#MOETECHNIC NAMKUBALI SANA NIMWANDISHI MZURI SANA... ANAJUA SANA MPAKA KUONGEA NAMPENDA NIKIMTAZAMA NAMUONA KAKA BINAMU #JUMA... #VIVAMOE
@deonatusdaud46408 ай бұрын
msela so mchafu,msela ni msafi, msela msaka not,anaenda na wakati ....mo..🙏🤝
@amisamaurid18825 ай бұрын
Nipo Tunduma heshima kwako kaka mkubwa jmo❤❤❤❤❤
@semaNaJavar7 ай бұрын
Jaymoe msanii mkali amekuwa na consinstency kali sana
@loner_wolf2 ай бұрын
MILAMBO au IRAMBO ......IRAMBO SHULE GANI HIYO MBONA NDIO NAISIKIA LEO ...
@adrianalberto70432 ай бұрын
Milambo ni Tabora, Alf ilambo Iko mbeya
@andrewemmanuel18618 ай бұрын
Nampenda bro very unique aisee ...... Bro keep it ❤🎉
@diasalicastro53538 ай бұрын
Alikiba moe kazi jay moe crown ana kitu na anasaut ya mamlaka sanaaa
@macknonkibona24015 ай бұрын
anamisimamo sana bro na ana mpunga wamana sana toka kitambo.
@ShadrackKuzaga2 ай бұрын
bg ap sana mo teck
@Bensonfrank258 ай бұрын
MO the BEST RAPPER OF ALL TIME! ✅
@billionboogiey99098 ай бұрын
Piyia kwangu pia please
@R10_Rajab7 ай бұрын
We bishoo tu 😂😂😂
@RashidMuhunzi-pr5xj5 ай бұрын
RETURN OF THE SUPERMAN
@edsonniwagira95698 ай бұрын
Moe yupo mbele sana
@loner_wolf2 ай бұрын
Siku hz utangazaji ni kipaji cha kucharuka tu na kupiga kelele
@tariknassoraucho58142 ай бұрын
Dada unazingua watoto wa 2000 tunajua mocca maana yke n moccasin
@phantyrhymes95368 ай бұрын
I like it..Moe the is the best rapper.
@salaita28297 ай бұрын
kuna mtu anaitwa chid benz
@jumafarid88618 ай бұрын
Natamani sana kiba amuibe huyu jamaa
@ManenoKimamule8 ай бұрын
Jaman mm naomba namba za jay mo
@luganomwaigomole74418 ай бұрын
GOOD JOB BROTHER
@ManenoKimamule8 ай бұрын
Naomba namba zake jaman
@EvanceKulima8 ай бұрын
Mo ni hatarii
@GoldfreeHagai38 ай бұрын
Skills zao tofauti
@ChristopherMilannziАй бұрын
Ww bado mtoto kama hauwez kuweka mkeka ata maproo wa5?
@MsodokiTheson8 ай бұрын
Mobenga
@wilsonwilliam2747 ай бұрын
Mo technique
@KudrahPembe8 ай бұрын
J mo unasema hujawahi kujisifu kwenye nyimbo zako wakat kuna nyimbo yako moja ulijisifu uliposema makonda ni washikaj nilianza na kibanda sikuanza na gari,hapo ulijisifufu kuwa unamiliki nyumba
@elinamilyatuu73378 ай бұрын
Kwahyo uliumia?😅😅😂
@Paplick98 ай бұрын
Kwaiyo ulitaka akutaje 😂😂😂😂😂😂😂
@salaita28297 ай бұрын
sasa huyu nyumba ni maisha yao,wamekuwa na nyumba za biashara miaka mingi,na mpaka sasa yeye mwenyewe anadeal na hizo biashara za nyumba,real estates,ni mambo ambayo yapo,ila hapo alisema tuu kuwa mbwembwe za kuonyesha magari sio vitu vyake.