Yohana umepigwa na Mfilipino, umeangushwa na umechezea ngimi nyingi ila mcheza kwao hutunzwa.
@wazirisaid83267 күн бұрын
Tunapigwa halafu tunapewa mikanda. Unfair results. Wafilipino wote wameshinda ila wameporwa ushindi. Haya, MAFIA tupelekee boxing yetu unapotaka ifike!! Yote hii ni kukimbizana na mafanikio ya Hassan Mwakinyo.