MFAHAMU MZEE ALIYETREND MTANDAONI, TUMEFIKA MPAKA KWAKE, KAFUNGUKA "MIMI SIO MCHAMBAJI"

  Рет қаралды 130,967

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Mfahamu Mzee Kisauji mwanamuziki aliyeanza kujihusisha na muziki toka miaka ya 70, hivi karibuni video zake zimekuwa zikitrend mtandaoni kutokana na maneno aliyokuwa akiongea na kupelekea kuitwa mchambaji, sasa AyoTV imefika mpaka kwake na kufanya naye mahojiano. PLAY kupata taarifa kamili.

Пікірлер: 271
@hamiduothumani6394
@hamiduothumani6394 3 жыл бұрын
Huwa siangaikagi vitu Kama hivi nakuwa nafikilia huwa wanafta comments kumbe hii ni Moto mzee nimekuelewa wewe ni Moto, anaekubariana nami like yako hapa
@hassanjuma6254
@hassanjuma6254 3 жыл бұрын
Kwa mara ya kwnz, ndio nimekutana na interview yenye akili kwa upande wa wazee wetu, He is a very Genius.
@babloomkisauji2818
@babloomkisauji2818 3 жыл бұрын
Beside everything I LOOOOVE ayo tv from ma heart 🥰🥰🥰🥰
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Good job big brother message from USA neworleans
@kareemsukri3256
@kareemsukri3256 3 жыл бұрын
Genius I'm from kenya well done kakangu
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 жыл бұрын
Piga kazi baba tupo tunakusaport vijana tunapenda darsa yako pamoja na huo wimbo anashepu ya box la karata anahasira za maumbile hahahaaaaa ❤❤❤ akichezea wembe mwanche umkate ndio atapoujua makali yake.
@k.kswitzerland4168
@k.kswitzerland4168 3 жыл бұрын
He is big mind man..God bless you..ur really
@digitalworld5577
@digitalworld5577 3 жыл бұрын
Seif Kisauji mara ya kwanza namuona mwaka 1991 na bendi yake ya Babloom Modern Taarab
@rahelkiteka
@rahelkiteka 3 жыл бұрын
Ndugu ya nao Bob Jr et eee?
@gabriel77186
@gabriel77186 3 жыл бұрын
namjua huyu mzee nilimsikia best western yuko vizuri sana kwenye kuimba live
@eka_nobility
@eka_nobility 3 жыл бұрын
Babuu kisaujiii ...nakusikiliza jaj #Sababu ya ulofa #TopC
@TheTemba1
@TheTemba1 3 жыл бұрын
Mzee ana upeo mkubwa sana when it comes to age group, anaweza tena kuwa mwigizaji mzuri sanaaa
@robertnicholaus5219
@robertnicholaus5219 3 жыл бұрын
Uko vizuri wabongo. Awajielewi babu
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Ananichekesha saaana uyu mzeeee tiktok 😍😍😍😍❤💕
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Baba etu wa kambo yuko vizuri..kula raha mwaya.kwaza kila mtu na kaburi lake🤣🤗@box la karata ni fireeeee.
@willeydavid2108
@willeydavid2108 3 жыл бұрын
Half kumbe lizee linaakili ndovile tu watu wanamchukulia poa
@luganochelwa2707
@luganochelwa2707 3 жыл бұрын
Mzee nimekuelewa sana, na uko sahihi kwa asilimia 💯% I like your talk 🦜 styles 👊👊
@tittopatric6688
@tittopatric6688 3 жыл бұрын
Nakubali mzee uposahihi pambana mzee wangu
@trickyjosia4326
@trickyjosia4326 3 жыл бұрын
Tatizo moja wabongo wanapenda kuchulia mtu powa
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 3 жыл бұрын
Kisauji sio mzee bwana kazaliwa 1964 bado si mzee.nakumbuka enzi za mujra.
@blacknature3691
@blacknature3691 Жыл бұрын
Mwaka 2018 mwenyewe alisema Ana miaka 59
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 3 жыл бұрын
Uyu mwamba me amenimaliza kusema life is starting at 50,mtamu sana then mzee wa ndizi anaonekana pia,
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
Mtamu?🥴
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 жыл бұрын
Twende nalo kisauji😍😍😍🥰
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 жыл бұрын
😂🤣😂 yajayo yanafulahisha mzee Mzee ana watoto kibao mke hana huu ni uhuni ILA ANA MANENO YA AKILI SANA ANAONGEA VIZULI SANA
@davidjerry2554
@davidjerry2554 3 жыл бұрын
Baba wa kambo🤗🤗🤗
@happynesskasanda7275
@happynesskasanda7275 3 жыл бұрын
Nampenda anafurahisha
@wakanaiautogaragecarpaints7753
@wakanaiautogaragecarpaints7753 3 жыл бұрын
Aisee baba angu umenipa somo zuri sana kwenye kwenye kupambana maana kwenye mapambano ya liziki yanachanga moto sana maana hata mie wakati naanza kutumia mtandao nikawa na post picha za kazi ninazo zifanya huwa watu wana nitusi sana na kunita mie tapeli lakin sijawahi kujibu hata siku moja
@mickeytv3691
@mickeytv3691 3 жыл бұрын
Sana babaangu uko vzur sana
@ilhamkarama9518
@ilhamkarama9518 3 жыл бұрын
Umetisha babaangu ndo wanavyotaka wabongo dah box la karata 😂😂
@Safinatulshifaa
@Safinatulshifaa 3 жыл бұрын
MZEE WETU KWANZA A.ALAYKUM, SHUKRAN AYO
@isadivanny
@isadivanny 3 жыл бұрын
Njooo kwenye youtube yangu kusikiliza nyimbo yangu mpya ya (Boksi la karata) 😅 Kutoka kwa mzee wa tauro
@Abdi-ej8fb
@Abdi-ej8fb 3 жыл бұрын
Mpira sio haraamu hio ni maoni yako mzee ,hakuna sheikh amesema haraamu ,ila club zile za uingereza watu wanaamini kuna mambo na freemason so don't lie
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 3 жыл бұрын
Tuma link
@isadivanny
@isadivanny 3 жыл бұрын
@@masakaupdate1488 ingia youtube kwang
@isadivanny
@isadivanny 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pV7cd6Frra-GpcU
@isadivanny
@isadivanny 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pV7cd6Frra-GpcU
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
Yeye wa 11 wa mwisho siyo mzee Ni MTOTO
@japhetlust5050
@japhetlust5050 3 жыл бұрын
🤣
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 3 жыл бұрын
🤸🤸🤸
@tabithakomba6051
@tabithakomba6051 3 жыл бұрын
Yani Sana ni mtoto
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
Lastborn
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 3 жыл бұрын
Lastborn 😂🤞
@ezraamasawe6423
@ezraamasawe6423 3 жыл бұрын
Good mzee
@hamishalidy9090
@hamishalidy9090 3 жыл бұрын
Mzeee apate ulinzi wa majeshi ya umoja wa kimataifa UN
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Kwamim nikiwa naumli uo ndajita mzee au babu ongela sana kwa kutokata tamaa
@bbablack9080
@bbablack9080 3 жыл бұрын
Respect kwako mze ✊🏿
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 3 жыл бұрын
Subhna allah
@mickeymorric9131
@mickeymorric9131 3 жыл бұрын
Kiukweli tangu nipo la 3 naisikia babloom morden taarabu ilikua bonge la band pia aliwahi kuimba nyumbo na mzungu huyu hana njaa tangu enzi wala atafuti kiki kuwa na mzungu miaka ya tisini kiki tosha kula raha baba maisha umeyatengeneza mwenyewe
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 3 жыл бұрын
Nampenda huyu baba
@japhetlust5050
@japhetlust5050 3 жыл бұрын
Kipaji Amezekanacho mzee
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 3 жыл бұрын
Nimekupenda kk upo vzr
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 3 жыл бұрын
Hivi kwakweli wabongo mnapenda huongo awewe mzee mzina na ndevu zamvi ati watoto wako walichukia hawajalala sikumbili kweli?wasilale kisa unatumia mitandao na uzee huu duh very sad 😥
@younglady118
@younglady118 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio mzee huyo...yaan ni mziwanda huyu
@limajblessed7132
@limajblessed7132 3 жыл бұрын
Babloom kisauji kila nyimbo ya bob junior ikianza utamsikia lkni wabongo munamjua Leo kwa kueka team kiba na diamond mbele
@mwinjanavil
@mwinjanavil 3 жыл бұрын
sio babloom kisauji pale bob junior anatamka "BABUU KISOJI" na sio huyu mzes yule ni mmoja kati ya watu wake waliokuwa wanamsapot kimziki
@mwanakomboakwilombe5716
@mwanakomboakwilombe5716 3 жыл бұрын
@@mwinjanavil 🤣🤣🤣🤣mwambie uyoo
@badigrandson1728
@badigrandson1728 3 жыл бұрын
Nashangaa leo..na wanongo
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc 3 жыл бұрын
Huyu ni mdogowake na babuu kisauji
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Hakuna unachojua ww yule n babuu kisauji sio babloom alf tz mziki wa biashara na wamaana upo WCB tu
@topmusicpro1838
@topmusicpro1838 3 жыл бұрын
Upo vzr tz bado tupo nyuma sana
@ibnayub2374
@ibnayub2374 3 жыл бұрын
Siku atanyoa ndevu zote sijui ata pata wapi aidia 😂
@frankmbaga7826
@frankmbaga7826 3 жыл бұрын
Dah bongo siamiiii
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
Huyu Mzee Baba nakumbuka nyimbo zinazotayarishwa na Producer Bob Junior huwa anampaga promo pale nyimbo inapoanza utasikia 'Babloom Kisauji' kumbe ndio huyu, ni yeye aiseee...😄😄😄
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Mtanga maneno kazi ya kawaida ukileta shombo hapo ndio kwake
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Nakubal sana baba mshahar lak 3 bongo siami
@christianlutare6309
@christianlutare6309 3 жыл бұрын
Kwanini
@hermesmoha2970
@hermesmoha2970 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jZ-bZZyGacibnqM
@gracejulius3966
@gracejulius3966 3 жыл бұрын
Huyu Mzee ni hatari, napenda confidence yake
@danielhaule155
@danielhaule155 3 жыл бұрын
Very smart
@willeydavid2108
@willeydavid2108 3 жыл бұрын
Ujue vitu hivi hata sio vyakushangaa😂😂 chukulia mfano tu Aristote or mwijaku or sudbrown or juma lokole hao wakizeeka unazan watabadil tabia? I love my country 😂😂
@fatumazakaria9982
@fatumazakaria9982 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 umeongea
@shakilaabdallaherio5617
@shakilaabdallaherio5617 3 жыл бұрын
Kwel kabisa wanaanziaga mbal😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@vlogvlog8522
@vlogvlog8522 3 жыл бұрын
Kabisa tuvumilie tu ndio nchi yetu I love na watu wetu😂😂😂
@biyakabiyaka2696
@biyakabiyaka2696 3 жыл бұрын
Bongo si Hami aseee🤣🤣🤣🤣🤣
@abbyjma7355
@abbyjma7355 3 жыл бұрын
huyu ndo babuu kisauji wakongwe tunamjua ila tulikua hatujui kwa sura
@ramadimbegu7996
@ramadimbegu7996 3 жыл бұрын
Babu wangu wa kambo😁😁
@saidasaid5855
@saidasaid5855 3 жыл бұрын
Eti sio Mzee basi ana miaka 18
@nrecords7222
@nrecords7222 3 жыл бұрын
Mzee wangenga huyu hafai kwakweli 🤣🤣🤣🤣
@nickjustin2023
@nickjustin2023 3 жыл бұрын
Mzee katisha🤣🤣🤣🔥
@saleh15muhammed46
@saleh15muhammed46 3 жыл бұрын
Kumbe uyu mzee akili Hana kweli
@brysonngullo6724
@brysonngullo6724 3 жыл бұрын
Mzee wa mjini
@mr.samfacts5975
@mr.samfacts5975 3 жыл бұрын
Kam hujagundua huyu ni baba yake hakika rubeni hhhh😂😂😂😂
@evakalinga7216
@evakalinga7216 3 жыл бұрын
Kweli kabisaaa🤣🤣🤣
@armanichicandow1225
@armanichicandow1225 3 жыл бұрын
mzee tupo pamoja. achia ngoma tunaisubiri kwa hamu
@alidslv9883
@alidslv9883 3 жыл бұрын
Ishatoka mbona bibie
@babloomkisauji2818
@babloomkisauji2818 3 жыл бұрын
Ipo KZbin channel yangu @Babloom kisauji
@alidslv9883
@alidslv9883 3 жыл бұрын
@@babloomkisauji2818 video lini unatoa kiongoz
@alidslv9883
@alidslv9883 3 жыл бұрын
Hujambo armani
@saramosesy7816
@saramosesy7816 3 жыл бұрын
Mzee kanikosha Sana Kwan mtu anapangiwa cha kufanya bhn na cm ni yake na mb ni zake kila mtu apambane na Hali yake
@bongoflix2743
@bongoflix2743 3 жыл бұрын
Huyo ni msanii mkubwa sana, huyo alitamba na taarabu kabla hata ya Mzee Yusuph.
@sadasaid4408
@sadasaid4408 3 жыл бұрын
Wa kwetu Tanga one hiyo
@maimunabakari1654
@maimunabakari1654 3 жыл бұрын
Jaman😢
@gynae8407
@gynae8407 3 жыл бұрын
Watanzania nahisi asilimia kubwa hawataiona pepo mana tumejaa maneno ya kuhukumiana. Yani utadhani kuna watu wana rejesta ya majina ya watu wote Mungu huwa anawanesha kuwa huyu hayupo na huyu yupo, tazameni wevi na wanyanganyi wanawatangulia kufika mbinguni. Stop judging people.
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
Kabisa Kaka
@fadhilsaid1702
@fadhilsaid1702 3 жыл бұрын
fadhil said' tatizo hawamfahamu seiff kisauji wakadhani ni boya,huyuo jamaa ni msanii kweli na siyo wa klubahatisha ana sifa nyingi labda leo nikupe mbili tu, jambo la kwanza anapenda mahindi machanga jambo la pili hajazoea kyulala mapema. kama na wewe popo kama bakula nadhani unakutana na kisauji kumbi na bar zote za kukesha
@fadhilsaid1702
@fadhilsaid1702 3 жыл бұрын
kaka tupo pamoja mim sijaona kosa lako, endelerzza sanaa sema ile naiuguza nyonda liumix acha, alafu yule binti mwimbaji wako yupo mikono salama na atafika mbali labda nikwambie hakuna mwimbaji wa kike hapa tanzania anayeweza kumzidi
@allysalim4779
@allysalim4779 3 жыл бұрын
Imeisha hiyoooooooo💥💥💥💥
@rajabalfarazliganja397
@rajabalfarazliganja397 3 жыл бұрын
Kaka upo vzr yani kesi ya kuli imalize kikuli😂👍
@janewashe7276
@janewashe7276 3 жыл бұрын
Anaongea kama watu wa Mombasa Kenya
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Siunajua TANGA na Mombasa wanaingiliana majirani
@hassanramadhan8978
@hassanramadhan8978 3 жыл бұрын
Hata mimi nilidhani ni mkenya
@husseinsoud3045
@husseinsoud3045 3 жыл бұрын
Mdigo mwenzetu
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Hii inaitwa TANGA raha MOMBASA raha
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 жыл бұрын
Mombasa iko kenya hata ambaye hajazaliwa anajuwa...wewe vipi ? Unakuwa kama hukumaliza la 7
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 3 жыл бұрын
Kuna umri ukifika inabidi ujisalimishe kwa Mungu Wenda ukaingia peponi
@mohammedsururu4047
@mohammedsururu4047 3 жыл бұрын
Sanaa
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Hyu ujanan kwake Kuna kitu alikiruka
@litclass7178
@litclass7178 3 жыл бұрын
Acha bange.
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 3 жыл бұрын
Kwani umri gan Maalum wa kujisalimisha kwa Mungu tujuze hapo🤔🤔🤔
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 жыл бұрын
Rudi kwanza wewe...eti umri....hovyooo????
@abdullahaji6165
@abdullahaji6165 3 жыл бұрын
Hatuhami bongo
@Safinatulshifaa
@Safinatulshifaa 3 жыл бұрын
MTANGA MWENZANGU MOLA AKUZIDISHIE ELIMU NA AFYA PAMOJA NA MWISHO MWEMA MTOTO MWACHIE NEPI...BOX LA KARATA HII NI FIREEEEE
@hamid2540
@hamid2540 3 жыл бұрын
Me naogopa hata ku comment nisije nikatungiwa wimbo
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Hahaha
@genevivermambo4000
@genevivermambo4000 3 жыл бұрын
😂😂😂
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 kabisa mara shape box la Brenda 🤣🤣
@halimah.halima9263
@halimah.halima9263 3 жыл бұрын
Ndo Usha comment tayari😂😂😂
@lispamagu5810
@lispamagu5810 3 жыл бұрын
Mzee upo vzr
@samirsalim5861
@samirsalim5861 3 жыл бұрын
huyu mzee apewe ulinzi na picha za mchoro apewe mkandarasi ajenge pale kituo cha WCB
@allymuhamadahmadahmad793
@allymuhamadahmadahmad793 3 жыл бұрын
Kkkkk kwely pale wcb panahitaji mkandarasi
@nembua
@nembua 3 жыл бұрын
Pambania kombe dini zipo namungu ndie mkubwa kuliko uyo shekhe namungu wetu sote na ndo kaleta vpaji nakila kitu mungu anakusimamia mzee ndomaana unatoboa then nimejifunza k2
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 3 жыл бұрын
Kumbe kisauji...mbona huyu mkongwe sisi tunamfaham...
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Babu wa Tiktok, nakukubali sana Babu 😀😀😀
@benhanclove5997
@benhanclove5997 3 жыл бұрын
Mzee wa michambo insta ana mitusi akiwa bafuni huyu na lile taulo lale lile weacha tu yani😭🤦🏿‍♂️
@mariamuanuari8241
@mariamuanuari8241 3 жыл бұрын
At shepu Kama box la karata 😆😆
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 3 жыл бұрын
Bongo move na tamthilia watakaomchukua huyu mzee watamfaidi
@rahelkiteka
@rahelkiteka 3 жыл бұрын
Nimecheka wallah😂
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 3 жыл бұрын
Endelea songa mbelee babaa
@najmanassoro308
@najmanassoro308 2 жыл бұрын
💖💖💞
@lordinnocentmeela7596
@lordinnocentmeela7596 3 жыл бұрын
Wise Man😎
@zatflytv9900
@zatflytv9900 3 жыл бұрын
Mzee baba
@sifa-ly2zy
@sifa-ly2zy 3 жыл бұрын
😥😥
@neemamwambe4127
@neemamwambe4127 3 жыл бұрын
Mashaallah anasauti muruaa kabisa
@mussakhamis8624
@mussakhamis8624 3 жыл бұрын
Ok nakuoata fresh umenifurahisha hasira za umbile
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 3 жыл бұрын
Aaaasuu hayo maumbile yako yananipendeeza niwe nawe hadi milelee🙁hatari Sana enzi hizo
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Chuma hiki.hogera
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 жыл бұрын
Seif kisauj..duuuh HB wa enzizileeee...babloom😅
@angelntandu661
@angelntandu661 3 жыл бұрын
Dah zee linachamba hili
@johnstoneemmanuel8029
@johnstoneemmanuel8029 3 жыл бұрын
Ukilisôgelea linakukomesha ni moto
@aminajuma9854
@aminajuma9854 3 жыл бұрын
😀😂😂😀😂😂 eti box la kalata😂😂😂😂
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
Huyu alikua,babloom modern taaeab Tanga na walikua wanapiga sana bara bara ya 12
@allykabelwa2769
@allykabelwa2769 3 жыл бұрын
Boksi la karata
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Daaa et kama box la karata
@muddymwakatika8659
@muddymwakatika8659 3 жыл бұрын
Hii ni kweli hata mimi mshahara wangu laki 3 lakini matumizi mmmh
@ibengamustafa8114
@ibengamustafa8114 3 жыл бұрын
😭🥵😞
@shanishabani5927
@shanishabani5927 3 жыл бұрын
Eti mwenye baba yao wachukue simu jamani watu wanavituko
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rajabukandiranimekubaliupo9725
@rajabukandiranimekubaliupo9725 3 жыл бұрын
Box lakalata😄😄😄😄😄
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
😂😂😂eti kama box la karata
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 3 жыл бұрын
Nkajua pekee ýàñģù aiseè msalaan au bafun kuna ideas ķàmà zote
@naimachionda8855
@naimachionda8855 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
Namna hotuba ya Mzee Mwinyi ilivyoleta faraja kwa wafiwa
18:54
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 54 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 111 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
Alikiba - Wosia Wa Magufuli (Official Video)
4:03
Alikiba
Рет қаралды 1,1 МЛН
Soudy Brown, Mwijaku Watimba Nyumbani kwa Barnaba na Raya
28:12
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 326 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
NAUGUZA NYONDA
5:12
babloom kisauji
Рет қаралды 154 М.