Well said baba, God bless you, HAKUNA KAMA MUNGU NA MUNGU HADHIHAKIWI, TUNATAKIWA KUMUOGOPA MUNGU PEKE YAKE MWENYE UWEZO WA KUUWA MWILI NA ROHO. SIFA, UTUKUFU, MAMLAKA NI YA MUNGU PEKE YAKE, HAKUNA KAMA MUNGU. NIMEBARIKIWA SANA NA USHAURI WAKO NA COMMENT YAKO BABA
@elibarikimeela276110 ай бұрын
Kaka Ngurumo,, you are a Tz grand analyst
@ammarruwehy2 жыл бұрын
Kiongozi wa Dini Sheikh Alhaad alianzia mbali sana, na alisema kua ukitaka upendwe basi utakua zaidi ya Mungu, maana hata Mungu hapendwi. Hapa Mkuu ulimkatishia maneno Sheikh Alhaad. Hakusema kua Magufuli ni Zaidi ya Mungu.
@hamzarijal53332 жыл бұрын
Itafute Clip yake ili iwezekane kufahamika kinyume chake tutayaona Sheikh Alhadi ndivyo alivyosema.
@msafirimpendu70772 жыл бұрын
Ni kweli hiyo clip imekatwa hapo mwanzoni
@mohamedkibao74822 жыл бұрын
Asiye Jua maana haambiwi maana huyu jamaa amekata hio clip Kwa makusudi kukebehi Islam. Anajua anachokifanya. Stupidity, huu ni udini kutukuza dini yako na kukebehi dini nyengine, hopeless, watu kama Hawa baada ya kuwasikiliza ni kuwapuuza tu!
@tadeojohn96912 жыл бұрын
@@mohamedkibao7482 umeelewa mada
@ammarruwehy2 жыл бұрын
Full video hii hapa. Ingia KZbin uujue ukweli. Tusiwe wajanja wajanja wa kuedit, Video zinahifadhika na tunazo. kzbin.info/www/bejne/iXSph5mHiLVkY9U
@V24hrs2 жыл бұрын
mungu akubariki kaka ..
@nzeyyunus59902 жыл бұрын
Umenena vizuri Mtumishi. Ubarikiriwe Sana Kaka Ansbert
@eliasgimirey97742 жыл бұрын
I Will you to contact
@eliasgimirey97742 жыл бұрын
you're not
@eliasgimirey97742 жыл бұрын
.yy. Y6.y
@beatricehenry67762 жыл бұрын
@@eliasgimirey9774 atabarikiwa na shetani kwakujifanya hakimu we ni Binadamu una dhambi km wengine
@husseinmillans37942 жыл бұрын
Swadaktaaa big brother!What you say it's absolutely correct!Be blessed and may Allah protect you.
@orgeneslema94642 жыл бұрын
Absolutely correct
@yahayamwinyiwaziri37892 жыл бұрын
Subuhannallah Allah aqbar jaman vyeo ivi inalilah wainaihirajiun
@gililwise2 жыл бұрын
mungu afananishwi na mwanadamu awaye yote ombeni Mungu awasamehe.
@yonabilshan64242 жыл бұрын
You are very speculative indeed may God bless you petpetually
@SimonMaregge Жыл бұрын
Unachambua vzr sana hupendelei ila usije ukawa Kama mhuni kuzalilisha viongozi tutakupiga faini😊 nakutania mtani wangu
@pauloalfayo18682 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu Mimi nimeogopa mno.na utukufu wa mungu hauguzwi,tufunge na kuomba mzamaha.asante sana mungu akubariki
@beatricehenry67762 жыл бұрын
Atoe kwanza Boriti kwenye jicho lake ndipo ataona kibanzi Cha mfalme wetu magu
@majormajomjohn37752 жыл бұрын
Asante kwa kusema kweli
@zubedasoud92042 жыл бұрын
Heeeee Tobaaaaa shekh anasema ivo SUBHANALLAH
@allyjumakukulo49722 жыл бұрын
Bro ahsante sana kikubwa zaidi huye shekh wa dar ndo alitumaliza kbs
@saidal-rawahi45642 жыл бұрын
Brother upo sahihi kabisa.
@yahyarashid80382 жыл бұрын
Mm niseme kaka kamtahadharisha mama samia asikubali kupewa sifa ambazo hazimstahikii yy na ss wasifiaji tuwacheni kusifia tumsifie allah ndie alie wapa hadhi hawo wanaosifia ukitaka kukusifia kitu msifu alie kitengeneza ndio itakuwa umetenda haki ahsanten
@magwaza89042 жыл бұрын
Nimekuelewa vzr alitakiwa awakemee na kuwaambia Mungu ni Mungu tu. Mimi nibinadamu tu. Ila tatizo la Magufuri alikua hapendi kushauriwa na kusahihishwa.
@mosesfaustine88356 ай бұрын
Mungu ndiye ahukumuye. Kama walifanya makosa au la. Na anajua namna ya kuwahukum
@Worldunite Жыл бұрын
Ni kweli lkn baadhi ya viongozi wa kiserikali na dini huwa wanajipendekeza kwa maraisi
@othmanmapunda23102 жыл бұрын
Iko vizuri sana
@minjagas1343 Жыл бұрын
Tuache ubishi jamani lipo lakujifunza.kukiri makosa hakutuondolei heshima yoyote.tunakushukuru kutukumbusha. Mungu uliye hai uliye popote tusamehe.tukutukuze wewe peke yako.mpe kiongozi wetu hekima na maisha marefu.Asante Mungu wetu kwa kuwa kiongozi huyu ametoka kwako.tuomba toba na rehema kwa taifa letu.
@chalresmabubu76252 жыл бұрын
Nikweli bro
@rashidmohammed48872 жыл бұрын
Hiyo haikuwa kauli ya waislamu wa Daresalam ila ilikuwa kauli ya huyo Shehe Ahadi
@maalimkhamis46002 жыл бұрын
Very good you are good man
@jelasnkoma42402 жыл бұрын
Aisee Kabudi kamaliza yote.."Muheshimiwa Mungu"
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Ile awamu tulikuwa na majitu mapumbavu sana.. Walikufuru sana sana..
@nasembakihara30242 жыл бұрын
Mungu ni mwenye wivu Hana mfanano wowore ghazabu ya Mungu Mungu jamani
@beatricehenry67762 жыл бұрын
Msihukumu msije hukumiwa
@salhaisrael82652 жыл бұрын
Duh kweli twapotezwa na watu wasiojua dini Asante paster
@beatricehenry67762 жыл бұрын
Paster mnafiki Kama Yuda msariti kuwaongelea waliotangulia we ni Nani?!?!?! Eti msafi!!msafi Ni Baba yaani Aba.
@hamisihamisi15962 жыл бұрын
Mungu hatusamee,we ndugu uko making sana,mama Samia jitaid kuepuka jina la mungu
@goodluckshayo2593 Жыл бұрын
Pongezi nyingi sana mwanahabari nguli Ngurumo. Hukuanza leo, wewe ni mkongwe.
@frankfidelis84212 жыл бұрын
Kweli mungu anaipenda Tanzania mama waepuke washauri wa kukupa sifa za kimungu
@minjagas1343 Жыл бұрын
Mungu atusamehe.
@deodatusmagagura67932 жыл бұрын
YESU KRISTO TUREHEMU
@fransisoroni99032 жыл бұрын
Mimi nimemfahamu Bwana ngurumo muda mrefu sana ,wakati wa vuguvugu la vijana wakatoliko kutaka kujua ufundi wa utunzi au uimbaji wa nita au muziki miaka hiyo ya 92hadi 98,wakati huo ,baadae yakutoka makoko seminary sijui kwa shida gani,alivuma sana nimtunzi mzuri sana wantimbo za Litrugia miaka hiyo ,nimwanamuziki mzuri sana wakikatoliki ,Huwa ana misimamo yake huwa anaamini like anachokijua yeye ,mara nyingi Huwa hakubaliani na mawazo hadi ya wengine,
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Asante ndugu. Ni kweli nimekuwa mtunzi wa nyimbo za dini tangu 1985. Ni kweli nimeishi Musoma tangu 1991 hadi 97. Ni kweli nilisoma Seminari na nilikuwa frateri wa Musoma. Lakini sikuwahi kusomea Makoko. Ni kweli kwamba nina msimamo, lakini nikipata hoja nzito kuliko yangu, naifuata. Ninachokataa ni kulazimishwa au kulaghaiwa kirahisi rahisi tu. Ukitaka kunivuta upande wako, nishawishi kwa hoja. Usinitishe, usinidanganye. Sifuati mkumbo, nafuata hoja, nafuata mantiki. Napenda kuwajibika kwa maoni yangu ili nisisingizie wengine kwa makosa yangu mwenyewe.. Nilitaka kuweka hilo sawa tu.
@beatricehenry67762 жыл бұрын
Huyu Ni mshamba tuuu .SS hatuangalii sifa za watu wa hovyo wenye mihemuko tunaangalia kazi alizozifanya Magu.kama weweni kipofu Kama Batholomeo tutakuombea
@asacconlinemedia53432 жыл бұрын
Kuna Jambo umesahau kuandika.Mimi pia namfahamu vizuri sana Ansbert Ngurumo ni Mpenda Ukweli,hapendi ujanja ujanja.Ni mtu mwenye Afya njema ya Akili,Huwa hapendi kuongozwa Na tumbo, Anapenda sana kutumia zaidi akili kupambanua Mambo. Huwa hakurupuki katika maamuzi.
@josephwilliammnyune54642 жыл бұрын
@@beatricehenry6776 Kazi alizofanya ni kubwa na ni nzuri, lakini hazikumgeuza awe Mungu.
@marcokaroje89802 жыл бұрын
@@beatricehenry6776 alifanya mazuri lakini alikuwa na mapungufu pia huenda yalikuwa mengi ambayo wewe hukuyagundua katika ufahamu wako
@coolruler68202 жыл бұрын
Mwanri alikosea tuu ktk uwakilkishaji sahihi wa maneno yake....mtumaini bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili mwenyewe, ktk njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako.......Nionavyo ni kweli pale unapomtumaini Mungu,,,Mungu hushusha baraka zake kwako,,,,,kuna namna tu Mwanri naona ulimi ulimteleza Kama ilivyo ulimi kiungo kdogo matatizo yake makubwa. Hata wewe unayezungumza hapo kuna mengi sana umemkosea Mungu na jua kuishi kwako labda ni vile tu Mungu anakupa wakati utubu na kumrudia....unapomnyooshea kidole mwezako kwanza hakiki usafi wa mikono yako
@sk-wj9or2 жыл бұрын
Nakubaliana nawe 100%
@ahmedalbalooshi85182 жыл бұрын
Tatizo kubwa ni KITUMBUWA. Viongozi wengi huwa wako tayari kutoa kauli au kufanya kitendo ili kumfurahisha MKUU,Mradi Kitumbuwa kisiigie mchanga.
@adamruhusa57712 жыл бұрын
Ni dhambi kubwa na nikufuru kwa mwanadamu kufikwa jiji la Mungu kumbuka Mungu hafananishwi na kitu chochote na Mungu ni uwezo isio kifani tumuogope Mungu ni kweli
@salhaisrael82652 жыл бұрын
Kabisa 👍
@BIGBOSS-hl3bu2 жыл бұрын
Hao wote hawana dini
@magdalenabenard42082 жыл бұрын
Utukufu ni wa mungu peke take tatizo la viongozi ama baadhi wanapenda kutukuzwa sijajua hata nemo mheshimiwa mtukufu kama kwa mungu lina kibari aielewi ila ni hatari sana kumcheZea mungu maana eye ni mungu anaetisha hazihakiwi atakomrsha viburi
@farouqsilvester99182 жыл бұрын
Dah astaghfillulah huyu sheikh mkuu wa mkoa wa dar inabidi amuombe mwenyeezimungu msamaha dah astaghfillulah yaani magufuli ni zaidi ya mungu dah 😭😭😭😭
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Unafiki umetawala sana mungu ibariki Tanzania tunaomba amani
@machibyajeremia96502 жыл бұрын
Duuuh hatari
@babumnyagane80912 жыл бұрын
Mama yetu samia nakuomba rudisha heshima ya viongozi wa juu, mfano henzi Ya magufuli mtu kama mbunge kukamatwa kama mwizi wa kuku badala ya kuitwa kistaharabu sio vizuri,
@salumjumaruhaga25132 жыл бұрын
Duuu uyo sio shekheeee uyo ni ibilisiii
@isacklameck17482 жыл бұрын
magufuli alimuheshimu mungu sana, walio ropoka Hao niwatu tu usimzodoe magu
@marthaswai11852 жыл бұрын
Asante sana.Sauti inatosha
@cydehashim94102 жыл бұрын
real talks.
@johnsinyinza7450 Жыл бұрын
Proffesa mavi.
@salama1113Ай бұрын
Hikweli kufuru kupitiliza 😢😢😢😢😢
@RichardLyamuya2 ай бұрын
Hayo ndio yaliyomponza Magufuli
@Shemandia2 ай бұрын
Hawa wote pamoja na shekh Wa daresam Wazamani na hao viongozi.wate wamejiamdalia moto wajahanam.wakiongozwa shekh kiongozi dini
@c.r.mtechnology232211 ай бұрын
Allahu Akbar, 3
@josephmakutano70672 жыл бұрын
Watawala wamaccm niwanafiki wanapenda kupambamapambio kwaunafiki tu kwasabbu yakujipendekeza ili apewe/apandishwe cheo!!!
@bayekefarijala50422 жыл бұрын
Huyu ni mwongo anatumia maandiko vibaya. Biblia yenyewe inasema tiini wenye mamlaka kama kumtii Kristo. Tena inaongeza anayestahili heshima mpe heshima, mana viongozi wa Serikali ni watumishi wa Mungu ikiwa wanatenda haki. Tena inasema mkipigwa makofi kwasababu ya kutokutii iliyohaki mkipigwa hampati sawabu lakini mkipigwa Kwa kutenda haki mna sawabu. Hakunaga kumsema anayestahili kuogopwa ni Mungu tu, Mungu unayemtaja ambaye haonekani yupo Kila mahali, Serikalini Mungu anawakilishwa na viongozi watenda haki, kwenye familia wazazi, hata mke anapaswa kumtii Mine kama anamtii Mungu. Kusema mbona mume ni mtu tu hicho hi kiburi na ukipigwa usifikiri Mungu atakuhurumia, kwakuwa Mungu anafanya kazi ndani ya wanadamu. Hujui chochote Acha kudanganya watu. Kwa Mungu hakunaga usawa. Kuna mamlaka na unapaswa uzitii. Yaani wewe unasema haki Sawa huo ni ushetani na ndicho alichokifanya Lusifa kutaka kuwa Sawa na Mungu. Mugufuli hakujifanaya Mungu, Ila alinunyenyekea Kwa Mungu, mara ngapi aliita viongozi wa dini wamwombee? Ni raisi gani unayemjua wewe aliyewahi kumtukuza Mungu hadharani hata wakati Mungu anaonekana si kitu Kwa wenye akili za dunia hii kama Magufuli. Hakuona aibu kusema Jambo hili tumuombe Mungu, kuna watu wameingia madarakani tu wamejifanya sayansi sayansi, wakati yeye akisisitiza taifa kumwomba Mungu na tukashinda vitavingi hata ya korona. Acha kuwahadaa watu wasio na ufahamu7
@monicamwita78654 ай бұрын
Ni kweli tuii mamlaka, lkn wasichukue nafasi ya Mungu Baba. Ielewe2 vizuri biblia.
@joaneskailembo44852 жыл бұрын
Akili kubwa saana
@kindysuleiman59352 жыл бұрын
Msemaji umesema kweli wa kujilaumu sisi sababu tunaogopa na kutishwa
@geofreymongi5403 Жыл бұрын
Ni hekima njema Mungu anaipenda Tanzania na huyu muungwana hana makuu amezungumza kama nabii ingekuwa wale manabii kanjanja nisingeshangaa kusikia wakimtaka Raisi na watanzania wapeleke sadaka ya ukombozi kwake
@kamwenemnogage37912 жыл бұрын
Samia yeye ni zaidi ya hao yeye anajisemea wenyewe eti rais hakosei. Hii haina tofauti na kujifananisha na Mungu, alaaniwe
@yussuffadhil13962 жыл бұрын
Acha ngongo ww...samia hawezi kujifananisha na Mungu
@@salimmalaka256 Fungua link hii umsikie wewe mwenyewe rais Samia akisema kuwa "rais hakosei". kzbin.info/www/bejne/gXXRiml4j9isrpY
@deusrobart81812 жыл бұрын
@@yussuffadhil1396 kwani magufuli aliji fanasha na Mungu lini
@AhmedAli-gh1lm2 жыл бұрын
@@deusrobart8181 Wapambe wake walimfananisha na Mungu mbele yake na yeye hajakemea bali alifurahia hilo na wegine kuwapandisha vyeo kwa sababu ya kumpa sifa za kiungu. Sikiliza baadhi yao katika link hii: kzbin.info/www/bejne/iaGml3-vmrBqers
@jamals.mbarak86382 жыл бұрын
Umefikisha vizuri sana
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania tunaomba amani
@frankmnale19002 жыл бұрын
Endelea kukumbusha wanadamu.... Tunajisahau hasa zaidi tunapokuwa tunapewa madaraka
@nikundiweamosi50874 ай бұрын
Wote hao wako wapi na huyo Mngu wao magu
@daudicharles17112 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
"Wewe unayeishi utambue ukuu na uweza wa Mwenyezi Mungu"
@joshuaeliya85592 жыл бұрын
Isaya 42:8. Aliyetuumba hataki utani ndo maana alikufa.
@beatricehenry67762 жыл бұрын
Kwa hiyo wote wanaokufa walimtania Mungu wetu.?!?!
@alfredinarwegasira48212 жыл бұрын
@@beatricehenry6776 Si ndio apo? Na ayo maneno aliyasema yeye? Jamani msimpangie Mungu yeye ndiye anajua maisha ya kila mtu.Kwa hiyo waliokufa wrote wana madhambi? Msikufuru jamani ila Chanda chema uvikwa pete.
@monicamwita78654 ай бұрын
Exactly
@jifahamuyouthtalentssports30912 жыл бұрын
It's different
@EliasKasomajr2 жыл бұрын
Its real annoying and shameful sana kuwa na viongozi wa namna hii....what worries zaidi ni viongozi hawa kukubali hizi sifa za kipumbavu sana.
@abdallahhamisi452 жыл бұрын
Huyo sheikh alisha kufuru muda mrefu sana
@mumuomar55417 ай бұрын
Zaidi ya Mungu,wakati Mungu hafanabishwi,huyu kweli ni shekh?
@wilsonsikahanga17612 жыл бұрын
Lkn pia huyu mama alishaambiwa na maaskofu asikukubali kutukuzwa! Lbda kama alipuuza au kasahau
@christemba50282 жыл бұрын
Mkuu umesahau na yeye alisema akifika Mbinguni atawaongoza Malaika kidogo kidogo
@methuselamisana41152 жыл бұрын
Hahah😂🤣🤣
@wozanawewoz9792 жыл бұрын
😄😄😄
@wilsonsikahanga17612 жыл бұрын
😁😁
@fortinatuswangubo1962 жыл бұрын
Pamoja na yote hayo hakuna kiongozi aliyepo sasa kumulinganisha na Magufuli nyinyi wote waizi tu hata uweke upala wako wanyonge hatakuelewe kabisa
@johnsinyinza7450 Жыл бұрын
Viongozi hawo. Wote niwalevi wajinga mimi nipo ccm siwezi kuwa mjinga kiasi hicho. Sema sana tufumbuwe macho .
@johnsinyinza7450 Жыл бұрын
Ndiyo maana lisu aliwahi sema magufuri huwezi kunipa kazi uwapege hawo hawo unawo waokoteza majararani leo hii maneno ya lisu ndiyo hayo . Asante baba endelea kutusaidia kutupa elimu
@johnmwapili1372 жыл бұрын
Kataa wanafiki mama !
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Mimi naona kuna vitu wanakubaliana watakuwa wanavisema come rain, come sunshine. 😅😅😅
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Subhanaallah tunaambiwa kwenye dini zetu kuwa tusiweke chukii mbele ila tunaambiwa tuweke imani na undugu mbele ili tupate kheri yake mwenyezi mungu lakini binadamu ufitina na chuki binafsi sio Vizuri watazania hakuna mjinga ila tutakase roho zetu tu bro
@user-zh8wg3lc4i Жыл бұрын
Wagonjwa wote hao.
@happymarchiusnjungani11382 жыл бұрын
Hiv unaish wap..magifuli alitukomboa sio huyi mama
@mgayagesimba22382 жыл бұрын
Nawe ipo siku utayajutia uyasemayo, kwa akina Sprain Msiba alivyokuwa akimtetea Magufuli leo humsikii nawe ipo siku.
@onesmokamili29682 жыл бұрын
Hapo ndipo MUNGU alipochukia na akakasirika
@emmanuelmasalu54652 жыл бұрын
hata hivyo mzee, elewa tu kuwa hata wewe hapo una lako si bule. kila kitu ni IMANI kwa kila wakati wa inalokujia kwa wakati ulio nao. maana mapokeo wa wa hayo unayoongea leo unajua kwanini uongee leo na sio kipindi kile. japo RAIS wa sasa mmemzalau wengi wenu kwa kujifichia eti anademokrasia. wale mgando wakuone jiniazi.
@herculesthepower15442 жыл бұрын
Hii comment yako haieleweki kabisa sijui labda kwa kiswahili uchokitumia. Na labda humjui huyu mtoa hii mada. Kiufupi, tusijaribu kumlinganisha binadamu na Mungu hata awe na uzuri wa kila kitu. Mungu ni Mungu pekee yake hakuna mfano wake na hakuna alie juu yake.
@SEMANKA972 жыл бұрын
Hatari sana
@vradmirlenin82902 жыл бұрын
Roho mbaya tu
@LathamCap Жыл бұрын
Nawewe upo wapi?
@abdalakombo15952 жыл бұрын
Kufuru ingezidi angekuwa hai
@salimmalaka2562 жыл бұрын
TANZANIA INGE ANGAMIA BORA KAFA FIRAUNI WA TANZANIA YULE
@lawrencebukuku87542 жыл бұрын
Msikome tuelemisheni
@jossejunior56682 жыл бұрын
Mheshmiwa Mungu🤣😂 dah
@bayekefarijala50422 жыл бұрын
Yaani natamani tupate rais aliye mara mbili ya Magufuli ili kufidia miaka hii inayopotea. Huyu kiwavi anajaribu kuharibu ukweli Kwa kumchafua Magufuli. Ningekuwa Mimi ndo rais, hawa wahuni wangenikoma nisingewahurumia hata mmoja wangeenda kuchumba chima Egypt na south Africa
@yussufpandu18522 жыл бұрын
ALHADI MUSSA LAZIMA UTUBU KWA KAULI ULIYOITOWA
@thelonewolf44292 жыл бұрын
Duuh Apo sio poa wale waliokuwa wakimsifia ila kwakweli Mugufuli mwenyewe hakuwahi jisifiya ivyo nakwanza aliimiza watu wamtangulize Mungu mbele... to cut long story short Magufuli alikuwa mtu mzuri saana asa kwa watu wa hali yachini na huo ndio ukweli sema kuna viongozi tu waliokuwa wanajipendekeza
@wilsonsikahanga17612 жыл бұрын
🤔
@thomasmseli30462 жыл бұрын
Unaongea injili iliyo hai. Hawa walafi wa madaraka wana kiburi kupitiliza hawatakusikiliza watakushambulia. Hawtaki kujifunza kwa mfalme Herodi alifananishwa na Mungu akafurahi akauwawa na chango palepa. Hawa wa sasa ni kansa itawala na aibu tele wapokeyaji na watoaji wa sifa za Mungu kwa binadamu
@nasseralhabsi14832 жыл бұрын
Pengine ilikuwa ni khofu ya kutumbuliwa.
@edsonisrael89962 жыл бұрын
Kwa hiyo hapa Ni kanisani au
@palaghapalagha73362 жыл бұрын
Ungeuda grupu la hao watu watakusiliza
@allyhassan29732 жыл бұрын
Aisee japo hata wengine wamekosea sana Ila huyu SHEKHE duh sidhani kama atapona vinginevyo amuombe mungu msamaha sana, sana, sana, sana tena sana!!!. Na kw mfano nikiingia msikini nikakuta huyu jamaa ni imamu ntatoka
@joycemagessa3502 жыл бұрын
😂😂😂
@johnwangare22302 жыл бұрын
Mh makubwa
@kennyrogers47342 жыл бұрын
Hata mimi nilielewa Mungu anaipenda Tanzania maana yake ametambua maumivu ya watanzania amewaponya kwa hili
@marcomuhoja59812 жыл бұрын
Najitolea lakin tano kama msaada wa kukupeleka milembe
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Hayo ni mambo ya kawaida kila siku mitandaoni kusifiana viongozi hata ungekuwa wewe usingependa kusifiwa acha kuwadhihaki wenzio