Mshindi wa Green Card Lottery toka Tanzania akiwa Marekani

  Рет қаралды 10,108

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@Educationtips_s2978
@Educationtips_s2978 Жыл бұрын
Hongera sana Mr EBM . Mwaka huu ntapambania Hii
@muthoniisrael2697
@muthoniisrael2697 2 жыл бұрын
Bm your such a blessing ,napenda Sana unachokifanya
@michaelkomwiswa7048
@michaelkomwiswa7048 2 жыл бұрын
Asante sana Bwana EBM naomba mtu unayehoji mwingine awe Ugandan tafadhali
@ApostleprophetMoses2-kx4gc
@ApostleprophetMoses2-kx4gc Жыл бұрын
Naomba mnisaidie kufika marekani Bure nakupata nafasi za kazi
@blocksExpert
@blocksExpert Жыл бұрын
Sawa sawa❤❤❤❤
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 жыл бұрын
Sasa unaposhinda na ukaja huko unaanzaje maisha. Unapokelewa na nani ktk ugeni wako mpaka uanze maisha.
@jacksonchiwalanga4817
@jacksonchiwalanga4817 2 жыл бұрын
Usijichanganye kurudi home broo,,,Don’t try umaskini unanuka hukuu bro
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 жыл бұрын
Hahaaaaaa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hamna natamani kurudi sasa nimeishi miaka 7
@barakamakasi5000
@barakamakasi5000 2 жыл бұрын
Nimekua wa kwanza kuitazama hii interview sasa kaka Mimi naomba nipe njia nyengine ya ziada pesa ninayo passport ninayo na n8a kuja huko ninayo
@dadyjo_
@dadyjo_ 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIbToIiIZrlgedU
@raffeiystar2870
@raffeiystar2870 2 жыл бұрын
Omba m\ez wa 10 kila mwaka
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv Жыл бұрын
Usijichanganye kuludi Africa njaa hatarriiiii maisha popote pale kikubwa mafanikio tu Mimi sioni eti lazima uwe mtanzania wakati Tanzania huna maisha.
@rogermsenwa2317
@rogermsenwa2317 2 жыл бұрын
Hapo sawa kabisa kaka
@annahmukai7775
@annahmukai7775 Жыл бұрын
Mkuu Asnte yaani watu Africa tunakupata100 kwajili unatufaza na Kiswahili
@jocyjocy3050
@jocyjocy3050 2 жыл бұрын
Lol EBM is so silly @ Nendeni Kasulu mkaijaze Dunia 😂😂💃💃
@allyfatma7359
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Thanks bro
@vom84
@vom84 Жыл бұрын
Mr. KILANGALI
@Therealrashyy
@Therealrashyy 2 жыл бұрын
Nilikuwa exposed kuhusu greencard mwaka 2017 nikimaliza chuo lakini sikutilia maanani. Mwaka 2021 niliomba fursa nyingine nikafanikiwa kufika marekani. Geeencard ni fursa kubwa mno...
@issahtz2611
@issahtz2611 2 жыл бұрын
Nisaidie iyo fursa kaka na mimi nijaribu kaka
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
@@issahtz2611 omba shule au visitors ,mie nilikwenda kwa visitors
@Abduli23
@Abduli23 Жыл бұрын
Habari greencard unaipataje
@Educationtips_s2978
@Educationtips_s2978 Жыл бұрын
Naomba No Mzee tuzungumze
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 Жыл бұрын
Hello kaka, mimi naomba unielekeze, kuhusu ku hii Green Card Lottery apply
@jacksonjohn779
@jacksonjohn779 2 жыл бұрын
Much love mr EBM
@dadyjo_
@dadyjo_ 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIbToIiIZrlgedU
@elimelindarobert5871
@elimelindarobert5871 2 жыл бұрын
tusaidiane na sisi wengine tunahitaji
@isayandege1837
@isayandege1837 2 жыл бұрын
Habari ya leo kaka,,,,Samahani naomba nisaidie namna ya kuomba hiyo Green card
@pejutsatelsarakova742
@pejutsatelsarakova742 2 жыл бұрын
Asante BM kwa jinsi unavyotupa information. Hivi ukiipata wanakupa muda gani utumie hadi kwenda? Assume mtu kapata, anaweza kukaa mwaka kabla ya kuja huko?
@dadyjo_
@dadyjo_ 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIbToIiIZrlgedU
@raffeiystar2870
@raffeiystar2870 2 жыл бұрын
Ukipewa Visa inatakiwa ndan ya miez 6 uwe umesafir.
@shamsamohamed3502
@shamsamohamed3502 2 жыл бұрын
Tafadali tuambie ni kazi gani wanawake /female wana weza fanya huko marekani ihayo lipa hela mzuri. Ama like affordable sallary. Thank you
@TradingPHD
@TradingPHD 2 жыл бұрын
Stripper
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 жыл бұрын
Kulea wazee
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 жыл бұрын
Kutunza wazee
@shamsamohamed3502
@shamsamohamed3502 2 жыл бұрын
@@TradingPHD which other job
@shamsamohamed3502
@shamsamohamed3502 2 жыл бұрын
@@edwardmkwelele which other jobs plz inform us
@saburimvano3514
@saburimvano3514 2 жыл бұрын
Kuna umri wa mwisho kwa muombaji wa Greencard lottery?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hapana
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ni kweli
@rashidkinguwili8731
@rashidkinguwili8731 2 жыл бұрын
EBM, sifa gani ya inaitajika kwa muombaji wa Green card Lottery?
@barakamakasi5000
@barakamakasi5000 2 жыл бұрын
Naomba unipatie Namba yako ya what's up mjomba tafadhali
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 жыл бұрын
Nimecheza toka miaka ya 1990 hadi leo sijapata
@Kobe_254
@Kobe_254 2 жыл бұрын
Jamaa bado mgeni... huyu bado ndani ya green card bado hajajua Marekani, changamoto ni mingi sana America.... kama amerudi nyumbani mapema hivyo amerudi home!! Marekani sio mchezo baba! baba!
@iqfxtrader8628
@iqfxtrader8628 2 жыл бұрын
What happens when I have unpaid bank loan
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
They will give you just have the eligibility
@brownmwaibole8414
@brownmwaibole8414 Жыл бұрын
Mkuu ninashida na namba ya walio mlimani city
@oxwad3836
@oxwad3836 2 жыл бұрын
Greencard🔥🔥🔥🔥 . 🇹🇿
@lukelopatrick3187
@lukelopatrick3187 2 жыл бұрын
Nimefarijika na maelezo
@petermarwa3871
@petermarwa3871 2 жыл бұрын
Si ulisema shalitu passport halitakiwi Tena mbaka ukishinda?
@b.emmanuel4088
@b.emmanuel4088 2 жыл бұрын
Asante
@beatricecobbinah7541
@beatricecobbinah7541 2 жыл бұрын
Pls EBM am Beatrice from Ghana I have a JHS Certificate and Vocational school Certificate can I apply for the dvlottery And also my husband don't have any high school Certificate but he is a good Construction Carpenter in a Company can he also apply for the dvlottery.
@sanyolee1396
@sanyolee1396 2 жыл бұрын
He can apply also,
@wilsonthuo7636
@wilsonthuo7636 2 жыл бұрын
Did he answer you. Listening from Kenya
@happinessjoseph2431
@happinessjoseph2431 Жыл бұрын
He talked about it he can apply through working experience You go through his videos and you will find this about him talking about it.
@rahelpaul3079
@rahelpaul3079 Жыл бұрын
Kwani kushinda gree card lazima uwe umeoa na kuolewa
@barakamakasi5000
@barakamakasi5000 2 жыл бұрын
Pia Mimi ninauzoefu was gadeni na kutengeneza viungu vya maua niokoe kaka nipo znz kwajil ya maisha lkn Mimi in mzawa wa dodoma
@dadyjo_
@dadyjo_ 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIbToIiIZrlgedU
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Siku umfanyie inteviu Roma mkatoliki Tupi huko
@olivierabwe948
@olivierabwe948 2 жыл бұрын
Kama auna pesa cash je utanyimwa green card lottery ??
@ApostleprophetMoses2-kx4gc
@ApostleprophetMoses2-kx4gc Жыл бұрын
Nisaidie namana ya kuamba hiyo nafasi
@fatmabonge3704
@fatmabonge3704 2 жыл бұрын
Nipo na mwanagu anataka kuelekea uhaibuni anasoma f6 ila hatak kusoma anataka kusafiri ila tatizo lipo hapa ana umri miaka 22 ila t ana mwili mdogo yaan s mkuza sana nilimtafutia mtu yy alinijib kwa huy kuja uhaibuni labda afike miaka 25 naomba jamani nisaidiwe nafanyaje kutimiza malengo ya kijana wang
@olivierabwe948
@olivierabwe948 2 жыл бұрын
Je utanyimwa green card lottery pindi auna pesa cash
@fahadothman9554
@fahadothman9554 2 жыл бұрын
Vipi nitauplay
@nahimanawanjani9865
@nahimanawanjani9865 Жыл бұрын
Kwanini mtu umeshinda wanakunyima visa kwa nn Mzee
@patomoe3950
@patomoe3950 2 жыл бұрын
🇹🇿👍
@everlynkilimba3963
@everlynkilimba3963 2 жыл бұрын
✍️Tunasibiri siku ya kuanza ku apply
@mwakasagule
@mwakasagule 2 жыл бұрын
Kwahiyo inakuwaje kuhusu kuomba
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ila ukichelewa kurenew kipindi cha Trump walifukuzwa wengi wamehamia Canada
@chidybizz8684
@chidybizz8684 2 жыл бұрын
Kwani huko marekani mnaona kama mbinguni au?😂😂😂
@elymollel
@elymollel 2 жыл бұрын
Wewe endelea na mtazamo wako
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 2 жыл бұрын
maneno ya mkosaji, punguza makasiriko
@chidybizz8684
@chidybizz8684 2 жыл бұрын
Tatizo lenu vijana mnahisi kwenda marekani ni kufanikiwa maisha acheni fikra mgando akili za kitumwa kabisa
@lucksonomari4999
@lucksonomari4999 2 жыл бұрын
Na wewe unatafuta Nini kwenye channel yake.
@isaacjaphet1314
@isaacjaphet1314 2 жыл бұрын
Wewe kama unahisi marekani so chochote hakuna aliyekulazimisha usiendelee kukaa Tanzania... Waache wale wanaotaka kutafuta watafute... Watz mnaroho ya kwa nn Mpaka kwa maamuzi ya mtu binafsi... Mtakuja kua wachawi
@Melodicasd257
@Melodicasd257 2 жыл бұрын
Vigine vinavyofuata Hapa👇👇 kzbin.info/www/bejne/o5jaYmuvmpadpaejai
@sadih5333
@sadih5333 2 жыл бұрын
Mnawashauri watu waombe green card kuna nini cha maana na ni upuuzi mtupu , wenyewe wamarekani wanahangaika
@rusakanyohenry6932
@rusakanyohenry6932 2 жыл бұрын
Hiyo greencard sio kwa kila mtu ni hasa kwa ambao wamesoma au wanaenda kusoma, kama huna cha kwenda kufanya wanashauri usiende🤣
@barakamakasi5000
@barakamakasi5000 2 жыл бұрын
Naomba nirafutie japo mpenzi atakae nipa urahisi wa kuja huko au kibarua kitachonipa urahisi na sio lazima marwkani hata nchi yeyote tuu kaka Mimi nipo tayar
@msalikemedia
@msalikemedia 2 жыл бұрын
Hahaha 😃😂😂😂
@rashidhamad6782
@rashidhamad6782 2 жыл бұрын
pambana na maisha kaka baraka mda unapotea na wala usieke akilini mafanikio ya kufikirika, utapata uchizi. Ukiwa na mawazo ya kusema sisi ni masikini na tunaishi nchi masikini basi utakufa masikini, na ukumbuke hayo ni mawazo ya watu wavivu wa kutokufikiria kupambana na maisha. zingatia nilichokuandikia na la mwisho umasikini huanzia na mindset ya mtu.
@barakamakasi5000
@barakamakasi5000 2 жыл бұрын
Sawa lkn uwez amini tangu nianze tafuta pesa kwajil ya kushuhulikia haya mambo in muda sasa na pesa nakaribia kuikamilisha kwajil ya kusafil in ndoto zangu muda tu ila nilichotaka kama unafursa ujarbu kunipa njia na sio marekani nchi yeyote europe
@daprince7545
@daprince7545 2 жыл бұрын
@@rashidhamad6782 😀😀😀Kaka unaumwaga mwingi sana 😄😄😄
@daprince7545
@daprince7545 2 жыл бұрын
@@barakamakasi5000 tafuta passport ingia warabuni na kazi yoyote, Kabla hujasafiri fungua account bank save pesa. Coz hio account itakuja kukusaidia, mara nyingi utaftaji wa visa za Europe wanahitaji bank statement . Hio ndio Siri watu wengi wanafanya. Uombaji visa hua unakubali Kwa haraka coz tayar wewe ni msafiri.
GREEN CARD LOTTERY KUANZA RASMI LEO | UPO TAYARI?
1:02:07
EBM SWAHILI
Рет қаралды 2,1 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,7 МЛН
Mahojiano na Mshindi wa Green Card Lottery Mtanzania
20:56
EBM SWAHILI
Рет қаралды 3 М.
Sababu za kunyimwa visa ukiwa Mshindi wa Green Card Lottery
6:40