DAKIKA 52 ZA JERRY SILAA ATUMA SALAMU KWA JAJI WA MAHAKAMA ANAYETAJWA KUSAIDIA MATAPELI WA ARDHI

  Рет қаралды 9,794

Millard Ayo

Millard Ayo

Ай бұрын

Пікірлер: 57
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Ай бұрын
Jelly Silaa na Makonda pia na Mbunge Mpina Utendaji kazi wao nimzur Mungu awaongoze
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 28 күн бұрын
Mpina mchumia tumbo
@shabanikitula645
@shabanikitula645 24 күн бұрын
Mpina hamna kitu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 21 күн бұрын
@@msafirimaulidi5054Mpina ni Mbunge safi. Ni mbunge yuko upande wa watanzania. Mpina si muchumia tumbo. Wachumia tumbo wanajulikana. Katika wabunge Mpina ni namba one,
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 21 күн бұрын
@@shabanikitula645Mpaka uwe na elimu ya kutosha, kuelewa Mpina anazungumuza nini.
@user-pw9ir4fg7x
@user-pw9ir4fg7x 28 күн бұрын
Makonda na Slaaa majembe asantee mama kwakutuletea wanaich zawad yenye hof ya mungu
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d 27 күн бұрын
Nawapongeza sana viongozi wetu p makonda jery sillah kwakazi mnayo fanya nimakubwa ssna hafu nzinto mno hongereni
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
WAZIRI pekee mwenye uzalendo na utu kwakweli mungu akuweke mh JERRY slaa huna baya kakangu
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 24 күн бұрын
Muheshimiwa mwenyez mungu akuhifadhi inshallah 🙏 mtetezi wa wanyonge
@mohamedimuhinga9064
@mohamedimuhinga9064 19 күн бұрын
Haya mazao ya magufuli niliyatarajia na Bado wanakuja mungu awabariki sana jury slaa na p makonda nawengine tunao watarajia
@feruzyjuma
@feruzyjuma Ай бұрын
Wewe ni rais wetu WA future....Tanzania needs you more than you need us.
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 28 күн бұрын
Jelly Silaa ni baraka ilishushwa na Mwenyezi Mungu aliye hai. Asante sana Watanzania hatuna maneo ya kutosha ya kutoa shukrani zako kwako. Tunakuombea baraka tele kwa Mwenyezi Mungu wewe pamoja na familia yako.
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 Ай бұрын
Mh,Silaa mungu wetu wambunguni akulinde akusimamie uendelee kutenda haki ya kuwatetea wanyonge
@ombeninnko1800
@ombeninnko1800 29 күн бұрын
Big up MH .Slaaa
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 27 күн бұрын
HIZI NDIO INJIN ZA MHE RAIS DKT SAMIA (AK) MAMA KIZIMKAZI # TUNAIMANI NA SAMIA MITANO TENA MAMA NANI KAMA MAMA🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤ ?...
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Ай бұрын
Makonda and salaa mungu awalinde ❤
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Slaha Rais 2030.apewe ulinzi. Mkali. Rais.msomi.mtukivu.ana heshima mpole.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 29 күн бұрын
Hongera sana Mhe Waziri wa Ardhi kwa Hotuba hiyo nzuri na Mungu akubariki sana.
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 5 күн бұрын
Mungu akurinde waziri wetu
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 24 күн бұрын
Hiyo sauti yako waziri inanguvu ya Mungu ya kuiponya Tanzania
@shabanikitula645
@shabanikitula645 24 күн бұрын
Hiii kichwa Mungu ailinde
@rajatially8628
@rajatially8628 6 күн бұрын
Mungu akulinde
@rajatially8628
@rajatially8628 6 күн бұрын
Mungu akutangulie
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
jmi mwenzenu huyu mtu daah Mungu wetu amtunze jmni
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
huyu mtu amepania kufanya kazi..tumuombeeni jmni
@EliasJohn-lc8nu
@EliasJohn-lc8nu Ай бұрын
Kiongozi wangu Bora kabisa slaaa and makonda
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s Ай бұрын
Mungu wenu Samia mnamsahau ata muumba wa vitu vyote mnamsujudia mtu duuuuuu
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Ай бұрын
I love this man my god bless him
@marthaswai1185
@marthaswai1185 Ай бұрын
Kuna mtu humo ndani huwa ana vita na mawaziri wa ardhi kila wakiingia.Ilikuwa aliyepita.Na sasa huyu.Piga Kazi Mheshimiwa Slaa. Mungu yuko upande wako.
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Yuko wapi wasila hatuja wahi kusikia kazi yake laisi anazidi kupewa kazi anadawa sana
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q Ай бұрын
Piga kazi silahaa Mungu akulinde
@AlistidiusKagyabukama
@AlistidiusKagyabukama Ай бұрын
Ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu
@AlistidiusKagyabukama
@AlistidiusKagyabukama Ай бұрын
Wewe na makonda na mpinq ndee mbarkiwa
@user-er5to1ko1y
@user-er5to1ko1y Ай бұрын
Ameen kubwa Sana,hakuna mkamilifu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 20 күн бұрын
Je huyu Jaji ataendelea kuwa jaji? Nchi za kiafrica tutabakia masikini ikiwa matapeli na wezi wa mabilioni wanainunuwa sheria
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q Ай бұрын
Kunambi anakupiga vita silahaa piga kazi
@CizaDangote
@CizaDangote Ай бұрын
Huyu Waziri Slaa iwapo atapewa urais uwenda viato vyamagufuli vikamtosha au akawa zaidi ya Magufuli.
@HanafiRamadhani-vf4de
@HanafiRamadhani-vf4de Ай бұрын
Ndugu yangu hataapewe ulais viatu vyamagufuli nivikubwa mno
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
Kungekuwa na ugombeaji wa urais 2025 ukaweka majina haya Mh. Mpina, Jerry slaa , H. Bashe na akaja P. Makonda ingekuwa ngoma ngumu. LAKINI kwa mizengwe ya CCM wamebana nafasi kwa makusudi. 2025 wanamwachia xxxx
@EsterEdward-eo6ds
@EsterEdward-eo6ds Ай бұрын
SAFI SANA NIMEIPENDA HIYO NI KWELI KABISA WANAFANYA UDHAMINI KISHA WANAPOTEA WAKIRUDI WANARUDI NA MBINU NYINGINE YA KUWAPA WANACNHI NOTSI HII SIYO HAKI KABISA NI KUWAONEA WANYONGE
@user-vf5gs7ik7w
@user-vf5gs7ik7w Ай бұрын
Wizara imepata mwenyewe kafiti Kila kona
@michaelmwaiteleke9488
@michaelmwaiteleke9488 Ай бұрын
Brother jer piga kazi achana na akina kanyasu hao wanataka kukuondoa kwenye mstar
@user-er5to1ko1y
@user-er5to1ko1y Ай бұрын
Mahakamani ni wengi waovu
@user-qg1tr8ub5p
@user-qg1tr8ub5p Ай бұрын
Gip
@EsterEdward-eo6ds
@EsterEdward-eo6ds Ай бұрын
DAWA YA DENI NI KULIPA .
@Don_Saleh_
@Don_Saleh_ Ай бұрын
Kila tukija kwako unatupiga miezi mpaka watu tunaamua kumtafuta milady ayo labda tutasikika .
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Kwahy usaidiweje huku mtandaoni
@jacksonpriva7664
@jacksonpriva7664 Ай бұрын
Usichoke vumilia ipo siku yatakwisha
@syliviakente9460
@syliviakente9460 Ай бұрын
Nenda chuma No 303 ghorofa ya 3 iliyokuwa Wizara ya Ardhi kwa Bwana Jacob Ngowi atakusikiliza suala lako litafanyiwa kazi !
@Don_Saleh_
@Don_Saleh_ Ай бұрын
@@syliviakente9460 sio kwenda kwake tuu nishaonananae mara nyingi na mpaka namba yake ninayo mpaka kukutana na waziri mwenyewe tayari lakini kilichobaki ni ninapewa kalenda tuu swala lishafikia mwisho lakini bado nazungushwa tuu .
@ZaycargoMovers-vx6lf
@ZaycargoMovers-vx6lf Ай бұрын
Bado hakuna haki
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Nyoosha wale wanapora aridhi za wanyonge
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Kuna Makonda na Slaa hawa watu ni wachapakazi
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Hawa vijana Wana busara na akili sana wapeni vijana kazi mm
@dr.sendeuonlinetv2916
@dr.sendeuonlinetv2916 Ай бұрын
Rais wetu wabadae mashaallah 🙏🙏🙏
@rajatially8628
@rajatially8628 6 күн бұрын
Mungu akulinde
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 18 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,2 МЛН
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 318 М.
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 18 М.