Рет қаралды 22,027
Mwigizaji Jacquline Wolper amejibu swali kuhusu mwigizaji mwenzake Wema Sepetu na ishu ya kupata mtoto ikiwa ni baada ya Wolper kujifungua moja ya watu waliompongeza na kupost kwenye page zao za Instagram alikuwa ni pamoja na Wema Sepetu, sasa Jack amefunguka haya. PLAY kutazama