Mr mpagaze, are you able to read through your books and then sell the audio version. I would be faster buying. Otherwise reading is giving me challenges.
@MariamPesambilimtumaarufu-u1yАй бұрын
Nitajifungua mtoto wa kiume nimuite edger
@rwegizajeni9 ай бұрын
Rip Gaddafi😭😭
@JaphetCaptain-tq2dv Жыл бұрын
Yes thank you bro. Good blessed him. Na alale salama rest in peace 🙏
@FatnaAlly-hm1xc11 ай бұрын
Maashaallah
@rwegizajeni9 ай бұрын
Rip Magu wetu😭😭
@StephenNjuguna-dx8sh Жыл бұрын
Kwa kweli huyu ndiye angeiokoa Africa kutokana na utumwa
@LaizerRokoine-hs9xx Жыл бұрын
Utakumbukwa kwa mema uliwalipa mmbaka mishahara bado wakakuuwa mungu akutuzee
@danielmgomo717 Жыл бұрын
Aliuawa kwa ujinga wake, aliua wapinzani na kuwazika kaburi moja, alikuwa na dharau zilizouudhi viongozi wote duniani eg alisafiri na vyakula vyake ,mahema yake eti vya huko anakoenda ni najisi, alimsaidia Idd Amin kwa kumpa zana za kuiangamiza Tanzania kwenye vita ya Kagera, aliwapokea na kuwapongeza vijana watatu wa Libya waliolipua ndege ya Amerika ya Pana Anam Airway na kuua abiria wote kule Lockbie London na hapo ndipo ukawa mwanzo wake kupalilia kifo chake.Gaddaf alikuwa mtu mwema sana kwa raia wake lakini upande wa pili wa shilingi huyu hakuwa na tofauti na shetani na kifo chake alistahili kufa.
@user-rb2po5ne2m Жыл бұрын
Hivi libiya ndo iraq ya Sasa au
@ummyremmy-pc9cy5 ай бұрын
Libya ni nyingine na Iraq ni nyingine si inchi moja Libya bado iko wanasota mbaya wanajuta majuto ya firauni
@jimmygiliad62224 жыл бұрын
Kwakweli hii ndo hii Libya
@mosesmzakwe77743 жыл бұрын
MUNGU AENDELEEE KUWAADHIBU WALIBYA KWA KILE WALICHOMFANYIA GADAFI,HATA KAMA ALIKIWA NA MAKOSA LAKINI HAWAKUPASWA KUMSALITI ILI OBAMA AMUUWE KWA FAIDA YA WAMAREKANI.
@mosesmzakwe77743 жыл бұрын
NI KWELIII VYAMA VYA SIASA VINALETA UTENGANO ILI KUWANUFAISHA WAZUNGU. WAZUNGU HAWATAKI WAAFRIKA TUISHI KWA UMOJA
@richardbernard27169 ай бұрын
Sijui wa Afrivca tunarogwa na nini kwanza tunajisaliti, then tukipewa suit tunalamba miguu ya wahuni
@ZefaniaBoniface-id2ry Жыл бұрын
Inauma
@abrazakkimonje5656 Жыл бұрын
mwamba wa affrica huo
@user-gt7dv4mx4k11 ай бұрын
Cku zote chema hakidum
@jumannegeorge5594 Жыл бұрын
Africa unity
@jamesnderi92102 ай бұрын
The white aims never fails
@sociallylifestyle2023 Жыл бұрын
Historia ya Fidel Castro
@user-re7jz9wv9f Жыл бұрын
Good in huh
@user-mt8sr5kr1b Жыл бұрын
Natani kuandikamengi yakuumiza kuhusu upumbavu uliotujaa watu wa afirika ila naombatu mungu awekaribu nakuwatianguvu wa afirika wenye akili zakuitete afirika Gadafi tutakuombea upuzikaji mwema 😂
@aniakomba8626 Жыл бұрын
Nikajua waagize kwa bili yako
@bonheurNimbeshaho-qy7sy10 ай бұрын
Shuja huooo
@MwanzalimaLeonard8 күн бұрын
Tuwakumbuke viongoz mashujaa wa afrika waliotambua madhara ya ukoloni mamboleo!
@user-oq3yr2hl2h7 ай бұрын
Lala salama usihof tupo tunakuja
@daudimusoma3337 Жыл бұрын
Kweli waafrika tumelogwa. Watu wa aina hii tunawaua basi TU. Jpm tunakukimbuka
@richkinji2583 Жыл бұрын
Aligoma kujifunza kiingereza wakati sisi kama hujui lugha ya kishetani unaonekana hujasoma hakika bado tunautumwa wa kifikra sana