MHE. THEA ATOA TAKWIMU ZA KUTISHA "TUNAWAONEA HURUMA WANAUME, NI BALAA, NI LAANA, KUMEHARIBIKA"

  Рет қаралды 15,864

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 39
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 4 ай бұрын
Hawaezi kutoa adhabu Kali kwasababu wanaogopa marekani kuwekewa vikwazo
@ThomasMakarius-x9n
@ThomasMakarius-x9n 4 ай бұрын
Ushauri --sheria zifanye kazi mnaogopana.
@elisantemoses9309
@elisantemoses9309 4 ай бұрын
Hongera sana mama
@robertzamani5612
@robertzamani5612 4 ай бұрын
Hoja kama hizi waongozee mda wabunge
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Hii kuhasi utaua kizaz,ila mwanaume kw mwanaume,n kuwaw,saw,kw mwnmk alobaleh wafungwe tu,
@elisantemoses9309
@elisantemoses9309 4 ай бұрын
Kwa watu wasomi hiyo sio kitu ya kujadili sheria zipitishwe2 . Kuuwawa au kuhasiwa hakuna mjadala
@HaulSidney
@HaulSidney 4 ай бұрын
Awamu ya nne ndiyo inatawala, RIP JPM
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Magufuli alikua anatoa kauli 1 tu nchi inafuata nyayo. Sahiz tuna omba omba tu
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 4 ай бұрын
shda tpu hii chi ni aibu kbsa ktowa tamko kwel sasa kama viongoz ndyo wanangoza kwa ayo mambo uon ni mambo magumu kwel kwann zswepo sndano za kuwa wakatisha moto kabisa wafie mbali
@twigatv
@twigatv 4 ай бұрын
​​LISSU NA NDUGAI WAUNGANA WACHAFUA HALI YA HEWA!!!! kzbin.info/www/bejne/naLWin6Vr5WDpsk
@lazarokabinji1316
@lazarokabinji1316 4 ай бұрын
Mi nashanga wenye uchungu ni wanaweke humo bungeni mbona wanaume wapo kimya shida ipo kwenye serkal haijatilia mkazo
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 4 ай бұрын
Museveni na bunge lake wameweka sheria kali,dhidi ya mashoga,nyie mnapiga piga kelele tu,washenzi wakubwa nyie,hizo taasisi za kulea watoto hasa za wazungu zinaeneza ushoga,
@AbasJeilan-ns8yp
@AbasJeilan-ns8yp 4 ай бұрын
Kweli ni laana ndio maana kila mitihan inakuja kwa kasi sana, mvua, mara vimbunga ambavyo avijawahi kutokea mafuriko makubwa sana,
@PaulTajiri-vu4xu
@PaulTajiri-vu4xu 4 ай бұрын
Unajua nn pitisheni akipatikana ni kifo siyo mambo ya kelele kila siku hiyo kitu itaisha siku moja lakini kama ni kelele haina maana hiyo niaibu sana na mbaya
@JonasMusa-t9b
@JonasMusa-t9b 4 ай бұрын
Mnapokea mchele kutoka marekañ Una virutubisho vya homon za ushoga.
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 4 ай бұрын
Nyie wenyewe viongozi ndio chanzo, mnapokea ya ulaya, huo ushoga wenyewe hamkemei Kwa nguvu
@VeronicaNangale
@VeronicaNangale 4 ай бұрын
kabisa mama. hatutaki kuishi na mashateni wanaoharibu watoto
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 4 ай бұрын
Tunamkumbuka maguful Sasa mjitafakal na hak sawa zenu nyie wamama ndio chanzo
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 4 ай бұрын
Nyongeniiiiiiii au aasiweeeee
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 4 ай бұрын
Dalili za mwisho wa dunia!kama ilivyokua nyakati za LUTU na kama ilivyokkua nyakati za NUHU. LK17:26-36, Repentance of the whole nation.
@victorcephas3618
@victorcephas3618 4 ай бұрын
Mkitaka kujua ushoga ulivyo mkubwa hapa nchini mfuatilie Mh Harrison Nwakyembe na Dada Catherine Kahabi it's so pain yaani ni hatari tupu. Africa tuamke na turudi kwenye utamaduni wetu
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 4 ай бұрын
Sema it's so painful,sio pain
@onelovetz7935
@onelovetz7935 4 ай бұрын
Haki za binadamu za wazungu mali zetu zinasobwa tu wanakoba mikopo za mashaliti ya ushoga na wanakubali ndio Maana hawashugulikiwi
@nyamizimpangule8640
@nyamizimpangule8640 4 ай бұрын
Kwa nini WAKATI wa uchaguzi TU? Nyie wabunge mnahusika na hilo
@NixonGerson
@NixonGerson 4 ай бұрын
Wewe mbunge huna akilli adhabu ndogo au miundombinu za nyie wabunge wahovyo
@MASTERPETRO-nk8rh
@MASTERPETRO-nk8rh 4 ай бұрын
Laana inatutafuna kwasababu WATANZANIA tunakua wenyekusherekea dini ya uchawa ktk taifahili. Sidhani kama WATANZANIA mnaimani na vitabu vyote vya dini ambavyo vilikemea na kusistiza kua mungu haungimkona wala kutiabaraka endapokama tutakubali kuongozwa na uongozi unaoliongoza taifaletu la TANGANYIKA
@josephwilliam9736
@josephwilliam9736 4 ай бұрын
Wanyongwe
@camilomassao8971
@camilomassao8971 4 ай бұрын
MAMA KASEMA VEMA. HALI NI MBAYA WATANZANIA WENZANGU. 😭😭😭😭
@zachariagervasmatonange566
@zachariagervasmatonange566 4 ай бұрын
Dr. Ameamza vizuri ila mwishoni ajenda imebadilika😂😂😂 Ameamza kuomba Wanaume walindwe Ili kutunza nguvu ya kuzalisha Ili kizazi kiendelee Mwishoni anasema Wanaume wahasiwe hapo ndo amenivuruga Kabisa 😂😂😂😂😂
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 4 ай бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Ila hajamaanisha wanaume wote anawasemea wabakaji na wanaolawiti
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Sasa hivi uko haswaaa Mhe Mbunge na humo ndani yenu una Wanawake Wabunge wanassgana na mnawajua na Wanaume wanawalawitiana humo ndani ya Bunge
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 4 ай бұрын
Hata mie naunga mkono wabakaji wote na warawiti waasiwe kuwafunga magerezani wakiwa na nguvu zao bado wataendelea kuwalawiti wafungwa wenzao
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 4 ай бұрын
Haiwezekani kuhasiwa.
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 4 ай бұрын
Bunge halina nguvu. Kwani mkizuia bajeti isipite kwanza mpaka muswada uletwe mnashindwa?? Bunge halina nguvu
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 ай бұрын
Wanaongea halafu mwishoni wanaipitisha hiyohyo bajeti finyu😊
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 4 ай бұрын
Viazi 😂😂😂😂
WARNING to ADANI
16:32
Herman Manyora
Рет қаралды 16 М.
100 Identical Twins Fight For $250,000
35:40
MrBeast
Рет қаралды 47 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 3,5 МЛН
RAIS SAMIA ACHAFUKWA ATOA MAAGIZO MAZITO MAWAZIRI WAKISHUHUDIA
10:34
100 Identical Twins Fight For $250,000
35:40
MrBeast
Рет қаралды 47 МЛН