Mtangazaji na mtoa hoja, matumizi ya neno Neema mnalikosea, mnalinajisi!!! "Neema" ni kile kitu mtu anapata pasipo kukigharamia!! Ni.mungu tu ndo anatupa neema ikiwemo uhai na hii pumzi tunavuta bure. Kwa maana ya hoja yako hii kurekebisha pensheni za wastaafu siyo *neema* bali ni jambo fulani linaloendana na sheria na mazingira ya watu unaowaongoza. Jiepusheni na hili neno, siyo la mambo ya kimwili kama mnavyodhani. Acheni kunajisi NENO la Mungu