@@Shafikimanga7 kongole za nini sila tume nunua kwa hela zetu ni jesh letu sote sasa waanze kuunda silaha sio kununua
@leonnyntandu43243 ай бұрын
@@BarnabasFabianiunda kijiko na wewe kama unaweza😂😂😂😂
@BarnabasFabiani3 ай бұрын
@@leonnyntandu4324 nime gundua vingi tu hata mungu nime mgundua mm kamulize ata kupajibu
@AndreaMsemwa-f2z3 ай бұрын
Hongera mkuu
@Sebastianmangenyi3 ай бұрын
Mungu ibariki JWTZ, jeshi pendwa na lisilo na rushwa nchini
@charleselijah-vq3hq3 ай бұрын
Hongera sana JWTZ. Kuwa vyombo vya Kivita za Kisasa. Heko Tanzania
@noahchepe80363 ай бұрын
😂😂tuko fit, tutafute friend match hata kwa burundi.
@Nedjadist3 ай бұрын
😂ha! Eti kwa kitaalamu laitwa....si kitaalamu chochote ni kwa Kiingereza tu. Kwani kila kitu kikiitwa kwa Kiingereza ndiyo itakuwa 'kwa kitaalamu'? Kana kwamba unazungumzia jina la mashine maalum ya kupasua utumbo!
@musarashid34823 ай бұрын
Asnt cc ushamba tu umetujaa na utumwa wa kifikra Ata wachina ni wataalam sn ila ujawai kuskia kitaalam kwa kichina 😂
@LORDRICKNKYA3 ай бұрын
Hujui kitu na kwanini anatumia neno KWA KITAALAMU fwatilia
@ismailmasoud60013 ай бұрын
..@@LORDRICKNKYA..ww ndio huenda huelewi, Kwani kitaalam lazma iwe Kwa kiingereza?...Kwani akisema Kwa kitaalam inaitwa 'SIMU JANJA ' au Kwa kitaalam inaitwa 'KIPAKATARISHI' (computer) itakua sio Kwa kitaalam..?....kiingereza ni Lugha tu kama nyingine, unaweza kusema Kwa kiswahili na ikawa kitaalam vile vile
@fredducaunt3 ай бұрын
Kiingereza ni lugha ya kitaalamu taka usitake 😂😂
@ismailmasoud60013 ай бұрын
Sasa ni vyema kuwapa mafunzo ya kisayansi wanajeshi wetu ili tutengeneze silaha zetu wenyewe , tuunde mizinga ya HYPERSONIC, Maana dunia sasa sio sehemu salama, na tusitegemee asilimia zote kununua silaha ni oazma masoja wetu waingie CHIMBO kuunda silaha za kali za SIRI..!
@imanyotz5893 ай бұрын
Drone ndogo (swarm drones) ni silaha ndogo lakini hatari zaidi kuliko kifaru. Tungewekeza zaidi haoo. Kuweka maisha ya wanajeshi wetu katika hali ya usalama zaidi
@ibrahimaziz71583 ай бұрын
Abrams tank za tz izo
@hassanomarykazogolo68063 ай бұрын
Mama mitano tena uko vzr sana mungu akubariki na akutangulie katika uongozi wako Amen
@canon50593 ай бұрын
Acha upuz
@EliudiJastini3 ай бұрын
💣💣💣☝☝☝🙏🇹🇿🇹🇿sombaya
@Sebastianmangenyi3 ай бұрын
Naipenda sana JWTZ hongera sana JWTZ tunawapenda sana kwa ubunifu
@IssaMatandi3 ай бұрын
Tanzania ni hatari.Kiukweli tumejipanga sana.Hongera Rais wetu mama samia.
@faidamuhamed30113 ай бұрын
Hakika
@MarioNdanzi-kp9hp3 ай бұрын
Asante Sana jwtz
@uMkhonto_weSizwe3 ай бұрын
Dr. Samia umetuheshimisha! 🙌🏽🙌🏽💯👍🏽 mitano tena
@HomLand-943 ай бұрын
Ni sawa, ila wahini kurudisha magari ya rafaeli
@georgesolos3443 ай бұрын
Jeshi letu bado sana, kama hizo products karibu zote ni made in china na eastern Europe. Wafufue plant ya nyumbu wazalishe hivyo vifaa. Kwa vita ya kisasa drones zinamaliza hivyo vifaru. Wapeleke engineers wengi Russia wajifunze vifaa vya kisasa zaidi.
@nasibuAbel3 ай бұрын
Mungu nakuomba unitumzie Taifa langu uliepushe na Kila shali Kila baya uende kinyume na waso litakia Taifa hili mema kubwa saizi naomba uni lindie viongozi wangu ote sekta zote akiwemo Raisi wangu kipenzi Daktari samia suruhu hasani
@johnmalembo64643 ай бұрын
Tuombe Mungu atuzidishie Amani na Utulivu Tanzania yangu kwa vizazi vyetu. Vita ni vita silaha huua hata aliyeitengeneza. Sina la kujivunia... maana hata mwenye silaha anaogopa vita
@zaliafakilavire56893 ай бұрын
Hapa nipo nawazumuuu wa Kenya wanatamani tubadilishane nchi😂😂 hamtufiki hata raboo l love my 🇹🇿
@qtyclone48433 ай бұрын
I was chilling until you mentioned us 😂we are not interested lol.. After all you can't come close to major non - NATO ally. Stop 🧢 😂
@BeatriceThuo-nn8lc3 ай бұрын
Silaha, zetu wakenya hatuonyeshi maadui.... Maana ni zile kali Sana... Yaani Advanced Military Machineries... AMM...KENYA ndio super power, East&Central Africa.
@josephgomalo413 ай бұрын
Wewe huna akili .. kujilinganisha mabunduki ni wenda wazimu.. utakula hayo mabunduki? mafuriko yakija mnaogelea kwenye maji vyumbani kwenu.. badala ya kufikiria maendeleo wajinga huwaza mabunduki tuu kama samia!Pesa anamalizia kwenye maonyesho ambayo ni vitisho kwa wamasai na Watanganyika wengine anaowadhulumu ardhi kwa ajili ya waarabu! maonyesho kama haya yalikuwa na maana wakati wa viongozi wenye akili .. sio majambazi kama kikwete na demu wake samia!
@clementhiddi14863 ай бұрын
@@qtyclone4843 pointless
@rogerabdallah4393 ай бұрын
Ubadilishane nini mnanyanyashwa Tanzania 🇹🇿 mnatekwa kila siku ibwa nyinyi
@HawaAlznezbar3 ай бұрын
Kweli tujivunie siraha zetu🎉🎉😊😊😊
@Omarjumanne-zm9zh3 ай бұрын
@@HawaAlznezbar kama tunaunda wenyewe sisi akitokea mtu mwenye ujuzi wa kuunda pastoral tu anafungwa jera sisi ni wajinga wa mwaka 1330 akili hatuna kazi yetu manunuzi nje
@MansorJr-z3i3 ай бұрын
Tuombe vita na kenya jamani hahahah 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😊
@heavenlightfrank62033 ай бұрын
Hawana jambo hao😂 hivyo vyuma hawana
@canon50593 ай бұрын
Kenya si rika yenu 😂 bado hamjatosha kuitisha vita na Kenya. Kenya wamejihami vilivyo 😂😂
@canon50593 ай бұрын
Labda mjaribu Burundi😅
@yahyamajidyahyahilalal-har87623 ай бұрын
@@canon5059sasa kenya hata kutuliza fujo wameshindwa. Wataweza vita??
@yahyamajidyahyahilalal-har87623 ай бұрын
@@canon5059wakati mmeshindwa kutuliza fujo 😂😂
@tumaininestory40373 ай бұрын
Hii ni ndoto yangu ya zamani
@NaySimon-u5u3 ай бұрын
Waoooooo vzr
@abusaidalmujahedeen78443 ай бұрын
Aibu kweli hizo toys tu😂😂😂
@SeljusiMalambo3 ай бұрын
Hongera sana sasa tunaitaji makombora ya masafa marefu
@ezekielsabiyumva80483 ай бұрын
Congo 🇨🇩 wanavifaa zaidi yahovyo waulize leo kama wameshinda vifaa na ujuzi nivitu vieili tofauti
@CHAMSATV3 ай бұрын
kwani nchi italeta silaa zote apo icho kitu akiwezekani kijana nachuwa vilivyo nunuluwa junzi tu na rais ndiye aliye vizinduwa siku kama tatu zilizo pita
@davidanselmo40413 ай бұрын
Congo inayopigwa na Kagame 😅😅
@chrisswaller9603 ай бұрын
Congo wasenge ndo mana huoni wamejaaa mali lakini maskini kinoma,
@miltonjohn97793 ай бұрын
Akili mgando
@mercykaluki19693 ай бұрын
China has really improved Tanzanians small missle and small range missiles
@AliAhmed-m1o2u3 ай бұрын
Rais wetu maasha Allah akiwa katika vazi la mjeda hacheki yaani ni mjeda kamili huyu ndo Rais tumtakae namuomba alitayarishe jeshi letu liwe halina tofauti kubwa na majeshi yaliyomo ulimwenguni usijali tupo pamoja na wewe daima dumu❤❤❤
@Habalitz3 ай бұрын
Wakija us dakika moja chali 🤣
@EdwardKessy-c9z3 ай бұрын
Tunaomba mechi na warusi sasa😂😂😂
@BarnabasFabiani3 ай бұрын
Hatuwezi tùkàwa tun̈a onyesha silaha tulizo nunua. ifike mahali jeshi letu lianze kutuonyesha sila zilizo undwa au kugundulìwa na jeshi letu JWTZ waanze kujikita kugundua sila zake zaku nunua ziwe asilimia30
@jumakapilima72953 ай бұрын
Kufika huko bado sana
@BarnabasFabiani3 ай бұрын
@@jumakapilima7295 ukitia nia nirahisi nikuanza kujikita kwenye uchunguzi na uwekezaji ili kukuza uchumi wajeshi letu
@AlanWilliam-oq5qz2 ай бұрын
We kichaa nn
@MwavitaKasoga3 ай бұрын
Aante san jwtz
@ajsmainde51383 ай бұрын
ikipita iron dome mnistue😅😅
@viootanzania90803 ай бұрын
😂😂😂unazingua
@faidamuhamed30113 ай бұрын
Nayaonaga kwa zeleboy na puttiboy wakioneshana ubabe kumbe hata sss tunazo😉
@leonmusanabera123 ай бұрын
iyo ni fujo tu, JWTZ limepigwa Vibaya sana huko Congo na M23, ni aibu kubwa kwa TZ, afathali FRDC kuliko JWTZ kwenye uwanja wa mapambano,SADC Congo imeabika mwaka huyu ondokeni usaidizi went haufayi.
@JohnManyilizu-rl5bm3 ай бұрын
Ahaa
@ReyzDon3 ай бұрын
Hapa ni kifaru gan kilicho tengenezwa Tanzania
@AbdallahAmini-s7h3 ай бұрын
Wakenya mkitaka vita na sisi tunawaramba vinyeo manina nyie😂 vita mpelekeen ruto uko😂😂 hi tanzania
@allysudi44293 ай бұрын
😅😅😅 mamaee east africa nzima hawatuwezi kama vipi tuliamshe tu tuchukue Kenya na Uganda yote iwe Tanzania. Inabid vyuma vilie ivyo visiingie kutu💥💥
@talents79343 ай бұрын
Ikipita Rungu ya kimasai mnishtue😂😂😂
@MaikoRashku3 ай бұрын
Tuondoleeni mambo yenu ya kishetani hapa, hayoasilaha mlitakiwa myafiche, hatuitaji kuyaona, mlitakiwa kumpeleka store mkamuonye, sisi tunaitaji mtuonye mahabari za Dawa
@Rasoulhk983 ай бұрын
Hii itoshe kusema kwamba kuna mengi sana siku ya leo hayajaonyeshwa kwa lengo la kuhifadhi heshima na siri ya Jeshi la Wananchi Tanzania. Hivyo watanzania kwa leo tumeona hivi vifaa kwa 40% tu ila mengi yapo kapuni. Hao wanaosema sisi hatuna kitu wao ndo wako juu waache wajichanganye ndio watajua shughuli ya jeshi letu tukufu na la heshima Africa.
@CHAMSATV3 ай бұрын
asilimia 1 tu iyo kaka kila mwaka kunabajeti yake bungeni miaka 60 sasa apo zimenunuliwa njuzi tu
@MohamedAhmada-ie7ke3 ай бұрын
@@CHAMSATV😂😂😂ushatupiga wizara ya ulinzi bajet yake umeiskia lini bungeni
@nottoldAfrostories3 ай бұрын
Rais wenu ananyesha💀
@aliali-ji9ym3 ай бұрын
KARIBUNI WAKENYA KWETU RAHA TUNAISHI KWA KUINJOI SANA, TANZANIA NDIO KIMBIKIO LANGU ILOVE YOU MAMA SAMIA
@heavenlightfrank62033 ай бұрын
Alafu upande wa silaha tumewazidi majirani zetu japo hutucheka sana hatuji kiingereza😂
@canon50593 ай бұрын
@@heavenlightfrank6203😂 wewe uneona silaha za Kenya kweli ama unazingua 😅 tz hawakaribii wakenya ikifika kwa silaha
@shedadiabdul6543 ай бұрын
@@canon5059We na Akili yako Siraha za Tz Unahisi zimetoka zote?
@CostantineDaudi3 ай бұрын
Tupo vzr tanzania hakika najivunia jeshi letu nipo salama kabisa
@JacksonDominicko3 ай бұрын
Mama samia Tunaombe vita yakirafiki na kenya au mnaonaje
@jovinezekiel36523 ай бұрын
Nikweli mizigo tunayo lakini Hofu yangu kwanini wameamua kuvionyesha naona hii ilibidi iwe sili yetu ili wakijichanganya
@kingdom51223 ай бұрын
Makombora ya masafa marefu safii sana
@ErastoAntony3 ай бұрын
Nimekaa na mkenya nimempiga kwanza kibao pia nikamwambia angalia huku tushindane lakini msije mkaomba maji
@SelemaniNtobi-lz8lp3 ай бұрын
Nyie kumbe na Tz Ina mamb kam hay na hamsemi
@JesseJackson-l8q3 ай бұрын
Viva na siraha tunazo lakan bado tunatakiwa kuweka juhudi maana kuna siraha nzito zaidi ya tulizo Nazi hizi Lakin siyo mbaya tumejitahiad😊
@hassanhancha14133 ай бұрын
Haya sasa Putin ajichanganye aone 😅
@ReginafrancisNkalyan3 ай бұрын
Mimi nikajua ni matoy😂😂 kumbe kiduku hafui dafu❤
@champion-dz6kr3 ай бұрын
😅😅 NATO na América, awamchezei Putin , nyinyi tunampeni wasouth África tu😂😂
@fadhilimkanimkole2723 ай бұрын
😂😂😂 ila vijana
@JUDITHMGAYA3 ай бұрын
😂😂😂😂
@conganyoyo31953 ай бұрын
😂😂😂🙈
@AnnaFelix-p1z3 ай бұрын
Chokozeni wachina Ili tuamini mwende kule mbebe vifaa ila msichokoze mkiwa Tanzania sisi tunalindwa na mungu
@maselejonathan84523 ай бұрын
Hakika jeshi letu lipo imara ndo maana Amani ipo kwa miaka mingi sana Haya turud huku kwa wabakaji tuambeni kesi imefikia wapi
@fikrapevu13 ай бұрын
Ayo hauna namna ya kunipeleka jeshini maana nimejitahidi mara kadhaa sijabahatika anaesoma comment hii kama anaweza kunipeleka jeshini nipo tayari anajibu
@neemaevance803 ай бұрын
❤❤
@georgedaniel49623 ай бұрын
Ombeni friend matches na majirani.
@jacksonstanley-d2v3 ай бұрын
wakenya wataweza kweli
@saliminyusuph61223 ай бұрын
Acha uchonganishi wewe. Sisi na wakenya ni ndugu moja.
@jacksonstanley-d2v3 ай бұрын
@@saliminyusuph6122 wenyew mbona hawasemi🇹🇿🇹🇿
@lwagamwakalinga80383 ай бұрын
Kweli kabisa sisi na wakenya ni ndugu sana tunapaswa kushindana nao kwenye maendeleo tupambane tuwafikie maana hatupaswi kuwa kama north korea tunahangaika na masilaha wenzetu wanafungua miradi ya maendeleo
@IsackIbrahimu-j3k3 ай бұрын
Ivi vifaa vinatumika wap?
@calvinmireni25333 ай бұрын
Bm 21 grand .chuma cha mrusi ni hatari san
@mwasoprince34593 ай бұрын
"Vile vile kinamfumo wa kujikinga na silaha za kinyukilia, kibaolojia na kikemikali." Noted
@mirzah1173 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@saidharbinie-dl4dd3 ай бұрын
😂😂
@J4UPro3 ай бұрын
Hahahahahaaaaaa
@fadhilimkanimkole2723 ай бұрын
Sema jeshi la anga waongezewe hata F_16 kama kumi hiv
@zebedayokatamaduni96763 ай бұрын
Wewe hivi unajua bei ya ndege F16? Yaani wewe nchi za umoja wa ulaya zenyewe hizo badhi hawaja weza kuzinunua. Nchi ya Uturuki mwaka jana ndiyo wamenunua F16 kama 16 tu
@antidiusegbert55623 ай бұрын
@@zebedayokatamaduni9676acha mawazo ya unyonge
@qtyclone48433 ай бұрын
@@zebedayokatamaduni9676I agree even updating the codes of the F16, the west would not want you attack an ally like in the incase of indo-paskitani war where Pakistani F16 were useless and couldn't be used against India cause USA had grounded them.
@winfordmwangonda53753 ай бұрын
Ata ukiwa hela hawawezi kukuuzia ata kidogo
@J4UPro3 ай бұрын
Duh f16
@ZawadiMwaituka3 ай бұрын
Tanzania Imala na aman
@UserGooduser-k5u3 ай бұрын
Sasa hapo wantesi tu, uone watu watakavyo kimbia kama nawona😂😂😂😂😂😂
@thedriver.michael.39753 ай бұрын
Vya kumpiga mganda tu huwezi kumpiga mmarekani Silaaha za kumpiga mwanawaadamu ni mzito kuliko za kumpiga mnyama hii ni hatari mwanawaadamu kuitwa adui
@AlanWilliam-oq5qz2 ай бұрын
Unapigana na marekani kisa nini we falaaa
@charleskingimwakasagule57523 ай бұрын
Basi mlionyesha Silaa zote kwa adui ingekuwa 23 ipo tz ingefulai sana huyu Raisi Sasa hana sili
@J4UPro3 ай бұрын
Wewe tulia, pengine hujui lolote
@Aquapalooza.3 ай бұрын
Watanzanyuma kujeni KENYA muone maana ya a proper millitary capability.
@simpleboytz2553 ай бұрын
Kenya wanajeshi wanaoshindana na vikundi vya wahuni wanaoandamana
@Aquapalooza.3 ай бұрын
@@simpleboytz255 sio hivo ndugu yangu. Kenya tuna Uhuru wa wananchi ikiwemo uhuru wa kuandama kinyume na Tanzania na ndio sababu hao polisi wetu hawangewapiga wananchi waandamanaji. Tunaelewa Nyinyi hapo Tanzania hamna uhuru ata wa kumkosoa rais kwa sababu kwenu bado mnaishi 1970 na rais ni kama mungu mdogo. Hapa Kenya yeyote aweza kumkosoa rais bila kufanyiwa lolote kama kupigwa risasi kama Magufuli alivyo mfanyia Tundu Lisu.
@mbonimanakisenya41783 ай бұрын
nyie wakunya jeshi lenu lipambane na wavuta bangi kwanza wanao andamana ndo mje kitupigia kelele sawa😊😊
@FARIJIKAORGANIZATION3 ай бұрын
Wangetuonesha na technology wanayotumia wakiwa kama jeshi
@peterdeus60933 ай бұрын
Iv kulikuwa na ulazima gani wa kuonesha vifaa vyote ulivonavyo, ivo vifaa vilikuwapo tokea muda tu na hata wakati wa magufuli lakin havikuoneshwa kama hiv
@AlbatCharles3 ай бұрын
China waki angalia hii video Wana cheka tu
@rumdeesonsoa18113 ай бұрын
China wana silaha gani?
@HammyJey3 ай бұрын
Kwani sisi tupo hata kuwaridhisha wachina??? China hata hiyo rangi yako nyeusi ya pumbu wakiiona wanacheka tu jichubuwe basi uwe mweupe ili ufanane na wachina.
@ProsperUlungi3 ай бұрын
Unajilinganishaje na china unajua china ipo nafasi ya ngapi duniani hawa wao walianza chini
@KS-iw7qv3 ай бұрын
Hizi mbona nyengine tunanunua kwao... wao asaivi ndio wapo kwenye technology ya juu kivifaa
@loserian-mj1gj3 ай бұрын
Wale watumwa wewe unawaza tu china
@saidharbinie-dl4dd3 ай бұрын
Hiyo tintela ya mama kama ya Elisha keys😅😅 ata sio ya kikopsi mbna😊
@hamisimwinzagu66243 ай бұрын
Vita sasa ivi technology, maonesho hayo kwa ajili ya kupambana na sisi wananchi maana mmeshaambiwa kuwa muwe tayari kupambana katika uchaguzi ujao
@LORDRICKNKYA3 ай бұрын
Usiwe mropokaji ebu kuwa mfatiliaji zaidi
@hamisimwinzagu66243 ай бұрын
@@LORDRICKNKYA Acha ujinga ww chawa mkubwa
@binkokisalikoi90193 ай бұрын
Nikweli vita saizi inatumika akili sana kuliko haya tunayo ona
@jumakapilima72953 ай бұрын
@@binkokisalikoi9019hujui kitu wewe
@loserian-mj1gj3 ай бұрын
Mnawaza tu ujinga
@godfreypaul2513 ай бұрын
Kuna kubwa zaidi tununue sasa
@tanzaleo86703 ай бұрын
natamani Bajeti ijayo ya wizara ya Ulinzi waweke Leopard 1 na Leopard 2 tanks mana hizo zimepitwa na wakati kwenye uwanja wa medani
@Watcher9943 ай бұрын
Hapo nimeona kuna haja kubwa ya kuwa mkalimani wa vifaa vya kijeshi kwa lugha ya mama yangu.
@frankkasala87893 ай бұрын
Vinatestiwa kweliiii hvyoooo????
@IsanHomi3 ай бұрын
Tuache una fiki tupo levo ndogo bado
@yousufmohammad56983 ай бұрын
Marekani siku moja ijichanganye I drop bomb dar tuyioneshe
@MuhamadAli122-c1f3 ай бұрын
😂
@saidharbinie-dl4dd3 ай бұрын
Vita bora sahv n ya drones...tunataka technology y drone itumike jeshini bila hvyoo tutafeli parefu
@Arsenal50003 ай бұрын
Ifike hatua tuombe mechi ya kirafiki na Russia
@chacha-2553 ай бұрын
made in ?????
@Kulwakisansa-zk5yg3 ай бұрын
Ilo ni jeshi la kulinda mipaka sio kulinda raia watu wanatekwa kila siku afu unasema ni jeshi la kulinda wananchi
@AnnaFelix-p1z3 ай бұрын
Vifaa ivyo vingekuwa nivya kulimda nnchi na wanaichi si wangekamata watekaji ? Inamana watekaji ni ninyi wamiliki wavifaa
@IBENGM3 ай бұрын
Sasa ma semi ya nini hapo? Au hivyo vifaru havitembei?? 😂
@saliminyusuph61223 ай бұрын
Jijibu mwenyewe
@Abdul-jj6lq3 ай бұрын
salamu zimfikie kiduku kule korea tuko tayari kwa lolote ajichanganye aone😂😂😂
@saliminyusuph61223 ай бұрын
Acha umbea
@talents79343 ай бұрын
Kwa uelewa wangu wa haraka kuonesha silaha ambazo tunazo ni udhaifu mkubwa sana maana Kuna siku ikitokea vita adui atakuwa ameshatujua vizuri na tutafel😢
@CHAMSATV3 ай бұрын
unafikiri hinzo ndoo silaa zitalinda nchi
@talents79343 ай бұрын
@@CHAMSATV boss adui akishatambua ni Aina gani ya silaha ulio nayo ujue kwamba hiyo ni hatua muhimu sana ya kukabiliana na wewe,pia mafunzo uliyo nayo ni siri nyingine ambayo unapaswa usiioneshe hadharani maana wataelewa udhaifu wako kwa haraka sana,kwa kuwa hujui kuhusu self defense rules unapaswa ueleweshwe kwa kina
@davidanselmo40413 ай бұрын
@@talents7934Russia huonesha pia😅
@Daniel-g2f6v3 ай бұрын
Tunao wanajeshi wakakamavu sina shaka juu ya hilo shida iko kwenye vifaa
@laiserkuyan60753 ай бұрын
Hiii ni ufala silaha za njeshi ni siri
@sayeedmsct42553 ай бұрын
Serikali inunue bhn vivaa vya kisasa
@VeronicaAdam-lx8yd3 ай бұрын
😂😂😂Kwan unajuw hivy vifaa havip😊
@sayeedmsct42553 ай бұрын
@@VeronicaAdam-lx8yd wangeze uwezo wakijeshi tz nikubwa mno
@NurudinZuberi3 ай бұрын
Kka huwezi onyesha silaha zako zote hadharani
@rumdeesonsoa18113 ай бұрын
Hizo hela tunazo sasa?
@sayeedmsct42553 ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 zipo bhn
@meckmussa18403 ай бұрын
Eti mjanga baharini , mbona majariwa ndio aliokoa
@rogerabdallah4393 ай бұрын
Ngoja kinuke kama amjalala
@matikowambura76573 ай бұрын
Sasa mnae mwambia anazijua ?
@jumakapilima72953 ай бұрын
We unazijua?
@iddyally10293 ай бұрын
Vyuma tunavyo vimepoa tu... Si tupashe tu ata na kayo Burundi tuone ka vinafanya kazi😅
@RomanNdigeze3 ай бұрын
Wanaume kazin
@twaribuidrissa99003 ай бұрын
Mweshmiwa rais tunakuomba utuitishie kavita kadogo kakilafiki tuone mitambo km kwer inafanya kaz
@aloyceKimaryo3 ай бұрын
😮
@aloyceKimaryo3 ай бұрын
😮
@Kim19onlinetv3 ай бұрын
Daaa acha utani na vita
@jizzotheking92383 ай бұрын
kwan umezuiliwa wewe kuanzisha vita??
@saliminyusuph61223 ай бұрын
Umechoka kuishi.
@benjaminiisaya34283 ай бұрын
Tunataka iron Dome kama ya Israel if u know u know 😂😂
@Jackson-n2c3 ай бұрын
Eti kwa ajili ya kutawanyia waandamanaji
@lulanjamd38863 ай бұрын
Kwa hiyo English ndiyo lugha ya kitalamu😂 acheni masiyala bhana