Mfalme wa Singeli ni Meja Power ukibisha Tunakupiga tupo nje ya Muda.
@ZainaHalifa5 ай бұрын
Meja kuna ni mmoja tu ngoja tukupe mauwa yako🎉🎉🎉💛💛💛💛💚💚💚💚
@dominicmasele7504 ай бұрын
Yeah..deserves to be Young Africans Anthem!! Wimbo mzuri sana kwa kwel
@MtunziProperties5 ай бұрын
Meja umechelewa sana kuja Yanga alooo, hiii anthem ni funga mtaa kabisa
@ZaiMbilo5 ай бұрын
wela wela welaaaaaaaaaaa yanga oyoooooooooooooo jamani nikiwa Qatari nikisikia nyimbo za yanga hata kazi yamwalaabu naiyona nyeeeeeeepesi kbs
@ibrahimsarai96385 ай бұрын
Qatari ya wap
@ibrahimsarai96385 ай бұрын
Nije nikutembelee
@kelvinherman82115 ай бұрын
mtani hapa mmeuwa nyimbo kalii sana 😷😷😷😷😷
@lukiusdeogratias74932 ай бұрын
Mimi simba ila hii nyimbo ni boraaa sana 👆👆👆
@giftMwacha4 ай бұрын
Yanga mbele nyuma mwiko ❤❤
@gelaldlivifile93915 ай бұрын
Hiii ndo Ngoma ya yangaa inasifa zotee kuliko nyimbo zotee
@eidmwaroko37815 ай бұрын
Nyimbo kali sana nyimbo aizungumzii mtu zaid ya timu ni nyimbo ya kudumu san 💪💪💪💪💛💚💛💚 toloka uje we toloka ujue
@khadijaselemani21855 ай бұрын
Furahia wkt uliopo rafiki, zote ni kali💚💛💚💛
@MauaDumba5 ай бұрын
We naeee😂😂
@GeofreyKalo-ot3we5 ай бұрын
Wengine lazima waimbe za msimu kutokana na wachezaji tulionao kuwapa Moyo ukiwataja vile wanafarijika, Sio kosa kuwataja najua umemanisha nn , kondeeee hoyeeeee!
@victoriajames58634 ай бұрын
kabisaa yaan
@ColinsNgabani5 ай бұрын
Hii nyimbo ni zaidi ya wasanii kumi kama una amini gonga like please ❤❤🔥🔥🇹🇿🇹🇿
@happysakuya73945 ай бұрын
Hakuna ktu
@happysakuya73945 ай бұрын
😂
@raiszongo41365 ай бұрын
Hii sasa ndio Young African anthem ❤❤
@veronicageorge48535 ай бұрын
Wabogo hamlali nikajua ntakuwa wa kwanza 😂😂😂😂nipeni hata like sasa🤣🤣
@boazmwaitenya55035 ай бұрын
We huogopi yanga Yan nihatari💚💚💛💛🥰🥰
@nshimirimananoella68835 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😊
@AlfaBige4 ай бұрын
wanaogopa haooo
@kusuboy39255 ай бұрын
Duuuu!! Hiki kigoma kina vibe balaa duniani🎉
@sabrinakassimu5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥💚wewe huogopi
@JabrahMimi5 ай бұрын
Haya Chupa limeamka na chaiii🔥🔥
@qwirinishao10035 ай бұрын
Hii inafaa kuwa anthem ya yanga kabsa
@HadijaOmaryMsalaАй бұрын
Hii nyimbo ingekua ya Simba ingeetrend mpk 2040 lkn mmhh imebum
@TatuHusseni-hs7mu16 күн бұрын
Jua umeikubali na wew ndo maana umeongea hivo 😂😂😂
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Wakwanza leo mmeuwa sana wanangu❤🎉🔥
@hubamwachome97695 ай бұрын
Mmakonde chiniii😂chupa lmeamka n chai hilo😂😂😂💔🔥🔥🔥
@malietamaliet5 ай бұрын
Tulikosa wasanii kama uyu tuna nyimbo nyingi ila nizawchezaji inaisha utamu haraka Asante Nenga na Meja🎉🎉💛💚🇹🇿🔥
@rahelkaria67755 ай бұрын
Mumeuaaaaaaaaa kweli kilabu kubwaaa🔥🔥🔥🔥☄☄
@HasanibakariSheshe3 ай бұрын
Jamaa anajua Sana napia Ana good voice kamaunaunga mkono link
@Mwammytz-m7o5 ай бұрын
Aaaah nimerudia rudia Jamn 😊 nzr sana
@Sadock-r65 ай бұрын
Meja meja ndo unavyoimba
@MobigoMobigo-x1y5 ай бұрын
Bonge lanyimbo 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@KondoYoussuph5 ай бұрын
Hii Ngoma naifananisha na Ile diamond aliyoimbia makolo..Ngoma qaliiiiii...toloka ujeeeeeeee
@kwisa48995 ай бұрын
we nawe tuliza umalaya wako na huyo D wako punguza shobo
@DJSAMMOVIES_TV5 ай бұрын
Ilaaaa Sisi Yangaaaa 🔥🔥🔥🔥
@renzodetergent33545 ай бұрын
👐👐👐 tar 04 hapatoshi
@FahadBurhan-dl9ik5 ай бұрын
Young Africans Sc Daima mbele nyuma mwiko..
@karimkibasa20015 ай бұрын
Hii sasa ndio ngoma ya yanga!
@NassoroSipemba4 ай бұрын
Hii nyimbo ni zaidi ya Ubaya Ubwela.
@mullermnyama28955 ай бұрын
King 🤴 singelii🙌🙌
@Verenabashasha-cm4sm4 ай бұрын
Nyimbo hii kauawaaaa💃💃💃💃💃
@IslamuAbdallah5 ай бұрын
CHUPAAA HILI MWISHOOOOOOOOOOOOOOOOOOO MAMIYAKEEEEE
@ayoubndekela19185 ай бұрын
Young african anthem 🔥
@abduljumaame84105 ай бұрын
mejaaaaaaa brother
@PopMoney-e3z3 ай бұрын
Hii nyimbo nimesikiliza zaidi ya Mara 50
@issamustafa15655 ай бұрын
Yangaaaaa
@PanchoValentino-wh7wt5 ай бұрын
WANANCHi hii Ngoma Kaliii SAANA aisee MEJA UNAJUA Blood 💥💯🔥
@YaainMustafa4 ай бұрын
Hiii ngoma kali cn💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@rashadnadhiru5 ай бұрын
Waleteeeeeeeeee Waleteeeeeeeeee Waleteeeeeeeeee
@AmisaMsewa-fd7ji5 ай бұрын
Toloka uje 🏆🏆🏆🏆💚💚💚💚💛💛💛💛💜
@khalidiibrahim35485 ай бұрын
wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
@officialritchie47085 ай бұрын
Hilo n lijimbo likubwa sana dadadeki😊
@MwanakherKhalifa5 ай бұрын
Meja ft billnenga bonge la nyimbooooooooo💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
@HelakridiWella2 ай бұрын
Leo ndio derby😂😂😂 nitapiga sana huu wimbo tukishinda😂😂😂
@ashanzenzely31214 ай бұрын
💛💚💛💚💛💚💛 nyimbo hii itadumu mana hakuna mchezaj aliyetajwa inadumu jmn🎉🎉🎉
@AnthonyShirima-z6vАй бұрын
No matter what happens........tumefungwa kimoko na azam lkn naburudika na my team
@shedadiabdul6545 ай бұрын
Bingwa💛💚🖤🏅🏆📢📢📢📢📢💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@TabuSebastian5 ай бұрын
Goma la kwendraaaaaaa woiii🔥🔥🔥💚💚
@stewardwega5 ай бұрын
YANGA 💚💛 gonga like
@madinasenyange5065 ай бұрын
Manina hii jimbo unaweza ombea mkopo walahi❤❤❤❤❤❤❤❤big up meja kunta na Billnas
@DosieNenenene5 ай бұрын
Oya sema meja Na nenga Wameua kichiz Afu saut zao kama pacha vile 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@allanlucky44605 ай бұрын
Wa kwanza LEO 😂😂😂😂
@JabrahMimi5 ай бұрын
Ko Me ndo wa kwanza 😂🔥🔥🔥🔥
@SuleimanFaki-s5h5 ай бұрын
Toroka ujeeee wananchiii
@MarijaniSadala3 ай бұрын
Anajua sana dogo 👏👏👏
@THEOKASERWA-s7y4 ай бұрын
Nyie hamuogopi 🔥 🔥😪🙌🙌
@RamiaAlly-j2y5 ай бұрын
🔰🔰🔰🔰 yangaaa TAMU
@NataliaKenny-vb6os2 ай бұрын
Yaaan li chino limenikera sana ata ahsante hamna kwa mario
@eliudhezron1815 ай бұрын
Anthem ya yanga hiii
@JoyceMaya-n9o3 ай бұрын
Oyaaaa me nyimbo iihii kila siku nasikilizaga
@IqramMwanah5 ай бұрын
Nyimbo ya kuishiii haijatajii MAJINA nakubaliiiii sanaaaaa
@NassoroAhmada5 ай бұрын
Bil Nenga kapita vizur sana hongereni sana
@AnnaMchami-n6k5 ай бұрын
weweweeeee!!!!! 🙌🙌🙌
@MtunziProperties5 ай бұрын
Hili goma ni next level
@AdidjaHassan-k5j3 ай бұрын
Nakupenda mpaka naumwa
@JanuaryJohnMhanzi4 ай бұрын
Ngoma n kali sana🎉🎉
@LudovickMhina4 ай бұрын
Meje ni jini wa singili TZ
@moodysoprince5 ай бұрын
Saaaafi sana tumechoka nyimbo za kutaja majina sabb wachezaji wana Tabia ya kuhama🔥🔥🔥
@rollandentertainment735 ай бұрын
Dude la kwenda hili, bonge la ngoma tutatamba nalo 🔥🔥🔥
@MwajumaMaulidi-p2uАй бұрын
💛💚💛💛💚💚 Toroka uje jangwani
@AdidjaHassan-k5j3 ай бұрын
Sauti tu mm mwangu homa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mena kunta
@annatemu67354 ай бұрын
Uko vizuri kwa Jana umetisha wimbo umeenda mjini
@annabanene65675 ай бұрын
Wananchiiììii
@mbarakashabani35745 ай бұрын
Yangaaaaaaa rahaaaaaaaa🎉
@prosperpeter86425 ай бұрын
hili sasa ndo goma sahihi la wananchi🙌🙌
@mrfesto64805 ай бұрын
Nyie kua yanga raha sana hivi lile goma la Harmonize mmeliskia au kuliona?
@seciliamchalo56275 ай бұрын
Yaani bonge la goma
@ZiabbuMussa-j8n3 ай бұрын
Nyimbo nzuri sanaaa Wana nchiiiiiii
@kudramzee57695 ай бұрын
Hii ndiyo inatakiwa kuwa nyimbo ya yanga
@IddyNchama4 ай бұрын
bonge la wimbo
@kelvinherman82115 ай бұрын
ni nzuri sana hapa mmeshinda kwenye nyimbo ila mpira safari hii kazi mnayo
@ayoubpaul66245 ай бұрын
MEJA NI MMOJA TU🔰
@AmandaFelix-xf9vq5 ай бұрын
Umeua mwanangu hatari sanaaaaaaa
@dinoboyarnold6615 ай бұрын
Oya Hatariiiiii
@fundiseif10965 ай бұрын
WANANCHI 🔥🔥🔥🙌🙌🙌💪
@chagudaniel80375 ай бұрын
Sema hapo kwenye ametamka jina lake kama mara 3 ivi angetamka wanachii independent zaid,