Katika maisha yang yote huuuu ndio mwaka pekeeee niliona siasa zanzibar
@abumussabnassor61414 ай бұрын
Nakumbuka tinavo teswa na mckar utawala wa shen na sefu sli idi
@ibrahimshaffy82497 жыл бұрын
Safi sana vijana
@laythatoman39457 жыл бұрын
love you tatapambana kadri tutapo fika tuwazidishie zambi za kutuzulumu
@AllyHamran Жыл бұрын
Huu mwaka huu sijui km utatokea kwa siasa za upinzani visiwani zanzibar.
@khayratrajab95034 ай бұрын
Hauwezi kutokea tena
@laythatoman39457 жыл бұрын
Ukame umezidi kwa maasi yao wrngine tumekimbilia kuosha vyoo vya waarabu twafa twateseka tunahangaika ajira hamna kwenye nchi yetu tunaumia tunajikomboa lakin wamegagania wanataka tuuwane sis kwa sisi hatusubutu mtakufa nyie kwanza na wafuasi wenu zulumati nyii sheni na kaumu yoko