Mfanyakazi wa ndani nchini Oman afichua mazito | Mtanzania aishiye Oman awaumbua

  Рет қаралды 6,173

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 100
@MdOmane-yg9gi
@MdOmane-yg9gi 2 ай бұрын
Wewe baba ni mshenzi sana hujui wanayo pitia wafanyakazi bora unyamaze
@lavenalol5944
@lavenalol5944 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kaka angu huku mbona kupo poa sana ni nch kama nch nyingine tu ukija kwa malengo na kukaa na watu vizur
@rayahamisi118
@rayahamisi118 2 ай бұрын
Mm nipo miaka na mukaka nipo poa nimeona simuelewi naenda ubaroz
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Mashallah halima umeongea vyema,
@yussufmohamed5120
@yussufmohamed5120 3 ай бұрын
Muongo mienimekuja namkataba. Waseli kali na. Akina msada
@rayahamisi118
@rayahamisi118 2 ай бұрын
Ebu tafuteni habari nyengine omani kwani amna nchi nyengine 😊😊😊
@rayahamisi118
@rayahamisi118 2 ай бұрын
Jaopo sio mtz nimua Africa
@yussufmohamed5120
@yussufmohamed5120 3 ай бұрын
Muongo. Huyo kaka.
@amanisoli874
@amanisoli874 2 жыл бұрын
Yes 2peni dili wa2 Kama sis vichwa Ngum
@bernicewangui338
@bernicewangui338 2 жыл бұрын
I think waomani ni wazuri kuliko wasaudi towards watu weuzi
@rayahamisi118
@rayahamisi118 2 ай бұрын
Sana
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Mi nawashaur mtulie Africa kusikokuwa na manyanyaso
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Hakika umenena na kero zitaisha..
@user-zl5mt6lk4n
@user-zl5mt6lk4n 8 ай бұрын
yaan waarabu waswahili ndo wana shida kwasababu wanajua pesa yetu wanaona tunafaidi.....kwahyo anakupa pesa yake roho inamuuma......lkn waarabu wenyewe wala hawana umaskini wa nafsi
@hamishemed9396
@hamishemed9396 2 жыл бұрын
Wakenya wengi wanauwawa huko lakini nikama unavyosema wanaenda kwa mambo mengine sio kwa kazi za ndani kama wanavyodai wanachanganya na ukora haki ndio sababu
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Oman hakuna Wa-Kenya na kama unadai wanauwawa leta data kywa kuna M-Kenya kauliwa huku..Ubalozi upo na ttafadhali wasiliana nao ili upate picha halisi sio unaleta "Utumbo hapa" khasfu weye..
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 жыл бұрын
@@mzuvendi hawana kazi yakufanya hawa oman imewakera sana kwa wivu
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
Hapo kwenye kujaliwa mashaallah tumejaaliwa ata ukiwa mwembamba unakua na kashep flan ivi ukivaa nguo inakaa sasa Mwarabu hatak kuona unapenda
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Ukitaka kupenda siku ukirudi kwenu penda umtakae huku ulikuja fanya kazi sio kutafuta mkia!😁😁😁
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
@@mzuvendi shida so mkataba shida niutekelezaje mabos wengi hawafuati yaliyo kwenye mkataba
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
@@mzuvendi kupendeza sory🤣🤣
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 2 жыл бұрын
Mwarabu ni sheteni kabisa, mzungu ndio anajua haki za binadamu na mfanyakazi, mwarabu ana tabia za kishenzi sana tunawaona wanakuja hapa Tz kutafuta wa waganga wa kienyeji na kununua majini special wa oman
@evodiaeverist8675
@evodiaeverist8675 2 жыл бұрын
Kama unaweza niunganisha nisaidie nipatekazi huko
@zuwenahamoud6690
@zuwenahamoud6690 6 ай бұрын
wengi wamepata manufaa, lakini hawashukuru ,ndio kwanza wanawasema mabosi zao vibaya.
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
Kwakwel sinaga nidham ya uoga akizingua tunazinguana 😂😂😂
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Umeonaeeee
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Kwanza zingua hilo tumbo lako mengine yatafata!
@daynmengjamloo9719
@daynmengjamloo9719 2 жыл бұрын
Jmn mm ninaswali kwann ukifiwa na mama2baba au mtoto wanakukatliy kuondoka
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Wanakujueni waongo wengi wanatumia mbinu ya baba kafa au maama...
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
@@mzuvendi kweli wakishindwa kazi wanajidai mama kafa au baba au sikuingine atajidai kupandishe mashetani yote umalaya unawasumbua
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 6 ай бұрын
Wengi wao ni waogo wala hawa kulazimishwa kuja omani nawende nhi yengine silazima kuja omani sawa
@asiaboniface207
@asiaboniface207 2 жыл бұрын
mengine hayota
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
😀😀😀piga kelele kwa tz yakeee chezea tz ww hatuna uogaaa
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Ila waafrica hakika tuna matatzo tumekosa mioyo ya shukran, wafilpino,waindonesia,wasirilanka na wahindi hawafungiwi na hawana sauti Kwa maboss zao lakn ni wavumilivu hawajianiki kwenu mitandao na kuanza kulalama why Africa tumerogwa na nani kazi kuiga ujinga tu,
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Umenena khasa!
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 жыл бұрын
Maneno ya kweli kabisa
@halimasaidi1921
@halimasaidi1921 2 жыл бұрын
Kweli Kabisa yaan huku unatakiwa uwe serious na kazi na usiwe muoga sana ukiwa muoga ndo utateseka lkn ukiwa na msimamo wako akikwambia kazi ambayo haipo kwenye ratiba usikubali ukikubali tu basi we utaona kama wantanyaswa
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Kazi za ndani zinajulikana...na ukitaka kuishi na watu kwa wema njia ipo wazi..
@zuwenahamoud6690
@zuwenahamoud6690 6 ай бұрын
kwa vile heshima zao ni ndogo,mtu anahiari alete muhindi au indonezia.
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Kwel dada mshahara ulikua mdogo mnoo hata mie nilianza na rial 50 ...lkn ss alhamdulillah niko na 3 years na 7 months napokea 120
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Hiyo Rial 120 ni 120× Shs.5800= 696000 Shs. halafu wengine wanafanyia mzaha..
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
@@mzuvendi kutokujielewa tu lkn kam una tafuta kwl na una nia huwez fany mzaha
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
East Afrika wachombezi sana yaani mnahoji ubaya tuuuu! Hamkuona mazuri mengi mengine? Nimefurahi kuwa Halima kajenga nyumba na ana kiwanja aje tena na akijenge na nyie East Afrika mtabaki mnatokwa na mate!
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
😀😀😀😀hapo kwenye shepu ndio usisemee yaan ukiwa na wowowo ni kaz kwel kwel
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Kazi zenu si mnataka kuchanganya kuuza Wowowo na vingine!
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 жыл бұрын
Sio wote wana shepu ya wowowo wengine wowowo yamekauka hawana
@yussufmohamed5120
@yussufmohamed5120 3 ай бұрын
Muongo uyu nimshemzi
@yussufmohamed5120
@yussufmohamed5120 3 ай бұрын
Anaogopa. Kusema ukweli. Mpumbavu huyu
@amlimamouris..a9411
@amlimamouris..a9411 3 жыл бұрын
Ugumu wa maisha nadhan ndio tatizo kwa sisi ambao wanaenda nje kwa lengo la kutafuta maisha ila hua wanakutana na changamoto nyingi saana miongon mwao ni Kama hizi za kuteswa
@hggvhh6535
@hggvhh6535 2 жыл бұрын
Muongo wewe wao sio jeuli Tena wanatabia za ajabu sana
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Hakuna anaeteswa sheria hapa hazipindishwi kwa kutoa chochote chini ya meza..
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Uongo halima kama umesha kaa muda nao akikwambia nivumilie unavumilia usipotoshe wenzio
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 жыл бұрын
Kwanini hizo kazi za wasichana munamuuliza mwanaume tuulizeni sie huyo kaja juzi ss 2010 mpk 2022 hahahah tunaishi vinzur tushazoea tu hawa watu hawanashida
@Maryam-yt8lw
@Maryam-yt8lw 2 жыл бұрын
Kweli wana nyanyasa na lazima uwe muoga ndio wanajua kama kuna haki lakini wanatunyanyasa na kunyanyapaa
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Funga virago uende kwenu hukufungwa minyororo kuletwa kuhudumu kasumba ndio inawasumbua..mkifika mnadhani mtakuta kuna bar ktk kona mkapate moja baridi moja ya moto na washikaji..umekuja kikazi elekeza malengo yako katika kazi..ardhi kubwa tu Tz haina walimaji bora ukalime muhogo na viazi..
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
@@mzuvendi kweli kabisa abebe virago vyake hakulazimishwa kinachowaleta huku sikazi niumalaya tu walidhani huku kuna benki nawanaambizana kuna mabuzi huko wapi zamani ndio ɓlì
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Zilikua pesa zipo warabu wamejanjaruka nawanawatakia nini wabongo na wamoroco wapo wazuri
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Anachoongea huyu kaka ni kwel ...watz weng tuko na vibri mnoo kutaka kushindana na boss au madam ndio ttzo...ila hawa raia ni kuish nao tu na kustahamil maan tumekuja tafuta ridhk na Allah atunusuru na mitihan
@Salhiya-hr7dy
@Salhiya-hr7dy 2 жыл бұрын
Ata km ttz let wtzn tunajiangalia ss tu ambao tup nje hatufanyi kaz za majumbani emu kaeni na wat wanaofanya kaz za ndan muone mmb yanayokuwa msijisemee tu muarabu sio mtu wa kuenda nae kipole ni baadhi tu ambao ni waelewa acheni uwong msipate zambi
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
@@Salhiya-hr7dy wacha unafiki weye..utadhani ulionjeshwa unachokiandika..
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Na kingn kinachokera arabuni kutokupewa napumzika ktk kaz hilo tu ....hata kam hutoki watupunzishee tukiwa ndan tulale
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Ni haki yako kupumzika kisheria..dai utapewa..
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
Shida kumbwa inayosumbua wafanyakazi tulipo Oman utakuta makubaliono Yanakua tofauti mkataba unasema ata kuhudumia kila kitu lakin ukifika tofauti mahitaji hupewi stahiki
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Ni kwel kabsaa hilo usemavyo
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Sio kweli mkataba unapitiwa ubalozi wa Tz na ikiwa mwajiriwa hakuridhia si anaukataa? Ukisha sign ina maana ni hati fungani kwa pande zote mbili!
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
@@mzuvendi mangap wanapinga hawa raia ....kwa mfano likizo na imeandikwa kweny mkatab lkn hupewi...mshahara umeandikwa lkn mtu hukupa atakavyo je hilo karatas hata kam limetiwa muhur lkn mtu mshenz n mshenz tu
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 2 жыл бұрын
Huyu cool moods ni chakula cha warabu aiwezekani kuwatetea hivyo hili litakuwa juma lokole mchicha mwiba
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
@@emmanuelchiza7733 😀😀😀😀😀💃💃
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Hawanyanyaswi huwa hawafahamiani wafanyakazi vizuri ujeuri sasa kama hivyo ujeuri unategemea akutazame ulikuja umechoka mie nastaajabu sijui kwanini mnangangania kuja oman nahuko kazi ziko kwanini hamtulii kwenu naomba viza wazifungie tupate pumua bado unampango wakuja kama mnateswa kinawaleta nini simkae huko huko mnadundwa mpaka wangine wanakufa kazi uchawi ndio wanaoujua kuroga watoto wabosi namshahara elf 40 au 35 mkija huku midomo kama chuchunge loh mnayataka wachewawakomeshe ndiomtatia akili
@rayahamisi118
@rayahamisi118 2 ай бұрын
Sio kwabarua iyo nahisi mwarabu mswahili wazuri sio wote
@Salhiya-hr7dy
@Salhiya-hr7dy 2 жыл бұрын
Yaaan wtnz wachache wanaopat furah kweny nyumba za waarabu wanaona na watu wote wap.ivo ivo ss emu uliza watu ambao wanafanya kaz nyengn lkn wanawajua hawa watu lkn pia kuhus kuchukua passport cjui bataka sio haki kwan mikataba hawasomi wao wanasain nn kil ktu ni mali yk haituhusiwa kuchukua boss huy dada ni mnafiki sn na cjui km maboss zk hawajui kiswahil kun watu ata hawapumzik kun watu wanafanya kaz km punda wananyanyaswa na tunaona kwa macho ytu wat wapo wengn wananyanyasika na wasionenda na mikataba ya halali ni watanganyika ila wazanzibar wanatoka na mikataba halali na pia yanawakuta acha unafik ndg yng sema ukwly kwa mungu utaenda kuchomwa bure kwa uwong stupid nimechukie w.wke hatupendani kwly kusem ukwly ingekuwa nn pumbavu kbs
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Niulize mie nilokutana nao walopigwa na mwingine akavunjwa mkono 🤣🤣unafanya maskhara wewe bro aisee kumbe bado mgeni wewe huko Oman ndomaana unaelezea nusu
@Salhiya-hr7dy
@Salhiya-hr7dy 2 жыл бұрын
Ata km c mgeni pengn boss wk ni mswahili anaelewa kil ktu akiongea ni upuuzi tu
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Huyo alivunjwa mkono alikwenda uchangudoa yakamfika...huko vichochoroni..
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
@@Salhiya-hr7dy huna haki ya kumuwekea maneno mdomoni..uliosema ni yako mwenyewe..yaani hata yupo vizuri kikazi na mambo yake yapo vizuri mnataka aseme unavyotaka?
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
@@mzuvendi Usiropoke kujiongezea viroba vya dhambi my dear usifikirie wote waja huko kutafuta rizki basi wamekuja kuzini laahashaa hayajui kaa kimyaa,na kama unayakua usiyafiche qul haki wain kaana muraa,sema kweli,
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 жыл бұрын
@@mzuvendi 🤣🤣🤣
@evodiaeverist8675
@evodiaeverist8675 2 жыл бұрын
Jamani mimina itaji hiyo kazi huko Oman naitaji kazizandani
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
Unayo passport?
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
@@ruqayaruqaya4283 labda inch ingne oman wameblock watz
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
@@aminaamiri7684 watafungua
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
@@aminaamiri7684 na sio tz ni tz uganda Kenya naigeria ila watafungua tuombe mungu
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
@@ruqayaruqaya4283 sindan maan mie nipo huku na tumeambiwa na emv
@Maryam-yt8lw
@Maryam-yt8lw 2 жыл бұрын
Hawasemi kweli wanaogopa wanaona washtakiwa ila wana ficha mengine mateso yapo na afazal zipo
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Nenda karipoti Ubalozi au wapigie simu..watamtuma mtu wao ulipo..
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
Nakingine maajenti wanaboa sana ukikita tz anashindwa kazi ujue kunashida kubwa lkn ajent ukimueleza hakusikilizi kabisaa
@mzuvendi
@mzuvendi 2 жыл бұрын
Achana na ajenti wee njoo na mkataba wako mambo yako swaaafi!
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 2 жыл бұрын
@@mzuvendi achana na maajenti akishakukabidhi kwa bos hana abar na ww bos mwenyewe ukishampa mkataba anausoma nakuufungia kabatini utekelezaji niwachache sana asilimia kubwa hawapati huduma stahiki
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU
7:59
kazi dubai
2:33
SHARIF HODARI
Рет қаралды 5 М.
Venir vivre à #Oman #1: L'EMPLOI
18:40
My OmaniLife
Рет қаралды 55 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,7 М.
Mshahara wa mfanyakazi ndani , Oman, Saudi, Dubai..
8:05
Happy Housekeeper
Рет қаралды 11 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН