MFAUME amnyea MWAKINYO/Amebaki na TAARABU tu/Amefulia/Nataka pambano nae BURE

  Рет қаралды 37,855

Rick Media

Rick Media

Жыл бұрын

Bondia #MfaumeMfaume ameweka wazi matamanio yake ya kupata pambano na bondia kutoka mkoani Tanga #hassanmwakinyo huku akisema anataka asilipwe chochote katika pambano hilo huku akimtaja Mandonga kama mdogo wake tangu zamani,Pia amezungumzia mapambano yake yajayo na rekodi kadhaa alizonazo kwenye mchezo wa Masumbwi.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Пікірлер: 200
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Жыл бұрын
Mfaume we nilikuwa nakubali sana ila sasaivi we demu tu yaani ukija kwangu mie nakuwasha vibaya mno mno kama vip nije nikuwashe moto we mrembo tu historia gani maana umedundwaa saana tu
@waziriathumanmadagaa
@waziriathumanmadagaa Жыл бұрын
tatizo mnamchukia mwakinyo kwakua yupo juu ila mwakinyo ndie anaeitangaza TZ
@vailethkihiyo56
@vailethkihiyo56 Жыл бұрын
Hyo mwakinyo pia ana shombo za kipumbavu😮
@MwanakombMwazumo-yf7sv
@MwanakombMwazumo-yf7sv Жыл бұрын
Mfaume sio bondia ana chakueleweka kwenye gumi ameshafulia atafute jembe akalime ye kama anataka maji yaliyo tiwa karafu aweke asitake kiki anapigwa sana ulingoni nibora mandonga nimuekee hela ninao uwakika wakushinda kuliko mfaume anataka kumpima mwakinyo anamuweza wapi ye ache anapocheza sio kumpima maji kwa mguu Kila siku baada ya kucheza ngumi anapigana vichwa
@abdimakame7929
@abdimakame7929 Жыл бұрын
Choko wewe acha mijIgambo unadundwa ivyo. Ndiomana Chikonde Makawa alikufundisha nidhamu💪
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 Жыл бұрын
Mfaume ni mlevi tu anaweweseka
@user-fq9vp1dv7b
@user-fq9vp1dv7b 8 ай бұрын
Kabisa mlevi huyo
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Жыл бұрын
Mwakinyo ndo tunamfahamu hao wengine mmmmmmh
@predictioneasyodds2779
@predictioneasyodds2779 Жыл бұрын
Mwakinyo ashasema bora afuge mbwa kuliko kupigna na watu wasio level yake
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
😂😂😂😂 swadakta
@KapalataKitaulo-iu8by
@KapalataKitaulo-iu8by Жыл бұрын
Wewe Jamaa ukubari ukatae mwakinyo ndio amefanya watu wapende ngumi unakumbuka pambano lake la ulaya nchi nzima ilisimama kumungalia champ acha maneno meng mwakinyo fundi ukubali ukatae
@mohamedkibwana1165
@mohamedkibwana1165 Жыл бұрын
Kwan hawa mabondia wetu hawez kusogea mpaka wapigane na mwakinyo what a shame
@abdullukindo4693
@abdullukindo4693 Жыл бұрын
Mfaume unaongea sana lkini mwakinyo umuwezi kabisa ata ufanye nn unauwezo kabisa fighting ya mwakinyo na wwe tofaut sema mnalazimisha apigane ili mumshushe lkin sio level yko
@daudishabani1587
@daudishabani1587 Жыл бұрын
Wamepigana ln mpka useme hamuwezi? Ngumi cyo taarabu kk
@issazalala4907
@issazalala4907 Жыл бұрын
Nandio mana wabongo atuendi mbali sababu hatu pendani aliopewa kapewa Tu nawewe pambana ufike levo zake aundio unataka kuteleza
@mustaphajuma4640
@mustaphajuma4640 Жыл бұрын
Mnaandaa interview zenu za uongo lkn point ni kumzungumzia mwakinyo hahahah mnateseka sana na mioyo yenu mungu kashampa tafteni tobo lenu na nyny wazee bila Kumtaja mwakinyo interview haitizamwi mtateseka san
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
Ww Mfaume ongea TU! Ila yule dogo usingemgonga kichwa alikua anakuabisha, yule mwamba anajua ngumi, asa unasemaje alisingizia wakat majaji waliamua, nanakutabilia tunza hii comment piarali atakuchapa laud ya 5
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 Жыл бұрын
Mzee wa kupiga watu vichwa una lolote utajinyea mwakinyo is a champion aka CHAMPEZ MWAKINYO
@legangatzmedia4846
@legangatzmedia4846 Жыл бұрын
Brother acha ushabiki wa ajabu Mwakinyo hawezi mziki wa Mfaume hata siku moja
@amindadi24
@amindadi24 Жыл бұрын
Oyaaaaaa babaaaa mfaume safi babaaaaaa dua nyingi sana mwanetu.
@benardmassawa3599
@benardmassawa3599 11 ай бұрын
Bro jipange sana kwa mwakinyo 😂😂 labda nenda kwanza akajifunze ngumi darasani
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Mwakinyooo MTU mbaya sana
@bakaromar8135
@bakaromar8135 Жыл бұрын
Nakubali mzee
@user-rc2rj5xq7m
@user-rc2rj5xq7m Жыл бұрын
Mapafu yambwa Salut Sana champion huaga unajiamin sana ci ulingoni ci uraian
@veenpoul900
@veenpoul900 Жыл бұрын
Af hyo fala alipigwa APA nyumbani AF ubingwa akapewa ushindi,,,wala hajui nn maana yarekodi ktk boxing nandmn anauza mapambno Russia Mara kibao hajielewi,,,bondia njaaa
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 Жыл бұрын
Duh! Nani kakwambia urusi wananunua pambano wale watu achana nao wanabonda balaa
@Ashimvic
@Ashimvic 6 ай бұрын
Weweeeeeeh levo ya mwakinyo bado sana broooh eti mapafu ya mbwa hudadek jiweke wazi muite mwakinyo ulingine uwone kama hautokimbia kwanza mwakinyo haongei kwamdomo kama mademu mwamba anaongea kwa vitendo ww
@hishamally4846
@hishamally4846 Жыл бұрын
Mfaume wewe ni bondia mzuri achana nae huyo mtanga kumuwongeleya
@athumanhatibumkombolaguha
@athumanhatibumkombolaguha Жыл бұрын
Kweli kila kizuri lazima kihusudiwe, wameanza vichwa bata akina Mangonga, sasa hata wewe Mfaume pia umekua mwimba taarabu..?
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 Жыл бұрын
😢😢 Ila lile pambano ulilocheza bongo umepigwa😂😂😂
@joasbaraka_gardener
@joasbaraka_gardener 9 ай бұрын
Bondia ni mwakinyo tu hawa wengine ni madunduka tu kama huyu
@swahilimedia4291
@swahilimedia4291 Жыл бұрын
🙌🙌
@user-lb6fu5cd6g
@user-lb6fu5cd6g Жыл бұрын
Namini iyo siku usipo kufa ww mfaume basi utakua zobi mwakinyo sio levo Yako acha kujipendekeza
@franksosoma4267
@franksosoma4267 Жыл бұрын
Unaongea pumba tu we fala mwakinyo humuwezi
@makassyzakir3505
@makassyzakir3505 Жыл бұрын
mwakinyo 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 Жыл бұрын
Kavute bangi vichochoroni huko Mwakinyo sio level zako.
@mduduonline8116
@mduduonline8116 Жыл бұрын
mfaume leo umeongea maaan yule ni shoga kweli taarabu nyingi
@kharoubomar4689
@kharoubomar4689 Жыл бұрын
Ongea ki2 una uhakika nacho ndugu
@kinyereremokiwa3082
@kinyereremokiwa3082 Жыл бұрын
Labda alikula kiboga ndio manaaa
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 Жыл бұрын
Izi anaongea yeye nikwaya
@allyboka4264
@allyboka4264 Жыл бұрын
Mwakinyo anawanyima raha mabondia ma fala kama wewe bondia mzalendo Seleman kidunda wewe mfaume ,twaa mandonga nyie machoko tu kwa mwakinyo amuend mjin bila kumzungumzia mwakinyo
@MusaSelemani-ui1xb
@MusaSelemani-ui1xb Жыл бұрын
Unajua lakini mwakinyo mkubwa
@yussufdemodise6188
@yussufdemodise6188 Жыл бұрын
Mfaume Mfaume unaongea sana kama taarabu unayowewe mabondia hawana maneno yakike kwa bondia mwenzake
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
Amumuwezi acheni kujifanisha nae nyinyi watt wa bongo washamba sana cc watt wakitango ndo wajanja wenu kwaiyo aliejuu ndo juu2 mwakinyo mkali kuliko mabondia nyote apa Tanzanian
@reganclarence4657
@reganclarence4657 Жыл бұрын
💚💚💚💚💚👐
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Mbna Kama Kavimba Uso
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Mwakinyooo atawapiga na taarabu hayo hayo mnayo sema
@MaalimShabani
@MaalimShabani Жыл бұрын
Mfaume hamuwezi mwakinyo
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Жыл бұрын
Midia za bongo banaa
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz Жыл бұрын
hiii Sasa roho mbaya
@ChristopherSeti
@ChristopherSeti 3 ай бұрын
We choko2
@saidirandon
@saidirandon Жыл бұрын
Oya umeongea sure jesh
@yasinisagogo5787
@yasinisagogo5787 Жыл бұрын
Ww ulipigan huko naulikuwa hujulikani bwan umejulika baada yamwakinyo kushinda unghaibun
@waheedhamad4558
@waheedhamad4558 Жыл бұрын
Ndio ww unacheza pambano yule yeye anacheza utangulizi sawasawa lkn c unajua riski zimetofautiana kwa sasaiv yeye ndo champion yule....mfaume ee mwakinyo humuezi ww
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 Жыл бұрын
Tanga ngumi ndo ziliko anzia Tanzania hii we kubali matokeobtuu . Huna mchongo jitahidi upande viwango sio kuponda wenzako huna ubore wowote. Ukinfi wa mchongo ulopewahuo.
@kafukumdaki
@kafukumdaki Жыл бұрын
Mdomo ni mali yako kaka ila mwakinyo umuwezi ata uzikili uchi kaka acha mdomo ndugu yangu
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 Жыл бұрын
Nlikuwa namuona Mfaume ana busara lakini leo namuona wa hovyo kabisa ingawa hata Mwakinyo ana dharau!
@ZacharyKilango-no3kq
@ZacharyKilango-no3kq 11 ай бұрын
Mwakinyo atabaki mwakinyohapa bongo cjaona wakumpiga mwakinyo ili wampige na wafike mbali wakae wamuulize mwakinyo amefikaje hapo ulipo 🐸🐸🐸
@ratoboyratotabia459
@ratoboyratotabia459 Жыл бұрын
Kumbe mapafu ya panya ni uyu alafu cjui analiwa uyu jamaa kiukweli Mzee naangalia sana fight zako akuna kitu mzeee
@AthmanIddi-xo7ho
@AthmanIddi-xo7ho Жыл бұрын
Manara hana hela alafu nyie dar sindio mnashikwa matiti na mwijaku kaanza na bausa sasa boxer mtashikwa makalio na mwakinyo
@isayamapela2087
@isayamapela2087 Жыл бұрын
Wee Wewe ugoo sana
@AhmadyShida-dn4wx
@AhmadyShida-dn4wx Жыл бұрын
Daaah!!! Kumbe wew mfaume nimjinga ivyo
@joackimnyandindi5746
@joackimnyandindi5746 Жыл бұрын
Mwakinyo acha kusumbuana na washamba wewe ni mkari
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Kaoneka ana history yake ya kumchapa mwakinyo enzi hizo lakini
@ZacharyKilango-no3kq
@ZacharyKilango-no3kq 11 ай бұрын
Ww na mandonga wote empty hmn ki2
@salimalikhamis6472
@salimalikhamis6472 Жыл бұрын
Kwa mabondia nilio waona hapa Tanzania nzima hakuna anaweza kupigana na mwakinyo hata mmoja kawaaja mbali Sana kwa kila k2 mpka kuongea hawamuwezi sio kuingia ulingoni 2
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 Жыл бұрын
Wewe mfaume bado Sana Tena Sana kwa mwakinyo manala kamchokoza ila wewe mfaume ndio choko najua watu wivu huo kwani ukikubali Kuna tatizo
@athmanilatifu8648
@athmanilatifu8648 Жыл бұрын
Ww mfaume acha misifa
@athmanilatifu8648
@athmanilatifu8648 Жыл бұрын
Mfaume tafuta changamoto nnje achana namwakinyo kwani mpaka mpigane namwakinyo
@delomastermzee8028
@delomastermzee8028 Жыл бұрын
We choko tu humuwezi mwakinyo unaimba taarabu tu mchawi mkubwa ww
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 Жыл бұрын
Mi namkubali mfaume kwasababu haogopi ivi ndivyo inavyotakiwa Kwa jibondia katili ivi.....
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Anatalabu kweli mwakinyo
@lusseraymond5449
@lusseraymond5449 Жыл бұрын
Kila mti asikilizwe bana
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
Mapambano yake yenyewe anabebwa anaongea upuuzi tu
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 Жыл бұрын
Jamaa Katia offer ya week moja😂😂😂
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 Жыл бұрын
Hamuwezi huyooo mister mifatu
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 Жыл бұрын
Aendetena Russia akapigwe mbona haenditena kasingizia kabadilishiwa bondia Kila akisimama anadondoka mbona hayasemi??mijigambo bongotu . Mfalme wangumi nidhamuhana huyu nani kampa ufalmenwangumi huyu .
@halfaniabdallah2131
@halfaniabdallah2131 Жыл бұрын
Mfaume akili huna nibondia gan atakuhitaji wewe mbovu tu ulipigwa na mmalawi ukabebwa.
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Nyinyi niwanafikitu wakinyo alishapamdakiwango kijina nakiuwezo wakupigana nyinyiniwatotowaketu mwakinyo siolevo yenu kiukweli mwakinyo anazoezi ambayo nyinyi hamuyawizi acheni unafiki piliali anakupiga Tena mapema
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Mwakinyo anaongopa mabindia WA Tanzania ataka huko inje wakula wali kama mtoto wakiume joo Kwa kiduku ama mfaume ama Dulla ama iddy ama kidunda Jenga ww huna lolote mwakinyo
@dotojohn9316
@dotojohn9316 Жыл бұрын
Kabla ya mwakinyo namtaka mm
@samsondawson6982
@samsondawson6982 Жыл бұрын
Akupelekee moto au
@soonvetcveterinary
@soonvetcveterinary Жыл бұрын
Mfaume utapigwa vibaya na Mwakinyo,tafuta unaoenda nao
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Mwakinyo na mfaume naisubiri hiyo siku.
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 Жыл бұрын
Kingi Hana nidhamu wawapi huyu kingi??
@medngayama8999
@medngayama8999 Жыл бұрын
Ao ulopigana nao uliwapiga 😂😂
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 Жыл бұрын
Semunyu anitafute tupigane wenyewe Kwa wenyewe kwanza Yani labda TWaHA vs kidunda au mwakinyo vs mfaume au ibra class vs Dulla mbabe
@adammswaki703
@adammswaki703 Жыл бұрын
Hamna bondia apa ukipanda ulingon kaz kupiga vichwa kuanzia saiv mm sio mshabik wako tena tusi juane kenge wewe
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 Жыл бұрын
Huyu jamaa ataka attention kwa mwakinyo maana kama alipotea
@abdullahahmedi9586
@abdullahahmedi9586 Жыл бұрын
Fatilia ugomv wa mwakinyo na mfaume utaelewa
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
Mim ninacheza karate nataman sana nikutane na wew nikuoneshe show nkupasue
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima Жыл бұрын
Acha uchoko ww,kacheze na jack chain
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
@@gwajimagwajima mim sipendi mabondia wenye wivu na watanzania wenzao kwann wasisapotiane?bifu za hovyo
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Жыл бұрын
Bondia wa mananasi
@makassyzakir3505
@makassyzakir3505 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@omarihussein6101
@omarihussein6101 Жыл бұрын
Ache ujizi mfaume apigane mwakinyo
@elinihakimsuya1673
@elinihakimsuya1673 Жыл бұрын
Wivutu sikujua kuwa hunaadabu
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 Жыл бұрын
Mi mwenyewe naweza kuweka pesa kati ya mfaume vs mwakinyo ila tatizo mwakinyo anamwogopa mfaume anajua mziki mapafu ya mbwa, tuweke pesa watu wapigane wauane ulingoni, tuwawekee milioni 200 au 300, thamani ya mfaume ni billions of money
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Жыл бұрын
Hujui unachoongea pole
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
Ukweli nikwamba, wabongo wote mdomo mlijaliwa na mabondia wa Tanzania karbu wote mnaongea ongea sana, hata Mwakinyo nae akipata nafasi anatililika aswa! Ila Kwa ngumi ww mfaume ,awe kuduku, mnaporojo Kwa Ngumi nyie bado sana Kwa Mwakinyo
@vailethkihiyo56
@vailethkihiyo56 Жыл бұрын
Kiduku kwa Sasa mwakinyo anamuogopa😅😅😅
@user-lm1tg9gt4n
@user-lm1tg9gt4n Жыл бұрын
Acheni uhanisi uwo mutapigika nyie makuma mwakinyo hamumuwezi Munataka kiki t kupitia kwake
@ZacharyKilango-no3kq
@ZacharyKilango-no3kq 11 ай бұрын
Ww cyo mpiganaji ww nimwimba taarab cyo mwakinyo
@rajabumwamuh8396
@rajabumwamuh8396 Жыл бұрын
Hawa wote mananyanga mi namkubli kidunda
@BekaNzory-te6ld
@BekaNzory-te6ld Жыл бұрын
umeeekewa pesa mbna wakimbia mfate masaki mrembo ww
@paulomaona-uk6mu
@paulomaona-uk6mu Жыл бұрын
Mwakfamba 😂😂😂
@BajuAhmed-qb7mr
@BajuAhmed-qb7mr Жыл бұрын
Maneno tyu hayo hata kwenye kanga yapo we fake tu humuwezi mnyama kinyo boy the warrior .ingekua mi ndo mwakinyo watu kama nyinyi ninge wakanda na izo tunguli zenu munazo ziamini na sio uwezo mulio nao.
@sharcksharckhassan5786
@sharcksharckhassan5786 Жыл бұрын
Huyu jamaa apimwe kinyeo
@santinosabugo2114
@santinosabugo2114 Жыл бұрын
😂
@MohammedAlly-eo5yy
@MohammedAlly-eo5yy Жыл бұрын
kweli namini mdomo nyumba ya maneno ingekuwa ayo maingezi yako ni kweli twaona mapambano yako tele wapewatu kutengezewa jina na mabondia wa mchongo mm Nina uwakika ata ibrahim yupo juu kuliko ww wewe levo zako ni za kina mandonga
@bekanyau4796
@bekanyau4796 Жыл бұрын
Acha kutukana naomba uingie na mm kabla yake
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
Kaa ukijua kuwa mwakinyo cyo iddy pialali aliekupasua na atakupasua
@stanleymlayi5758
@stanleymlayi5758 Жыл бұрын
Wewe ni Fala Sana wewe unapigana kwaajili ya gari masikini wewe
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
We mfaume fala tu hata kwa dawa humuwezi mwakinyo af nataman sana pambano na wew kuku wew,unamaneno sana walah mi nakupasua nakuja kitaan kwako nikupasue
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 Жыл бұрын
😅😢😢😢😢jamani
@omarykondo1010
@omarykondo1010 Жыл бұрын
We hauna uwezo wa kumpasua mfaume
@aliyshemweta9753
@aliyshemweta9753 Жыл бұрын
Mwakinyoo humuwezi mzeee we tulia tu 😂😂
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Жыл бұрын
Mwakinyo maneno mengi unahisi kwann hataki kupigana bongo ...? Sio kwa sabab ya nyota kushuka ila ni uoga. Nakupa mfano pambano lijalo la mwakinyo sio la mkanda ni kwmba akishindwa au akishinda halina effects kweny rank yake je kwann asingekuja kupigana na bondia wa kibongo ? Unahis kwann ? Na pia kama alivyo sema mfaume shaban kaoneka kawahi kumpiga mwakinyo unaongea nini kaka . Mwakinyo nimuoga sana hata twaha kiduku kawahi sema hvo hata dula kawahi sema mwakinyo ni maneno mengi .
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Mwakinyo .nae Bondia
@aliyshemweta9753
@aliyshemweta9753 Жыл бұрын
@@lama6310 baba Ako ndio bondia kama ngumi rahisi tutafutiwe ulingo wee bintii
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
@@aliyshemweta9753 dah sikulaumu, endelea Kuchamba mwana Tanga.
@aliyshemweta9753
@aliyshemweta9753 Жыл бұрын
@@lama6310 kaa kushoto binti wamakamo
@user-hx4tl1mz3b
@user-hx4tl1mz3b Жыл бұрын
Jibu swali uliloulizwa
@user-mx1dd3lc6o
@user-mx1dd3lc6o Жыл бұрын
Daaah kumbe na wewe kunjani yani unamuwaza mwakinyo daaah piga tiz acha taarabu
@waduni2326
@waduni2326 Жыл бұрын
Mtangazaji naomba umwambie mfaume mfaume akitaka kupigana na mwakinyo aandae machera maana hawezi kutoka mzima kabisa
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Mwambie atie saini mbna anawaogopa wabongo
@riccoidd-ln6nn
@riccoidd-ln6nn Жыл бұрын
Huyu itakuwa mchawi tuuu Acha ushamba safiri ukapanue mawazo kenge wewe ...Umebaki Roho mbaya tuuu.
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 Жыл бұрын
Ninachokiona Mfaume amaetafuta njia ya kumchokoza Champenz MWAKINYO,kwa kutengeneza attention kwa watu,mabondia jifunzeni kuongea na sio kumtegemea domo Kaya aongee ndio na nyie muongee,karibuni Tanga tutawavisha kanga kifuani.
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Жыл бұрын
Sasa mbna kila bondia anamtaka mwakinyo ivi kwa nin jaman,,,kumbe mwakinyo ana kitu sasa mbna unamuitaji
@yahtumekusomabrvpkuusughalamaz
@yahtumekusomabrvpkuusughalamaz Жыл бұрын
Mbona ulimshindwa chikond makawa ukapendelewa tu
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 31 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 111 МЛН
HAJI MANARA Amjibu MZEE MAGOMA/Anatafuta UMAARUFU/YANGA Kubwa
8:04
ToRung short film: 🙏baby protects puppy🐶
0:37
ToRung
Рет қаралды 84 МЛН
え、、、!
0:11
美好秋人
Рет қаралды 17 МЛН
Детство злой тётки 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 3 МЛН
My daughter always appears at the most critical moments
0:35
昕昕一家人
Рет қаралды 21 МЛН