MHE. RAIS SAMIA AKISHIRI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO - MWANZA

  Рет қаралды 10,314

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@user412
@user412 Жыл бұрын
Mama piga kazi wasiokupenda waendelee kubweka tu. Pifa kazi baadae watakuelewa tu.
@KelvinHenry-iy4pu
@KelvinHenry-iy4pu Жыл бұрын
Pg kaz akuna kiongoz zur ww pg kaz mama samia suluhu hassan
@bodyaman
@bodyaman Жыл бұрын
Tanzania itajengwa na WATANZANIA! Tanzania INA uzuri na vivutio vizuri sana aiseeee.Eee Mwenyeezimungu mjaalie Afya njema Rais wetu Samia Suluh Hassan umuongoze vema na umuepushe na mabaya ya wabaya wanaomuwinda Kwa husda WA njebna ndani ya Nchi. (Ameen)
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Tuko na bandari sahv
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 11 ай бұрын
Piga kazi mama 🎉🎉🎉🎉🎉
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Mungu akubariki mama,pia ombi langu naomba mafundi tunao maliza mafuzo atupati kazi hasa kozi za electrical installation kazi ngumu raisi wetu ebu toa neno nasi tuinuke
@sundayshauritanga6342
@sundayshauritanga6342 Жыл бұрын
Wewe ni adui watanzania sio rais wa Tanzania malaya mbwa wa kipemba usie kuwa na uzalendo hata chembe ndani yako auwezi kutuuzia bandari zote za Tanzania kwa mabwana zako wa dubai muda wako wa kukaa madaraka umefika mwisho mapinduzi yako njiani
@Nadir_Abdullah
@Nadir_Abdullah Жыл бұрын
؟؟؟؟؟؟
@augustkisaka5107
@augustkisaka5107 Жыл бұрын
Futa ujumbe wako broo umekosea sana tena omba msamaha mapema
@nyandaminziku9742
@nyandaminziku9742 Жыл бұрын
Siku zote mjinga hupenda kutukana na kukosoa kila kitu kinachofanywa na viongozi au baba ake maana huwa hapendi kufuatilia Jambo kwa kina na kufanya tafti kwa kina Kama nchi zilizoendelea nazo zinatafuta wawekezaji mwache mama afanye kazi duu nimeamini Africa tuna wabwekaji wengi Sana wasiopenda kujifunzia wameganda akili zao ingia KZbin andika NYANDA MINZIKU wimbo Tanzania
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Lugha ngumu sana hii umetumia. Kukosea nini jmn? Ungesema tu kuliko hii kauli isiyo na afya kwa masikio . Tukupe nchi basi mwezi mmoja ww tuone
MHE. RAIS SAMIA AKIWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JIJINI MWANZA
3:50
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 14 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
129th IOC Session - Keynote speech by Professor Muhammad Yunus
1:26:36
Why The 'Golden Visa' May Be on Borrowed Time
8:05
Bloomberg Originals
Рет қаралды 99 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 786 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 289 М.
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 14 МЛН