Mkuu wa mkoa kwa nn una tusalimia kwa kirangi? Na chemba wenyeji ni waburunge na wasandawe hatutaki kutawaliwa na warangi chemba
@tibbsminja25752 жыл бұрын
Ni Kwa Nini viongozi hamtaki kusema ukweli?? Mkuu wa Mkoa umepangiwa ukapangika. Badala ya kuwasaidian wanachi wako ? Mengi ya uliyoongea ssintulioko hapa Wilaya ya Chemba tunayaona. Unataka.matoleo.ya mamilioni mabilioni ila hatuoni lolote. Acheni UCHAWA!! Chemba Kuna utalii gani?????
@enterenter77982 жыл бұрын
Huyo kimbisa astaaf Sasa loo miaka Tele Serikalin tumewachoka kbs hamn jipya
@enterenter77982 жыл бұрын
Et shida kidog siuseme mnashida ya maji yaan chemba Kuna shida ya maji 100%hamn maji we unawaza barabara za mitaan ziwekwe lami ili iweje
@tinolutonja89322 жыл бұрын
Hana watu mama Samia bado kabsa watanzania hawakuelew kabsa
@enterenter77982 жыл бұрын
Sio lazima wote wamuelew
@Nadir_Abdullah2 жыл бұрын
@@enterenter7798 kweli
@enterenter77982 жыл бұрын
Monie ndio mbunge wa chemba
@enterenter77982 жыл бұрын
Mbona hajawasemea kuhusu maji🙄🙄
@Nadir_Abdullah2 жыл бұрын
Raisi aliongea kuhusu maji 👍
@enterenter77982 жыл бұрын
@@Nadir_Abdullah yeah nuliangalia tena lkn bado maeneo hayo mpk kondoa Kuna umeme haujafika kote hayo maji nibaadh tuu