No video

MILA ZETU

  Рет қаралды 260,938

Joti TV

Joti TV

9 ай бұрын

Kila siku ndoa zinavunjika kwa vijana, Maana hawataki kufuata tamaduni au mila za wazee, Vijana rudini kwa wazee kufuata mila ili ndoa zidumu...

Пікірлер: 582
@user-le3fx3gr3n
@user-le3fx3gr3n 9 ай бұрын
😂😂joti akiigiza kama babu huwez jua kama ndio aliigiza kama andunje. 😂safi sana
@Platnumz11
@Platnumz11 9 ай бұрын
Anaweza kotekote
@aishaMape-jc4ef
@aishaMape-jc4ef 9 ай бұрын
Hahaha joka lakibisa
@dianerditto
@dianerditto 9 ай бұрын
Tofauti kabisa na kiboga😂
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 9 ай бұрын
Kabisaa 😄😄
@AnnahLusia-bz3lc
@AnnahLusia-bz3lc 9 ай бұрын
Yaan anacheza aina sehem zote😂😂
@benOfficial36
@benOfficial36 9 ай бұрын
Ila joti mm nakukubali sana uongo zambi, Ukicheza kama babu unafit, kama anduje ukafit, ukicheza kama mwanamke unafit. Sijuhi ulizaliwa siku gani😂😂
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 9 ай бұрын
Sema kma nishai kijana au mzee ndo hatali😂😂
@michaelmbutto5160
@michaelmbutto5160 9 ай бұрын
Umemsahau Nishai 😂😂
@ashakhamis9093
@ashakhamis9093 9 ай бұрын
Jumaapili🤣🤣🤣🤣🤣
@secretiadmire1422
@secretiadmire1422 9 ай бұрын
Unamjua Kaboba? Kaangalie DSTV...
@prenciaiqram9382
@prenciaiqram9382 9 ай бұрын
Wapenzi wa Joti tujuane🙌🙌🙌🙌🙌🌸👌
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 9 ай бұрын
😂😂😂tupo
@markmwaluanda7552
@markmwaluanda7552 9 ай бұрын
Me apa sas nikiwa na mipesa lazim nifany kaz na mtombangila wakitwangwa mikazo Nishai 😂😢
@abdillahsalim1623
@abdillahsalim1623 9 ай бұрын
Joti the old genius ❤
@ngagidaudi4548
@ngagidaudi4548 9 ай бұрын
Amezaliwa mwaka mpya yaani kila siku joti mpya😍❣️❣️
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 9 ай бұрын
😅😅😅😅 daah nimecheka kama chizi, kicheko hakiishi...hongera sana joti bhana....umenichekesha mwishoni ulivyomuomba mama zito😂
@kigoishishira5328
@kigoishishira5328 9 ай бұрын
Mguu chaga.. Mguu net😁
@salimakida95
@salimakida95 9 ай бұрын
Joti Hana mpinzani, kama unampenda joti like please
@officialkamdudu
@officialkamdudu 9 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? content aweke joti like upewe wewe? acha ushamba utaolewa mdogo wangu
@salimakida95
@salimakida95 9 ай бұрын
@@officialkamdudu si mchezo tu wewe mwaka wa ngapi umeolewa na maisha yanakwenda, mpaka unataka joti akukatie mauno
@officialkamdudu
@officialkamdudu 9 ай бұрын
@@salimakida95 njoo magetoni uchukue likes za kutosha sasa
@salimakida95
@salimakida95 9 ай бұрын
@@officialkamdudu poa,nimpe mchongo nije dadangu kwani huna mume wewe
@annethgod6642
@annethgod6642 9 ай бұрын
​@@salimakida95 msamehe yaishe bhn😊
@DannyMasuka-ut4oq
@DannyMasuka-ut4oq 9 ай бұрын
Hongora sana joti kwa ubunifu wako 🤣🤣🤣🤣🤣
@jamessamwel9456
@jamessamwel9456 9 ай бұрын
Joti fala sana, eti changanya😂
@hassansammy1076
@hassansammy1076 9 ай бұрын
Joti never disamppoint 😂😂😂😂😂😂🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@JANE-jv4eq
@JANE-jv4eq 9 ай бұрын
Wee joti kiboko ya komedi wote. Wewe noma saaaana. Nakupata nikiwa congo Lubumbashi. Asante kwa kutuzidishia siku za kuishi
@PabloEscobar-wt1fq
@PabloEscobar-wt1fq 9 ай бұрын
Tanzania ur really blessed having Joti aka Babu,Nishai,Adunje, Kiboga...This guy is damn talented,he always crack my ribs anytime i watch his comedy 🤣😂🤣🤣
@hemedjumaa390
@hemedjumaa390 9 ай бұрын
Umesahau Character ya Mpemba Ami Jay 😅
@mahindinilla3995
@mahindinilla3995 9 ай бұрын
Kwamba wasipokufa unapiga mkojo wa ngamia
@simonandrew1489
@simonandrew1489 9 ай бұрын
Good work mr joti with your Team You Did It we'll
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 9 ай бұрын
Jot ukiwa babu UTAKUWA.. mzee wa mila za utaniiiii....haya umetoa SOMO LA milaaaaaaaaa
@waziribakari6067
@waziribakari6067 9 ай бұрын
Eti napiga hata mkojo wangu #Joti bhana😂😂
@wanatangawaja6397
@wanatangawaja6397 9 ай бұрын
Nipeni like jamaniiiii ndio waknza mimi
@elcontawa8023
@elcontawa8023 9 ай бұрын
Kwaio
@Kabeya410
@Kabeya410 9 ай бұрын
We kenge umefanya nini ktk hii comedy mnampenda sifa kazi za watu kenge manyoya
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 9 ай бұрын
Baba zito,njoo huku kuna mazito😂😂😂😂😂
@rogatusmeleki1660
@rogatusmeleki1660 9 ай бұрын
Vinaaaa😂
@joojjooj7204
@joojjooj7204 9 ай бұрын
❤❤😂😂jot funga kaz comedy ❤❤
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 9 ай бұрын
Kiuno kile kama feni mbovu😁😁Joti mtambo kweli
@nikwigizemichael1785
@nikwigizemichael1785 9 ай бұрын
Haka kajama ni comedian wakutosha kabisaaaa😂😂😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A 9 ай бұрын
Mama zito akajaribiwe na yeye ukiigiza babu unakuwa mhuni kweli joti 😂😂😂😂
@matukioonline3433
@matukioonline3433 9 ай бұрын
High level of creativity 🫡🫡
@azizally5283
@azizally5283 9 ай бұрын
Mbona hatujaduu😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 9 ай бұрын
Joti is a legend always❤❤❤
@jumandabirorere3737
@jumandabirorere3737 9 ай бұрын
Huyu mwamba Joti kila ijumaa lazima azifanye mbavu zang ziume😂
@abraham92268
@abraham92268 2 ай бұрын
Yaani akicheza kama babu namkubali sana
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 9 ай бұрын
SEMA combination ya kina sopa ndo ilikua inanoga sana
@francescafrancesca8901
@francescafrancesca8901 9 ай бұрын
😂😂😂😂 Joti wewe Mungu akusamehe😂😂😂😂
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 8 ай бұрын
yaani sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khalfannyanje8970
@khalfannyanje8970 9 ай бұрын
Sasa babu mwisho wataka kumdhuru mama zitto😂😂😂😂
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 9 ай бұрын
Joti Joti Joti nakuita mara tatu, tunamuona Majuto in you kaka. Asieee 😂😂😂😂
@OctavianMakoye-vl7qx
@OctavianMakoye-vl7qx 9 ай бұрын
😂😂😂the best comedian ever in Tanzania
@joachimmapunda4125
@joachimmapunda4125 9 ай бұрын
Joti is second to Majuto.
@StephanoAkyoo
@StephanoAkyoo 9 ай бұрын
This man is pure an actor😅😅
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 9 ай бұрын
Never disappoint jotiiii 😂😂😂🎉
@luciamsani
@luciamsani 9 ай бұрын
🥰🥰🥰Haki ya Mungu joti chiziiii looh
@petromihayo8632
@petromihayo8632 9 ай бұрын
Joti ni balaa sanaa😂😂😂
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 9 ай бұрын
Nakuelewa sana joti.big up.ukigiza kama Mzee na nishai na dem. Nacheka sana😂😂😂😂.
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 9 ай бұрын
Kitovu balaaaa😂😂😂kuduuuh uuukooooh
@elizabethissack8405
@elizabethissack8405 9 ай бұрын
Mkumbuke kupiga kura jaman co kufurahiya tuuuu
@gametongwe3539
@gametongwe3539 9 ай бұрын
Eti huyu mtoto show hamna 🤣🙌🔥
@RashidyMrang
@RashidyMrang 4 ай бұрын
😢Joti akishuti km babu namkubli san
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 9 ай бұрын
Mguu chaga mguu net
@stevenkapenulo474
@stevenkapenulo474 9 ай бұрын
Ugeni kpndi cha mavuno😅😅
@johnmaina6081
@johnmaina6081 9 ай бұрын
Hahahaha mila na desturi zisambazwe generation after generation.
@julianashani9408
@julianashani9408 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@wildlifedocumentary5287
@wildlifedocumentary5287 9 ай бұрын
The best comedian kuwahi kutokea Tanzania
@IDDNZARO22-eu5xx
@IDDNZARO22-eu5xx 9 ай бұрын
😂😂😂 ile furaha unanipea Mungu azidi kukueka Amiin Inshaallah
@tembomnyama2310
@tembomnyama2310 9 ай бұрын
Kuna Cha Kujifunza Hapa 👏🙏
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 9 ай бұрын
Ila joti msenge Sana 😂😂
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 9 ай бұрын
It's Friday again Jotiii never disappoint bro 😂😂😂. Babu Kama Babu
@dionistindwa7429
@dionistindwa7429 9 ай бұрын
😅😅😅😅
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 9 ай бұрын
More creative and talented
@yourvideostz1579
@yourvideostz1579 9 ай бұрын
Dah! Message sent
@athmanywaomary3204
@athmanywaomary3204 9 ай бұрын
Ndio maana ya ndoa..! 😂😂😂😂😂❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-el3dk1sf4f
@user-el3dk1sf4f 9 ай бұрын
Upo vizuri gingers sans nakufuatilia sana
@sharifushabani3906
@sharifushabani3906 5 ай бұрын
Dah respect kwake anastail kuchukua tuzo kila mwaka maana dah kama misondo
@rabaniAmri
@rabaniAmri 3 ай бұрын
Mnguuu chaga na neti😅😅😅😅😅
@azizally5283
@azizally5283 9 ай бұрын
😅😂😂😂nimechaka hapo kwenye kuchanganyaaaaaa
@styfleurstyfleur1632
@styfleurstyfleur1632 9 ай бұрын
Joti 😂😂😂 endeleya tuchekesha 😂😂😂🎉🎉🎉🎉😂😂
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 9 ай бұрын
Mguu Chaga 😂😂😂mguu Net duh💃💃💃💃utasubiri xana 🤪
@shamsoabdallah1161
@shamsoabdallah1161 9 ай бұрын
Tunaweza tukawa tunamuangalia joti kumbe chizi kweli
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 9 ай бұрын
From Japan Kuma Moto I love you yanga bingwa
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 9 ай бұрын
Joti naomba 5000 elfu tu nipate sembe Hali mgumu Sana ndugu yangu tusaidiane
@user-nf6cy2wx2w
@user-nf6cy2wx2w 9 ай бұрын
😂😂😂Watanga wenzangu wazee wa mguu chaga mguu net gonga like hapa
@ayubusenyagwa-pl8xz
@ayubusenyagwa-pl8xz 9 ай бұрын
Joti kwa hapa bongo hana mpinzan aisee😂😂😂
@benhamza5649
@benhamza5649 9 ай бұрын
One of the best
@mohamedabad7179
@mohamedabad7179 9 ай бұрын
Hahahha mguu chaga mguu net😅😅
@HusseinKitwala-lu6sc
@HusseinKitwala-lu6sc 9 ай бұрын
Joti so fire...😄😄🔥🔥
@4ktime587
@4ktime587 9 ай бұрын
Joti 🎉Mimi kwa mtizamo wangu na maoni yangu nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mimi naweza kuwa na mtazamo ambao nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni jambo ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufupi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu nayaeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
@ZilfatAlly-lv1rw
@ZilfatAlly-lv1rw 9 ай бұрын
😂😂😂kwa kweli joti sii chizi pekeyake. Ana wafwasi wazuri tu kama wewe
@4ktime587
@4ktime587 9 ай бұрын
@@ZilfatAlly-lv1rw 🤣🤣🤣🤣zilfat 🫰💔
@TupoComedy
@TupoComedy 9 ай бұрын
Zito weeeeeeeeeeee eheee jot mguu net mguu chagaaaaa
@blaisenduwayezu6200
@blaisenduwayezu6200 9 ай бұрын
Iyo kali saana comedian nimekubali
@FathimaZubair-jt4cg
@FathimaZubair-jt4cg 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣hhhhhhh mbav znguu miee
@akrammasoud8050
@akrammasoud8050 9 ай бұрын
Hahaha minaenda Bila pumba
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 9 ай бұрын
Hahhhaaa nimecheka sana km mila yenyewe hiyo akaaah
@oikodominic1988
@oikodominic1988 9 ай бұрын
Napenda sana joti yaani camera zake clear sana afu editing safiii
@darviedeben1885
@darviedeben1885 9 ай бұрын
Hahahahahahaha etiii iih iiih iih😅😅😅😅😅💔🖐️
@innocentmushi4675
@innocentmushi4675 9 ай бұрын
Kama unajua unajua Tu 👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Charleskulwa-hp5ow
@Charleskulwa-hp5ow 9 ай бұрын
Hongera sana brother joti kiukweli ukofiti kila sehemu.
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 9 ай бұрын
Babu joti 🎉🎉🎉 apewe maua yake
@AfricaQueen
@AfricaQueen 9 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌Hanampinzaniiiiiii Jotiiiiiiiii❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
Hata nimechelewa ila nataka zangu like hapa😂😂😂😂❤❤😢😢😢😢
@officialkamdudu
@officialkamdudu 9 ай бұрын
like unazipeleka wapi kenge wewe ? content aweke joti like upewe wewe? acha ushamba utaolewa mdogo wangu
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
@@officialkamdudu Kwa sababu joti ni mshikaji wangu mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣
@officialkamdudu
@officialkamdudu 9 ай бұрын
@@Jaydannychawaboy. kachukue like nyumbani kwake mbwa wewe usisumbue watu youtube 😁
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
@@officialkamdudu sasa vipi Kama niko nae hapa mbwa mimi 🤣.....
@officialkamdudu
@officialkamdudu 9 ай бұрын
@@Jaydannychawaboy. nakukumbusha tu. utaolewa we penda like kwa sana tu
@issazalala4907
@issazalala4907 9 ай бұрын
Daaah😂😂😂 inaumaiyooo
@hassanignoretemba2999
@hassanignoretemba2999 9 ай бұрын
Mamamkwe...eti Jongoo hapandi mtungi😂😂😂
@Wanisimbula
@Wanisimbula 9 ай бұрын
Nimeelewa hapo "mguu chaga mguu neti" kudadeki😂😂😂😂😂😂😂😂 ila Zito nae jamani....😂😂😂😂
@mansourjuma3731
@mansourjuma3731 9 ай бұрын
3:51 MashaAllah. Nimesikia neno ALHAMDULILLAH ❤
@hajiamehaji3589
@hajiamehaji3589 9 ай бұрын
Hata mm nimeskia ila sijui limetoka kwa nani
@mansourjuma3731
@mansourjuma3731 9 ай бұрын
@@hajiamehaji3589 nahisi kw huyo mama, na muda ambao anajinyanyua hapo alipo kaa.
@stevenmnyema281
@stevenmnyema281 9 ай бұрын
wa kwanzà jamani
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 9 ай бұрын
VIGAWANYO VYA JOTI 1 - Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo Misuguano 2 - Kiboga 3 - Hamijei 4 - Babu 5 - Andunje Ila napenda zaidi ukiwa Nishai na Andunje 😂🙌
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 9 ай бұрын
Star wetu huyu watu wa Morogoro
@barankenyereyejosh8410
@barankenyereyejosh8410 9 ай бұрын
Mwanao jogo hapandi mtungi😂😂😂😂😂
@hamidumasoud4112
@hamidumasoud4112 9 ай бұрын
Unajua san
@bakarikisuda4948
@bakarikisuda4948 9 ай бұрын
Mguu Chaga mguu neti
@godfreymongomongo4494
@godfreymongomongo4494 9 ай бұрын
Mguuu Chaga mguuuu neti😅😅😅😅😅
@abdulghanshakuru3973
@abdulghanshakuru3973 9 ай бұрын
Ata kama nimechelewa na mm wa kwanza hivyohivyo Kila siku nyinyi tu bana
@StephenMakinda
@StephenMakinda 4 ай бұрын
Jogoo hapandi mtungi 😂😊
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 9 ай бұрын
Mguu CHAGA mguu NETI, 🤣🤣🤣 Joti hii inabidi iwe na PART 2 , Tuone ZITO kaweza ..?... mtoto Joti maku sana mjue..🤣🤣🤣
@JOSEPHZEGELE-jy6dv
@JOSEPHZEGELE-jy6dv 4 ай бұрын
Umetisha jot umemchukua nanga na kundi lake lote umepatia sana big up bro
@ireneemmanuel5361
@ireneemmanuel5361 9 ай бұрын
Joti is crazy🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@FrankGasper-eq2ui
@FrankGasper-eq2ui 9 ай бұрын
Dah et mama zito😂😂😂😂😂
@mikechali1052
@mikechali1052 9 ай бұрын
Jogoo hapadi mtugi we😂😂😂
@sylviakoech2204
@sylviakoech2204 9 ай бұрын
Mnapishana kwelikweli 😂😂,hakuna mwenye anataka kuachwa nyuma
@mariammamushkachambo2123
@mariammamushkachambo2123 9 ай бұрын
Yupo vizur sana hyu kaka nampenda mungu amuwekee
@user-sx7zc6pi2i
@user-sx7zc6pi2i 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ati mwanao jogo hawiki
MUUZA KUKU
11:13
Joti TV
Рет қаралды 24 М.
TUTAFIKA WAPI?
10:05
Joti TV
Рет қаралды 285 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 10 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 10 МЛН
JUA KALI LEO ALHAMISI TAREHE 15/8/2024 FULL MOVIE HD
29:23
LIVE FOOTBALL
Рет қаралды 13 М.
NAKULA SILIPI  UMEKULA CHANGU UTATOA HUTOI STEVE MWEUSI NA NDARO
11:15
Mweusi Family
Рет қаралды 605 М.
bijiyobija ati Niba baraguteye Inda ngwino twijyanire
11:21
NDABONA TALENT TV SHOW
Рет қаралды 7 М.
ARICHO FANYIWA brother K SIYO KIZUL
9:39
JAILOS TV
Рет қаралды 814 М.
MAHARI MILIONI MIA TANO
11:43
Joti TV
Рет қаралды 292 М.
MADAWA
9:09
Joti TV
Рет қаралды 467 М.
FUMANIZI LA SENGA NA PEMBE
14:46
Doella TV
Рет қаралды 148 М.
KALAMBA CHUCHU
11:32
Joti TV
Рет қаралды 438 М.
KACHUKUA NYWELE
11:55
Joti TV
Рет қаралды 244 М.
NILIJUA MTOTO
7:57
Joti TV
Рет қаралды 553 М.