Mimi niko na miaka 40 likua nikiona hedhi kwa mwezi siku 7 lakini sai naona siku tatu na niko mbali niko Qatar jee izi ni dalili zanini mana niko na wasiwasi sana
@jafaryjey4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Umependeza
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Kumbe dokta
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ya kukoma kwq hedhi ni mwanamke haoni siku zake nalijuwa hilo
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Dokta anaelezea vizur
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Kwel wengine kwaajil ya dawa za uzazi hata mama ilikuwa hivyo zilikuwa, zinakata akapewq dawa zikaja akazaa
@mabrukimohd52833 жыл бұрын
Ahsante nimekuelewa sana doctor mm pia nimefikia hy umr