WANANCHI WALETA VURUGU ARUSHA NYUMBANI KWA BARIKI ALIYEFARIKI, POLISI WAMUOKOA MZEE WA UKOO

  Рет қаралды 27,366

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@kamarhelo
@kamarhelo 10 сағат бұрын
Mashallah hongeleni kwa umoja mweñyezi mungu awaweke pamoja
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 6 сағат бұрын
Safi sana wananchi, haki ya mtu haipotei
@Kisigino
@Kisigino 15 сағат бұрын
Kweli ukiwa muungwana kwa watu hakika hata isipokua na chochote watu watakua na ww
@gervaslukaya1637
@gervaslukaya1637 14 сағат бұрын
Ndio maana unaambiwa tuishi kwa upendo usimzalau mkubwa wala mdogo
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 15 сағат бұрын
Mungu awabariki kwa Moyo wa huruma, jamani tuweni na huruma Duniani tunapita na mali tulizo nazo tutaziacha ee Mwenyezi Mungu tunaomba utusaidie
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x 15 сағат бұрын
Mali hiz bana🙌 ukute wamemuuwa wao kwanini alikua akiishi kweny zizi la ngo'mbe na wana mali daah😢😢
@T444zhairfood
@T444zhairfood 9 сағат бұрын
Mungu akubariki sana kaka yetu mpendwa.
@aminafesaliaminafesali8105
@aminafesaliaminafesali8105 8 сағат бұрын
Mwenye makosa hapo ni baba mzazi wa huyo marehom
@saddiqsaddiq6880
@saddiqsaddiq6880 11 сағат бұрын
Poleni kwa msiba na hongereni kwa umoja wenu hakikisheneni asinyimwe urisi wa kwao
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 14 сағат бұрын
Maashaallah. Majilani wema❤❤
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 11 сағат бұрын
Hongereni wananchi.
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 15 сағат бұрын
Dada AMINA NAKUPENDA SANA siwezi ishi bila wewe❤❤❤❤❤
@rajabhamis3494
@rajabhamis3494 13 сағат бұрын
😂
@japhetizrael5559
@japhetizrael5559 12 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@kamarhelo
@kamarhelo 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 jamani yamekua hayo
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 9 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 dah!
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
😂
@micahmollel4463
@micahmollel4463 10 сағат бұрын
Wapuuzi kweli Ushirikina mbaya sana yaani basi tu
@UsherMohamedi
@UsherMohamedi 11 сағат бұрын
R.I.P BARIKI upumzike kwa amani tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi 💔🙏
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 12 сағат бұрын
Ila wakwe jamani hasira ndio kwenye migomba 😂😂😂
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
Ni laana hiyo kikwetu migomba ikikatwa ni mbaya sana
@PaulinaReginald
@PaulinaReginald 9 сағат бұрын
Hongereni kwa umoja wenu wana Arusha.najivunia kuzaliwa Arusha
@julianapeason6254
@julianapeason6254 50 минут бұрын
unajivunia kuzaliwa Arusha ungali hiyo ni laana ya hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao, hiyo ni miaka 400 ya laana za kutafuta mali kwa njia ya kafara zinawatafuna wachaga waishio Arusha dada, watu wamrudie MUNGU, wamtafute Mungu sio kutafuta mali, Bariki mwenyewe si ajabu kauwawa kwa akili ili watu wabaki na mali, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndo hii sasa, mali zitakusaidia nini hapa duniani???????? kama umezaliwa Arusha omba sana maana hujui historia ya miaka 400 ya kizazi ulichozaliwa hakuna muda wa kujivuna hapo kyeku
@halimamasai2234
@halimamasai2234 14 сағат бұрын
Hongera sana majirani mpo juuu huyo mama ni anaroho chafu sana
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu Сағат бұрын
Safiii sana! Migomba ikatwe ngombe ichinjwe watu waendelee kula na supu !
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
Kabisa
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 Сағат бұрын
Tupike moja kubwa 😅😅😅😅😅😅 Arusha yangu naipenda
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 9 сағат бұрын
wangekiua hicho kizee cha mila angefurahi sana
@JulianaNyamhanga
@JulianaNyamhanga 9 сағат бұрын
Arusha Nawapenda...R.i.p Bariki
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 14 сағат бұрын
Aisee kuna wanawake wana roho mbaya
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw 14 сағат бұрын
Mmmmh
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw 14 сағат бұрын
Sio wana roho mbaya ni zile hasira tu waneamua watolee kwenye mingomba kuliko zimzuru mtu mwingine
@SharyMary-s8t
@SharyMary-s8t 4 сағат бұрын
Kweli wanawake Wana roho mbali kabisa
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 9 сағат бұрын
Tuchague tupike nini😂😂😂😂hii jamanii
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu Сағат бұрын
Wacha kabisa hatutaki utani 😂
@Kabwela776
@Kabwela776 5 сағат бұрын
Kabila gani hii wachaga au wameru hawa watu wana roho mbaya sana
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 9 сағат бұрын
Na ukute kuumwa ni alilishwa hata viru ili ajifie taratibu😢 ni dhambi san
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
Iko wazi
@MiriamKanuya
@MiriamKanuya 10 сағат бұрын
Kuna kujidhalilisha jamanii 😢😢😢
@storytownTv
@storytownTv 10 сағат бұрын
Mimi kama shefu nimetenga maji ya pilau na napika bure..😂😂..😂 me sjui nacheka nn..😂😂😂😂 ARUSHA SHIKAMOO
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 13 сағат бұрын
Mungu awalaani woote wanaopenda mali kuliko utu wa mtu.hizi mali sijui zitawafikisha wapi.
@judyngowi391
@judyngowi391 Сағат бұрын
Huyo mama wa kambo ndiye mshirikina, anataka amiliki eneo
@Imanuelmgute-5d
@Imanuelmgute-5d 10 сағат бұрын
Hakuna mwenye roho Nzuri hapo sasa hadi analala kwenye zizi la ng,ombe nyie mlikuwa wapi kumtaftia ata mazngra mazur ya kulala😢😢
@judyngowi391
@judyngowi391 58 минут бұрын
Tunapika moja kubwa, watajua wenyewe cha kufanya
@desineytv8406
@desineytv8406 14 сағат бұрын
Wanawake wamechoma chango 😅
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
Yaani acha tu
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 7 сағат бұрын
Eeh shikamoo wana Arusha🙌🙌
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 7 сағат бұрын
Duu kweli kuzaliwa ndugu sio ndio ndugu ila ukipata ndugu jirani ndio ndugu me ntaishi na watu baki wananipenda
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
Sawa kbs
@florangido202
@florangido202 14 сағат бұрын
Mochwari muweke ulinzi ndugu Watachukua maiti
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 14 сағат бұрын
Ila Arusha hawa poi,na hiyo migomba sijui imewakosea nn
@joyceshayo7949
@joyceshayo7949 14 сағат бұрын
itahidi tuchinje zetu ngombe ndo atatutosha😅
@NgaduDennis4
@NgaduDennis4 14 сағат бұрын
Wananchii tushirikiane tuchinjeniii ng’ombe maana barikii ndyo alikuwa analala nao
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 11 сағат бұрын
😊😊kwakwel
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu Сағат бұрын
😂😆😆😆😆
@JahedaSalmin
@JahedaSalmin 12 сағат бұрын
Ariwafanya Nini wana familya mpaka wakamtenga Ivo jamani😢😢😢
@madetetv6576
@madetetv6576 11 сағат бұрын
Mamake alikufa so mama wa. Kambo huyo
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
Tupike tu hiyo moja kubwa
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 15 сағат бұрын
Wameru mnakuwaga na bifu gani na migomba??? Mkikasirika tu hasira zinaishia kwenye migomba.😂😂
@HalimaMayunga
@HalimaMayunga 14 сағат бұрын
😂😂😂😂 kuaribu mali huo ni wivi wao ni tatizo la msiba ni kitu kingine ingepaswa wamsitiri bariki nakumuombea yote ni ushabiki na hasira za mali pia nao walimpenda bariki lakini pia walimuacha akazidiwa ndio wakampeleka hospital wangemuwahi mapema au wangemchukua kwanguvu wamtunze ili afya yake irudi salama
@veeJesus
@veeJesus 13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@NeemaNdelekwa
@NeemaNdelekwa 11 сағат бұрын
Tutake razi awo cyo wameru ni wachaga
@MiriamKanuya
@MiriamKanuya 10 сағат бұрын
Unahuakika kuwa ni wameru
@barakambisecr
@barakambisecr 7 сағат бұрын
Kuumbe lile jina la wakata migomba ni kwel😂😂😂
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu Сағат бұрын
Ni lenyewe ndio 😊
@florahmushi748
@florahmushi748 Сағат бұрын
Asili
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 15 сағат бұрын
Waa mali ya duniani
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 13 сағат бұрын
Huu utajili wamemtoa kafara bb ana pesa na yy yuko nairobi anaumwa
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 11 сағат бұрын
Sasa migomba ndio munapigana nayo😢
@PascaltzkamwagaPascal
@PascaltzkamwagaPascal 15 сағат бұрын
Sasa hiyo migomba imewafanya nn wakat wangeenda kula
@mrishojumbe4572
@mrishojumbe4572 11 сағат бұрын
Kumbe Vita inaweza anzia kijijini kwenda mjini Sio Kama tunavyo ona mjini kwenda kijijini sili kali kuweni makini na vijana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 сағат бұрын
Wachaga kwa mali wamemnyanyasa sanaaaa huyo mtoto wamelaaniwa
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 13 сағат бұрын
Wao ndg ndo walimuuwa
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 9 сағат бұрын
Wabongo balaaa sana wanatolea povu hata kwa yasiyowahusu
@sammychansa1797
@sammychansa1797 8 сағат бұрын
Ni upendo wa chuga uo funga chalii
@MirriamDevis
@MirriamDevis 5 сағат бұрын
Hawa si wabongo ni wananchi wenye upendo
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 9 сағат бұрын
Eti tuchague ngo`mbe au mbuzi Arusha nimewapenda bure
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 15 сағат бұрын
Wameru migomba imewakosea nini? mbona mnaivunja migomba?
@noelabeli3346
@noelabeli3346 15 сағат бұрын
Hamna mmeru apo.
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 13 сағат бұрын
@noelabeli3346 we mwenyewe mmeru
@noelabeli3346
@noelabeli3346 12 сағат бұрын
@@RajabuMkonje ndio lakini huko ilikroi ni kwa waarusha na wageni..wameru wako meru.
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 11 сағат бұрын
@noelabeli3346 OK.
@NeemaNdelekwa
@NeemaNdelekwa 11 сағат бұрын
Akuna mmeru apo usikariri maisha
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 14 сағат бұрын
Mtihani jamani ndugu kwanini wanafanya hivyo. Mali hizi zitawaingizawatu motoni
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 14 сағат бұрын
Kwann hawamtaki shida Nini?
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 6 сағат бұрын
tunapika moja kubwa kirohoo mbaya
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 11 сағат бұрын
Mimea pia ni kiumbe cha mungu mbona mnaharibu
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 9 сағат бұрын
Mama wa kambo wote nyoka
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 10 сағат бұрын
Wengne apo walibifu😂
@Daudisamson-t1k
@Daudisamson-t1k 10 сағат бұрын
Ila bange sio sigara😢😢😢😢😢😢
@urioxidetz8893
@urioxidetz8893 7 сағат бұрын
Shefu kama shefu
@TidesShakila-li8tz
@TidesShakila-li8tz 18 минут бұрын
So sad😢😢😢
@LeonardKasanjala
@LeonardKasanjala 13 сағат бұрын
Aiseee hii ni Zaidi ya Roho Mbaya Mtu Analazwa Katika zizi?
@vero57
@vero57 15 сағат бұрын
Wapi makonda!!!!
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 9 сағат бұрын
Arusha hoyeee
@newforcejv9721
@newforcejv9721 14 сағат бұрын
Moshi mko na nini kwani
@Yana_queen1
@Yana_queen1 14 сағат бұрын
Arusha nawe
@OliverDavc
@OliverDavc 10 сағат бұрын
Hawa wamemuuwa
@SwahiliMafu
@SwahiliMafu 11 сағат бұрын
Roho mbaya binadamu
@Kokafamil
@Kokafamil 12 сағат бұрын
Dah 😢💔
@ip_header
@ip_header 15 сағат бұрын
Dah😢
@PaulinaReginald
@PaulinaReginald 9 сағат бұрын
R.I.p Bariki
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 13 сағат бұрын
inchi ya arusha siyo mkoa tena
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 минут бұрын
Hii nchi shida si unajua ni karibu na wale majirani Kenya daa😂😂😂😂
@CAPYBARA-r6w
@CAPYBARA-r6w 11 сағат бұрын
kuwachuma chango ndo nini
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 4 минут бұрын
Maana yake uchungu wa uzazi ndugu yangu
@FelisiaMonyo
@FelisiaMonyo 10 сағат бұрын
Bill
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 3 сағат бұрын
Hiv nyie watu wa Arusha wazima kweli..bangi zinawasumbua nyie..Kwan akizikwa hapo wakitaka kuuza nyie mtazuia achani cfa za kijinga Yan wajinga nyie
@FatumaMwage
@FatumaMwage 15 сағат бұрын
bange
@RayOmar-vk2nn
@RayOmar-vk2nn 13 сағат бұрын
❤❤❤
@judyngowi391
@judyngowi391 55 минут бұрын
Chinjeni ng'ombe pikeni na pilao mtu asiwaletee maujinga yake
@hafsahaji3441
@hafsahaji3441 11 сағат бұрын
988
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu Сағат бұрын
Safiii sana! Migomba ikatwe ngombe ichinjwe watu waendelee kula na supu !
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA
11:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 46 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН