VIONGOZI NA SISI WATANZANIA KWA UJUMLA NI WAONGO SANA, WAVIVU SANA, WACHAWI NA WASHIRIKINA MNO, WANAFIKI NA WABINAFSI SANA, MAFISADI WAKUBWA, TUNAONGEA TU ILA ULE MOYO WA MAENDELEO YA NCHI HATUNA. HATUMJUI MUNGU WALA HATUPENDANI.
@henryj330417 күн бұрын
And that is very sad kwakweli
@charlescharles637516 күн бұрын
WACHAWI SANA😂😂😂❤
@sabinaonline657516 күн бұрын
Machawa ndio tatizo na bado unawapenda Machawa
@isdorchuvu628017 күн бұрын
Wakaitupe tu isije ua watu bure ..
@Zengeni-gz8fe18 күн бұрын
Sw ila furaha yangu kwamba hakuna maafa yaliyotokea.pia kila la kheli kwenye kuimalisha chombo cha usafiri nchini tz.hii ni jinsi gani mnasamini maisha ya abilia wenu🫡🙏
@CharzPeter-qc2vk17 күн бұрын
Wew unavoona December 26 ilikuw jumatano au unataka kushusha brand kubwa ya Ayo tv
@thehustlerafrica436818 күн бұрын
Mv Serengeti niliipanda one time bonge la meli
@shadymbuki8716 күн бұрын
Duh..sio MSCL tena sikuizi ni TASHICO!!?
@cheiknamouna205817 күн бұрын
Kwa mbali linaonekana kama gofu hebu liondoeni tu jamansaivi kuna meli mpya za kisasa😂
@MdNasr-jm8pj18 күн бұрын
Ishashoka hiyo 😢
@nicodemuskecho3918 күн бұрын
Kiswahili sanifu ni kutitia, au kuzama?
@teresiagama357818 күн бұрын
Imezama au kudidimia sio kutitia. Kutitia ni udongo
@youngchyna74418 күн бұрын
Haya mambo yameshatabiliwa yanatokea 2025
@FredrickFilbert17 күн бұрын
Duuuuuh,
@matanokitwana324917 күн бұрын
Hujuma hizo
@mangolehs241917 күн бұрын
Sawa tumeiona imetitia kwenye tope
@HarunaaSadallahh18 күн бұрын
Uzembee!!!!!!
@MasanjaNyanda-p1w18 күн бұрын
Mmmh him meli si ilikuwa imeanza kukarabatiwa imekuwaje au ngojera tu
@florencemeza654018 күн бұрын
Meri zimechoka jamani toka mimi nasoma secondary ukerew 1988 mpaka leo?
@zuberinyenzi198218 күн бұрын
Nina umri wa miaka miwili kipindi hicho 🤔🤔
@paschalcharles361718 күн бұрын
Kuma meli Moja ya kwenda ukerewe iliwahi kuzama usiku ikiwa kastam mwanza imeegeshwa TU mlinzi anaamka asubuhi haoni meli😂
@asl629518 күн бұрын
Rudia kusoma kabla ya ku post 😂
@avitusmichael517 күн бұрын
Kaitaja😅😅😅@@asl6295
@majurakipanda99917 күн бұрын
Mv clarius ni meli Ile imepigwa na upepo wa ukerewe na mawimbi ya ukerewe
@dulaomar553718 күн бұрын
Hiyo meli imechakaa Tuuze vyumba tu
@halimaali28218 күн бұрын
meli ya zamanii saaaana tangu tuko nassary mpaka tumeolew watt wetu wako chuo bado tu melihiy kauzenuvyuma chalavu
@HarunaaSadallahh18 күн бұрын
@@halimaali282 sio kweli dada ! Hiyo mv serengeti ina umri sawa meli mv liemba inayohudumia lake tanganyika????
Hiyo hata ikitengenezwa, sipandi humo labda wabadilishe jina 😂😂😂😂😂
@valenakomba768618 күн бұрын
UZEMBE TU HUO.KWANI MNAJUWA GHARAMA ZAKE?.
@Aida-qh3jq18 күн бұрын
Wanaonesha wananchi ili mishahara ibande kwenye mifuko yao uzembe tu huoo mkumbe hata Kwa mwenyezi mungu hamna nafasi Duniani mlochezea mali ya umma unafikiri Kwa mwenyezi mungu upate huna
@BarakaKusalula18 күн бұрын
Kwanini wasilitoa wauzie watu vyuma chakavu
@JAMBOBoy-v3k18 күн бұрын
Meri za miaka
@AbdallaAbdalla-p6x18 күн бұрын
kwa nini wanachafua mazingira wangetoa wakauza chuma chakavu
@allymaimuna868818 күн бұрын
Na hapo haina watu
@rlh-tz18 күн бұрын
ukarabati au meli mpya
@shebbynzengula699318 күн бұрын
Kutitia au kuzama 🤔 nyie bhana
@homeandaway281118 күн бұрын
Ni maneno mawili tofauti, yes imetitia.
@shebbynzengula699318 күн бұрын
@@homeandaway2811 mie ninacho jua kutitia ni ardhini
@emmanuellupiga18 күн бұрын
@@shebbynzengula6993kweli bwana kutitia ni nchi kavu majin ni kuzama