Рет қаралды 601,715
#Mchezakwao #Rosemuhando #Startv
Fatilia mahojiano haya yakwake Rose Muhando kupitia kipindi cha Mchezakwao ambapo ameweka wazi mikasa na mazito yote aliyopitia katika maisha yake mpaka hapa leo alipo akiwa amefanikiwa kusimama tena.