Rais Samia ataja uzembe, matumizi mabaya ya fedha PSSSF

  Рет қаралды 1,002

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Ай бұрын

Rais Samia Suluhu Hassan amesema ripoti inaonyesha Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) haupo vizuri huku akiuliza ni nani aliyefanya ufikie ulipo.
Pia, ametaja uzembe na matumizi mabaya ya fedha kumesababisha hali hiyo katika mfuko.
Haya yamebainishwa kwenye hafla ya kukabidhi gawio kwa Serikali kutoka kwenye mashirika ya umma na binafsi ambayo Serikali ina hisa zake, Ikulu ya Dar es Salaam leo Juni 11, 2024.
Hivi karibuni, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akiwa bungeni aliielekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya wanufaika kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili wapatiwe mafao yao.

Пікірлер: 1
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 Ай бұрын
Mifuko hii ipitiwe upya, kwa waajiriwa wa sekta binafsi kwanini mkataba wake ukiisha asipewe chake???? Eti ooh unaweza kupata ajira tena, utadhani wanamtafutia ajira husika. Dhulma tupu.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 126 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН