Sitasahau hii siku. Kama bado unalia kama mimi hii 2022 like
@lydiamsheri4095 Жыл бұрын
Kwakweli daaaaa
@Official83640 Жыл бұрын
Mie hii 2023 na bado chozi linanitoka 😢
@NusuraFabianoleomotokwetu Жыл бұрын
Yani jamani
@winifridakasibu2900 Жыл бұрын
Mm nalia machozi utazani kafa leo baba r.i.p jpm mungu ndo anajua
@samirazuberi186 Жыл бұрын
We acha mpka leo nina kidonda moyoni mwangu,, 😭😭
@malaikajabali-oj2fh6 ай бұрын
Kifo chake kiliwaumiza Wakenya 🇰🇪 kwa jumla. Buriani our Hero, our mentor ,Dad and King of African continent we will miss you dearly ❤️
@victormathu66893 жыл бұрын
Daaah mola nakuomba uangalie mambo mazuri yote mzee magufuli aliowafanyiwa watanzania wanyonge ...umsamehe tu thambi zake na umpe upumziko mwema amin
@jumanjiku163 Жыл бұрын
Leo Wanyonge hawana sauti Baba...R.I.P JPM.😮
@joshuabryson80443 жыл бұрын
Nimemkumbuka komba .......PUMZIKA JPM KAZI YAKO IMEBAKI ALAMA
@sakongtitus2526 Жыл бұрын
2023 still unbelievable magufuli alituacha...from 🇰🇪 kenya
@cosmasmpwage25763 жыл бұрын
😭 leo tena nimeutazama huu wimbo
@aminamollel35713 жыл бұрын
😭😭😭😭 Natamani iwe ndoto maumivu ni makali hayaelezeki Mungu tusaidie tulikupenda sana baba yetu 😭😭😭 pumzika baba
@shijakija9194 Жыл бұрын
Misingi uliyoiweka iwe dira ya maendeleo ya nchi hii. Pumzika kwa amani shujaa wa nchi yetu na Afrika.
@ignatiomatimba355411 ай бұрын
Inatuhuzunisha sana tukikumbuka kifo Cha Dr. JPM pole saw me a Mwalimu Janeth Kwa kuondokewa na Mwenzi wako. JPM anaendelea kuishi nasi daima kwakuwa tunamwona kwenye kazi alizozifanya tangu akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali Hadi alipokuw Rais. Rest in Power DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
@assumptamwilanga550410 ай бұрын
Hata mimi hapa machozi yanatoka,Mungu ampokee mbinguni
@fredjoseph11303 жыл бұрын
Kazi nzuri T.O.T, Hizi ndio nyimbo za maombolezo za kutia moyo, WAFUNDISHENI na WENGINE Tungo za maombolezo zinavyotungwa, na si kukimbilia studio kuwa wa kwanza kutoa wimbo
Asante sana bora umesema ww maana nyimbo za mapenzi wanaimba kwenye maombolezo duuuh kweli kaz ipo
@pankrasmapunda39383 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tunakuomba umpumzishe Aliyekuwa Raisi wetu wa Awamu ya Tano Mahali Pema Peponi,Ameen.Hakika TOT Wametuimbia Nyimbo Nzuri Zenye ujumbe mzuri na wanastahili pongezi
@rayb94723 жыл бұрын
Nenda baba, 😭😭😭😭 daaah!kapumzike baada ya kumaliza kazi dunian Mungu akupe cheo tena chakuongoza malaika 👋👋👋
@ambwenetweve18973 жыл бұрын
🤣🤣
@venancemalima1181 Жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Rais John Joseph Pombe Magufuli. ♥
@ombeniibawa4481 Жыл бұрын
Daaah naumia sana naposikiliza huu wimbo, tone yake inaumiza sana 😭😭😭😰😰😥😢 daaah hadi leo TAR.20.10.2022 nalia sana
@dizelakituleKitule-qx6ss6 ай бұрын
Na mkumbuka sana babaangu manguu angekuwepo umeme usingehe katwa ovyoo baba ludii jamn
@sikuzanibusanya64233 жыл бұрын
Pumzka kwa Amani baba yetu kipenzi wanao tunalia mnoo 🙏🏿🙏🏿🙏🏿😭😭😭🤲🤲🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔
@musomimukama33083 жыл бұрын
RIP baba ,, hizi ndizo nyimbo za maombolezo
@lazaromgaya22113 жыл бұрын
Namuona komba kwa mbaliiiiiii R. I. P komba bado tunakuenzi
@winfridaphilemon81653 жыл бұрын
Nenda baba maisha yako ni ushuhudaa unaoishi 😭😭😭💔💔💔💔💔💔
@dorcusmunanu5063 жыл бұрын
Mungu anaweza sana atatufariji Watanzania tusiogope kama ali vyosema Baba yetu katika uhai wake
@clememallya42573 жыл бұрын
R.I.P our president, hero of Africa, our Lion, our fighter against enemies who steal our tresures and calls us poor.🙏🙏😭😭😭😭✝️✝️✝️😥😥🙆♀️🙆♀️🤦♀️🙋🏾♀️
@josephlunyilija28003 жыл бұрын
20/07/2021 nilikwa namkubali sana huyo mwamba
@nishasalim28803 жыл бұрын
Wimbo huu umewaliza wengi.ngoni" tone" ipo juu ! RIP JPM. 🇹🇿🙏🏾
@mariamusaulo4429 Жыл бұрын
Mungu akupokee John Pombe Magufuli,😭😭😭 hakika tulikupenda Baba Yetu jembe letu, tutakukunbuka sana, mtetezi wa wanyonge
@bayaeverline79222 жыл бұрын
Hakika mungu mtie nguvu mama Janet magufuli kwa kupoteza kipenzi chako,,,,hii nyimbo haiachi kunitoa machozi kwa kweli.Raha ya milele umpe mtumishi wako ee Bwana,,,,,na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa amani....Amina
@priscambwambo10303 жыл бұрын
ULIWAPA HESHIMA WANYONGE WAKAIFAIDI NCHI YAO NENDA BABA UKAPUMZIKE BAADA YA KAZI NGUMU ULIOIFANYA
@DamarisMustangi3 ай бұрын
Kiongozi aliyekuwa supavu namulilia mpaka sahii john , hata mume wangu alimfuata 2022 imagine kifo kwa kweli😭😭😭 🇰🇪 from kenya napitia mazishi yake mpaka roho yangu imekataa kupona mungu nifariji nisi overthink nigonjeke
@eliasmelusori67603 жыл бұрын
Hakika Magufuli tumekukumbuka... Ooooiiiiii Mungu utuokoa sisi watanzania
@lazaromgaya22113 жыл бұрын
Hakika dereva amefariki akiwa kwenye usukani wa gari lenye speeeeeeeeed Kali.Ee MUNGU tunaomba umpe nguvu dereva aliye pokea usukani huuuuu
@jenifaribart8223 жыл бұрын
Jaman inauma rakini hatuna jisi tumuombee kwa muqu baba mwenyezi amupokee kwa amani aiweke roho pema peponi amina
@rabbithare3813 жыл бұрын
Oww Poleni sana tena sana ndugu zetu watanzania.. Siyo Nyinyi pekee mumepoteza kiongozi ila ni East Africa na Africa kwa jumla.. Poleni sana kutoka hapa Kenya... Hii nyimbo has really made me very very emotional, truly Maghufuli was a man of value & quality... Mola amrehemu. RIP our hero, RIP our lion, rest in peace the son of the soil......
@madamejescarandrew.g.95343 жыл бұрын
Ameeeen...😭😭🙏🙏
@peterwataka52733 жыл бұрын
You are the hero Dr. You fought the good fight.You've finished the race,you kept.Rest in peace Icon.
@caycameout2play2 жыл бұрын
Thank you so much for your kind words, jirani. Just came across this video a year later, and we still grieving for JPM. May he RIP
@rabbithare3812 жыл бұрын
@@caycameout2play Asante dada for you kind response. Guess I still go watch his videos on you tube and how he run his beautiful country. I'm so sad seeing the things he fought for & died for creeping back into the country. Truly all of us do and will continue missing that wonderful mzalendo & statesman.... Asante dada for you kind response.
😭😭😭😭 Nenda Magufuli Nenda Baba Umeumaliza Mwendo 😢😢😢😭😭🙏
@user-rj2wk3pz2b4 ай бұрын
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman amina😭😭😭😭😭😭 daima tunakukumbuka baba kipenzi cha watanzania dar inauma sana pumzika sana
@ATANASSHEMZIGWA-vt5vz Жыл бұрын
Wimbo toti unakumbusha niwaze sana
@faharimbilinyi59723 жыл бұрын
Kama unajua maumivu ya kufiwa na umpendae usikiapo huu wimbo lazima kwa mbaaaliii utapata machozi yanayolengalenga machoni TOT band hakika mko sawa mmejua kuwafariji wengi.
@user-ox1tt3on3i4 ай бұрын
Daaah nazidi kuumia sana
@momylaviel Жыл бұрын
Sitakuja kusahau siku hii pumzika baba yetu😭😭😭😭😭
@ceciliambui59723 жыл бұрын
Jamani mama amechoka kabisa ,mungu mkumbuke
@bayaeverline79222 жыл бұрын
Mama Janet aliniumiza sana katika huu wimbo hakika,,,,wimbo ulijaa maneno mazito,,,,nakuombea kwa mungu mama yetu,,, mungu akutie nguvu mama magufuli
@ignatusmponji3609 Жыл бұрын
T.O.T is the best band in our country ina nyimbo nzuri zinazo weza Kuwa liza watu
@yussufnyaregecha58273 ай бұрын
dah!! Missing my beloved president
@TAUSISHABANI-ie2lh6 ай бұрын
Lala salama jembeletu Magufuri🙏🙏
@karismakwai99863 жыл бұрын
Ni pigo kubwa kwa Wana Tanzania atuna kikubwa zaidi ya kukuombea kwa Allah akulaze Mahal pem pepon
@angelalphonce9368 Жыл бұрын
We remember my soger💔💔😭😭😭😭😭😭😭
@user-lk6ym7gz3t6 ай бұрын
Pole mama pamoja na watanzania wote
@malengamsombwa3643 жыл бұрын
wimbo uliojaa simanzi nahuzuni nyingi sana. nikweli nenda baba tutakukumbuka daima
@janekchannel50743 жыл бұрын
Pumzika kwa amani shujaa wa Africa, I haven't seen another person mourned like this almost worldwide 😭😭😭😭😭rest in eternal peace
@florenceachieng13903 жыл бұрын
Rip
@jumamavind7713 Жыл бұрын
Watanzania tulikupenda sana lakini nae mungu alikupenda zaidi
@neemakusenha25403 жыл бұрын
this is the song.... ukisikiliza unafeel kabisa !! Apumzike baba etu Magufuli Tumelia sana Mungu atusaidie tusikufuru
@jutokiwembe65343 жыл бұрын
Totband Wapo. Vizurisana
@jutokiwembe65343 жыл бұрын
Apumzike baba yetu
@jutokiwembe65343 жыл бұрын
Apumzike baba yetu
@danielkavita8634 Жыл бұрын
Endeleà kupumzika peponi Rahisi magifuli...mimi ni mkenya lakini nilimpenda sana Rahisi Magufuli 👋 😥
@teclajosphat31553 жыл бұрын
A nice song,, hii ndo nyimbo sasa
@hannahnjubi63513 жыл бұрын
Honestly speaking how many of us can stand to be counted for the great work work we have done to both God who called us and to the people have entrusted to us. One thing is sure one day each one of us will stand before God and give an account for everything we did with the responsibility God gave us. Lake salamanca Jujaa.
@nicksonyego42349 ай бұрын
Nyimbo nzuri yamaombelezo ongera sana, R.I.P mzee maguvuli.
@user-vv7nn9mk6m4 ай бұрын
😢 hakika ni ngumu sana kumsahau kiongozi shupavu kama huyu nenda baba umeumaliza mwend umerud kwa baba 2024
@catherinemwalongo8856 Жыл бұрын
Bado tunakulilia baba rest easy champ 2023
@NEEMACHARLES-uy3zt7 ай бұрын
Baba tutakukumbuka daima baba
@Adrianomsanga9 ай бұрын
Pumzika mwambia wetu duhatutokusahau baba magu
@priscagabriel8802 Жыл бұрын
Daaaaah 😭😭😭😭😭😭😭😭huu wimbo unaliza sana hakika baba tunakumiss
@ombeniibawa4481 Жыл бұрын
Am so sorry, hata mm bado nalia mpaka dk hii😭😭😭
@cosmasmpwage25763 жыл бұрын
Hii nyimbo dah... Tuwekeeni na zile nyingine 😭😭😭😭
@onesmoakwilini62543 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo za maombolezo. Sio wale wengine wanaimba bongo flavour wanasema wanaomboleza
@musomimukama33083 жыл бұрын
Siyo za akina fulan
@fatumakassim7163 жыл бұрын
Hahaha 😃 😃 😃 kweli kabisa wanafanya kazi kubana puwa
@nishasalim28803 жыл бұрын
Ngoni tune ipo juu !💪🇹🇿👍
@user-un9gr1tk3u6 ай бұрын
Kama kweli mulimpa sumu awali mukaona haitoshi mummalize kabisa inshaallah mungu atawaonyesha kwauwezowake
@user-un9gr1tk3u6 ай бұрын
Eeemungu ulimchukua kwelituu aaah inaniuma sana atasijui lini nitasahau
@margaretwambete12283 жыл бұрын
Pole mummy.Mama maria yuko nawe.🙏🙏🙏👑
@lucymatunda25553 жыл бұрын
Amiin
@shamiraosman15062 жыл бұрын
Mungu akupunguzie azabu amen
@shamiraosman15062 жыл бұрын
Pole mama janethi na sisi pia tunajipa pole tumepoteza
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi amina hayati magufuli alikuwa mtu wa watu
@johnkaranja2041 Жыл бұрын
kwa kweli wimboo huu unaliza
@EnockFesto-xp5pl28 күн бұрын
Naitwa Issack mohamed Yusufu Kitumbula wa Bukoba Hakika tumpoteza mpambanaji bado tunakukumbuka mzee wetu.
@paschalmashiku48143 жыл бұрын
Dah! Hii ndio nyimbo jamani
@elizabethlandulila13593 жыл бұрын
Wimbo.unanikumbusha.mambomegi.sana
@peterwataka52733 жыл бұрын
You are the hero!! Dr. JPM rest in peace.
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Shujaa wa africa lala
@MbogoDotto-sq1bj8 ай бұрын
Nyimbo za kisukuma
@omaryyusuph787710 ай бұрын
Legend wa Africa tunashukulu umetutoa matongotongo sisi watanzania.
@elizabethlandulila13593 жыл бұрын
Ongela Sana.T,o,t
@rosekisogole41613 жыл бұрын
E mungu warehema wewe wajua maumivu tulio nayo juu ya kipezi chetu magufuli twakuomba umpe pumziko LA milele Amina
@malevemusingila6696Ай бұрын
Kiongozi aliyekuwa bora zaidi,na kielelezo bora zaidi katika Bara kipenzi ya Afrika.
@kulwamakene3893 жыл бұрын
Laiti ungeliamka ukaona Watanzania wanavyokulilia😭😭Nenda Baba nenda Magu Mwendo Umeumaliza pumzika Kizazi tutasimulia!! Nimekumbuka Viongozi waliotuacha katika taifa letu wakiwa Madarakani 1.Edward Moringe Sokoine(Waziri Mkuu1984)Enzi za Hayati Baba wa Taifa 2.Dr.Omary Aly Juma(Makamo wa rais)Enzi za Hayati Mzee Mkapa 2001 3.Dr.John Pombe Joseph Magufuli (Rais wa Tanzani2015-2021)Watanzania tunakulilia😭😭😭🤲🤲🤲
@emanuelnyab98722 жыл бұрын
Mkapa na Jk Nyerere hawakuwa madaraka mpaka wanafikwa na mauti
@albertwanjala9757 Жыл бұрын
Great memories of JPM our all time African Hero.RIP.
@michaelmaina75963 жыл бұрын
this songs carries the day, nenda salama baba
@kiazikitamu39853 жыл бұрын
Wangoni wakikuimbia msibani utalia mpaka utatapika utumbo, toni ya kingoni ya nyimbo za msiba inaliza sana
@user-nm5ff3ri8k9 ай бұрын
Poleni sana
@user-yc5bx8iu3n6 ай бұрын
Wimbo huu unahuzuniaha Sana. Ogopa kufiwe na mwenza
@peterewoi37217 ай бұрын
Magufuli my favorite
@rosekadzokadzo14013 жыл бұрын
Poleni watanzania tuko pamoja wakati huu wamasimba
@khadijakimana88096 ай бұрын
Mwenyenzi Mungu amrehumu DR P. Magufuri
@user-cs3ij9ww9q4 ай бұрын
A real African son with African spirit, May God rest his soul in peace
@user-rv4sk8ym1b6 ай бұрын
Nmekukumbka xn baba yangu mungu akupmzixhe kwa aman
@user-pn3wz2eb5z3 ай бұрын
Tutakukumbuka milele Jembe la ukweli
@user-mu3pn8fc4f Жыл бұрын
Tunakukumbuka jembe ya Africa
@dicksonruaba73512 жыл бұрын
Rais wangu ni Magufuli 😭 Huyu mwingine Mimi hapana.
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
Acha fujo sasa
@kassimukasiga51612 жыл бұрын
Tutu kukumbuka daima
@gonsalvamswaga64713 жыл бұрын
Daaaa, yaani nimemkumbuka John Komba maana sauti mlemle, Rest in Peace Jembe letu
@deborakinga57243 жыл бұрын
Kabisa
@rehemamkalawa38012 жыл бұрын
Yaani hawa walipikwa kweli kweli ktk"tune" za kingoni! Utasema ni Komba mwenyewe ndo anaimba! Na hii ndiyo nyimbo yenye hadhi ya maombolezo kweli!
@VincentMtambo-is9nk Жыл бұрын
Huu wimbo namimipia Huwa unanikumbusha mbalisana jinsi tulivyo kuwa narais mchapa kaz
@ashaathuman14723 жыл бұрын
Pole sana inauma mno mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu mama
@mebyussimpasa6575 Жыл бұрын
Tutaonana siku moja huko juu Mungu akutanguliye baba
@user-km7le4bs2v Жыл бұрын
Simanzi katuachia nenda salama baba yetu R.I.P Mzee MAGUFULI
@MashakaMartin-zn5rq Жыл бұрын
Jemedari wa wawanyonge Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi,ameen.
@mechackmusas68452 жыл бұрын
Vraiment sa me touche
@venicahkwamboka38233 жыл бұрын
Poleni sana watanzania....let the Hero rest in peace
@assumptamwilanga550410 ай бұрын
Mama Mungu akupe moyo wa ujasili
@halimaphiniasibwire96886 ай бұрын
Jipe moyo
@kwampalangetv55115 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭miaka 3 Sasa daaaa😭😭😭😭
@mokamirael31223 жыл бұрын
poleni saaan Mungu awe nanyi wote,wanainchi wote wa Tanzania poleni saaan kwa kumbotesa mweshimiwa wenu Makufuri