Mfumo wa Elimu ya Tanzania na Afrika

  Рет қаралды 6,112

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

2 жыл бұрын

Mfumo wa Elimu ya Tanzania na Afrika na Maoni ya Wadau Kuboresha
Elimu ya kikoloni ni moja ya chanzo kikubwa cha watu kushindwa kuendelea. Ukoloni mamboleo ni direct product of colonial education ambayo hadi sasa

Пікірлер: 71
@robertamos3646
@robertamos3646 2 жыл бұрын
Mijadala kama hii ndiyo ninayoipenda kwa maendeleo ya taifa letu.Hongera sana ndg.We need a paradigm shift.
@millieokoth3526
@millieokoth3526 Жыл бұрын
Truth Well said EBM MORE LUV FROM KENYA 🇰🇪
@hamadmaruzuku8594
@hamadmaruzuku8594 2 жыл бұрын
Heshima kwenu Brothers 🙏
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life 2 жыл бұрын
Haya mahojiano nimeyapenda sana ndani yake kuna facts nyingi sana uendelee kutuelimisha zaidi Msada wako ni wamuhimu sana kwa jamii Ubarikiwe Mr EBM✊🏿
@davjoh1667
@davjoh1667 2 жыл бұрын
That one shocked me,the budget for state house food and entertainment was higher than that for the agriculture ministry? This is Africa our leaders want us to remain fools for their own benefits.
@ndelezi
@ndelezi 2 жыл бұрын
Bro Makulilo,respect sana.
@MutuaCK
@MutuaCK 2 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I second your point
@omaryngitu2443
@omaryngitu2443 2 жыл бұрын
Mimi ni mwalimu wa serikali,nimekuelewa vizuri sana kaka,elimu yetu inawaandaa vijana kuwa tegemezi na sio kujitegemea,SASA hivi kila chuo kinafikiri kutoa digrii na kusahau vyuo vya kati hasa vinavyotoa elimu ya kitegnolojia,ufundi na biashara,kila msomi anafikiri kuajiriwa serikalini ili kukaa ofisini tu,na kutotilia mkazo ubunifu,natambua umasikini wetu pia ni kikwazo ambapo umeharibu mpaka uwezo wetu wa kufikiri na kukata tamaa,na pia baadhi tuna tatizo la kuchagua Kazi na kudharau Kazi zingine,wakati tunatakiwa kuangalia fursa na sio mawazo mgando ya kuchagua Kazi,Mkuu unafanana kifikra na Mimi kwa asilimia kubwa,nimejisikia fahari kuniongezea maarifa.
@salehezahiri327
@salehezahiri327 Жыл бұрын
Umeongea vizur sana mwalim aiseee, Asante sana Kwa ujumbe huu!.
@majirabonphace
@majirabonphace Жыл бұрын
Brother Mungu akubariki sana unatupa msaada sana
@Pgm170
@Pgm170 2 жыл бұрын
EBM Swahili, hongera sana bro, unafanya huduma nzuri na unatufungua akili.
@isaacsinkalas8366
@isaacsinkalas8366 2 жыл бұрын
Shukuran sana kiongoz wangu
@elialawi4382
@elialawi4382 Жыл бұрын
Nakufatilia sana nipo Geita uko sawa
@peterswai391
@peterswai391 2 жыл бұрын
Nice fact kaka God bless more brother, endelea kutielimisha Peter mathias swai Dodoma Tanzania
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 жыл бұрын
Brother nakuelewaga sana, ubarikiwe sanaaaa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Safi sana good debate
@djacobsamwel6578
@djacobsamwel6578 2 жыл бұрын
mr ebm unaupiga mwingi sana ubarikiwe .jacobsamwel ndahani
@mrfestomsyangi1305
@mrfestomsyangi1305 2 жыл бұрын
Nakufatilia sana kutoka Mbagala
@itispossible6058
@itispossible6058 2 жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe mzuri. Naomba mawasiliano yako
@lyimoej7198
@lyimoej7198 2 жыл бұрын
Excited to learn
@nazalenolupola1932
@nazalenolupola1932 2 жыл бұрын
Hii mijadara wabongo hawaitaki we wambie kuhusu harmonize
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hayo nayo maneno kuntu. Si unaona hata views alizo Pata hapa kidogo
@augossmoshi2998
@augossmoshi2998 2 жыл бұрын
Thanks a lot
@maulidisaid7376
@maulidisaid7376 2 жыл бұрын
The nice thing is to learn through digital platform, thanks to EBM SWAHILI.
@happinesscharles3457
@happinesscharles3457 Жыл бұрын
Mijadala yako inanibariki sana. Nimeongeza kitu. 🙏
@matronamshanga3642
@matronamshanga3642 Жыл бұрын
Kaka nimependa sana huu mjadala, mzuri sana. Next time naomba na me nishiriki endapo utakuwa na mwingine
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
Yaani nilisoma English course mwaka mzima Form One mwaka wa pili ndio tunaanza masomo ya form one na bado waalimu wanatusaidia adjustment So Sad!!!!
@Best_wolframmusichub
@Best_wolframmusichub 2 жыл бұрын
watching from belgium nawish kufika USA
@ansibertmiruko1865
@ansibertmiruko1865 Жыл бұрын
Belgium unafanya kazi gani? Are you in school?
@mussajuma9044
@mussajuma9044 2 жыл бұрын
Safi Sana kaka
@mtwamgimwa4031
@mtwamgimwa4031 2 жыл бұрын
case closed, umemaliza kila kitu
@luckysichone6705
@luckysichone6705 2 жыл бұрын
Elimu yako hakika inanifunguwa nilikuwa gizani kwelikweli balikiwa sana
@elialawi4382
@elialawi4382 Жыл бұрын
Unamambo ya msingi sana.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Very true, Nje ukitaka kusoma serikali inasimama kidete usome usiwe tegemezi kwa serikali , wanajua ukipata elimu hela Yao itarudi kwa njia ya tax tu
@nashonkazabukeye2441
@nashonkazabukeye2441 2 жыл бұрын
Broo keep it up unatuelimishaa Sana
@musaluben1758
@musaluben1758 2 жыл бұрын
We ni kioo Cha jamiii🇹🇿
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 2 жыл бұрын
akili kubwa sana hii
@benjaminchekenya4222
@benjaminchekenya4222 2 жыл бұрын
Kwa mambo haya mazuri yaliyo ongelewa hapa yakiwekwa kwenye mataendo kwa ushirikiano tunaenda kuwa wapya kwenye hii Dunia
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 2 жыл бұрын
Uyu jamaa Ni muhimu sana
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 2 жыл бұрын
Nimechelewa sana kukujua,,but all in all nimekuelewa sana..am working on it..lazima nikaishi mbele..now nipo kwenye preparation za mitihani ya IELTS nina work experience zaidi ya miaka ya 6 in insurance sector..kama mwajiriwa..sikubari lazima nitoboe kaka..god bless you always...
@ansibertmiruko1865
@ansibertmiruko1865 Жыл бұрын
Kila kitu chawezekana. Endelea
@davinno23
@davinno23 2 жыл бұрын
umeniongezea namna ya kufikiri na kuyaendea mambo kwa ufasaha
@douglasmamboya255
@douglasmamboya255 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe nacukia sana shule natamani nimalize haraka sana
@dorothysista7463
@dorothysista7463 2 жыл бұрын
Mfumo tulio nao haumwandai mwanafunzi kuweza kuwa innovative, creative na kuwa na moyo wa kujitolea kujiendeleza na kuwaendeleza wengine katika sehemu tunazoishi. Elimu yetu kwa sehemu kubwa inatoa theory tu. Pia na mazingira ya kumwezesha aliyemaliza shule kujiajiri na kujitegemea siyo rafiki au saidizi.
@herbertmbege1620
@herbertmbege1620 2 жыл бұрын
Mimi napenda kuomba greencard naomba email yako tuwe tunawasiliana naishi arusha lakini nyumbani ni matyazo kigoma naitwa herbert
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 2 жыл бұрын
Yani bajeti ya ikulu ni kubwa kuliko bajet ya kilimo ooh my god 😪😪
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 5 ай бұрын
Mimi natamani tubadilishe mfumo wa elim tujenge nchi yetu hadi wazungu watamani kuja Tanzania, sio kwenda ulaya Kujenga nchi za watu
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 2 жыл бұрын
Mbona kila kitu Diaspora???? Maelezo tafadhali🙏🙏🙏
@thebisadorychannel7574
@thebisadorychannel7574 2 жыл бұрын
2022 bado mfumo wa elimu Tanzania haujabadilika. Lugha imekuwa ikichangia kupotosha Ufahamu wa mwanafunzi. Haimuandai mtu katika mausha ya kujitegemea. Sasa ndiyo hayo matatizo vijana wanakuwa wengi mtaani na kufanya vitu hatari. Ni tatizo kubwa kabisa waweke kiswahili moja kwa moja ama kiingereza moja kwa moja kuanzia darasa la nne. Naona Elimu Ulaya iko katika mfumo mzuri. Kijana au binti wa miaka 18 anaweza kujitegemea asilimia mia bila kutegemea wazazi na akiwa na kazi ya ufundi,mapishi,sales person hadi vituo vya afya .
@happinesscharles3457
@happinesscharles3457 Жыл бұрын
Ninafurahi mpaka napiga makofi unavyoelezea.
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 жыл бұрын
Namba Ako siioni tena
@marymaimu216
@marymaimu216 2 жыл бұрын
Mambo kama haya waTanzania hatuna muda nayo wakati ndio ya muhimu
@israelthomas8621
@israelthomas8621 3 ай бұрын
Ni hatari sana
@josephmwakisu5176
@josephmwakisu5176 2 жыл бұрын
Makulilonipe nambayako ya simu
@boniphacendengo47
@boniphacendengo47 2 жыл бұрын
Nice platform. Makurilo pata muda Tembelea platform yetu ya Bsmart brands Academy hope you can advise something
@nicodemusokama3649
@nicodemusokama3649 2 жыл бұрын
Tupe mawsiliano yake
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 2 жыл бұрын
Makontena ya makonda muliweka magari yenu ndani kwa nini? Yale magari yalikuwa yanaenda shule gani? Tuwe wakweli..... sisi Diaspora badala ya kukemea malpractice ilionekana nyie kutumia Makonda kwa faida yenu...... pamoja na nia yenu...... VP Dr Mpango alikuwa sahihi.kulipisha kodi.
@Laizer3
@Laizer3 17 күн бұрын
ELIMU YA BONGOO HAMNA KITUU MAANA KAMA INGEKUWA NA FAIDA WACHINA WASINGEPEWA KAZI YA KUUNDA MADARAJAAA.WANGEFANYA WAHANDISI WETUU.
@marwamarwa6836
@marwamarwa6836 2 жыл бұрын
Blood pls nikutanishe na @shaban ramadhan Kaka
@peterlugomoka3605
@peterlugomoka3605 Жыл бұрын
EBM mtaalaam
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 жыл бұрын
Brother jawad khaki nimekusikia msaaada wako Bado tunakukumbuka
@mwangiikabz206
@mwangiikabz206 2 жыл бұрын
Following from Kenya 🇰🇪
@nicodemusokama3649
@nicodemusokama3649 2 жыл бұрын
Tupe nyingine
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 жыл бұрын
Kaka please mawasliano yako tafadhali Kuna mambo ya kuzungumza
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Tunakasumba ya kusoma na kupata ajira,usipopata unakuwa jobless .badala ya kujiajiri
@apostlesiza
@apostlesiza 2 жыл бұрын
Bro unajuwa Sana na una akili nyingi sana
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 жыл бұрын
Mawasliano tafadhali
@sumatanjunior231
@sumatanjunior231 2 жыл бұрын
Please name the speakers in the video description. Ty.
@mwalimugoogletv3738
@mwalimugoogletv3738 2 жыл бұрын
Kaka ebm kama mama watoto wako ni mzungu na anajua kiswahili fasaha nina BONGE LA KZbin NICHE kwa ajili yake.tuwasiliane
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 2 жыл бұрын
Nipo nafuatilia mahojiano yako hapa kuhusu aina ya elimu yetu afrika unatema madini sana kaka
Unataka Kusoma Chuo Kikuu Marekani?
2:00:39
EBM SWAHILI
Рет қаралды 1,4 М.
Kujiunga na jeshi Jeshi la Marekani | Taratibu na faida zake
12:29
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 45 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 40 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 29 МЛН
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 168 М.
Mshindi wa Green Card Lottery toka Tanzania akiwa Marekani
16:39
EBM SWAHILI
Рет қаралды 10 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
Your Trauma May Be Making You Sick
35:03
CNN
Рет қаралды 6 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 45 МЛН