MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA ZIARA SOKO LA KARIAKOO

  Рет қаралды 22,556

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan afanya ziara mkoa wa Dar es salaam
[01-June-2021]
#KaziIendelee​
#SSH​

Пікірлер: 36
@gt.mkushimakoba531
@gt.mkushimakoba531 3 жыл бұрын
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.. Hongera sana Malkia wa Sheba,Mama yetu,Mlezi wetu,Kiongozi wetu...pres SSH..Kazi iendelee
@Ba63828
@Ba63828 3 жыл бұрын
Thank u Mama for visiting your people they love u Mama.
@barazalamjikati4010
@barazalamjikati4010 3 жыл бұрын
Kazi ilendelee hongera sana Rais wa Tanzania mama mwenye upendo na wananchi wakee Mama oyeeeeee
@mariammpangalala8423
@mariammpangalala8423 3 жыл бұрын
Kazi iendeleee, hongera sana mama yetu
@mollelraismunguakubarikipe744
@mollelraismunguakubarikipe744 3 жыл бұрын
Mungu isadie ichii wetu
@yasinndalu53
@yasinndalu53 3 жыл бұрын
Kazi iendelee
@muddymaulid2771
@muddymaulid2771 3 жыл бұрын
Safii
@mustafajumajuma2226
@mustafajumajuma2226 3 жыл бұрын
Mama Hongera sana
@mustafajumajuma2226
@mustafajumajuma2226 3 жыл бұрын
Safi sana sanaaaaaaaaaa
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 3 жыл бұрын
Mama yetu we love you
@yasinndalu53
@yasinndalu53 3 жыл бұрын
Naona bendera za Simba na yanga nyuma zinapepea Kama naww umeona nipe like zangu 😆
@salamashakipint6243
@salamashakipint6243 3 жыл бұрын
Hiyo ndio kazi mama yetu
@mustafajumajuma2226
@mustafajumajuma2226 3 жыл бұрын
Hadi machozi yanatoka kwa furaha Jamani
@Ba63828
@Ba63828 3 жыл бұрын
Hata mm aisee
@nyamwellomeo7155
@nyamwellomeo7155 3 жыл бұрын
Mama yetu naomba uangalie swala la ujambaz na vibaka wapo Kasi sanaaal
@nabosedward4836
@nabosedward4836 3 жыл бұрын
Naoma mama amemvuta bodyguard wake😅😅
@rajabungwembe5670
@rajabungwembe5670 3 жыл бұрын
LAZIMA HAPO NI SOKON
@mussatayarjames639
@mussatayarjames639 3 жыл бұрын
hap sawa tutakuelewa tembelea wanyonge mama,acha na kikwete atakupoteza
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 3 жыл бұрын
Hapa sasa tutaanza kukuelewa na kukusikiliza
@hurumamsuya6758
@hurumamsuya6758 3 жыл бұрын
Huu wimbo wa Nani???!! Na inaitwaje??!!
@abedomar5183
@abedomar5183 3 жыл бұрын
Kariakooo chafu Sana yani I do know why the don't know how to keep this place in clean,eish to much people
@mussatayarjames639
@mussatayarjames639 3 жыл бұрын
hongera sn mamaetu tunafulahia sn kwakitendo cha kutembelea wanyonge wako
@nabosedward4836
@nabosedward4836 3 жыл бұрын
Hicho ndo kinatakiwa sasa
@zawadimariembe7238
@zawadimariembe7238 3 жыл бұрын
Hamna kitu hapa zaidi ni kutuongezea maumivu ya kumkumbuka magu anacho ongea hakieleweki
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 жыл бұрын
Wamachinga kero
@Ba63828
@Ba63828 3 жыл бұрын
Presidential haswa
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 3 жыл бұрын
hakuna mfanyabiashara anayeweza tengeneza faida baada ya kulipa mlolongo wa ushuru na kodi za kufanya biashara Tanzania..the whole tax structure needs to be dismantled
@jerichoseth4188
@jerichoseth4188 3 жыл бұрын
Mnazingua mbona mama hatumsikii kipindi cha Magufuri hakukua na chenga!
@mbegesdigita5182
@mbegesdigita5182 3 жыл бұрын
Kipindi kilicho pita ulinzi ungekuwa kama wote ni kuto jiamini na unacho Fanya mama tuta kuelewa sana ukiwaletea watanzania katiba mpya na tume huru ya uchaguzi pamoja tuna songa!
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 3 жыл бұрын
Yule wa mwanzo ulinzi ulikuwa mkali sababu alikuwa na maadui wengi maana alipambana na mafisadi, wauza madawa ya kuelevya na mabeberu.
@hadijaabdul8765
@hadijaabdul8765 3 жыл бұрын
Hizo barakoa za Nini jamani
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw 3 жыл бұрын
jitoe akili tu
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 жыл бұрын
Sokoni kuna harufu za bidhaa pia
@atupelemwaitete4512
@atupelemwaitete4512 3 жыл бұрын
@@NM-yl2uw 😂😂
@jamsimushi4169
@jamsimushi4169 3 жыл бұрын
Barakoa ni sawa na chupi uamue kuvaa au kutovaa ni faida na ni maamuzi yako
@shahadaushindi7745
@shahadaushindi7745 3 жыл бұрын
Acha avae mbona hajakuuliza wewe ambaye hujavaa.
TOUR YA MASANJA ISRAEL SEHEMUYA TATU
13:06
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 18 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 39 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 7 МЛН
KUNA MCHAGA MBISHI KAJENGA KWENYE ZIWA MANYARA PEKE YAKE 😳
7:41
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 38 М.
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
UNSORTED
Рет қаралды 4,5 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Maduka yafungwa Kariakoo , mgomo watajwa
3:52
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН