ZANZIBAR KUANZA KUZALISHA UMEME WAO 2024 TUMEPOKEA NYARAKA NA TUNAANZA NA VITUO

  Рет қаралды 2,715

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 3 ай бұрын
Alhamdulilah maana mmetukamata sana kwa Umeme
@mangashajunior242
@mangashajunior242 11 ай бұрын
Hongera sana zanzibar kutegemea bara hakuna hakika....
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 8 ай бұрын
Tunasubir tuone mana blaa blaa tumezizoea
@MuhammedFoum-kr5kc
@MuhammedFoum-kr5kc 8 ай бұрын
Mbn mwez wa 4 huu 2024 hamja walip fidia waguswa na mnachelewaaaa umeme asaiv mbov unakatik katik tuuu
@YahayaKiobya
@YahayaKiobya 12 күн бұрын
TANGANYIKA wish you all the best 😂😂
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 11 ай бұрын
Zanzibar mkijitegemea mtapga hatua sana, huku bara ushetani mwingi hakuna hofu ya kwel ya mungu, janja janja nyinyi sana
@mullestv2680
@mullestv2680 11 ай бұрын
Mi nashangaa umeme unatoka bara lkn ni kwa mgao wakt zanzbr hawana mgao Yani mwenye Mali anapewa kwa zamu mso na Mali anapewa mda wote
@AbdulRahmanAliy-sr7gw
@AbdulRahmanAliy-sr7gw 11 ай бұрын
😂
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 10 ай бұрын
Kwani munatupa bure,unaweza kua na baba Mvuvi samaki akawauzia jrani zenu na nyie mukala chakula kitupu
@mwalimuphilemonmbemba1649
@mwalimuphilemonmbemba1649 11 ай бұрын
Zanzibar wapewe Uhuru wao
@joviignus1674
@joviignus1674 11 ай бұрын
😂😂😂😂 nan kachukua
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 11 ай бұрын
Asante mama
@mohdchuma78
@mohdchuma78 11 ай бұрын
🙏
@FlavianoMkawe
@FlavianoMkawe 8 ай бұрын
Swali hlo 😂...najibu limekosekana
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 8 ай бұрын
​@@joviignus1674tanganyika
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 11 ай бұрын
Huku kwetu bara ni upgaji tu wa pesa,mgao,mgao hadi aibu
@bongo39
@bongo39 11 ай бұрын
Hongera mwinyi japo hawaoni hawasikii wanakejeli wanabeza wanatukana achana nao wewe fanya maendeleo kwa ajili ya wazanzibari ila na wao wanapita wanatumia yote hayo unayoyafanya wanajifanya hamnazo kazi iendelee
@OmaryZahran
@OmaryZahran 27 күн бұрын
Weee mjinga Sisi shidaet sio umeme Tunaka rais wa zanzibar atambulikane kisheria Tuwe huru hatuna shida ya mungano t ndy kikwaz
@hamidkasim-gz9sm
@hamidkasim-gz9sm 7 күн бұрын
Wew mwehu kweli wew
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Huyu rais wa sasa mwinyi yuko vizur
@YahayaKiobya
@YahayaKiobya 12 күн бұрын
Danganyika hatutaki Tena kuwa na viongozi Toka Zanzibar. Watanganyika amkeni.
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 4 сағат бұрын
@YahayaKiobya tulieni tutawale na sisi kutesa Kwa zamu samia mitano Tena kazi iendelee wazanzibar wenyewe hawajawah kuwapenda pia😂😂😂
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 11 ай бұрын
Kwanini msiwaite escro au richmond
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 12 М.
Одну кружечку 😂❤️
00:12
Денис Кукояка
Рет қаралды 1,2 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 31 МЛН