Naipenda sana dini ya kiisilamu ni ya,kweli nashukuru Allah ameni leta uko nafurahia sana kua muisilamu sasa
@saidothman80147 ай бұрын
Mashaallah karibu sana katika uislamu iyo ni nguvu ya Allah ndio iliyokuleta jitahd uanze kuisoma dini na usimamie katika kuwaongoa watu kuja katika uislamu ili tukapate rehma za Allah karibu sana Zanzibar
@jacintajosphat1127 ай бұрын
@@saidothman8014 n
@jacintajosphat1127 ай бұрын
Nasoma sai nahifunza kiarabu
@milango7channel764 ай бұрын
@@jacintajosphat112 thnks
@saidothman80144 ай бұрын
Mashaallah unatoka sehemu gani kwani?
@ElistideRobartathumani4 ай бұрын
hio ni bidaa mashekh subhana allh
@makulaikuku69094 жыл бұрын
Masha Allah walau dhikiri hii sio kuna ipo kama wanabweka subhaanna Allah
@nyangehassan9022 жыл бұрын
Inawezekana wewe siyo katika waislam
@aishahemedrajab5332 Жыл бұрын
Mashallah jazaakumullah lkhayr
@saidothman80147 ай бұрын
Hata mbwa nao wanamzukuru Mola
@masoudyrashidy90414 жыл бұрын
Maa sha Allah muko vzuri mungu akusaidieni
@yusufgagamuhammad267411 ай бұрын
Walahi mume ingia kwa kishindo kweli kwenye you tube mungu awalinde na 🎉🎉🎉❤❤❤
@HawaMuya-i1k4 ай бұрын
Mashaalah ❤️ mungu awabariki
@hajiabdallah35394 жыл бұрын
Mungu awape maisha maisha mazuri hapa duniani na kesho akhera.
Tumieni ufundi ili mboreshe kila mnachokifanya..!! Msikidharau kwani mkidharau ninyi wenyewe hata wanaowaangalia watawadharau..!! Jitahidini kwa hilo..!! Kuweni serous. .!!
@shafiisaidi31822 жыл бұрын
Ni kweli ila wameimba vizur
@annaethan8884 жыл бұрын
Jamn mm napenda ujumbe wenu mzuri sana unanikosha Allah awalipe
@milango7channel764 жыл бұрын
Amina kwa sote inshaalwah
@zaitunhusna35002 жыл бұрын
Haki ya mungu wengne wanavuatu mkononi
@aboudshauri17604 жыл бұрын
Stepu muhimu sana katika kuboresha dhikri yenu kwa ujumla nizuri
@sarakuchanda60475 жыл бұрын
Masha Allah mrid mzur nimependa dhikir yen jipangen swafa uzur
@milango7channel765 жыл бұрын
Inshallah
@ZuuAbuu-q1g17 күн бұрын
❤❤❤ hv ile ya mzur yussuf mbona hamjaiweka
@milango7channel7617 күн бұрын
@@ZuuAbuu-q1g ipo mbn
@ZuuAbuu-q1g17 күн бұрын
@milango7channel76 Ngoja niitafte mana ❤️❤️❤️
@ZuuAbuu-q1g17 күн бұрын
@@milango7channel76 naona Album ya yussuf lkn haipo zpo hz nyngne au ipo kwa jina gan please
@subirakhamis36764 жыл бұрын
Napenda sna dhikrii
@milango7channel764 жыл бұрын
Inshallah
@almadrasarrijjalchanal41604 жыл бұрын
Subira Khamis
@almadrasarrijjalchanal41604 жыл бұрын
zikr hiy
@azizalfaysal42663 жыл бұрын
Ifrom Bangladesh, masha Allah.
@KhadijaRamadhan-j5h3 ай бұрын
\ .
@tumajunior60805 жыл бұрын
Mmenifurahisha wallahi jazzakallah
@milango7channel765 жыл бұрын
Asante
@milango7channel765 жыл бұрын
Inshaallah
@yussufally86685 жыл бұрын
Mashehe wa zikiri wanapenda kula hattariiiii
@muryd69994 жыл бұрын
Hahahhaha
@mohamedzeinab80354 жыл бұрын
Fanya adabu wewe
@saba-gv3mj8 ай бұрын
Twapenda kula na dhikiri pia mungu alisema kuleni na munywe vilivo vizuri ww kama huli huwezi kuishi hasidi
@Kwelinzito Жыл бұрын
Hii ni moja katika baadhi ya sababu za Waislamu wabaki nyuma.
@saba-gv3mj8 ай бұрын
Ki vp hao ndio waliofikisha dini mbelee nyinyi mawahabi munaopinga na dhikiri ndio mumerudisha dini nyuma huo ndio ukweli mungu akushinde na hasad yako
@Kwelinzito8 ай бұрын
@@saba-gv3mj ujinga hauna dawa isipokuwa kwa wale wanaotafuta ukweli na kupanua mabongo. Mimi ni kati ya wanaopinga mawahabi kwa namna wanavyo fuja mali ya waIslamu, pamoja na kuuwa ndugu zao Iraq, Libya, Syria, Somalia, Falestin. Unafiki wao hauna kikomo. Lakini hayo sio sababu za WaIslamu kujirudisha nyuma kwa kupoteza wakati kwa mambo ya kipuuzi. Ndio maana WaIslamu wakawa hawana njia za kujihifadhi na kujilinda na ukatili, ufisadi, na fitna za makafiri. Babu Jinga zama ufikiri...
@asmanmurithi3897 Жыл бұрын
hiyo bendera ustadh badilisha kijani bora zaidi yenye maandishi ya kalma ya shahada,
@MwanaidiMohammed-yh1gj Жыл бұрын
Allah awape kila lakheri...nawakubali saaana
@ftoomamh78735 жыл бұрын
Ilo hilalii km mwendawazimuu kuchukuwaa mijitu yasojielewaa iyo kasidaa vurugu mechii tafaranii taimu vurugu mechii km mnachezaa benii batiii
@AsiaHabibu6 ай бұрын
Alhamdullah I nawapenda sana ❤
@BashiraKwezi-in7hw Жыл бұрын
Mashaalwah nakumbuka mbali sanaaa
@bibasule72665 жыл бұрын
Mashaallah nazipenda sana
@milango7channel765 жыл бұрын
Asante
@umsualiman48936 жыл бұрын
Mnafanya mzaaa aswaa awo wengine wahisi km mchezo tu kasida nnzuri mnaharibu uwomkusanyiko wengine wanafanya km vichekesho tu apo
@mwanapilikaiama40133 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah ❤️ ❤️
@khadijamhina37222 жыл бұрын
Masha laa
@awashyshaban2932 жыл бұрын
Jazaqallahu kheyri,🙏💯
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Daa yani nipo mbali lkn nakukubali sn nahitaji nmb yenu siku nikirud Tanzania nifike Kwa ukweli hii zikr safi san
@faridaabdallah76204 жыл бұрын
Masha Allah masha Allah mkovizuli masha Allah
@milango7channel764 жыл бұрын
Tunashkuru asante
@milango7channel764 жыл бұрын
Asante tunashkuru
@rahmamrisho57642 жыл бұрын
Napenda dhikri wallhahi
@AliHaji-s7j10 ай бұрын
allah akbaru ikaswida mimi naipenda sana
@rayazahor69846 жыл бұрын
Rabbi salama Omar Omar Omar shujaa wa kweliii
@ahmedsule65015 жыл бұрын
Raya Zahor
@milango7channel765 жыл бұрын
Pamoja
@awashyshaban2932 жыл бұрын
Jallah jallahuwa🙏🏿
@onilinetv72855 жыл бұрын
Madrasa milango Saba Mashallah
@suleimanharbu97846 жыл бұрын
Mupo vzri milango saba
@milango7channel765 жыл бұрын
Tunashkuru
@milango7channel765 жыл бұрын
Inshallah
@mohdrashid36345 жыл бұрын
Masha allh mkovizuri sana napenda kasdazenu
@milango7channel765 жыл бұрын
Asante
@meisme75402 жыл бұрын
MaashaAllah
@muhidinali81803 жыл бұрын
Mzikiwa .kizazikipya unaharibu vijana wasiojua dini utafikiria hii ndiodini kube ni utamadini wa mashia kuharibu dini
@rashidjumamohamed34373 жыл бұрын
Hamna dino hapo Ni uhuni tu
@Mumewangu9 ай бұрын
Kwani mashairi yana muhusu nani
@BarakababaRama Жыл бұрын
2023 bado tupo hapa inshaallah
@chimenyatvanganga80322 жыл бұрын
Mashaalah
@aishashaban36514 жыл бұрын
Mashaalla
@ftoomamh78736 жыл бұрын
Pambee sele muridi upo vizuri namdogo wako
@ftoomamh78735 жыл бұрын
Khamis shaabanii umeuwaa hatariii
@milango7channel765 жыл бұрын
Pamoja
@hassanmaalim91934 жыл бұрын
Siku ya 2 ktk video director awe mwangalifu .huyo kijana alikamata ndara mkononi kaiharibu video. Msomaji Mashaallah sauti yake nzuri.
@milango7channel764 жыл бұрын
Inshaallah
@lesumdlish49024 жыл бұрын
😂😂😂😂 nakwambia
@aishakanick9594 жыл бұрын
Mashaallah
@milango7channel764 жыл бұрын
Asante kwa sote
@musahmusa27764 жыл бұрын
Nauliza: Wanazuoni Nijibuni jambo hili lipo katika Dini au niuzushi tu?
@issazakiyu81222 жыл бұрын
manshallah
@issazakiyu81222 жыл бұрын
Manshallah 🙏🙏
@fatumaamiry22602 жыл бұрын
Mashallah
@نصرىعبدالله-ع2ك6 жыл бұрын
Asante kakazangu mungu awainue
@milango7channel765 жыл бұрын
Tupo pamoja dada etu
@omarnurdin44614 жыл бұрын
@@milango7channel76 jmani mupo vzuri ss nikitakahizi nazipata wapi mwenyenazo ani tumie bac 0787853156
@milango7channel764 жыл бұрын
@@omarnurdin4461 download 2 ruhusa
@farhyaabdallah20892 жыл бұрын
Mashallah
@chikukalekwa35624 жыл бұрын
Masha allah,, nzur mno
@KhairyaKhairya-v6b6 ай бұрын
❤❤Mashaa ALLAH
@milango7channel764 ай бұрын
@@KhairyaKhairya-v6b asante
@ftoomamh78736 жыл бұрын
Mnafanya mzahaaa
@ftoomamh78735 жыл бұрын
Zahoro upo vizurii jitahidii
@abeidmohammed82674 жыл бұрын
Masha allah
@ftoomamh78735 жыл бұрын
Ss uyo alokamata yeboyebo mikononii miguu insnini kwanii hilalii tafaranii msomaji upo vizurii ila wenginee towenii bwanaa
@ibrahimamey39905 жыл бұрын
hahaha katoKA KVUNA MUHOGO KAUNGA APOOO
@shuhaidaomar33474 жыл бұрын
@@ibrahimamey3990 ha haaa amejisahau maskin
@ziadamaraiam73744 жыл бұрын
Mashaalah.
@hamidamussa5262 жыл бұрын
Safi nimependa
@MwanaidiOmari-f6h Жыл бұрын
Maasha Allah
@khadijarama76745 жыл бұрын
Masha Allah mridi hao
@milango7channel765 жыл бұрын
Asante
@saumusungura2 жыл бұрын
Mashallah mirango sana molla awatie nguvu dhikir mzuri San
@SwaumuJuma-fc2vw9 ай бұрын
Mpo vizuri
@milango7channel769 ай бұрын
Asnte
@AsyaMajid34673 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@FauziaAbubakar Жыл бұрын
Yarab, rabi vifua hivyo😛😝😛😛😝🇰🇪🇰🇪👍🌹🌹
@nassersalim34083 жыл бұрын
Mashaal
@habibadhikr94066 жыл бұрын
Mashalah mashalah
@lesumdlish49024 жыл бұрын
Masha Allah 🥰😘😘😘
@Maphoja10 ай бұрын
Mashallah 💜❤️
@marafundujenzi43154 жыл бұрын
Maachallah maachallah maachallah
@SwabraKomra Жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤🥰🥰
@bashirally70135 жыл бұрын
ina takiwa uwe na midadi ila sasa nyinyi amja jipanga vizuli yan kila mtu anacheza kivyake ndoman mnaoneka km mna chekesha panga vjana wako vizuli uyo mwenye yebo aweke pemben basi safu ikae sawa mna pendeza sna inatakiwa ichezwe kweli kweli mpaka mtu apandishe apo mizuka km yote jitaid kwailo mtafika mbali uwa napenda kaswida mnyonge wa dunia
@MaijaAlly-v8r9 ай бұрын
😂 the no jhhhghgb🎉😢 I will get it in😢🎉😢p
@magariabdallah80668 ай бұрын
Mashaalah❤❤❤❤❤❤❤🎉
@halimaali42465 жыл бұрын
Mko vinzuri mashaalwaah
@milango7channel765 жыл бұрын
Asante
@magariabdallah80669 ай бұрын
Nawapenda cna
@AthumaniMstafa8 ай бұрын
Asalam aleykum
@saidimatezo62732 ай бұрын
Mtaenda kuulizwa kwa haya...jifanyeni mafundi na mtaarishe majawabu....Kwani hamna nyinyi masalafu ambao ndio maswahaba na taabiin...Wapi walifanya vituko kama hivyo.
@hamidamussa5262 жыл бұрын
Safi
@HISHAMALI-i3r Жыл бұрын
Masha Allah
@ftoomamh78736 жыл бұрын
Uyo hilalii anaharibuu aswaa hajaelekeyaa aswaaa
@munaisa58502 жыл бұрын
MashaAllah
@fadhiliabdallah13804 жыл бұрын
mashallahNimeipendaSana
@kitaaofficial4119 Жыл бұрын
2023🔥🔥MAASHAALLAH1✊️✊️!!!!
@suleimanharbu97846 жыл бұрын
Vzri omar amar
@milango7channel765 жыл бұрын
Sawa kk
@saumusungura2 жыл бұрын
Mashallah tabarkat
@naimasaid83936 жыл бұрын
Mnanikosha haswaa
@abouroma67975 жыл бұрын
Tanzanalt
@fatmamahitra433 Жыл бұрын
Mashallah I'm proud to be muslim
@ImamMakame-k9o Жыл бұрын
Isha❤❤
@publicrelations46003 жыл бұрын
Hamjajipanga
@milango7channel763 жыл бұрын
Sw
@mishiomarabdhallahassan61065 жыл бұрын
Mwaruka ruka kama vifaranga😂😂😂😂😂
@arafaomari76895 жыл бұрын
Nimependa sana kwakweli hii ndo qaswida yenyewe haswa inayotakiwa
@aninaally15154 жыл бұрын
Zikili imekolea mashalla
@mohamedzeinab80354 жыл бұрын
Kama hujui uliza ndo bora
@othmanhussein60255 жыл бұрын
mashallah.
@milango7channel765 жыл бұрын
Asante
@leylamahamoud89014 жыл бұрын
Mashallah
@saumusungura2 жыл бұрын
Asante San kwà ujumbe mzuri namshukut
@mwajabumbaruku79202 жыл бұрын
Yangu
@AsdOo-fs1jd Жыл бұрын
Mashaallah❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@ftoomamh78736 жыл бұрын
Sasa uyo vipi kukamata viatu jamaniii
@yussufally86684 жыл бұрын
Mzuka ulimzidi
@Habaritrending.tanzania4 ай бұрын
Unguja zanzibar
@twalbutwalbukisaka81613 жыл бұрын
Ni nani leo wa kumzidi aibu bakar Hakuna wa kumzidi