Millard Ayo✔....Unakipaji Kaka. One of my best and favourite personalities....🇰🇪🇰🇪.
@mtemititus66182 жыл бұрын
My Role model... Nakukubali sana Millard Ayo. Mungu akipenda tutakutana nikuambie jinsi ulivyonichochea nichague taaluma ya uandishi wa habari
@jacksonkendavis86894 жыл бұрын
Long live Milllard..unagusa mioyo ya watu wengi kwa namna ambayo hata wewe mwenyewe hauelewi..endelea kuwa baraka maishani mwa watu...u touched my soul brother..💪🏻🙏🏼
@salomeomashibo19714 жыл бұрын
Hongera sana Ayo kutiya wanafunzi moyo. Ningependa iividio ifikie2 wengi ju mimi nime ona wengi wame jiua juu ya kutopita mitihani wakithani ndio mwisho wamaisha. Na wazazi wengine kugombeza watoto wakija kama awajapita Ina wesekana 🙏🙏.
@ElibetyExsavery6 ай бұрын
Hongera sana milda ayo umekuwa bora sana katika kazi yako kwang mim wew ni namba 1, mtangazaji bora sana
@charlesmugisha65292 жыл бұрын
Hongera mirad ayo mungu ni mwema nilikuonaga shinyanga siku moja nikataka nije kukupa hi lakini moyo ukasita kwasababu watu wenye majina makubwa wengi uwa wanalinga Sana.
@mzeewamastori4 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka na kila hatua unayopiga kimaisha..wewe ni kielelezo bora na sio kwangu tu lakini pia kwa wengi unaowa-inspire kimaisha
@gharibalhusni27164 жыл бұрын
Life is like a cup of tea ... it’s all how you make it best wishes you are iconic 🇹🇿 personality
@paulkirimindandu8334 жыл бұрын
My all time favorite Millard ayo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eunicewambui46454 жыл бұрын
Ayo love you so much kwaza hiyo sauti yako haaa tamu sana from kenya
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
😂😂😂
@eunicewambui46454 жыл бұрын
Wanicheka kweli mm nampenda sana basi tu
@Amylotu2 жыл бұрын
Hongera Sana baba. Mungu akuzidishie baraka zake Kila leo.
@bestcoolkid4 жыл бұрын
Interesting background u have inspired me Mr Ayo
@alunaali5105 Жыл бұрын
gostei muito millard me ensinou muito
@pigapesa93524 жыл бұрын
Kipaji hakimtupi MTU hongera Millard... Ayo.
@mbwanarashid48124 жыл бұрын
Millard unaakili sana,umewapa somo hata waalimu namna ya kuishi na wanafunzi
@chobalikosimon64594 жыл бұрын
big up kwake mr countdown
@manungda99554 жыл бұрын
Kuna rafiki yangu moja hivi ni kichwa kweli kweli tulikutana Ulaya kimasomo yeye alisoma na Milady Ayo, Milady alikuwa kilaza kweli darasani 🤣🤣 hongera sana brother 🙌
@makarabekakassim99674 жыл бұрын
Sasa huyo jamaa yako anaosha vyombo ulaya na Millard Ayo anaogelea kwenye mafanikio ya utajiri
@denismakweba38704 жыл бұрын
..na amekili hilo
@neemazephania29914 жыл бұрын
Ni kweli mi nimesoma naye sec. Akeri tengeruuuu Na pia ninawafaamu hadi kwao ni ndugu yangu wa ukoo kabisaa Ayo.
@ananiamkasu88474 жыл бұрын
Hiyo akili imemsaidia nini
@manungda99554 жыл бұрын
@@ananiamkasu8847 anatafuta PhD yake now 🤣
@markjames30524 жыл бұрын
One word to you MILLARD, YOU ARE THE BEST..
@eliezerhokororo17494 жыл бұрын
Hongera brother
@gasparlongino76954 жыл бұрын
uko vzr MILLAD KEEP ON INSPRING YOUNG GENERATION, SOMETHING TO REMBER YOU IQ YA KUFAULU DARASANI NI MTU NA SIYO NAFASI ANAYOIPTA DARASANI ..MAANA PIA INATEGEMEA UNAWAONGOZA KINA NANI?..
@emmanuelmsyani4734 жыл бұрын
Asanteh kwa motivation story bro
@alikarisa4 жыл бұрын
Siku zote viraza ndio watawala wa Dunia. Wasomi huajiliwa na viraza. So never give up vilaza wenzangu
@edsonyeddy97434 жыл бұрын
Duuuu nimecheka kizembeeee Sana heshima kwako kilaza mwenzangu
@upendotarimo93244 жыл бұрын
Kweli kabisa wasomi wengi sana wameajiriwa na vilaza
@@mariandesario6468 C kujipa moyo ukweli hawa wasomi wetu baadh yao huwa wanafanya madudu Sana yaani wananya mambo Kama watoto wa chekechea, pili wasomi wengi sana wameajiriwa na vilaza maana wasomi wengi hawawazi kujiajiri wametune akili zao kwenye kuajiriwa ndo maana kila siku wasomi wanalia hakuna ajira ila kila cku wanafungua makampuni na kujenga magorofa hata ukizunguka kwenye miji majumba ya kifahari Meng Sana ya vilaza kwa hiyo wasomi wana digrii za shule ila wana digrii za mtaani ndo maana vilaza wanatoboa kimaisha kiurahisi kuliko wasomi
@mr.silvertbravo8627 Жыл бұрын
Hongera sana bro ,
@joviangeofrey8664 жыл бұрын
Thanx. Una speech nzr na inayotia matumaini
@comrademlewaisavile3364 жыл бұрын
Nakukubal MillardAyo hakunaga🇹🇿kama wewe. Nimejifunza kitu apo shukran👏👏
@sennybrighttv72882 жыл бұрын
Brother milad you inspire me much daaah....
@gagedamoursarusaru80794 жыл бұрын
Millard Ayo wumelaaaaaa ❤️❤️❤️
@lushingeemmanuel67474 жыл бұрын
Hongera sana!!
@shijangulujose52414 жыл бұрын
Lushinge kinehe mhola
@princenelsonsinko52373 жыл бұрын
Bro you have great testimony,we learning through your speech .🙂🙂🙂🙂
@jutokiwembe65343 жыл бұрын
0624113534
@raujohn82384 жыл бұрын
Mdogo wangu mimi nina kukubali sanaa hongele sanaa kwa mafanikio yako
@maryr40334 жыл бұрын
Big up brother Millard Ayo!
@yesudustan7914 жыл бұрын
God bless u Broo.
@victorjames37304 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana @millard
@ericmitima34924 жыл бұрын
Ninakutakia moyo mwama
@apolinarydaud78294 жыл бұрын
Conglaturation much bro but u inspered me very well
@saidoo_69754 жыл бұрын
Huyo dada anamuangalia kwa hisia sn Gonga like kama unamuona huyo dada..Big up Bro👏
@pn-world35794 жыл бұрын
Mbona naona anamwangalia kawaida tu mwanangu
@anandemungure44354 жыл бұрын
Proud of You Brother 👌🙌
@jaynkai85164 жыл бұрын
Congratulation my brother one day I wish to have successful like you
@ndunechabo80623 жыл бұрын
Kakak hogera sana unanipa motisha💥💥💥🔥🤝
@fauziaabdullah37334 жыл бұрын
hongera sanaa
@lucasarajiga64384 жыл бұрын
Millard 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻
@smarttv41844 жыл бұрын
Jamaa yuko vizuri
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Napenda shule za ma sister
@andrewjosephhezron233 жыл бұрын
Talent is great
@rabsonchisumo66404 жыл бұрын
Pamoja brother nakuelewa
@yvonnematoju87994 жыл бұрын
Whau!! Millard it's a good lesson and experience to learn from,👍👍
@anandemungure44354 жыл бұрын
Big up my Brother . keep on inspiring New generation.🙏
@felisterkalembwe26923 жыл бұрын
Mungu akisaidie mred mwenzetu
@salomebahati31164 жыл бұрын
Inspirational
@kilalaurio99224 жыл бұрын
Wana lao hao Ayo Mungu akupe hekima.
@MikereMio4 жыл бұрын
Mzungu hakupi cha bure , tena nilikuwa na maswali mengi juu ya mtandao huyu jamaa ana reporters wengi sana aliowaajiri anawazaje kuwalipa hao reporters walioko kila mkoa , kumbe rich white men are behind. him .
@nickson3473 Жыл бұрын
brother your story is motivating , lakini hii sio story ya kwenda kusema mbele ya wanafunzi, Mi ni hasla niliyesoma na nilitandika one form four na six, nilisoma nikipiga mishe, I think academically haijanisogeza mbele ila haso zangu ndo zimenibeba, nikiwa nasoma kibaha secondary watu waliniona kama looser fulani hivi, but I Still got division one na ni PCM, Ilikuwa ni ajabu kuona mtu wa special school yuko focused na mishe mishe kuliko kusoma,encourage students that they can do better, they can find ways to understand and absorb materials, while looking at other venues of life, so kitu kufeli sio kitu cha kujivunia, ni vizuri umefanya vizuri katika maisha, but ukienda kwenye hadhira ya wanafunzi, there is a different knife edge that needs to cut across their mindset to activate hard work, motivation, to awaken the giant that can make them hit an exam like ICBM, You have to talk to make the failing student get up and feel like the most genius who can do better like the passing student, hapa mjomba umekosea sana, because your speech is making loosers in academics to accept loosing that even if they loose they will make it, hapo umefeli kaka, kabisa umefeli, you have to use your fame to induce awakening energy in students , not making their brain fail and normalize failing, walimu wa hii shule ni viazi kuaccept speech kama hii, ENCOURAGE STUDENTS TO BE MULTIPURPOSE NOT ACCEPTING FAILURE,ACHENI KULISHA MATANGO MAJI WATOTO,
@johnshibatulo10 ай бұрын
You've said the truth bro nick.
@mashakampembela25529 ай бұрын
Exactly bro. Mm mwenywe nmeshtuka ...
@loyalforumtv3 жыл бұрын
Bro your the best 👌💪
@apshiner65584 жыл бұрын
Umebadilika mafanikio hayo hongera
@badymedia96484 жыл бұрын
Kama umeona huyo dada anamtamani millard ,gonga like tujuane
@ilovejesus93034 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chapmansalva85244 жыл бұрын
unazingua sana🤣🤣
@wakatiwaapolineapoline55084 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Kumbe Umeona naweye
@elishaemanuel87214 жыл бұрын
Una nn wew ndug hukosi la kusema 🤣🤣🤣🤣
@josamwilliam41054 жыл бұрын
Anamusikiliza bwana ni ngumu kumusikiliza mtu bila kumuangaria
@sophiezakaria4 жыл бұрын
Elimu, siku hizi sio funguo🔑, kifuli🔒 kilibadilishwa kitambo sana
@dullahmmebela31234 жыл бұрын
We mkali😎!!!
@joelmbise21894 жыл бұрын
@global tv, tunaomba part II yake
@ibrahimbyaese91484 жыл бұрын
I like this brother
@festomlowegypsum82144 жыл бұрын
Hongera kaka
@innokirway57024 жыл бұрын
Mungu akuongezee baraka zaidi brother 🙏
@mathayodundo54334 жыл бұрын
Hongera sana
@swahilizone55443 жыл бұрын
Nakukubali Sana kaka ayo
@shollodegeorge90564 жыл бұрын
Kipaji hakijawai kumuangusha mtu ila kukitambua sasa na kupewa sapoti ndio kazi
@frankgikaro51594 жыл бұрын
Kweli kabisa ndugu
@kevinsimiyu89294 жыл бұрын
Napenda hio sura yako tamu
@mkerengajames4 жыл бұрын
10:41 naondoka
@cosmasdaud90884 жыл бұрын
Safi kaka
@ZipporahNyanchama-n4v Жыл бұрын
Nice
@maigathomas23534 жыл бұрын
Congrats ayo
@hussyking73814 жыл бұрын
Nice one
@florianmalle60383 жыл бұрын
Millard ninapokusikiliza napata Moyo wa kupaambana, nakuelewa sana kaka, Mungu azidi kukuongoza
@teychriss32484 жыл бұрын
Mm huwa Sina tatizo kabisa na wewe!🤗
@ericmitima34924 жыл бұрын
Uko vzur kaka unajituma Sana,
@filbertnashon71604 жыл бұрын
Isee. Only God knows all in our Life
@mulikatvonleni53394 жыл бұрын
BG up milrad ayo
@ameyashey31744 жыл бұрын
Huyu dada hata kupumua vizuri hapumui kwa kumuangalia millard
@@zuleikhakhamis3303 wapi wadada wana techniques sana katika mingo zao
@mhojamsafiri22734 жыл бұрын
Hongera Millard
@material16Asiwaju4 жыл бұрын
Yes bro
@ananiamkasu88474 жыл бұрын
Marekani inapenda watu wenye ushawishi.
@khadijaali36884 жыл бұрын
Mashllh
@salimabdillah16234 жыл бұрын
It might rise eye brows, what was the invitation for..???
@mumyhendry29194 жыл бұрын
Spain sehem gan Kakaangu Millard
@lupenzakenny88934 жыл бұрын
Pongezi kwako ,unawapa moyo xana wanafunzi,good
@NyatseLogistics4 жыл бұрын
Congrats brotha
@bensonkaile96064 жыл бұрын
Wale wa Jozipe waliopita hapa, pita na LIKE!
@aminaussi2654 жыл бұрын
hongeraaaa hata mm nakufatilia hadii ulalapo
@ahmadilukanga35544 жыл бұрын
dah 😐
@asiajuma83424 жыл бұрын
Duhh we ninoma 😄😁
@onesmojustice23484 жыл бұрын
Bora umefunguka itakuwa unamzoom moyoni
@husseinmkanga77944 жыл бұрын
Ushaanza kualikwa na serikali ya marekani utatumika kuujumu nchi. Usianze kuongopa kama tunavyo ona kwenye mitandao mnavyo mpaka matope Rais wetu. Kumbuka Watanzania ndio waliokufanya serikali ya marekani ikujue usitusaliti ndugu yetu.
@tatunjenje53654 жыл бұрын
Hongera sana kwa simulizi nzr.
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA4 жыл бұрын
Hussein umeona umweleze ukweli Millard sio?
@husseinmkanga77944 жыл бұрын
@@--------GEO_SPORT_EARTH_EA Habari ndio hiyo. Anasema anapata mualiko maalum wa serikali ya marekani lakini hasemi maudhui ya huo mualiko. Angesema kwasababu yeye ni mwanahabari anaarikwa kwenye semina na vyombo vya habari vya marekani hapo sawa. Wanataka kumtumia. Kama kina Salim kikeke.
@hermanclemence77284 жыл бұрын
Acheni ushamba kama Tanzania haioni thamani yake afanyaje? Hata mimi nikipata hiyo nafasi siiachi
@husseinmkanga77944 жыл бұрын
@@hermanclemence7728 kwahiyo marekani imezuwia Watanzania yeye amepewa mwaliko maalum kama nani. Huyo atatumiwa hakuna kingine. Na akifanya hivyo ajitayarishe kuwa mkimbizi. Kwa wewe akili yako unaona kathaminiwa.
@josephkadege87294 жыл бұрын
Safi
@restcyprian15984 жыл бұрын
Mimi pia napenda kutoa lecture.
@coletashirima21933 жыл бұрын
Sasa s ukatoe
@evaristirazalo74594 жыл бұрын
Kuukweli huyu jamaa namkubali sana mirady
@reymasenya64504 жыл бұрын
Hongera Sana Unitia Sana Moyo
@arthurmwabulambo12014 жыл бұрын
Next time simulia kwa kwenda mbele badala ya kurudia rudia maelezo yale yale, mama hiki mama kile kwa sababu unawacha vijana kwenye suspension muda mrefu wanataka kujua finality iliendaje. Nawajua wengi darasa LA saba wakifanikiwa sana maishani kama Shigongo wa Global au Sauli Amon muuza vipodozi mkubwa Tanzania.
@romualdmadeniromuald5254 жыл бұрын
Mtafute kwa muda wako akupe mwendelezo unaotaka
@calisttemba67434 жыл бұрын
Wewe bongo lala kweli
@arthurmwabulambo12014 жыл бұрын
@@calisttemba6743 zuzu mkubwa. kuja na hoja sio matusi asili yenu.
@arthurmwabulambo12014 жыл бұрын
@@romualdmadeniromuald525 sina haja namfundisha yeye namna ya kutoa motivational speeches.mi zaidi yake mno.
@qassimkb95794 жыл бұрын
@@arthurmwabulambo1201 huna lolot
@israelnziku55064 жыл бұрын
Noma sana
@nickson3473 Жыл бұрын
BRO WE NI KIAZI NA UNAFUNDISHA WATOTO UKIAZI, UNAJUA WATU WENGI WANAKUFUATILIA ?
@mokeya9 ай бұрын
Usiwe unasikiliz kitu ukiwa na stress zako. Nahis hukumuelew .
@nickson34739 ай бұрын
@@mokeya hii kitu sio ya kusema mbele ya wanafunzi, uwezo wa kuchuja nini kisemwe na kwa malengo gani ni kipimo tosha cha akili,
@OmanOman-gp7xm4 жыл бұрын
Japo sijajuwa wazungumzia nini ili story zako zinaniacha hoi sana wape hao ukweli kaka
@IsaacLameck-nz8yr7 ай бұрын
Bonge la vocal
@ephraimkalanje71054 жыл бұрын
Hongera kwa mazungumzo mazuri yenye faida kwa wanafunzi, walimu na hata wazazi pia Millard! Maana yake ni kwamba wazazi na walimu waangalie, waibue na kuendeleza vipaji vingine walivyo navyo watoto badala ya kukazania tu hizo tuitazo "academic subjects". Na zaidi sana watoto waongozwe kufanya kile wanachokipenda na kukifurahia zaidi kuliko kunga'ng'aniza matamanio ya wazazi au walimu!
@mekumeku24844 жыл бұрын
Sawa
@karimmallya96474 жыл бұрын
Kumbe vilaza wanatoboaga sometime
@michaelsamson96633 жыл бұрын
Tunasoma bado tupo mtaa tunaungaunga sana
@superangeltv4615 Жыл бұрын
Hiyo ni sababu taarifa zako zipo kama za BBC azina mizania uwezi kusema ukweli kuhusu marekani mfano vita vya Ukraine na Israel sawa KZbin ni yao lkn ukweli nimwandishi wa habari mm simkubali tena ayo
@birianination70975 ай бұрын
Millard unamkosha bonge sana hapo nyuma😂😂😂😂😂😂
@DavidMMKing4 жыл бұрын
Nimependa kila kitu lakini hiyo ya kuharikwa marekani inaleta wasiwasi. Hukisikia mwafrika anaanza kuharikwa na serikali ya marekani hapo majajusi wa CIA wako kazini. Natumaini huyu jamaa hata saliti nchi yake
@JOHN16verse334 жыл бұрын
Kweli kabisa anko...hapa marekani kuna youtubers kibao wamefikisha hiyo namba sijawahi kusikia wakipewa special attention...
@yrwa3134 жыл бұрын
Inaonesha neno owritter linawachanganya sana hao watu
@mekumeku24844 жыл бұрын
We bady unamsema dada wawatu wala hana hata mpango yuko kivyake
@pendael024 жыл бұрын
Angalia hao wazungu watakutumia kuichafua nchi yetu . Kuwa makini
@MikereMio4 жыл бұрын
Naungana na wee kwa hili, Wao wazungu ndio wanasema " there is no free lunch " hawakupi visa , ticket , pa kulala bure bure tuu , wanataka ufanyie kitu kwa manufaa yao . Tena mimi nilikuwa najiuliza baadhi ya KZbinrs wana reporters wengi nno wanawezaje kuwalipa mishahara hao reporters wao kwenye KZbin , tena wapo kila mkoa , sasa nimepata majibu yote .
@mulikatvonleni53394 жыл бұрын
Hata malaika hupingwa na shetwani
@brownjustin29244 жыл бұрын
Sijaona post ya Millard ya kuchafua taifa muwe na akiba ya maneno nyie viumbe
@MikereMio4 жыл бұрын
@@brownjustin2924 ni kweli ulivyo sema lakini ni muelekeo ya kuwa yupo ktk list ya watu wao nchi
@ilovejesus93034 жыл бұрын
@@MikereMio aliitwa kupewa tunzo wengi hufanyiwa hivyo
@roseatieno66914 жыл бұрын
Sasa kama ulifeli , ulingiaje chuo na kusoma utangazaji na ulifeli ? Sio kenya aisee , kenya lazima upite vizuri ndio uingie chuo sasa sana ya utangazaji , sijui huko ni tofauti kidogo manake mnatumia lugha ya kiswahili kwa utangazi . Kenya ukifeli labda ujiunge na village polytechnic .
@enocksilungwepondajr97074 жыл бұрын
Hakufeli sana
@roseatieno66914 жыл бұрын
@@enocksilungwepondajr9707 division four ? Aaaa alifeli mbayaaa
@coletashirima21934 жыл бұрын
Kufeli ni umepata 0 lakini ukipata 4 za mwanzon hizi zinasaidia
@hilalikishimbo20104 жыл бұрын
@@roseatieno6691 uko kwenu ndio felier mama usifananishe na hukukwetu tuna mpaka form six upooo