MHE.JERRY SILAA AMUWASHIA MOTO KAMISHNA ARDHI TANGA | MNATAKA KUFANYA UBATIRISHAJI VIWANJA VYA MAMA.

  Рет қаралды 19,830

RAI TV

RAI TV

3 ай бұрын

Пікірлер: 41
@MAONYOTVTANZANIA
@MAONYOTVTANZANIA 3 ай бұрын
Mapapa wa ardhi matumbo moto kwa ajili ya dhambi zao za wizi wa viwanja vya lalahoi , Mungu akupe ulinzi wake yssikudhuru haya mashetani , hayana huruma wala aibu
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 3 ай бұрын
Mungu amjaalie huyu waziri wa ardhi
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 3 ай бұрын
Wana tutesa sana hawa viongozi wa Alimashauri. Na kulitia Taifa Asara na wao wakijilimbikizia peas za dhuluma
@salumally663
@salumally663 3 ай бұрын
Waziri hawa matapelii wa ardhi wataifishwe wakikutwa na utapelii ili iwe fundisho....hii ni culture haitakiwi kuendekezwa
@thelalas9204
@thelalas9204 3 ай бұрын
Hatimae tumefikiwa kaja leo kaondoka leo
@eshymushi3495
@eshymushi3495 3 ай бұрын
Waziri Mungu akulinde,
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
Kamishina mzima Unajitoa Uaminishu kwa tamaa kwanini Amuuzi viwanja vya mamazenu kama mnatamaa😮
@aishambagi7371
@aishambagi7371 Ай бұрын
Anakoomaa
@michaelfrenkline3429
@michaelfrenkline3429 3 ай бұрын
Mnafeli wapi ? Mshikieni waziri Muamvuli wandg. Jua kali
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 ай бұрын
Wajinga wanataka achoke aondoke haraka
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 3 ай бұрын
Hua nafuatilia sana hii mikutano ya ardhi tokea enzi ya waziri Lukuvi nimekuja kugundua kwamba migogoro mingi sana ya ardhi inasababishwa na maofisa wa ardhi kwakweli wao ndio chanzo cha migogoro naona wengi wao wapo unprofessional, mm naona serekali iangalie sana hichi kitengo.
@gideonibatangaki1317
@gideonibatangaki1317 3 ай бұрын
Walikuwa hawajui kuwa unakuja,wakaweka hema iliusipigwe najua,au wanatoka usione na usisome nyaraka vizuri
@estakapufi7582
@estakapufi7582 3 ай бұрын
Vichwa vikubwa pumba kabisa mnaishi kiujanja janja tu mnakaa officin mnalipwa mishahara bule kabisa pumbavuzenu mwaka huu mtakoma mekutana na kichwa, kwanza rais samia watu kama hawa watolewe kazini sio mnawahamisha sio sahihi.
@eazyentertainment5570
@eazyentertainment5570 3 ай бұрын
HALAFU MNAWEKAJE VIDEO ISIYO NA CONCLUTION, HAMNA AKILI
@thomastemu3332
@thomastemu3332 3 ай бұрын
Matapeli hao 😢
@mrafm7285
@mrafm7285 3 ай бұрын
Tatizo la ardhi Tanga mjini likisababishwa na afisa mmoja aliyeondolewa anaitwa Toni huyu jamaa aliivuruga sana idara ya ardhi kabla ya kuletwa kamishna msaidizi watu wengi tulimlalamikia huyu mtu lakini serikali ilichelewa sana kumuondoa akaja kuondolewa mwaka 2021 kupelekwa hai Kilimanjaro
@user-ov3bt3pf1b
@user-ov3bt3pf1b 3 ай бұрын
Waziri Silaa ukiachiwa hiyo wizara ya ardhi miaka 2 tu utainyoosha hao wala rushwa na wadhulumiaji
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 ай бұрын
Yaani watumisi wa serikali ni shida tupu,moaka najiukiza namna ya ujiriwa wao inakuwaje
@user-oj3fq4pi2u
@user-oj3fq4pi2u 3 ай бұрын
Waziri Silaa ni hodari. Mchapa kazi mahiri na anawajibika kikamilifu. Mama Samia tafuta Mawaziri shupavu kwenye Wizara kama huyu kijana...kama. huyu nilipo upinzani sasa nitarudi CCM
@user-fq9fb7pv5k
@user-fq9fb7pv5k 3 ай бұрын
Muheshimiwa waziri jimboni kwako ukonga tunashida ya matapeli wa aridhi ,kipunguni tupewe hati zetu
@aishambagi7371
@aishambagi7371 Ай бұрын
Walijua kwamba atakimbia jua
@masanjakabindo9615
@masanjakabindo9615 3 ай бұрын
Kuna watalam na wakwamishaji wa nchi/ bora uwe na marifa ndo elim ifuate#
@godfreymwemezi5124
@godfreymwemezi5124 3 ай бұрын
Tanga mmezingua hamjaweka hema kwenye meza ya waziri ili achoke na jua et? huyo mtoto wa mjini hiyo aniajua hivyo mpaka kieleweke.
@halimaoman8726
@halimaoman8726 3 ай бұрын
Hao alimashauri ya aridhi ndio chachu ya vurugu viongozi wakibanwa wanakuwa lakusema mate yanawajaa mdomoni silaa kujuza kazi wengine watajifunza
@mbwanaabdallahbwadalizo8779
@mbwanaabdallahbwadalizo8779 3 ай бұрын
Uyo kamishna sio mtu mzuri kabisa
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 ай бұрын
Hv uwezo wa kuendeleza(kutoendeleza )kiwanja ni ground yakufuta umiliki wa mtu?.Ni sheria ipi hyo inasema hlo swala?
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 ай бұрын
Wamemfanyia kusudi ili Achoke aondoke wanajua kuna jua hapo kwanini wasiweke tenti makusudi wamefanya lakini Mungu anawaona hapo wanajifanya wanyenyekevu kama Malaika kumbe mashetani Paka wa Blue hawa wanatesa watu saana na kujifanya Mungu watu Fyuuu
@bongo39
@bongo39 3 ай бұрын
Kiongozi hap jamaa wa tanga ardhi ni dhulma dhulma wanatutesa sana wananchi mkuu uko wewe tuu hapo ila wana majibu ya kunya kweli hao jamaa na maneno yakujiamini na jeuri sana wapigaji wakubwa wachunguzwe uone maisha yao walivyojijenga na kujimilikisha ardhi kila kona kanga ndio usisrme ndio mji wao mkubwa wafanyakazi wa serikali karibu wote
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 3 ай бұрын
Yaani kwa mazungumzo na vielelezo vyao tu, inabidi mtu ashtuke. Bahati nzuri wamekutana na Waziri genius; hawatoboi hapo
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 ай бұрын
Waziri mushauli Raisi I nchi ipimwe yote ili kusiwe na shida hizo
@Safariking2010
@Safariking2010 2 ай бұрын
Hapa Waziri anaelekea kufeli, hii siyo namna ya kutatua changamoto za ardhi manake hapo Waziri ni kama anafanya kazi ya maafisa ardhi wakati yeye alitakiwa kuhakiki kwa mujibu wa nyaraka na siyo yeye kuchukua muda mrefu namna hiyo ku solve tatizo la mtu mmoja! Nchi nzima atawafikia wangapi? Nadhani angejikita kuunda technology wezeshi kwa kuwaingiza wamiliki kwenye database na kuondoa urasimu wa kila mmiliki kuulizwa nyaraka. Maafisa ardhi ndiyo tatizo hapaswi kuwapa nafasi ya kujieleza bila proof records zisizo na utata.
@tztanzania2262
@tztanzania2262 3 ай бұрын
Nashindwa kujua Nani yupo vzur kumzdi mwngne Kati ya Jerry slaa na Paul makonda hawa siku mmoja awe Rais mwingne wazr mkuu nchi itakuwa motoooo
@MohammedLiseki
@MohammedLiseki 3 ай бұрын
Huyo kamishina ni tatizo
@halimaoman8726
@halimaoman8726 3 ай бұрын
Hao viongozi wa ofisini ndio chanzo cha vurugu ya aridhi sababu wwe kiongizi usingekubali kuweka saizi you asingemeliki alidhi ya mwenzie nyinyi ndio changu ya vurugu ninyi viongozi mngefutiwa kazi wengine mngejifunza mngekuwa na woga nakusikiliza kesi ambayo za dhuluna
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Silaa ww niwaziri ambaye hajawai kutoka Tanzania unafanya kazi Kwa weredi mkubwa watu Aridhi niwagombanishi wakubwa wenyewe wanaviwanja kila mkoa.
@petroyohana1126
@petroyohana1126 3 ай бұрын
Uzuri wa waziri Slaa ni genius, you can't lie to him easily
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 3 ай бұрын
And very smart
@tztanzania2262
@tztanzania2262 3 ай бұрын
Demakeshen maana yake Nini?
@petroyohana1126
@petroyohana1126 3 ай бұрын
Kwanini Tanga hamkuweka turubai sehemu waziri anakaa?
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 3 ай бұрын
Wanataka aungue amalize haraka,hiyo ni roho mbaya saana
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
Umeonaeee😂, wajanja
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
JERRY SILAA AAGIZA KUKAMATWA KWA BAKARI GONGO LA MBOTO
3:24
EastAfricaTV
Рет қаралды 4,8 М.
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 2,3 МЛН
😬 Мам Дай Хлеб 🍞 #shorts
0:38
AOneCool
Рет қаралды 1,7 МЛН
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 8 МЛН