Aisee Mkuu wewe ni mwalimu mzuri zaidi unaweza kuwafunza wengi na wakakuelewa kwa ufasaha
@swahiliyoga2 жыл бұрын
MUNGU azidi kukupa ujasiri
@swahiliyoga7 ай бұрын
Asante sana , nuru na baraka kwako
@DeusKapaku15 күн бұрын
💪✌️✌️peace
@gracienjenga633 Жыл бұрын
I feel privileged to have received your teachings first hand 😊, you are a great teacher keep shining your light to the world.
@swahiliyoga Жыл бұрын
So much energy of love to you, can't wait to host you in dar es salaam
@gracienjenga633 Жыл бұрын
@@swahiliyoga I will be there someday, may the universe align 🙏🏾
@simolomomy9 ай бұрын
Mimi na kwelewa sana nwalim wangu aise umenibadilisha san ubalikiwe ❤❤🙏🙏🇧🇮🇧🇮
@swahiliyoga9 ай бұрын
Nafurahi sana kusikia hayo
@masoudbasheer Жыл бұрын
Azaboy I have subscribed you
@amosluchagula11152 жыл бұрын
Kaka hii hata kwa mtu anayetumia bangi inaendana nieleweshe kaka samahani lakini
@josephineshija104 Жыл бұрын
You are a good teacher..
@swahiliyoga Жыл бұрын
I'm very grateful
@vionjo4735 Жыл бұрын
Nice
@muhidinmangu34562 жыл бұрын
Good broo
@linturenatus35492 жыл бұрын
Asante kaka,,
@swahiliyoga Жыл бұрын
Karibu sana
@davidTentacion310410 ай бұрын
Piece
@ashimuvitaav16432 жыл бұрын
Naitafuta hiyo
@InspirationalChickens-cf7uu5 ай бұрын
🎉
@GudylerChuwa Жыл бұрын
Nikupate vipi kaka
@MarySimoni-tz3fm Жыл бұрын
Nimekuelewa
@MasPromise9 ай бұрын
Naomba number kaka
@swahiliyoga7 ай бұрын
Naomba chukua kwenye page ya instagram: Swahili Yoga
@hadijablacktiger81672 жыл бұрын
🧘🏽♀️🌹
@SylvesterLuhamba-gi3bc Жыл бұрын
Nahitaji kujifunza maditation zaidi nikupate wapi? tofauti na mtandaoni?
@tunukaduma3642 Жыл бұрын
Kama mwili wako unavifungo unawza fanya na ukapata matokeo
@shazmoontv2 жыл бұрын
Naweza pata namba yako naitaji kujifunza mengi
@swahiliyoga2 жыл бұрын
Karibu katika IG account @swahiliyoga
@ttfggv83994 ай бұрын
❤🤲🙏🏻😅🇰🇪🇰🇪
@RealConstable-h2d10 ай бұрын
585
@MasumayMziray8 ай бұрын
Samahani kama unaanza unaeza kaa siku ngapi ili uweze
@swahiliyoga7 ай бұрын
Ni zoezi endelevu
@SamwelJoseph-yk3cw4 ай бұрын
Yoga ni ushetani,,,, hundred percent
@SangaliPower2 ай бұрын
Kasome tena ulipojifunza kisha njoo tena
@kenethmaluba2305Ай бұрын
Pole sana
@Asiyedjali7 ай бұрын
Mwalimu kufanya meditation kwasisi tulio mbali niatakiwa kufanya nini kiongozi?
@swahiliyoga7 ай бұрын
Ukitaka kujifunza kuna online classes za private
@swahiliyoga7 ай бұрын
Follow instagram page : Swahili Yoga
@madahaman54026 ай бұрын
Hivi hii meditation sio kuabudu miungu?
@ce-085 ай бұрын
😂😂😂 waswahili bhana utafkir hizo Dini zingine wanajua uhalisia wake wakati wameletewa tu
@SamwelJoseph-yk3cw4 ай бұрын
Tumeletewa na nani? @@ce-08
@johnzacharia2 ай бұрын
Swali zuri Sana kaka, mi mwenyewe nahisi nijambo la kiroho na lazima kunanguvu ya rohoni inahusika unapofanya Jambo hili, sayansi za kiroho nje na roho wa Mungu nihatari sana