Wamezoea kubebwa leo refaa sio mnafiki katenda haki
@YoweTawessaКүн бұрын
Nakukubali Sana mwamba, ww nimchambuzi mzuri Sana wa soka big up 2 you👍
@GabrielAmma-jp1ooКүн бұрын
Simba juzi na yanga siyo wameshindwa ila yanga kayoko alikuwa wa 13 uwanjani faulo za kibu ndani ya box mara 3 hata 1 asione kweli?
@AbisinaRashidi-c8dКүн бұрын
Hatimae wachawi wameliwa kiboga na kunyanduliwa na Azam fs
@MACHOYATAI-jk6fuКүн бұрын
Mi naona yanga wanabebwa SANA
@simonnjovu586Күн бұрын
Nawe nenda kabebwe. Yanga akishinda anabebwa, wengine wakishinda mnajifanya mnajua mpira. Timu zote kwa namna moja au nyingine wamefaidika na madhaifu au makusudi ya waamuzi.
@sadfanKhalfaniКүн бұрын
Friji bovu ww jamaa ni jinius ktk ucambuzi kwangu ni the best.
@maryaernest3554Күн бұрын
Yanga Leo wameenda kuloga na kufungwa juu ingekuwa ni azam wachawi wasinge weza kuweka walinzi kama wanataka kuloga
@gerowadamwandika669Күн бұрын
Yanga leo imefungwajeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@MillanFAHMIКүн бұрын
Akuna cha mapunziko ayo ndo mazoez leo sio siku yao tu na leo muamuz nimemuelewa sio mnafiki
@TomasiklistophaMwinukaКүн бұрын
Yanga wanaroga sana mpaka shetan sasa kawakataa ,kununua marefa mpaka wamewazoea nabado
@aminaomari2312Күн бұрын
Shule ni muhimu sana,simba alipigwa faini south kisa uchawi leo unamuona yanga mchawi?hovyo kabisa
@maryaernest3554Күн бұрын
Ndoo uchawi wao huo yanga maana wao kila siku matatizo Mala wapite Milango sio Yao alafu ndoo tuseme sio wachawi
@nassibMshanaКүн бұрын
Walizoea kubebwa ila wametanuliwa na ba bao moja la la adabu
@ShemandiaКүн бұрын
Watu wakisema yanga muelewe acheni ushirikina na propo Ganda Mpira haupoivyo cheza Mpira acheni fikra potofu
@FedrickHassan-e9dКүн бұрын
Kudadek wameshenyentwa wanasingizia kucheza Mara kwa Mara jaman utoporooo😢😢😂😂
@aminaomari2312Күн бұрын
Sio yanga tu hata simba wakifululiza mechi wanapoteza,muda utaongea zamu yenu itafika.
@JohnKifaru-hz9irКүн бұрын
Wewe FRIJI BOVU MPAKA LEO HUJUI KUWA MPIRA UNAOCHEZWA NA YANGA NI WA KISHIRIKINA TU WAKICHEZA KAWAIDA WANAFUNGWA
@zaidihussein4311Күн бұрын
Ilo friji bovu siyo mchambuzi ni kenge tu ujuwi mpira ww bwege
@frenkmmambale7533Күн бұрын
Kwan fruj bvu hajui kwamba yanga kapigwa faini kwaimani za kishirikina
@frenkmmambale7533Күн бұрын
@@zaidihussein4311 zid ya mechi ya simba yanga kapigwa milioni tano
@simonnjovu586Күн бұрын
@frenkmmambale7533 kwani simba haijapigwa fine? Tena na CAF CC kule kwa madiba? Timu zote za kiswahili wanatumia uchawi.
@aminaomari2312Күн бұрын
Acha kudanganyaa watu wenye akili timamu,hakuna uchawi kwenye mpira.
@joseKashindiКүн бұрын
Pengo la kayoko limeonekana leo
@aminaomari2312Күн бұрын
Ile mechi ya 5 - 1 alichezesha nani?acheni kupandikiza chuki za kijinga mnadanganya sana watu na machawa wenu hao.
@janethelly4986Күн бұрын
Yanga anafungiksa na wangekua washafungwa since ile siku na ken gold,marefaa ndio huwa wana wabebaa hao utoo,coz karibia kila mechi timu pinzanu inadhulumiwa kwa goli kukataliwa au penati kunyimwaa ,coast walidhulumiwa dhidi yao,simba wakadhulumiwa,ken gold,list ni ndefu mno lkn mwisho wa ubaya ni Aibuu ,dhulma na uchawi unamwishoo wake na bdo watalipia yotee 😅
@aminaomari2312Күн бұрын
Haya makosa ya waamuzi yamefaidisha timu zote,mechi za simba vs coast,simba vs dodoma,simba vs azam,acheni huu upuuzi wa kudanganya watu,mnaboa sana.Kama ni uchawi nyie hamkupigwa faini kule South?Hakuna timu isiyofungwa.
@AndrewMasasilaКүн бұрын
So mlisema kwamba afrika mashaliki haipo timu ya kuwafunga leo imekuwaje tena
@AndreaMsofeКүн бұрын
Mashabiki wamesema waendelee kuvunja sheria alafu watalipa
@jofreymhagule7505Күн бұрын
Upo sahihi mzeeya
@MohammadHashimuКүн бұрын
Nakuelewa sana
@Josephtibu-l9eКүн бұрын
UBAYA UBWELA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AlfredMpepoКүн бұрын
Wamefungwa na kocha anayeitwa tausi
@AnciscoKayomboКүн бұрын
Kikosi kipana acha kuwasebenza, Simba alitoka kucheza na Utopolo akaenda Mbeya kama Dar,kaenda Kigoma na ameshinda,hamsemi😮😮😮😮
@anithawidambe7543Күн бұрын
WAO WALIFIKIRI NI REFA KAYOKO ALIYEWABEBA SAFI SANA ARAJIGA
@TajiriPotiКүн бұрын
Ww ni shoga unaishangiria azam mke mwenzako na yanga
@HajiAliSaidКүн бұрын
Mchambozi kigeugeu
@aminaomari2312Күн бұрын
Acheni chuki za kijinga mechi ya 5 - 1 mwamuzi alikuwa nani?
@ATHANASLUKEHA-ui7pqКүн бұрын
Fridge bovu haujui kuwa Sheria ya mtu wa mwisho imebadilika,mtu wa mwisho,akizuiwa na beki Kwa maana ya faulo na alikuwa na asilimia 80 ya kufunga goli, hata kama anakutana na beki mwingine,KADI nyekundu itamhusu yule aliyemchezea faulo
@SalmaRashid-t9xКүн бұрын
Usiwagombezee friji bovu wamepigwa kimoko tu. Mnajisahaulisha simba imecheza mechi back to back msimu juzi na wala haikuwahi kulalamika. Yaani ilikua wakimaliza kucheza mechi ya club bingwa inaendaga mikoani na anacheza mechi tena tafu kabisa na haukusikia kulalamika
@FedrickHassan-e9dКүн бұрын
Wewe ongea ukweli aucho ndo bc tena maji yamezid unga akalee wajukuu jinja
@SophiaWaneneКүн бұрын
Wambie wajue kama hawajui bigap brother
@MalulaMgasaКүн бұрын
Waamuzi wakiwa wakweli yanga anafungika tena angeshafungwa siku nyingi.
@simonnjovu586Күн бұрын
Timu zote duniani zina first eleven, hakuna timu inafanya rotation bila sababu. Kwani kikosi cha simba au azam hakitabiriki? Hata Bayern, Mancity, Arsenal, Liverpool unaweza kutabiri vikosi vyao.
@RazaroMgalaКүн бұрын
Kwani ni yanga tu waliocheza back too back au ni team zote iyo sio sababu maana team zote zimechezwa kama ratiba zilivyopangwa.
@aminaomari2312Күн бұрын
Sio kweli fuatilia vizuri back to back ni ratiba ya simba na yanga tu.
@GabrielAmma-jp1ooКүн бұрын
Uchawi unahusika sana mechi za yanga umeona hizo faini walizopigwa ndugu friji bovu umeonaaaa?
@beatricembunda6168Күн бұрын
Asante Mungu,wenzetu walijihakikishia hawatafungwa,wanasahau hakimu ni Mungu
@aminaomari2312Күн бұрын
Hakuna timu isiyofungwa sema wanasimba mnaelekea kupata shida ya afya ya akili,hamko sawa.
@AngelmackieCharityКүн бұрын
@@aminaomari2312wana yanga mkitoa huo mwiko huko nyuma mtaeleweka😅
@AndreaMsofeКүн бұрын
Ufunguo umepatikana utafunguliwa kilamahali
@HhNn-f5sКүн бұрын
Utopolo leo wameliwa kiboga
@Innocentnyika-ml5trКүн бұрын
Yanga hii inafungwajee
@GrantsSamwelКүн бұрын
Muosha kaoshwa
@SmilingAirplaneWindow-vl6ykКүн бұрын
Marefa gsm kamati ya uamzi wote wanaharibu mpira
@AshaShariff-lr6ryКүн бұрын
Sio sbb timu ikiwa pungufu ndio huwa inacheza sana
@davismuzahula907Күн бұрын
Hakuna cha code, ondoa marefa njaa au boresha maslahi yao bhaasi. Arajiga ni refa amabaye tayari amejipambanua siyo vile vitoto na vitambi njaa