыл бұрын
This Doctor🙌🙌🙌🙌
@HosanaCharles-lx1ks Жыл бұрын
Mm ninashida iyooo nakupatajee
@OmariKachulu2 ай бұрын
Asnte doctor
@rosemarysulle9288 Жыл бұрын
Umeelezea vzr mnooo,lkn mbona cm hampokei jmn madaktari wanajua kuringa na fani zao.
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Maheka heka haya Mungu atusaidie tu sababu yy ndio mwenye spare za miili yetu. Mm hili tatizo limenitesaaa mno mara madaktari wengine waseme ni asidi mara wengine ni vidonda hata siwaelewagi Mungu tu asaidie
@HalimajumaKhamis Жыл бұрын
Vp ulipona
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
@@HalimajumaKhamis hivyo hivyo tu wakati mwingine vinasumbua wakati mwingine nipo sawa. Yaani hivyo ndg yangu
@MasoudKilaka2 ай бұрын
Mimi jamani koo langu linanikauka Na kuhisi kakasi mdomoni Naomba ushauri au mawazo jamani
@RaphaelDaffa9 ай бұрын
Mxiki wa nini tena jaman..tunataka kumsikilizs dokta sio kelele za mziki....
@AliHamisi-o4g29 күн бұрын
Doctor mi nikona iyo shida bt Niko gulf nimejaribu kuenda hospital bt ni dawa tu napewa shida ahishi
@softjeanskhakis99933 жыл бұрын
Naomba. Number za simu. Tafathali
@MissaYahaya-zj9ut Жыл бұрын
Sas tuskiliza vinanda aw doctor vinanda vyann wakat sis tnaskikiza doctor vile anatuambia
@hamidabwanda9294 Жыл бұрын
Dokta namshukuru na mimi kija a wangu anatatizo hilo upo dar sehemu gani
@rehmahamishamismkande43482 жыл бұрын
In shaa Allah Huyu doctor nikirudi Tanzanian nitamtafuta maelezo yake mazuri Sana
@stanslausmteme84553 жыл бұрын
Safi omeongea vzr sana doctor (Baba Chelsea
@sophiamsumi16822 жыл бұрын
unamjua mbona simu haipatikan ana hospital yake tumfate
@FadhilaAbrahman Жыл бұрын
Tuambie basi tumfate wap
@joyceshandu24004 жыл бұрын
Dr unaeleza vizuri sana hata namba tunaiona lakini nikipiga haipokelewi kila nikipiga inatumika Na tatizo hilo linanitesa naomba Msaada wako
@BeatriceFarasi3 ай бұрын
Mfatate mloganzila bila hivyo hutoboi
@rizikisimai51403 жыл бұрын
Tunaomba no ya doct
@kalengemochi13063 жыл бұрын
Miito obrigado Azama tv
@eshabaruti Жыл бұрын
DOCTOR mbona hamutuwekei no ya ya wastApp sasa sisi ambao tuko mbali cm haingii paka wastApp ukinagalia number nyingj ni call zakawaida tufanyeje ss
@copacabannaswax50614 жыл бұрын
Nilikuwa naizo dalili zote nashukulu nimepona kabis asante doctar kwaelimu.
@sospetermsimbe62034 жыл бұрын
uliweza kutumia kitu gani tafadhali
@neemaeppah29924 жыл бұрын
Ulitumia nn jamani
@albertomary73454 жыл бұрын
Ulifanya nn mpka ukapona
@tumpemwaijande8074 жыл бұрын
Ulitumia dawa gani tusaidie plz tuna shida sana
@copacabannaswax50614 жыл бұрын
@@tumpemwaijande807 ok inatakiwa kwanza uende hosp kwasababu shid zimetofautian,ili kuangalia ukubwa watatizo lako lipo kiasi gani ndi unapewa dawa kulingan natatizo lako.waone madoct kinywa na masiki na pua tatizo lako litakwisha.
@RestitutaNjau-k8x5 ай бұрын
Dr mimi koo langu linakauka sana mara kwamara ninishidà
@kelvinmichael62033 жыл бұрын
Natatizo hilo
@abossto2 жыл бұрын
Tumsikilize daktari au instrument
@CatherineCatjoh9 ай бұрын
Je vinaweza sababisha vidondo mdomoni
@MelisiannaCharles6 ай бұрын
naomba namba ako doct nna magonjwa Kam yote
@SashaOscar2 ай бұрын
Huu ugonjwa wa asid kuzid ni mbaya, yaan mwili unakuwa dhaifu muda wote, kubeua kila wakati, maumivu kam kuchomek kifuani muda mwingin kichwa pia kinauma,😢😢 inatesa jmn mpk nakosa amani mm
@dorisNyanda22 күн бұрын
Jamani huu ugonjwa unaumiza,nashindwa nifanyeje.najisikia vibaya hadi masikio yanaziba.
@mammymammito55242 жыл бұрын
Niko na hili tatizo miaka mingi sana naomba msaada.
@sadamsilu6615 Жыл бұрын
Ulipona ww
@joharimadua83424 жыл бұрын
Sasa tiba ya acid ni ipi
@wilsonemanuel99152 жыл бұрын
Asante sana nimekuelewa sana mm nilikua ninayo iyo ila nilikula matunda sana ikapungua? Jeukila matunda kwasana Vp hapo
@MelisiannaCharles6 ай бұрын
naomba namba yako doct
@fatmatwalib8408 Жыл бұрын
Hongera sana Dr kwa kutuelimisha. Mimi nina shida hiyo naombA niandikie da
@malkiawanguvu31502 жыл бұрын
Yaani leo nimekutana na somo linalonisumbua🤔 xray nimepigwa za kutosha! Hivi karibuni nimeambiwa ninavidonda vya tumbo dawa natumia za vidonda vya tumbo lakini wapiii. Mwaka wa 2 sasa ni kukohoa tu😭😭😭 dr help me
@Noahlembris-zi6co10 ай бұрын
Dokta naomba namba nikwelekeze kwa umakini
@salimakuyela7813 Жыл бұрын
Naomba namba ya doktari tafadhali🙏
@MonicaSepeku-oy4mu Жыл бұрын
Dr naww basi upoke simu watu wanamatatizo umeweka namba lakini upokei kaah😢
@annakimario-rw6rd Жыл бұрын
Mm naitwa anna nipo dar es salaam naumwa tumbo atari usiku silali nimepiga utrasaund mbili nimeambiwa ni vidonda vya tumbo pia aside nyingi dawa nimemaliza ila bado tumbo lina niuma sana naomba msaada
@HalimajumaKhamis Жыл бұрын
Umepata dawa
@joyceshandu24004 жыл бұрын
Naomba namba yako Dr
@salvanandsonsfinanciallimi28312 жыл бұрын
Msiwe mnaweka miziki anapokuwa anaelezea dokta maana usikivu unaatofautiana Kati yetu
@joyceshandu24004 жыл бұрын
Namba ulioitoa kila nikipiga majibu inatumika sasa Mimi niliomba kuhusu tatizo la acid Mimi ninalo Na kikohozi cha muda kipo natamani nikuone wewe mwenyewe
@marysilver75504 жыл бұрын
Dr mi koo linanikauka sana na matonsi pia
@saidhatibu95653 жыл бұрын
Kama mm
@tinahwilliam1918 Жыл бұрын
Mimi piah
@rosehaule676511 ай бұрын
Huyu Dr yupo.mluganzila hosp nenda hapo muulizie😂😂 pole
@rehemadickson87303 жыл бұрын
Doctor naomba nisaidie kwa hapa Arusha nitawapataje Hilo tatixo ni la muda mrefu nimeenda kila hospital wameshindwa
@alimachutv6297 Жыл бұрын
Tuna pataje namba za simu
@consolatasimon3163 жыл бұрын
Dr namba haipatikan, namm ninahili tatizo, naomba Nijue upo hospital gn
@halimamvungi12 жыл бұрын
Hio namba sio ya Dakari ,ni namba MEDICAUNTA, ila ukiwacheki what's up anajibu
@OttoMsovela-sk7blАй бұрын
Yupo hospital ya MLOGANZILA anaitwa Dr Godlove
@kelvinchaula50753 жыл бұрын
Tibayake ninini?
@BenterMwende3 ай бұрын
Mmi nimeishi kusema nimerokwa kabisa yuu nikitumia dawa akuna kusaidika
@cialyzool89492 жыл бұрын
Jmn mm acid inantesa,,, mwil unaishiw nguv moyo unaend mbio nahs kma nakosa pumz , Kuna muda nashindwa kubeua ..tusaidiane kitu gn kinasaidia kupunguz acid
@emmaculetemussa46192 жыл бұрын
Yn wewe ni mm mpaka nakuwa nahis kufa
@immakulethamussa16012 жыл бұрын
Jmn wewe kama mm mpaka moyo umeanza moyo umeanza kulipuka mwili unaishiwa nguvu kichwa kinauma kiufupi CNA Aman kabisa
@MariamMariam-of9mr2 жыл бұрын
Kama Mimi jamani
@marthapeter8246 Жыл бұрын
@@MariamMariam-of9mr kama mimi jamani nateseka sana
@ummuhamadi9217 Жыл бұрын
Mm pia jmn nasteseka
@susanmuriuki1472 жыл бұрын
Asante sana kwa kazi inzuri. Number yako dactari. Mimi niko Kenya.
@pendojohn99942 жыл бұрын
Namba dockt
@karimkassam571 Жыл бұрын
Tumia homa prozo
@sakinahamza53252 жыл бұрын
Mm kidg nafuu mana ilikuwa hatali wamenitowa mpk matonses vidonda vya tumbo shikamoo
@apainyange8512 Жыл бұрын
Ukitumia dawa gani jamani
@apainyange8512 Жыл бұрын
Tusaidiane
@DaynaTemba Жыл бұрын
Tusaidie jamani na sisi
@Noahlembris-zi6co10 ай бұрын
Dokta naomba namba yako nikwelekeze kwa umakini Sana kuusu vidonda vyangu Mimi ya vimekisili
@clementselestine53082 жыл бұрын
Namba.....
@sophiatengeza80102 жыл бұрын
Noted
@gladyskitonyi66363 жыл бұрын
Mnapatika wapi?
@tumpemwaijande8074 жыл бұрын
Mimi nilifanyiwa kipimo cha endoscopy niliambiwa ninamichubuko kwenye koo la chakula na njia ya chakula imesababishwa na asidi nyingi tumboni nikapewa dawa lakini hakuna mafanikio naomba msaada nateseka kwani mpk sasa meno yote yanauma na masikio yanaziba
@b2kmohammed2024 жыл бұрын
Na mm pia nna hilo ttzo hata cjui nifanyeje
@neemaeppah29924 жыл бұрын
Ulifanyiwa wapi mm muhanga
@tumpemwaijande8074 жыл бұрын
@@neemaeppah2992 nilifanyiwa hospital ya ikonda
@neemaeppah29924 жыл бұрын
Pole sana
@tumpemwaijande8073 жыл бұрын
@@neemaeppah2992 vp wangu ulipata shuruhisho la tatizo lako my dear?
@wilsonemanuel99152 жыл бұрын
Jena nikila mbonga mbonga kwa wingi Vp hapo
@ruqayahaloraimi40075 жыл бұрын
Habari doctor. Mimi ninalo Hilo tatizo na pia Niko Oman unaweza kunisaidiaje angalau nipate advice. Kwa kweli madoctor wengi hawayajuwi hayo.
@neemaeppah29924 жыл бұрын
Kabisa wengi hawaelewi ,wanaishia kutupa midawa tuuu mpaka nimechoka
@aishakhadija40024 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh VP ruqaya ulipata ushauri kuhusu acid unisaidie na mm please
@rosedickson82023 жыл бұрын
Nishada
@jokhaabdallah77244 жыл бұрын
Jaman tunaomba namba ya huyu Dr au tuelekezeni hospital aliyopo na jina lake pia
@kelvinchaula50753 жыл бұрын
Hata ukipewa no.yake kuipokea Simi yako kaziipo
@halimamvungi12 жыл бұрын
Nenda hospital ya MLOGANZILA ,sema nata kuona daktari speshalist wa Koo ,au kama unamtakq huyo anaitwa Doctor mfuko
@lrene4442 Жыл бұрын
Dokta naomba namba yako jamani me nadalilizote nisaidie mimi jamani
@sharifumanili86274 жыл бұрын
Badilishen namba za simu Mnazo zitoa kwani ni zangu
@NuruSaid-w9s Жыл бұрын
Doctor iko kipimo huwa ni shingapi ukipiga cm hupokei
@azizaalnaamani7532 жыл бұрын
Jamani mnaporusha vipindi muhimu km hv mnatoa namba km huyu dkt wengi tunashida tunataka tumueleze matatizo yetu hatujui tutampataje namba mlio weka hapo haipatikani
@raymondbudodi47663 жыл бұрын
Mimi pia nateseka Sana na hii shida,Aisee Dr.nakupataje?
Dr. Tuandikie izo dawa tukanunue wengine tuko mbali
@PaulineNerima-kq5tf4 ай бұрын
Huyu Daktari ni wa kenya
@BeatriceFarasi3 ай бұрын
Tanzania
@aishtan27454 жыл бұрын
Shukrani
@missmoona44972 жыл бұрын
Dr mim nina shida na ww napataje namba zako?
@ndeshilema3392 жыл бұрын
Dr Nina tatizo Hilo na ni muda mrefu naomba namba yako tafadhal
@kambalegulbert2102 жыл бұрын
Godd
@joyceshandu24004 жыл бұрын
Hiyo namba haipokelewi
@dinacharokiwa48492 жыл бұрын
Huo mziki uatupotezea kumsikiliza vizur doctor
@marymaleko5377 Жыл бұрын
Hogereni tunaomba huduma yenu kuwapata kukoje.
@khaulaalliy88762 жыл бұрын
Sorry tunaomba namba za uy doc
@jijiomar24303 жыл бұрын
Niko na hiyo shida kwa miyaka 16 nashindwa kupumua kila ifikapo usiku haswa naweza kuwapata wapi plz
@mahmoudsaleh2303 жыл бұрын
Pole xana
@mwanasaidi50922 жыл бұрын
Vp ulipona
@mozeebinorgenes55274 жыл бұрын
Naomba no yako doctor ninashida ya acidi nyingi tumboni
@neemaeppah29924 жыл бұрын
Jamani ni tatizo la wengi mm mpaka nikila tumbo linaniuma Sanaa,hata kutembea naumia mpaka kichwa kinauma Sana
@tumpemwaijande8073 жыл бұрын
Vp kaka ulifanikiwa kutibu tatizo la asidi nyingi tumboni
@tumpemwaijande8073 жыл бұрын
Vp ulitibiwa tatizo lako kaka? Unisaidie na mimi ulitibiwaje?
@agnesmwita24743 жыл бұрын
@@tumpemwaijande807 vp dada umepata tiba maana na mm ni hilo tatizo linanisumbua sana.
@tumpemwaijande8073 жыл бұрын
@@agnesmwita2474 nope namba yako may dear
@anitakidola38204 жыл бұрын
Je acid ikiwa nyingi mwilini, inaweza kusababisha vichomi kwenye moyo na presha kupanda ?
@lovederyare67562 жыл бұрын
Ndy mwaya nilipata hali kama hyo ila nikakaa sawa
@annamartine98542 жыл бұрын
@@lovederyare6756 ulitumia nn
@lovederyare67562 жыл бұрын
@@annamartine9854 amoxxiline 4 na omeprazole 1 asubuh na jioni kwa cku 10..
@lovederyare67562 жыл бұрын
@@annamartine9854 kama una vidonda vya tumbo lakin ndo unatumia dozy hiyo
@macstar36084 жыл бұрын
docta mimi nina tatizo hilo pia naomba no yako
@edgeredson96915 жыл бұрын
Tunaomba muwe mnatuondolea huo mziki madaktari wakiwa wanaongea
@easherfaith64664 жыл бұрын
Dr.tunaomba no jamani tunaumwa
@agnesmwita24743 жыл бұрын
@@easherfaith6466 ulipata namba ya huyo doctor dia?
@pudensianachristopher6239 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Mwanaisha-h4h3 ай бұрын
😂😂
@kamuuaristarick59542 жыл бұрын
Nataka namba zako
@zuwenanamoo47764 жыл бұрын
Doctor naomba namba ya sim manake mie sipati amani kakiba kwa tatizo ili ninalo na pia niko huku zanzibar
@emmanuelshadrack46143 жыл бұрын
Hello
@mahmoudsaleh2303 жыл бұрын
Zuwena namoo . Habar ulishakwenda hospital kupimwa tatizo lko.
@samsonkomba14395 жыл бұрын
Mimi koo langu linashida iv sicheuwi vzuli km vile limeziba ivi navyokula chakula maji y kunywa yawe jilani sijajua titzo nini nisaididie dr
@sakinahamza53252 жыл бұрын
Umepona mwenzang
@stailekiko15125 жыл бұрын
Tunaomba namba yako dr, tunashukuru, ila hili ttz naona madr wengi hawalijui tiba yake.
@dafrosaprosper71655 жыл бұрын
POLE SANA NO YA DACTARI HII 0713 159133
@isentrudikomba58254 жыл бұрын
Naomba namba tafadhali
@roselynerwezaula85192 жыл бұрын
Jamani jamani docta kwenye watu wakusaidia zaidi nimimi .yaani ukiniangalia ulimi utakimbia.sauti ilishabadilika meno yanaoza nimeshangoa meno matano .nikupate je jamani .Doctor watoto wangu ni wadogo sana
@nurukiukila78622 жыл бұрын
Mimi nina hiyo shida ya acd inaninyima raha
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Pole
@rehemadickson87303 жыл бұрын
Doctor samahan Bibi yangu anasumbuliwa Sana na tatizo la tumbo kujaa gesi imesababisha Hadi koo imekuwa na vidonda na sasa hv anashindwa Kula kitu chochote je nifanye nini niweze kumsaidia aweze kupona
@sakinahamza53252 жыл бұрын
Bb amepona
@futureboss63152 жыл бұрын
rehema dickson kwel
@MarianaMwansanga-tz5ho Жыл бұрын
Loo! Nina miezi 8 kooni kama kuna kitu limekwama makohozi alafu hayatoki koo Kukauka mwili unaisha nguvu joint zinaregea
@MunaMohammed-j3m11 ай бұрын
Matibabu yake ya ges sijayaelewa
@amadeusgerald62533 жыл бұрын
Ekenywa Hospital wanatibu hii shida..wamebobea kwenye E.N.T
@mazikuboniface12063 жыл бұрын
ipo sehem gan iyo hospital
@velejilyomhongole16412 жыл бұрын
Hii hospital ipo magomeni
@upendokereti28222 жыл бұрын
Kweli kabisaaa
@tunsumemwakinyuke6612 жыл бұрын
Huna namba zao utusaidie tujue tunafikaje na dharama zao mm nipo mbali kidogo ili nijiandae kuja
@dariaevance42582 жыл бұрын
Ni miezi sita Sasa nahangaika bila mafanikio,nahisi kama kohozi kooni ,ukitoa halitoki,ukila nikama chakula kinakwama,na kupaliwa ovyo ovyo