UWEKEZAJI WA MIZENGO PINDA DODOMA NI BALAA EBU SHUHUDIA ALICHOKIFANYA

  Рет қаралды 121,216

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@fikiliogambi5042
@fikiliogambi5042 10 ай бұрын
Kwa kweli Mzee Pinda uishi maisha marefu mzee wangu! Mimi ni kijana lakini natamani sana kuinvest kama wewe ila changamoto ni mitaji
@joshuakusena
@joshuakusena 9 ай бұрын
Tupeane namba za simu hapa. Labda tutapata wazo kaka. Maana na Mimi shida hiyohiyo
@LazaroMetivoi
@LazaroMetivoi 10 ай бұрын
Hongera sana mzee. Ikimpendeza Mungu, siku moja nitakutembelea shambani kwako.
@violetcarroll4930
@violetcarroll4930 4 ай бұрын
Ah mzee umekaa vizuri Mungu akubariki sana
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 10 ай бұрын
Kweli mzee pinda we ni tofauti sana tutakuja kujifunza kwako baba yetu udumu na upendo wako
@BashiruDauda-e1n
@BashiruDauda-e1n 10 ай бұрын
Mzee mugu hakuogeze maisha mema hira naomba unique namm nimeaza na kuku sabini nitume kiripu yangu
@omtuya5892
@omtuya5892 9 ай бұрын
Huwa namkubali sana huyu mzee. Very simple, cooperative na yuko available kwa yeyote kujifunza
@patricknamangoa6468
@patricknamangoa6468 9 ай бұрын
That's Mzee Pinda, humble and caring. May God continue to strengthen you Mzee.
@mamachris6811
@mamachris6811 9 ай бұрын
Wewe kweli ni kiongozi,unaonyesha kwa viyendo Ulichopata kwa halali,umekiwekeza Hongera sana
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 10 ай бұрын
Hongera sana mzee
@igihamanuel1
@igihamanuel1 10 ай бұрын
Hongera sana Mzee Pinda. Umekuwa mfano mwema, ubarikiwe
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Ай бұрын
Mizengo, we miss you! You are a model for leadership in Tanzania.
@LeornadKiyungi
@LeornadKiyungi 10 ай бұрын
Hongera sana Mzee wetu.
@elineemamndeme5634
@elineemamndeme5634 10 ай бұрын
Safi sn baba hongera
@emmanuelmchome3071
@emmanuelmchome3071 9 ай бұрын
Mh. M.K.P.PINDA Umeonesha mfano mzuri Sana Bwana akubariki Sana. Nimejifunza Sana.
@claveryamede8919
@claveryamede8919 Ай бұрын
Ama kweli kilimo ni uti wa mgongo wa maisha ya mtanzania
@AlexJunior-ls4ul
@AlexJunior-ls4ul 9 ай бұрын
Saafi sana mheshimiwa Acha na sis tujifunze
@NdyeshoboraHabib
@NdyeshoboraHabib 9 ай бұрын
Mzee Linda Mnyezi Mungu akusimamie!!!!
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 4 ай бұрын
Ongeraaa babaaa umenisisimuaaa
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 Жыл бұрын
Hongera baba mungu akutunze frm mwanao KISIWA BENEDICTO PAULO
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 2 ай бұрын
Tatizo sio Bank ishu unawaelimisha na kuwaelekeza nini wafanye.................wengi vichwa vitupu
@DONALDMTOWE-u9g
@DONALDMTOWE-u9g 10 ай бұрын
Mzee pinda hongera sana,Ila mikopo ya halmashauri madiwani wanazila,wanavikundi vyao.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 жыл бұрын
hongera sana baba yetu Mizengo pinda kwakutupatia elimu ya kujitegemea
@edithmushy1010
@edithmushy1010 2 жыл бұрын
Hongera baba. Napenda kilimo na nitafanya kwa ukubwa wa uwezo wangu. Natafuta tu Kama heka 5. Sehemu yenye maji na rutuba
@rafaelikimati4276
@rafaelikimati4276 9 ай бұрын
Safi sana Mkuu napenda sana hii kazi ila mitaji tu unanisumbua mimi ila naipenda sana hii kazi mimi kiukweli
@paulm.kaponda2300
@paulm.kaponda2300 9 ай бұрын
Ubarikiwe mzee wetu Pinda.
@ezrakiduko6135
@ezrakiduko6135 9 ай бұрын
Salut pinda
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Hongera sana
@lucymarandu4790
@lucymarandu4790 9 ай бұрын
OO wonderful inafutia kilimo fresh kina Tisha. I wish vijana wangejifunza na kuwezeshwa, wanywa gongo na madawa ya kulevya wangejiajiri wenyewe.
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 ай бұрын
Usijeukalogwa,masoko hakuna utaumia na kilimo wanafaidi madalali
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 4 жыл бұрын
Mzee hongera mzee naomba kukuwakula sikukuu
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 9 ай бұрын
Acha omba omba
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 10 ай бұрын
Hongera sana mzee pinda tunapenda wazee aina yako sio wazee wasiokubali kustafu wanauchu wa madaraka mpaka kufa kwao
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 ай бұрын
Kilimo kila mtu anapenda,masoko yako wapi??tumeishia kuteketeza mitaji yetu tu tunaumia sana.
@mwerindejackson5001
@mwerindejackson5001 Жыл бұрын
Hongera mzee ww kama muizraheli vile karibu same
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 11 ай бұрын
Wewe nakuhabarisha unasifia usichokijua wewe ni miongoni mwa wale wanaopenda kutawala wajinga ambao wanaendelea kupungua hapa TZ vyuo vikuu walivyovianzisha,sekondari zakata watu wanasoma uraia na ndiyo somo mhimu katika kuwatambua hawa na jamaa zetu halafu unaendelea kwenye kundi LA kusifia kwa taarifa utakuwa umechelewa utakosa hata kujisaidia haja ndogo itakuwa kwu au nachafua mazingira kwa jirani yako hiyo utaijua uzeeni sijui kama unakaa kwako au umepanga hawataki katiba mpya kwa sababu hata Mali za Watanzania kama viwanja vya mpira wa ni Mali ya chama chao wakati Watanzania wote wafanyakazi, wakulima , ndiyo waliojenga miundombinu hiyo bila kujua, bila walojenga kutambua kuwa wanatakiwa kujua kuwa ni Mali ya Watz siyo ya Chama cha siasa kama alichokitumikia hiyo mzee? Kuwa chanya kama unajitambua
@johnsaningo226
@johnsaningo226 2 жыл бұрын
Great mind
@mwitawambura2548
@mwitawambura2548 9 ай бұрын
Hello Peter, Leo nimekuona bhana nakumbuka kipindi hicho ukiwa spika wa bunge la chuo flani Keep it up brother una kiu ya uongozi
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 9 ай бұрын
Ni kweli kbs degree ni cheti,wasomi ndo wawekezaji wazuri sana hapa New jersey👍🏻👏🏽
@josephineseruhere-cv4wc
@josephineseruhere-cv4wc 10 ай бұрын
Wewe ni malaika ulietumwa DODOMA Mungu akubariki
@KaijageEvodius
@KaijageEvodius 7 ай бұрын
safisana mzeepinda
@andreamathew4585
@andreamathew4585 9 ай бұрын
Tutapata kazi kiongozi
@agastokissatu2667
@agastokissatu2667 9 ай бұрын
.......mwamba kama mwamba kweli kweli....!!!nadhani ni viongozi wachache wanaoweza kusema hapana(no) mheshimiwa
@shukranikikoti5261
@shukranikikoti5261 2 жыл бұрын
Congrats
@josephnjella4919
@josephnjella4919 2 жыл бұрын
Hongera mzee nitakuja nikusalimia
@tanzaniampyakaulimbiu3553
@tanzaniampyakaulimbiu3553 2 жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 9 ай бұрын
Asset Yetu Ya Taifa....mkuu kamtaji ndo Shida vijana tunapendaa kilimo na ufugaji..ila vijana tuwezeshwee
@TENGAMSOGOYA
@TENGAMSOGOYA 10 ай бұрын
Hongeraa sanaaa mheshimiwaa natamani Sanaa niweee kamaaa wew
@hassannjiku
@hassannjiku 11 ай бұрын
Mzee pinda umenipa somo zuri nn nimepata pa kujifunza
@VincentKija
@VincentKija 9 ай бұрын
Aendelee kuwekeza kiongoz hana mambo mengi huyo.
@PatrickMapinduzi-q5d
@PatrickMapinduzi-q5d 10 ай бұрын
Tatizo kubwa kwenye nchi yetu wanasiasa wanatuambia vujana twende kijijini tukalime kijana ataanzia wapi Hana pesa ya mtaji hana kila kitu ataanzia wapi,,wao wakiwa madarakani wanachuma pesa nyingi baada ya hapo wanaanzisha miradi mikubwa so vijana tufanyeje
@mtanganyikahalisi4286
@mtanganyikahalisi4286 9 ай бұрын
Kijana anamiliki simu ya Milioni mbili yupo mjini analalamika Hana mtaji anataka Serikali impe mtaji halafu hiyo simu haina kipato chochote inachomuingizia Zaidi ya kuji selfie Na kuwatambia watu unamiliki iPhone macho matatu mtasubiri sanaaaa
@leonardfungo
@leonardfungo 10 ай бұрын
Watu wanatafuta Degree wapate ajira Serikalini kisha wakaibe wapate mtaji kisha wakalime hapa kisa nl mitaji.
@maselemaziku4875
@maselemaziku4875 9 ай бұрын
Saiv unKUMBUK na kukosea lkn vip kuhusu wapigwe tu ,AANA hakuna namna
@josephmpanda2237
@josephmpanda2237 2 жыл бұрын
Naomba Mimi ni mstaafu nilipenda kujifunza kuhusu kilimo na ufugaji ni namna gani naweza fika hapo Kwa muheshimiwa Waziri Mkuu mstaafu Mimi Niko mwanza Nina mapenzi makubwa na kilimo naomba kupata utaratibu
@Egbethelneus-wj3bq
@Egbethelneus-wj3bq 9 ай бұрын
Tanzania siyo maskiniii ila watanzania tumekosa maalifa
@BashiruDauda-e1n
@BashiruDauda-e1n 10 ай бұрын
Mm mueshimiwa niko bukoba naomba msaada kwako nimeaza kufunga kuku hila sina mtaji naomba msaada kwako nitashukuru kwa kunifikiria
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 9 ай бұрын
Duuu jamani watu tunaomba bila aibu...au Pinda katenga fungu la kugawa ? ,tuambizane
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 9 ай бұрын
Baba unajua wambie hao wanataka kukaa ofisini tu kuchezea kompyuta tu
@HajiMakame-m8l
@HajiMakame-m8l 10 ай бұрын
Wakuu nyie wa nchi mnaogopa njaa Sanaa nyie wapiga dili sekalini nyie mmejipanga Sanaa nyie mapema mnachukua chakwenu
@judicalosika7642
@judicalosika7642 2 жыл бұрын
🇮🇱Mzee Pinda NAKUPA HONGERA SANA SANA. INAONESHA KABISA TANZANIA SIYO NCHI YA KUWA NA NJAA.
@VENANCEAUGUSTINO
@VENANCEAUGUSTINO 9 ай бұрын
Kulimo pesa buka pesa ngumu
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 9 ай бұрын
Waliochuma mali kwa halali wanadhihirika pasi shaka.
@tanzaniampyakaulimbiu3553
@tanzaniampyakaulimbiu3553 2 жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 2 жыл бұрын
Mmeiba vya kutosha sasa mnatufanyia msigizo ya ufugaji ..mbona haikuwa kabla ... kula hela kifo kipo karibu acha kujisemesha ..shida dodoma maji wkt ulikuw wazir mkuu
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 ай бұрын
Af tunadanganywa et vijana changamkieni fursa,kwanza mitaji vijana hawana,masoko hakuna,madalali ndo wanafaidi mkulima anaumizwa nchi hiiiiii
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
ACHENI kutukana watu
@babuloliondo74
@babuloliondo74 2 жыл бұрын
Umejirimikisha viyakutosha mbwa wewe sura kamatako nyambavu zako wewe
@martinegumbo7225
@martinegumbo7225 2 жыл бұрын
Hivi kwanini watu mnapenda sana kutukana?,unadhani utaweza kujikwamua kiuchumi kwa kutukana?Tujifunze kutumia lugha za staha.
@ismailmdoe8616
@ismailmdoe8616 Жыл бұрын
Mzee uwekezaji uwo niwagarama huwezi kumshauri mtu asiekua na kipato afanye uwekezaji uwo..hata ww umeweza kufanya baada ya utumishi.
@AlexChonanga
@AlexChonanga 10 ай бұрын
Wewe mbwa ulaaniwe unaemtukana Mzee wetu Mzee PINDA
@AlexChonanga
@AlexChonanga 10 ай бұрын
Mbwa mkubwaaa wewe Tena ningekuona karibu yangu ningetanguliza kuzimu wewe
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 10 ай бұрын
Mzee pinda alikuwa kiongozi mkubwa na ni mtu mzima kiumri,na ni mwekezaji mkubwa wa ndani,hufai kumtukana na kumkosea adabu mzee km huyu.jufunze tabia njema na namna ya kuwekeza kwa huyu Kiongozi badala ya kumtukana
@EmmanuelLubuva
@EmmanuelLubuva 10 ай бұрын
Hongera sana mzee
@ChachaNyahende
@ChachaNyahende 10 ай бұрын
Hongera sana
EXCLUSIVE: MZEE Anayefuga SAMAKI Elfu 30 NYUMBANI Kwake, AFUNGUKA Haya..
12:04
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI | #MAVUNOTIMES
10:15
MAVUNO TIME
Рет қаралды 69 М.
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 311 М.
DAKIKA 30 NDANI YA SHAMBA LA WAZIRI MKUU MH MIZENGO   PINDA - HAPA NI ZAIDI YA CHUO KIKUU
30:08
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 59 М.
DAKIKA 5+ ZA ELIUDI ZAMCHAPA MAKONDA - AMVUNJA MBAVU RC - UTAPENDA....
6:23