God bless you Sir you are the best I have ever known in Tanzania TV presenters Mungu wa Abraham akutangulie kwa kila jambo lako na uwe na kibali chake Amin
@aquilinamgaya44497 жыл бұрын
Millard u always inspire me! how to succeed! May our Almighty God be with u!
@lightnessgodfrey78436 жыл бұрын
Big up Millard, Mungu akuongoze na kukufanikisha. WaTZ tujifunze kuwa kila kitu kinahitaji uvumilivu
@pinthoreogada20565 жыл бұрын
Hello
@nellienjeri73614 жыл бұрын
Millard Ayo, kwa kweli hapa kwetu 254Kenya tunakukubali sana, your so humble in everything you do,moreso how you aticulate every sentiment you put across.#That voice will surely make your future blessed Mr Millard.Hongera & Salute🙋♀️
@halimamohamedy35717 жыл бұрын
wallah wey mkaka millad ayo unasauti nzuri jamani duuuu mungu ni fundi na hakuseagi hakika
@halimahalima3116 жыл бұрын
Huyu mkaka anatutia moyo sana kwa sisi vijana, big up sana brother, Allah akujaalie moyo kama huo wakututia moyo
@esteressau53286 жыл бұрын
ee mungu baba wa mbinguni nakuomba nipe uvumilivu niweze kutimiza ndoto zangu kama huyu kaka milad ayo
@Wdipt5 жыл бұрын
Hogera
@annabannab48584 жыл бұрын
Sinyorita*A’City-Nakupenda Na Ninakukubali Bro,Mtangulize Mungu Kwa Kila Jambo Na Ninaamini Utafanikiwa Zaid,Big Up Bro Mzee Wa A’City👏👏👍
@baidaismail40617 жыл бұрын
Nakupenda na nakukubali sana@Milady ayo
@florapaul69345 жыл бұрын
Ka Millard nakupendaga Sana unaniispare kwenye Mambo mengi sana
@AthanasGabriel-j9p10 ай бұрын
Nakubali Sanaa Millard ayo umetisha sanaa kaka✔️
@maryndosi22807 жыл бұрын
napenda jinsi unavyoongea millad uko vizuri sana
@aminamohammed15347 жыл бұрын
Jamani nakupenda milad saut na kwakuituma kwako hongera sana
@selincharles33837 жыл бұрын
hongera Millard umenifunza kitu Br kweli hakuna mafanikio bila kuhangaika.
@bidiiyako68037 жыл бұрын
Hongera kwako Millardayo, twakupenda kwa heshima zako, Mungu akubariki.
@emmanuelmoses73825 жыл бұрын
Nampenda sana millard ayo sana
@KawaTzHD9 ай бұрын
Una jieleza vizuri sana
@richardkobero69887 жыл бұрын
Millard unani-inspire sana..Ipo siku nitatoa historia ya ushuhuda wa mafanikio yangu kupitia ww role model wangu..
@khadijatonge36364 жыл бұрын
Nip0 Nchi ya nje lakn matokeo yote napata kwako my brother milard ayoo✌️big up sana kaka💪💪
@alidslv98833 жыл бұрын
Upo nchi gan bibie
@benjaminimwalimu3750 Жыл бұрын
Millard Ayo anajua sana na ametoka mbali
@mdomani24045 жыл бұрын
Millard we fundi kaka hongera sanaa
@leonarddamian5 жыл бұрын
Best ever interview most especially what millardayo spoke.
@dirocksilikari18887 жыл бұрын
Napenda milani ayo akiwa anaongea bro pigana namaisha Mungu akuendee mbele 🙏🙏
@joxevictus37204 жыл бұрын
Mimi namkumbuka Millard kama nakumbuka vzr kwenye radio prezpower au wapo radio ndo nilikua namsikiaga
@nunuauzamedia12722 жыл бұрын
Asante sana kwa kutupatia moyo wakutokata tamaa.
@didamugya60397 жыл бұрын
Kijana ana akili kuliko watangazaji wengi. I'm inspired!
@maticsleokas17857 жыл бұрын
Millard ayo umenitia moyo kuendelea na ndoto yangu
@husseinsadala99085 жыл бұрын
Hongera sana
@peterjohn87455 жыл бұрын
Millard unapenda hyo staili ya kofia ila inakupendeza2 nakupenda HVO HVO mpaka nakupenda sana
@annasamo70634 жыл бұрын
peter john hahaha unampenda hivohivo
@jannethleons1277 жыл бұрын
Love you Millard unanpa motivation
@khadijaarkam57017 жыл бұрын
Namkubali #millady toka kitambo.sana
@aishamzengo30256 жыл бұрын
da hongera sana ww kaka but mzuri nasauti yako nzuri
@abelyedson64835 жыл бұрын
Haisee Mungu akupi unachotaka anakupa kinachokustahili still forward brother saiz kakupa kinachostahili kila jambo linawezekana God's plan
@saumuhassan13657 жыл бұрын
NAKUPENDA SANA MILLARD, Mashallah kipindi kizur sana hata mimi sana sana napenda Amplifaya
@muniraahmed6246 жыл бұрын
Saumu Hassan 😧
@pinthoreogada20565 жыл бұрын
Really
@pinthoreogada20565 жыл бұрын
@@muniraahmed624 mambo vp mrembo
@khadijakitunga47697 жыл бұрын
Mungu awe pamoja nawe Kwa kira njia zako milirad upo na lman ya kiroho
@jaymomwenyewe77354 жыл бұрын
Millard uko sawa kabisa kaka
@byterthedon61825 жыл бұрын
Thank You So Much Millard For Ur Message... All In All Never Giver Up....
@adamrenatus42354 жыл бұрын
Millard ayo uko vizuri
@boniphacekamuli92417 жыл бұрын
Good voice
@djjasmixtz7 жыл бұрын
asisahau kuwashukuru ITV maana ndiko clouds ndiko walikomuona
@shaphyvuai68055 жыл бұрын
For sure mm nilikujua radio one uli hit sana kwenye milazo one or 1 na radio one daaaah ulikua daaaah
@dennismhema72494 жыл бұрын
Ww hujui alitokea znbc fm huku alikojitolea bure kabisa kwa miezi sita akaja dar akaajira Kuna redio moja alikuwa anapewa elfu arobaini Kama sikosei ndo akaenda Itv then clouds
@charlesbonifance8984 жыл бұрын
Safi broh Qubali sana,
@emmanuelasheri70377 жыл бұрын
somo la kibabe kwa wana
@isacknko51995 жыл бұрын
Safi sana mmeru mwenzangu
@sika_investments7 жыл бұрын
Sauti ya Millard ni balaaa
@wamoroboy89634 жыл бұрын
Bongo nzima akuna
@jobkwadinasi4932 жыл бұрын
Amen br Millard ayo
@merycheo43485 жыл бұрын
Sema hamfikii Steven kanumba voice
@dmawenda95604 жыл бұрын
Nakubali sana ayo
@zaifathussein81957 жыл бұрын
wow, so inspiring thanks
@pinthoreogada20565 жыл бұрын
That nice
@godsonmasele14387 жыл бұрын
good sana mirad
@jupesharichard72877 жыл бұрын
pow kaka umesomeka
@tunsumejohn65874 жыл бұрын
Kaka nyota yako haina nuksi daima dunian had mbinguni naamin maaana unapendwa sana mungu azidishe hekima zaid
@fediliaulomi49694 жыл бұрын
Uyu kaka anajitahidi sana kutoa abari za kweli sio kama awa wengine
@janelodyness96447 жыл бұрын
Nakupendaje kaka
@dannykessy71897 жыл бұрын
Good sana bro millard
@mkalimwanza77266 жыл бұрын
kijana mwenye heshima zake uko vizur xna brother mirrad
@nemymtango40745 жыл бұрын
makini sana kaka angu
@rowdyrondarouseyfire94767 жыл бұрын
No One like Ayo 😚 my dear you very Strong Man. Keep it up May Allah be with you.
@lizzyshoo80847 жыл бұрын
hongera Kaka
@saidih29167 жыл бұрын
hongera millard
@englibertmalabe14515 жыл бұрын
Nice bro. Mi mwenyewe nahaso noma natafuta utangazaji jamani au kuwa reporter niko fresh jamani
@marcben22687 жыл бұрын
Be blessed ayo dah
@rogathyully28534 жыл бұрын
Hapo kwenye kuhitaji maombi bro nimeelewa
@brianmuchiri10984 жыл бұрын
Nimejifunza kitu apa
@paulinasemindu39994 жыл бұрын
naomba mungu.mwanangu akiwa mkubwa awe na hekima na busara kama mirad ayoo
@mgendimussa72244 жыл бұрын
Kweli kaka hata mie sikuendekeza pesa nilicho tafuta ni kujulikana sana na kufanya kazi kwa ngv na akir timamu mpaka sasa nipo nasomea mambo yangu na namshukuru Allah yanaenda vizur
@emmanuelmziray10737 жыл бұрын
excellent young man!
@kulwamathias17357 жыл бұрын
nimekuelewa Millard ayo mafanikio hayaji hivi hivi