Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@ChukuMrido3 ай бұрын
Safi
@umsulaiman74686 ай бұрын
ManshaAllah Nadya mzuri
@yussufmohamed51206 ай бұрын
Kwaomani msije walabu. Wanaloho mbaya❤
@rayahamisi1186 ай бұрын
Omani ndio nchi mzuri warehouse safi wachache wenye roho mbaya
@rayahamisi1186 ай бұрын
Ila omani ukikuta mwarabu waswahili ndio utajuwa ujui
@rayahamisi1186 ай бұрын
Nilienda katal na dubei wee kugumu bora omani
@mundhirsalum215 ай бұрын
@@rayahamisi118 💯 Niko Oman 🇴🇲 warabu waswahili ndio balaa
@rayahamisi1185 ай бұрын
@@mundhirsalum21 mm kwawaswahili nimefanya duu wanamaneno na masomango nilitoroka sasa nipo kwa wa shashi bora awafanani na warabu mafuwa
@meowzna6 ай бұрын
Asante Sanaa Sister👏🌹
@MariamHaroon-pu3lx28 күн бұрын
Mimi naitaji kabisa
@fatimakabuei1796 ай бұрын
Umri wa kazi mbali na udereva
@zahararamadhanisalmu3952 ай бұрын
Kwenye kushika passport ukiwa Qatar hiyo ni uogoooooooooo big big uongooooooo piya Qatar🇶🇦 hakuna office
@ZeishaFuture6 ай бұрын
Jamani sisi wa domestic kingereza kinapanda tunaweza kupata kazi canada maana tunamaliza mikataba
@JamilaMohammed-n8n6 ай бұрын
mungu awafanyie wepesi
@AishAish-t1s2 ай бұрын
Kazi za ndani lazima muwe makini sana miwaelimishe sana mabos zenu wachukuwe watu wakubwa hawa wadada wa ndani wanawaitaji wadogo wakija huku wanawasumhua na wanaaza kuona wanateseka hizi nchi za wezetu wanakuja adi miaka 50 ila hawa wa kwetu utawasikia tuna taka wadogo ndiyo wadogo wapo wanaitaji kupambana ila wengine wanashindwa vumilia
@meowzna6 ай бұрын
Kweli tumepata Elimu👍
@Letsia-n1l6 ай бұрын
Kuhusu passport kwamba unakaanayo we huo ni uongo passport inakaa na boss
@irenemichael3 күн бұрын
Siyo wote dear hawafanan binadamu Mimi yangu nikonae mwenyewe
@AyubuAlly-g4fАй бұрын
Nahitaji
@ZeishaFuture6 ай бұрын
Wengine kwa sababu za usalama na mikataba ndo inasema passport inakaa kwa mwajiri❤❤😊
@OmanOman-dd5qk6 ай бұрын
Aslamu alaikum samahani ofisi zenu ziko wapi nambazenu tafadhali
@lailafakhihaji6 ай бұрын
Poland wenyewe wanakwenda uk German kutafuta kazi Canada wakimbizi wamejaa mpaka wenyeji wanalia kazi hamna
@fatimawazeer7016 ай бұрын
Pia Nawanaume zipo kazi kama ya ulizi
@lailafakhihaji6 ай бұрын
Bravo mtu atapataje visa bila kukamilisha vitu unatakiwa ukamlishe barua zote
@ZeishaFuture6 ай бұрын
Jamani ntawatafuta nikimaliza mkataba
@Mamas-06k6 ай бұрын
Nauliza, mnatafutia watanzania pekee, au na nchi zingine pia, kama kenya na zingine....
@gracekagoma32316 ай бұрын
Msiende k u wa house girl au boys Uarabuni.😢😢
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
Hilo tangazo wamesema UAE yaan Qatar UAE sio Qatar ni United Arab Emarates. Watanzania mpaka useme Dubai Ndio wanajua
@JamilaMohammed-n8n6 ай бұрын
dada ramda kampuni yenu rakini nchi kama omani ukifika tu bosi anachukua pasptl
@OfficialA836406 ай бұрын
Ulitakiwa uwe live ndy uulize haya maswali lkn hapa hakuna atakae kujibu
@OfficialA836406 ай бұрын
Ulitakiwa uwe live ndy uulize haya maswali lkn hapa hakuna atakae kujibu
@shamzone3886 ай бұрын
Soma coment utafaham
@NuruBomba6 ай бұрын
Mwarabu lazima uchukue passport
@JamilaMohammed-n8n6 ай бұрын
nakuhusu Grama mnamfanyia ofisi au
@aishatest44516 ай бұрын
jamani natamani sana
@Mariam-w9s3b2 ай бұрын
Shida maneno ni mengi vitendo ziro
@gracekagoma32316 ай бұрын
Acheni hiyo biashara ya housekeeping huko kwa waarabu .Hata Tz tunahitaji ili mradi serikali ifuatilie alipwe vizuri . Jamani Housekeeping kwa waarabu no. Hiyo ni ndoto waarabu wanachukua passiport.Utumwa tena unarudi.Hawa aki n a dada wawe waangarifu na serikali ifuatilie😮😮😮
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
Eeeh utumwa kwa mwarabu ndio tunajenga / kusomesha / kulisha familiya zetu ndg tz mtampa dada laki 6 mpk 8 ?
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
Hata Tanzania wananyanyaswa
@hafsasaif80046 ай бұрын
Wewe dada Acha Uongo passport unampa boos kabla Ujafika Ata nyumban kwake
@RahmaOmar-k3cАй бұрын
Anaona km hatujui
@NeemaRamadhani-wm8vv3 ай бұрын
Nahitaji kazi omani as house girl.
@abdallaahabdallaahibrahim67196 ай бұрын
Tunaomba namba za simu
@MAURIDSHABANI6 ай бұрын
Hi kapuni zili kweli
@umsulaiman74686 ай бұрын
Ndio tunachukuwa passport kwa sababu mnatoroka na ss ilitugharim pesa nyingi kuwaleta kama ukitaka kutoroka hakikisha umeondoka urudi kwenu ukatorokee huko huko lazima mufate Sheria za mchi mtulie kama mumekuja kufanya KAZI iwe KAZI zandani sio KAZI ndani na kudanga kwani msitulie mkaondoka kwa salama
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
Sasa mbona una hasira hivyo? Na ww ni shaghala tu wala sio boss 😂😂😂
@shamzone3886 ай бұрын
Jaman mbina hata ktk mashirika na mawizara pia zinazuuliwa passport mpaka ukitaka kwenda leave ndio utachukua na ukirudi unairudisha hakuna la ajabu
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
Yes ni kweli kabisa. Ulivyosema.
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
@@shamzone388ni kweli kabisa sijui kwanini wanaona ajabu.
@zenaahmad-ki7wu2 ай бұрын
naitaj kuja uko naomb unisaidie ili nije kufany kaz
@Letsia-n1l6 ай бұрын
Tena ukifka tuu kabla hata ya salamu anakwambia naomba passport
@Oman-bt4yh15 күн бұрын
Ile umekuja tu kuchukuliwa airport unaitishwa passport dubai Qatar na Saudia
@JamilaMohammed-n8n6 ай бұрын
Kila siku tukiwapigia cm mnasema bado
@AyubuAlly-g4fАй бұрын
Napaje kazi me passport nipo nayo
@JamilaMohammed-n8n6 ай бұрын
kwahiyo kama sisi turio jaza fomu tangia mwaka wajana mpaka rini hiyo safari
wautize hawo kina dada Mimi Nina ndugu zangu tangia mwaka wajana wamejaza fomu mpa Leo hatuwasomi
@Letsia-n1l6 ай бұрын
Hao ni waongo yani wakushakufkisha kazi tuu hawana mda na we wanataka pesa tuu
@HanifaOman-oo4pl6 ай бұрын
Mmmm!!!
@HanifaOman-oo4pl6 ай бұрын
Nendenitu mkajionee kwa machoyenu. Dunia imeisha kilamtu anavutia kwake nipesatu ubinaadam hakuna hao. Ukiwaona kama watu kumbe binaadam moyonikwao msaadashida ukipata matatizo
@GhardesGh4 ай бұрын
Pumbavu
@JamilaMohammed-n8n6 ай бұрын
Assalamu Allaaeykumu
@rayahamisi1186 ай бұрын
Kuna nchi mbili ngumu izo kuliko ugumu mwenyewe katar na dubei ndio awaangali kabisa mkataba na kugumu kuliko weee kiliniramba
@ZenaZena-vx2ee6 ай бұрын
Oman ipo hivyo inakamata paspt
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
Duniya nzima boss anakaa na passport ikiwa kazi za ndani au company passport inakuwa na boss. Sio Oman tu.