Mimi nimejifunza mengi...namba 1...Duniani tunapita,tuishi kwa kumpendeza Mungu ..na kuwaheshimu watu wengine...2...kutiii kanuni za Afya na maagizo ya wataalamu...tuliambiwa korona ipo ni Vema.kuchukua tahadhari...katika mambo yalio ndani ya uwezo wetu kama kuchukua tahadhari tusichanganye na mambo ya kidini...MUNGU ANAPONYA NIKWELI...NASISI TWATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI ZA KITABIBU....4....Ukiwa kwenye madalaka au uongozi USIWAUMIZE WATU...WALA USIZIBE MIDOMO WATU...WALA USIUE WATU...MAANA SISI SOTE NI WA MUNGU..UHAI NI MALI YA MUNGU....MAANA UKIUMIZA WATU WATAKUSHITAKI KWA MUNGU...NAE MUNGU HUAMUA KWA HAKI..5.....TUMUHESHIMU MUNGU PAMOJA NA WATU...
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Funzo zuri. Asante!
@bensonmasawa4749 Жыл бұрын
That's life... One ruler causes trouble to those who can board the plane and run, those who can access the media and shout while another causes to those who can't afford a plane ticket or access the media. Magufuli reign taught me that good versus evil is very rare confrontation, most of times we are forced to choose bad from worse. If Magufuli was bad my alternative was worse. When his supporters stop trying so hard to create a benevolent caricature out of good things his reign brought plus polishing the bad things to look good and your side of his enemies stop trying so hard to create a malevolent caricature out of bad things his reign brought plus polishing the good things to look bad then come with a balanced objective view... We will come with actual picture and draw actual lessons. The sided Tanzania is blind Tanzania. No wonder we've learnt next to nothing in Magufuli's reign. We need the nation with the course, goals, direction or destination. In that way we can distinguish good from bad. Simply put, what supports our goal is good and what doesn't is bad. This is far better than the current way of "What support my personal or group presupposition is good and what doesn't is bad". Lastly... New constitution will fix little to nothing. Just like Kenya. This is because some reasons, I'll outline two for today. First, it's foundation is political hostility not fundamental transformation of the nation. Second, the biggest problem we have is people and no one is properly addressing it. Everyone is trying to point finger somewhere to gaining my vote or support and avoid pointing what is wrong with me, how can I contribute in building the nation or what can I actually fix (Me, being any ordinary Tanzanian).
@abrahamchristopher1373 Жыл бұрын
Yayopita yamepita mwache apunzike
@Worldunite Жыл бұрын
Ndugu km ulikimbilia ughaibuni sbb ya JPM, si urudi tu sasa? mbona umebakia huko ughaibuni?
@munyeradeogratias9342 Жыл бұрын
Chuki binafsi mseminari ngurumo
@sambulugu9988 Жыл бұрын
Yaani wewe unasikitisha sana! Wewe ni mwema sana? Ukiristo wako ni wageresha tu! Unachuki ,hasira na ushetani mwingi! Ukiwa unaongea sana lazima utaongea ujinga na ubabaishaji! Wewe huna hadhi ya Magufuli na hautamfikia kwa lolote! Endelea kulelewa na wazungu huko! Bibi yenu anaongoza nchi na maisha bado ni magumu! Mbona haurudi nchini maana adui yako hayupo tena!
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Haya yote uliyoandika hapa yanabadili taswira ya Magufuli? Halafu, ngoja nikuulize. Unaweza kuwa na akili yenye afya nzuri ukatamani uwe sawa na watu wa aina ya Magufuli? Mimi siwezi. Sitamani hata kuwakaribia. 😄 Pili, mimi silelewi. Tambua tu kuwa sikwenda shule kupoteza karo ya wazazi. Nirushe hata katikati ya bahari, nitaogelea, nitaishi. I'm a professional. Nalipa kodi popote ninapoishi. Baki na dua lako la mwewe! 😄
@philbertcelestin7057 Жыл бұрын
Hasira bila hoja. Ndugu.kweli magufuli alijenga madaraja nk lakini alikuwa dikteta aliyetesa watu bils kufuata katiba.chini yake chaguzi zikaharibiwa,chini yake mikutano ya vyama vya upinzani ikazuiliwa.watu wakateswa na kuumizwa.neno wasiojulikana likazaliwa.AliifanyaTanzania kuwa nchi yake.Alama zake nzuri hazitaondoka.alama zake mbaya zitabaki.udikteta wake pia utabaki kuwa alama ya utawala wake.
@gersonfungo5893 Жыл бұрын
@@philbertcelestin7057 kabla ya 2015 watanzania walililia sana kupata raisi dikteta kama Kagame. Hata wapinzani walidiriki kulisema hilo. Kama kweli ww ni mtu wa dini hutabishana na hili maana yamkini uko kwenye hii list ninayoisema. Unakumbuka maombi ya Askofu Mwingila? Swali kubwa; Kwanini watanzania walidiriki kutamka maneno makali kama hayo??? Nini kiliwasumbua kiasi hicho??? Ukipata jibu neno dikteka halitakusumbua. Tumejifunza jinsi ya kuomba na kutamka maana maneno yanaumba. Wakulaumiwa ni sisi wenyewe sio jibu la maombi yetu.
@Worldunite Жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo hilo siyo jibu la kitaaluma, majibu yako hayana maadili ya taaluma uliyonayo
@Worldunite Жыл бұрын
@@philbertcelestin7057 hivi unaelewa vizuri maana ya udikteta? Labda ulizaliwa miaka ya 90 au 2000
@elisonhai9545 Жыл бұрын
Naikumbuka kifungo Cha demkrasia na uhuru baada ya hapo
@sylvestershayo728311 ай бұрын
Write a book on Mayenga S. Mayenga
@allanlyombile7014 Жыл бұрын
Ukionyesha unawachukia madikteta na udikteta, wanapoenda madikteta na udikteta watakuchukia, lipi jema! tukumbatie udikteta ili tuongozwe kwa mkono wa chuma! au tuuchukie udikteta ili tuongozwe kidemokrasia?( AKILI KICHWANI )
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Mtu ambaye afya yake ya akili haijaathirika hawezi kugamani uongozi wa mkono wa chuma katika karne ya 21. Ni mambo ya kale na ya kijima sana.
@gersonfungo5893 Жыл бұрын
😁😁😁 Unafuta comments zangu mkuu! Huo pia ni UDIKTEKA Ni USHETANI kusherehekea kifo cha binadamu mwenzio hasa akiwa kiongozi. Ni kukosa HEKIMA kulipamba hilo jambo lionekane kama jambo jema. Kweli unatutengenezea clip za namna hii?? UKRISTO WAKO UKO WAPI? KWELI KABISA YOU SLEEP AT NIGHT NA KUPATA USINGIZI? Moyo wako hauko sehemu salama. Ndugu zako huko vijijini walipona kwa kuvaa barakoa ngapi kwa siku au wiki? Kama walipona corona sababu ya barakoa basi anzisha kanisa la kuabudu barakoa. Mwenzio alitoka Ubelgiji kwa miezi yote alifanya campaign za uraisi bila barakoa. Aliiacha na kuichukua airport alipokuwa anaondoka. NI VYEMA HAUKUISHIA KWENYE UPADRI MAANA MMMHHH SIO..... Leo umenidisappoint, you are not critical but hateful. Shetani anamavuno ya kutosha. Change brother. USIUVAE USHETANI KWA KISINGIZIO CHA KUKEMEA USHETANI. Tusimpe shetani mavuno. Tunakoelekea ni watu kusherehekea mitandaoni vifo vya viongozi wenye milengo tofauti na wao. Ironically nyinyi watu wa "MARIDHIANO" ndio pioneers wa hilo. Change bro, sisi sote binadamu ni wakupita.
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Mungu atulinde Tanzania
@jastinmodest8073 Жыл бұрын
Unaonekana una akili ukianza kuzungumza kumbe huna tafuta vitu vingine vya kuzungumzia vyenye tija haya ni upumbavu mkubwa sana we jamaa
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Hivi anavyovizungumza vina tija kwa wenye akili.
@jastinmodest8073 Жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 Ungesema mwenye akili siyo wenye akili, kumbe huna akili wenye akili wamesoma my comment wakaiacha.
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Maumivu yamezidi njaa , Chakula bei juu.
@thomaskabungo2211 Жыл бұрын
Kazi ipo
@deodatusdeogratias4743 Жыл бұрын
Nyie mnachua kifo chake na mnausika
@ndakimanyakenda1519 Жыл бұрын
Tatizo lako unaegemea upande mmoja uwe unaweka na video za lisu akiunga mkono ushoga hapo ndipo tutajua wewe ni mwanahabar mzur
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Na wewe umemeza propaganda hizi? Mbona amesema zaidi ya mara moja? Wapi alisema anatetea ushoga? Hao mashoga waliopo Tanzania waliingiaje? Lissu amewahi kuwa rais? Na Makonda alipowagusa serikali ilisemaje? Si ilimkana? Fuatilia. Acha propaganda za wajinga zibaki na wajinga.
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo kweli kabisa, Makonda alipogusa ushoga selikali ilimkataa... inamaana gani kumkataa wakati kama walikuwa wana muunga mkono!
@davidsimbeye1548 Жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo Umemjibu vizuri sana
@AdamFundikira-kk5oj Жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo mimi nakufuatilia sana mwanaharakati huru upo sawa vitu vingi sanaa
@illomowerner76904 ай бұрын
@@AnsbertNgurumodaaa, hongera sana Ngurumo A, a professional smart journalist of all the time, Unapewa challenges za chuki kimkakati lakini unajibu kwa hoja na si jazba. Big and excellent mind, get ad keep going. One day "BIG YES" my role model of the time
@butungo1 Жыл бұрын
Mtu akisikiliza clips zako unaonekana ni mtu mwenye uchungu na JPM. huna jema naye...umejaa hasira tu dhidi yake. Hutendi haki kwa mtu ambaye anapenda kufuatilia clips zako. Huu ndio udhaifu wako! Ukimpenda mtu, umempenda kweli...ukimchukia umemchukia kweli. Huu ni udhaifu mkubwa kwa mchambuzi kama wewe
@butungo1 Жыл бұрын
Kwa wengi sana wa tabaka la chini JPM alikuwa shujaa. Hata kama alikuwa Shetani kwa watu kama wewe na wanasiasa wa upinzani...jitahidi kutazama na kuhurumia umati wa watu wanaomwonboleza
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Magufuli ana ligi yake. Wapo wa ain yake. Hitler. Mussolini. Idi Amin. Mobutu Sese Seko. Na wengine wa aina hiyo. Wameandika historia yao. Tunapoisoma mtuelewe. Hatuandiki historia mpya. Waliiandika wenyewe. Uwachukie au uwapende, hutawabadilisha taswira zao.
@butungo1 Жыл бұрын
Hapana. Umechagua fungu la kuwaombea mabaya watesi wako. Juzi Kadro Pengo na baba Kasala walikuwa Chato kumwombea JPM. Amin Amin nakuambia, sisi wafuasi wa JPM ni wengi zaidi kuliko ninyi msiompenda. Tofauti yetu ni kwamba ninyi mna speakers za kuongea na sisi hatuna... Kwako wewe kama mtu mweledi na mwenye wingi wa busara, ninependa kukufuatilia makala zako na clips zako. Nisichokipenda sana kwako ni biasness. Ukimpenda Samia, huna baya naye...ukimpenda Mbowe, huna baya naye...ukimchukia JPM huna zuri naye..Hali kadhalika ukimchukia RC wa Kagera huna zuri naye. JPM ana wafuasi...halikadhalika, Mbowe ana wabaya wake. Usiandike basi kufuata hisia zako...wasomaji na wasikilizaji wako watachukizwa na makala zako. Binafsi nachukizwa mno unapomponda JPM kwa kila kitu. Unaniumiza mno..na unafahamu kuwa sio mimi tu. Nimechagua kuendelea kukusikiliza kwa sababu u mwalimu wangu wa maaduli na muziki. Usinifanye Sasa nikufundishe. Jifunze kubalance unachiandika
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
@@butungo1 Ya kwangu si maombi bali ni documentation. Nyie endeleeni na maombi. Ni muhimu sana, maana hatutaki kurudi njia ile ile. Mungu atuepushe!
@butungo1 Жыл бұрын
Sipendi kubishana na mwalimu wangu...lakini ukiendelea kupaint mambo mabaya kwa JPM, na kusifia uwapendao, ntajiepusha na clips zako. Hata hivyo ntakuwa nimempoteza mwalimu mzuri kwa sababu ya machaguo yake yanayoongozwa na hisia zake. Umseme vizuri ama vibaya, JPM ni jiwe la pembeni
@AndrewHayuma-lf2sd Жыл бұрын
P😊😊p 😊😊😊
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Unaongea nini wewe
@froma3732 Жыл бұрын
Ulikuwa unataka uogee wewe kufa ni lazima mimi na wewe tunasubiri
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Sikiliza. Kama la nje ni bovu, tumia sikio la ndani.
@emmanuelmwangwa825 Жыл бұрын
Achana nae bado wanaomboleza 2yrs down the deathdate
@butungo1 Жыл бұрын
Ngurumo ni mchambuzi mzuri, ila ni mtu ambaye Yuko biased