Thanx alot kaka Millard ckukujua kiundani zaid ila naanza kukujua fresh sana kwa kuongea ukweli hata mashabiki wako tupate kuyajua yanayokuhusu
@liberatusulaya22695 жыл бұрын
Most influential in mass media, ...unaiwakilisha Tanzania Millard hakika
@foziaabdullah90536 жыл бұрын
Dahh sauti yako naww jinsi ulivyo sikuwahi kufikiria kama ukohvyo hongera Millard mungu akuongoze katk kazi zako
@afya_yako5 жыл бұрын
Daaah,,,story ya kitambo saana pindi mm niko kidato cha pili Daah,,,maisha ni safar ndetu ,Never Give up ,,much love to you Broo,Milard Ayo,,,,
@saidiabdallah77795 жыл бұрын
Namkubali sana milard hayo ana tangaza vizur sana huyu jamaa
@sifaeljoseph74739 жыл бұрын
The best Interview ever in Mkasi show. The guy have kindness and seriousness to answer what he have been asked. He always talking a point. Big up Mtu Wangu wa Nguvu.
@khalekkhalek73068 жыл бұрын
kkkkb
@khalekkhalek73068 жыл бұрын
kkkkbb
@irenematari62187 жыл бұрын
Millard ayo I love ur story its inspiring am ur number 1 fan from Kenya
@frankmanga37219 күн бұрын
2024 to 2025 Millard Ayo ndo kawa mtu wa habari noma sana aisee
@wisdomofbooks69055 жыл бұрын
Maisha YENYE mafanikio katika ulimwengu wa sasa yanahitaji kuwa wabunifu na wawekezaji katika Mambo mbalimbali.heshima kwako Millard Ayo.
@skfreethinking11 жыл бұрын
I love this interview and how he answered. He has my respect. Love him. Mkasi, your crew is blessed. Keep it up.
@rehemaramadhani2007 жыл бұрын
Millard upo vizuri sana umepewa zawadi nzuri yasauti
@fatumasalimu97196 жыл бұрын
Nakukubali sana milard ayo hongera kwakazi zako nzur
@aminabenard79939 жыл бұрын
Ujasiri wa mtu ndio humpatia Kila jina Baya utaambiwa mwizi utapewa Kila jina ili mradi tu wakuone upo katika Hali gani lakini nawaambia vita shetani na mungu siku zote mungu ana shinda tusamwa magapi lakini tunayavumilia tu kwa sababu ukweli ninao mwenyewe na mungu Wangu
@wilhelminastanley22218 жыл бұрын
millad we ni MTU wangu Wa nguvu nakukubali sana
@omanioman89526 жыл бұрын
Yani kuna watu wanasauti jamani Mashaallah uyu kaka mmmmm mungu amuweke Nakupenda Sana millard yupo vzr sana
@veneminja86687 жыл бұрын
dah Millard ayo upo vzur sana kaka napenda sana ukiongea
@drgeofreykupaza77075 жыл бұрын
Uyu jamaa amenikuna kwenye pombe safi sana
@christianluvanga26738 жыл бұрын
Best interview ya mkasii ni hii hapaa
@elizapanga95327 жыл бұрын
dah yaan Millard ayo mwenyez mungu akulinde daima !
@gabriellomayani562911 жыл бұрын
Kaka mimi nakukubali sana kutokana na wewe uanaujasiri much respect
@andreadominick51226 жыл бұрын
Yaan daah maixha ya ayo nimeyapenda ebwn salut san
@mwaminiyoram29989 жыл бұрын
lov u Millard honger kwa mama aliyekukuza
@sallykanze9 жыл бұрын
Big up Millard Ayo coz u hav a very nice voice mungu azidi kukuongoza.
@ogadaogada46339 жыл бұрын
wow millard kumbe nimzuri hivi😙
@amanmgandu68258 жыл бұрын
pombe na sigara ni adui mkubwa wa maendeleo big up kushinda ivyo Pamoja sana
@neemamrisha7099 жыл бұрын
duuuh milard we n xhidah,, kip t up
@maryglorynyambajo710 жыл бұрын
Oh myn! I love this bros but I love more wat he answered.. "God is always tryn to tell us something, we need to be ready every time" This is nyc and I love t. Millard u r the best, u sounds sweet, handsome, ambitious, hard worker ... Gosh! Very awesome. Never rest till yo better become best. I like u, I like u a lot..... Salama big up! Yo no well oooo....lol
@rosemushi69338 жыл бұрын
kiukweli millraukovizuri sana.hongerakwajuhudi
@akwelinakirway52207 жыл бұрын
Ayo nakukubali sn. pambana Mdogo wangu utafika mbali
@ezekielthomas4955 жыл бұрын
It was a Nice moment
@sumaiyyasulemani73388 жыл бұрын
eee milladi nikombali sana napenda sauti yako na kazizako pia mungu akuzidishie
@lillymusa98667 жыл бұрын
salute kwako mtu wangu wa nguvu
@happythomas50268 жыл бұрын
M. ayo wewe ni mkweli sana. maana umesema hujawahi kufaulu hata siku moja wengine hawasemi wanajificha hongera sana
@tresorlusolo89166 жыл бұрын
Big up Sana Millard ayo uko frsh sana.... USA
@Tausiism8 жыл бұрын
Forget your voice...your temperament and work ethics is what strikes me most ! I am Team Millard Ayo. Your parents did very well with you.
@a.8565 жыл бұрын
Salama rudisha mkasi pls tumemiss sana
@amansheria39889 жыл бұрын
Safi sana bradha ayo mtuwetu wanguvu bigapu kwako kk
big up brother millard,, mkasi is one of best show in town
@henrysandu88658 жыл бұрын
uyu jamaa namuelewa sana. mungu amlinde na kumpa mafanikio coz anajituma xana.
@ramanassoro69798 жыл бұрын
namkubali sn
@elongolusambya73837 жыл бұрын
millard nakubali kazi zako unafanya vizuri.
@Kwaya_kuu_U.R.R.C11 жыл бұрын
Kaka nakupongeza sana keep it up Ila uwe makini mdogo wangu coz ur handsome usije kujichanganya kwani wengi wanatamani kuwa na wewe nakutakia kila lakheri na mafanikio.
@chichohtetee53008 жыл бұрын
unajielewa sana millard uctumie kilevi chochote baki njia hiyo hiyo kuu much lov brother
@josephrobart26536 жыл бұрын
chichoh tetee kijana yup vzr sana tena sana
@osmundwise83355 жыл бұрын
bro leo uvua kofia
@alexalistides81896 жыл бұрын
weww ni mzuri jaman
@halimalilungulu455010 жыл бұрын
Big up mill an ayo watuwengine waige mfano wako
@sultantv85905 жыл бұрын
Best journalist
@journeywithjesus11 жыл бұрын
I love Millard's voice... so unique and such a cool dude!!!
@bintirashidantybaby81469 жыл бұрын
Smart love it da salama na milad penda sana
@WalterKimaro9 жыл бұрын
This dude like seriously yuko a whole level above all other presenters.
@nourahblessings85965 жыл бұрын
Aki Millard ako sawa👐👐👐👐
@lalasalama909211 жыл бұрын
i love him omg i cant slp thnkng abt him
@fahadfahmy11 жыл бұрын
Ican't wait to see first Zanzibarian to be intervewed.
@othmanmuhidin98579 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@Nyento11 жыл бұрын
yeeees..tunahitaji wasikilizaji waliomakini kama wewe bwana ibrahim...pia unaonekana uko makini kufanyia kazi taarifa unazosikiliza...kwa hesabu hizi ni kweli impossible.. Naamini watanzania tungekua makini kama huyu bwana, ufaulu ungekua wa kiwango cha juu sana. BIG UP MZEYAAAAA
@BlessAwedypl11 жыл бұрын
milard ayo ni mkali sana.....
@nadhifahassan16811 жыл бұрын
Hey salama mambo?nafatilia sana kipindi hiki karibu kila cju ni kizuri sana ila na kwako naomba tunaomba kumskia lulu mayasa mrisho aunty ezekiel ht hivyo sio mbaya saanaaa ni nzuri na endelea na confidence yko huwa napenda vpindi vyako lov u sister
@joramjohaness53049 жыл бұрын
namkubali mirrad ayo kwa hapa tz
@richardissaya501111 жыл бұрын
safi sana bro, uko vizuri, kp it up...!
@abdul_fastmohally67606 жыл бұрын
Millardayo hongera kaka
@aizackboniphace309011 жыл бұрын
Pamoja cana nashika sishikiki kwenye mtandao yutube ni noma
@emmakalou59205 жыл бұрын
Kila nnapo hisi kukata tamaa hua nakuja kuangalia hii interview...nakua inspired Kichiz.
Nice!!!!!Millard nipo france but kiukweli huku watanzania tukiamka tu msuaki wetu ni habari zako ktk website yako tunapenda sana but tunapendekeza upunguze picha za nyumba utuekee vitu muhimu really we like u soo much
@amalilimohammed224311 жыл бұрын
salama ww unajua kuliza maswali lakini bila cheti hamna kitu lazima wasome tz bila cheti is ok lakini nje ya nchi lazama cheti,nnaogea kuhusu sitefinketi kazi kwako,
@barakambise423411 жыл бұрын
Dah very good bra...keep rocknnnnnnnnn
@r470.47 жыл бұрын
nakukubali sana mtu wangu wa nguvu.
@kisiamassoud10147 жыл бұрын
millad unajua kaka uko vizuri mungu akusaidie
@laojonas57965 жыл бұрын
Kazi nzuri
@aziziamimu601111 жыл бұрын
Nimeikubali kwa vingi this video...ammm....salama princess ngozi yako inawakosah wengi...ilipendeza pia na Converse ulizotupia in this show...
@fahadfahmy11 жыл бұрын
Salama usisahau Dini yako wewe ni Muisilamu damu yafaa ujisitiri at all times.
@hajjiqasim59775 жыл бұрын
Atakua ana homoni za kike maana anafanya vitu bila kujielewa tumuombee mungu 2
@worldwidesportstv57805 жыл бұрын
Mungu akipenda mwaka huu tutaonana bro
@zuhuraramadhani20118 жыл бұрын
Da milard hiyo sauti yako ungekuwa mumewangu usngetoka nje bigap
pamoja xana millard nataman cku moja niwe kama ww.ila mina cmuelewi kabsa!!!
@alliymkobe39496 жыл бұрын
nice one Mr Millard ayo keep it up commander
@mariethagodwin22737 жыл бұрын
Sichoki kukusikiliza Millard
@nadhifahassan16811 жыл бұрын
Kaka millard mm nilishakupa big up ila vlevle nakupongeza sana kwani nikikueleza kwamba upunguze picha za nyumba na upe taarifa muhim nashkuru limepungua kiukweli. nataka kukuuliza mbona hamna hekaheka cku hizi.2)Tunasupport na tunapenda pia kazi zako huku tupo masomoni but tukiamka lazma tupitie millardayo website kujua vichwa vya habari vya magazeti.kwaiyo nakuomba uwe unatilia mkazo uclegeze kamba.
@joshuasimonny18915 жыл бұрын
Bro anapatikanaje mikoani tunamuhitaji
@godcompeter98445 жыл бұрын
2019
@piophilipkisu11 жыл бұрын
Kimahesabu yuko sawa (17,000 ) kwa kutumia neno MPAKA: 17,000«X {less or equal to that #}kwa maana hiyo anaweza hudumia mtu mmoja,watu elfu tano mpaka 17,000.lakini hawezi zaidi 17,000. Show ni nzuri Ila nahitaji Maswali ya DINI zaidi katika kuielimisha jamii kutokana na hali ilivyo hapo bongo,naamini waalikwa wanaweza badili mitazamo ya watu ili kuepukana na migogoro ya kidini, Pia kuhusiana na matokea ya Kidato cha nne(kwani watoto wetu wako kwenye hz sociaal media kila siku).